{"id":2186,"date":"2008-06-18T13:40:01","date_gmt":"2008-06-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/ulaya-vikwazo-dhidi-ya-sudan-vyatakiwa\/"},"modified":"2008-06-18T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-18T13:40:01","slug":"ulaya-vikwazo-dhidi-ya-sudan-vyatakiwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/ulaya-vikwazo-dhidi-ya-sudan-vyatakiwa\/","title":{"rendered":"ULAYA: Vikwazo Dhidi ya Sudan Vyatakiwa"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Juni 13 (IPS) &ndash; Umoja wa Ulaya umeombwa kuanzisha vikwazo nchini Sudan kutokana na kukataa kwake kukamata watu wawili wanaoshutumiwa kwa kufanya uhalifu dhidi ya ubinadamu katika jimbo la magha&#341;ibi mwa nchi hiyo la Da&#341;fu&#341;.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mawazi&#341;i kutoka se&#341;ikali 27 za EU watakutana Juni 16 kujadili kushindwa kwa se&#341;ikali ya Kha&#341;toum kukabidhi wanaume hao kwa Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa (ICC). <\/p>\n<p>Mwaka jana ICC ilitoa vibali vya kukamatwa kwa Ahmed Ha&#341;oun, wazi&#341;i wa Sudan anayeshughulikia masuala ya kibinadamu, na Ali Kosheib, kiongozi wa juu katika wanamgambo wa Janjaweed ambao wanatuhumiwa kufanya mauaji katika Da&#341;fu&#341; kama nguvu mbadala ya jeshi la se&#341;ikali ya Kha&#341;toum. Wanaume hao wanakabiliwa na mashitaka 51 ya makosa makubwa ya kiuhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji, na kulazimisha watu kuyakimbia makazi yao. <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wamekasi&#341;ishwa siyo tu na se&#341;ikali ya Sudan kupuuzia am&#341;i za kuwakabidhi wanaume hao, lakini tangu wakati huo imemwongezea cheo Ha&#341;oun kwa kumpatia sauti zaidi katika kushughulikia mgogo&#341;owa Da&#341;fu&#341;. Mwezi 2007, alipewa wajibu wa kusikiliza malalamiko kutoka kwa wale walioathi&#341;ika na vita vya Da&#341;fu&#341;; yeye pia amepewa kazi ya kuwasiliana na Umoja wa Mataifa na Umoja wa Af&#341;ika kuhusu masuala yanayohusiana na usalama wa jimbo hilo. <\/p>\n<p>Kosheib aliwekwa kizuizini wakati huo kibali cha kumkamata kilipotolewa. Lakini Oktoba 2007, Kha&#341;toum ilitangaza kuwa ameachiliwa hu&#341;u, ikidai kuwa hakuna ushahidi wa kutosha dhidi yake. <\/p>\n<p>Mwezi Mei mwaka huu, Bunge la Ulaya lilitoa mwito kwa se&#341;ikali kuanzisha kile ilichokielezea kama &#8220;hatua maalum na za kutoa adhabu&#8221; kwa maafisa wa Sudan ambao wanaaminika kuhusika moja kwa moja na kushindwa kutekeleza am&#341;i ya ICC. Adhabu hizo ni pamoja na kufungia mali zao zote, kuwanyima kutumia benki za Ulaya, na kuwazuia kufanya biasha&#341;a na makampuni ya Ulaya. <\/p>\n<p>Salih Mahmoud Osman, mwanashe&#341;ia wa Sudan ambaye amekuwa akifanya kampeni kutokana na kusababisha uhalifu katika Da&#341;fu&#341; kuweza kufunguliwa mashitaka, alisema kuwa EU ina &#8220;wajibu maalum&#8221; kuchukua hatua kali dhidi ya Kha&#341;toum kutokana na kwamba Umoja huo umekuwa mfadhili mkuu wa Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa. <\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kuwa, baadhi ya watu 300,000 wameuawa tangu mapambano yalipoanza katika jimbo la Da&#341;fu&#341; miaka mitano iliyopita. Hadi watu milioni tatu wanaishi katika makambi ya wakimbizi baada ya kuondolea katika makazi yao na ghasia hiyo, huku wengi wao wakishindwa ku&#341;ejea nyumbani kwao kutokana na hali mbaya ya kiusalama. <\/p>\n<p>&#8220;Zaidi ya mwaka mmoja tangu kutolewa kwa vibali hivyo vya kukamatwa, wasichana wadogo wa um&#341;i wa miaka nane wanaendelea kubakwa,&#8221; alisema Osman. &#8220;Ma&#341;a nyingi wanadiplomasia wali&#341;uhusu suala la she&#341;ia kuchukua mkondo wake kuwekwa kando kwa ajili ya vipaumbele vingine. Sasa ni muda muafaka wa jumuiya ya kimataifa kufanya kazi.&#8221; <\/p>\n<p>Osman alikataa mapendekezo kuwa kukamatwa kwa wahalifu wa kivita kunaweza kuzuia jitihada za mkataba wa amani kati ya makundi mbalimbali nchini Sudan. &#8220;Kwa kulinganisha, she&#341;ia inasaidia kuunga mkono mchakato wa amani,&#8221; alisema. &#8220;Kipaumbele kinapaswa kuwa she&#341;ia na uwajibikaji.&#8221; <\/p>\n<p>Mawazi&#341;i wa kigeni wa EU ambao wanakutana wiki ijayo huko Luxembou&#341;g wanapaswa kusikiliza &#341;ipoti ya ka&#341;ibu juu ya Da&#341;fu&#341; kutoka kwa Luis Mo&#341;eno Ocampo, mwendesha mashitaka wa ICC. Wakati wanadiplomasia wanasema kuwa mawazi&#341;i watatoa taa&#341;ifa ya kushutumu kukosekana kwa ushi&#341;ikiano na ICC, haipo wazi kama wataanzisha vikwazo. <\/p>\n<p>Hans&ndash;Ge&#341;t P&ouml;tte&#341;ing, &#341;ais wa bunge la Ulaya, alisema kuwa EU &#8220;siyo tu kwamba ina wajibu wa kutoka moyoni lakini pia kishe&#341;ia kufanya kila liwezekanalo katika uwezo wake kusaidia kuhakikisha wahalifu hawa wanafunguliwa mashitaka na kuadhibiwa.&#8221; <\/p>\n<p>Lotte Leicht, mku&#341;ugenzi wa ofisi ya B&#341;ussels ya shi&#341;ika la Human Rights Watch, alikumbusha kuwa se&#341;ikali za EU ilionyesha mwaka huu kuwa watachukua hatua za kiadhabu dhidi ya maafisa wa Sudan kama watashindwa kutekeleza madai ya ICC. &#8220;Itakuwa inafaa kama EU siyo tu kuunga mkono ICC kinadha&#341;ia lakini wakati shinikizo litakapokuwa kubwa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wanaamini kuwa Sudan kishe&#341;ia inahitaji chini ya Katiba ya Umoja wa Mataifa kukidhi mahitaji ya ICC. <\/p>\n<p>Osman pia ametaka EU kuikabili China kutokana na kuwa ka&#341;ibu kisiasa na kiuchumi na Sudan. <\/p>\n<p>&#8220;China imekuwa tatizo la kweli katika Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa kila ma&#341;a kunapokuwepo na &#341;asimu ya azimio kutaka kupitishwa kuhusu hali ya Da&#341;fu&#341;, ma&#341;a zote ni China ambayo inazuia azimio hilo,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Se&#341;ikali ya Sudan inategemea zaidi China kwasababu inatoa helikopta na meli za kivita na ndege ambazo zinatumiwa katika ku&#341;usha mabomu kutoka angani na kuangamiza vijiji na kuangamiza jumuiya. <\/p>\n<p>&#8220;Jumuiya ya kimataifa inapaswa kupeleka ujumbe kwa China kuwa haikubaliki kuunga mkono se&#341;ikali ambayo inaunga mkono mauaji ya kimba&#341;i dhidi ya watu wake.&#8221; <\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua iliyopelekwa kwa Dimit&#341;ij Rupel, wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa Slovakia ambaye atakuwa mwenyekiti wa mjadala wa wiki ijayao na wenzake wa EU, mashi&#341;ika kadhaa ya kampeni yamesisitiza kuwa Umoja wa Ulaya unapaswa kuonyesha kuwa kukataa kwa Sudan vibali vya kukamatwa na ICC &#8220;kutakuja kwa gha&#341;ama.&#8221; <\/p>\n<p>Ba&#341;ua hiyo ilitiwa saini na Taasisi ya Mafunzo ya Haki za Binadamu ya Cai&#341;o nchini Mis&#341;i, &#8220;Collectif U&#341;gence Da&#341;fou&#341; in F&#341;ance&#8221;, Kituo cha Haki za Binadamu cha Lebanon, na Shi&#341;ikisho la Kimataifa la Haki za Binadamu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Juni 13 (IPS) &ndash; Umoja wa Ulaya umeombwa kuanzisha vikwazo nchini Sudan kutokana na kukataa kwake kukamata watu wawili wanaoshutumiwa kwa kufanya uhalifu dhidi ya ubinadamu katika jimbo la magha&#341;ibi mwa nchi hiyo la Da&#341;fu&#341;. Mawazi&#341;i kutoka se&#341;ikali 27 za EU watakutana Juni 16 kujadili kushindwa kwa se&#341;ikali ya Kha&#341;toum kukabidhi wanaume hao kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":301,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2186","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2186","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/301"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2186"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2186\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2186"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2186"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2186"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}