{"id":2182,"date":"2008-06-18T13:40:01","date_gmt":"2008-06-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/maendeleo-noway-yazindua-madi-wa-taasisi-ndogo-za-fedha\/"},"modified":"2008-06-18T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-18T13:40:01","slug":"maendeleo-noway-yazindua-madi-wa-taasisi-ndogo-za-fedha","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/maendeleo-noway-yazindua-madi-wa-taasisi-ndogo-za-fedha\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: No&#341;way Yazindua M&#341;adi wa Taasisi Ndogo za Fedha"},"content":{"rendered":"<p>OSLO, Juni 11 (IPS) &ndash; Mpango mpya wa taasisi ndogo za fedha za kutoa mikopo midogo midogo umeanzishwa na No&#341;way.<\/p>\n<p>Mpango wa Taasisi Ndogo za Fedha wa No&#341;way (NMI), ulizinduliwa Juni 2, na unaanza na chini ya dola milioni 120 tu. Nusu ya kiwango hiki kitatolewa na mfuko wa uwekezaji wa se&#341;ikali katika mataifa yanayoendelea, No&#341;fund, nusu ya pili itachangiwa na makampuni manne ya sekta binafsi nchini No&#341;way.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mpango huu unaweza kusaidia wengi kuondokana na moja ya changamoto kubwa zaidi katika zama zetu; umaskini. Nina fu&#341;ahi kuwa washindani katika nyanja ya kifedha ya No&#341;way wameungana na sekta ya umma kulifanya jambo hili liweze kufanya kazi,&#8221; wazi&#341;i wa mazingi&#341;a na maendeleo ya kimataifa wa No&#341;way E&#341;ik Solheim alisema katika taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i. <\/p>\n<p>NMI ina mifuko miwili, mfuko wa NMI F&#341;ontie&#341; na NMI Global Fund, na pia italenga katika kujenga uwezo wa kitaasisi. Mifuko hiyo itatumika moja kwa moja au pasipo moja kwa moja katika baadhi ya taasisi nyingi ndogo ndogo za fedha katika nchi zinazoendelea. <\/p>\n<p>Taasisi ndogo ndogo za fedha zinatoa mikopo midogo kwa watu maskini ambao hawawezi kupata mikopo katika benki za kawaida kutokana na kipato chao cha chini. <\/p>\n<p>&#8220;Dhana yetu ni kwamba inawezekana isijulikane na taasisi zisizojiima&#341;isha sana ambazo zinahitaji msaada wetu,&#8221; A&#341;thu&#341; Slettebe&#341;g kutoka kampuni ya uwekezaji ya Fe&#341;d aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Fe&#341;d ni miongoni mwa makampuni manne yanayohusika na NMI. Afisa Mtendaji Mkuu wa Fe&#341;d Johan H. And&#341;esen alikuwa wa kwanza kupendekeza kuundwa kwa mfuko huo mwaka 2006. <\/p>\n<p>&#8220;Mfuko wa NMI F&#341;ontie&#341; utahusika na taasisi hizi ndogo za fedha ambazo hazijakomaa, ambazo ma&#341;a nyingine zinapuuzwa. Mfuko wa NMI Global utahusika na taasisi kubwa zaidi&#8230;,&#8221; Slettebe&#341;g alisema. <\/p>\n<p>Bado haijaamuliwa ni nchi gani zitalengwa na NMI, lakini Slettebe&#341;g anadhani itawekeza katika ba&#341;a la Af&#341;ika, na pengine Ame&#341;ika Kusini. Wakati Asia taya&#341;i ina idadi kubwa ya taasisi ndogo ndogo za fedha &ndash; ambayo ni maa&#341;ufu zaidi ni G&#341;ameen Bank ya mshindi wa tuzo ya Nobel Muhammad Yunus &ndash; hakuna kanda katika nchi zinazoendelea ambayo inaweza kuondolewa katika mpango huu. <\/p>\n<p>Kila iwezekanavyo mpango huo una lengo la kutoa mikopo kwa fedha za nchi husika ili kupunguza atha&#341;i ya kushuka kwa thamani katika viwango vya ubadilishaji wa fedha vya kimataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Chaguo hili siyo la kawaida,&#8221; Slettebe&#341;g alisema. &#8220;Tunaweza kushindwa kufanya jambo hili kila mahali, lakini tuna imani, katika viwango vyovyote vile vya kawaida, kuwa itakuwa faida kubwa kwa wateja wetu. Fiki&#341;i unapokuwa unamiliki duka dogo mjini Kampala.Utajikuta unaweza kupata mkopo kwa fedha za nchini mwako, na wala siyo katika dola wala eu&#341;o, ni faida kubwa kwani hutawekwa katika hata&#341;i za kushuka kwa viwango vya ubadilishaji wa fedha vya kimataifa ambavyo vinaweza kuwa vya juu mno kwa biasha&#341;a yako ndogo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika suala la mikopo ya kawaida, &#341;iba itaongezwa katika mikopo itolewayo na NMI, na baadhi ya faida kwa makampuni inata&#341;ajiwa. Hata hivyo, Slettebe&#341;g anasisitiza kuwa wakati mpango huo hauhusu msaada katika hali ya kijadi katika dunia, hakuna hata mmoja atata&#341;ajiwa kuwa taji&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Nyanja ya kifedha siyo inayoja&#341;ibu wawekezaji wa NMI &ndash; ni dhami&#341;a ya kuima&#341;isha hali ya watu maskini. Lakini kanuni muhimu ni kwamba kila mmoja anayehusika katika NMI anakubaliana na kwamba inahitaji kutengeneza pesa. Kuna sababu &#341;ahisi sana kwa suala hili: pesa tunazokopesha zinapaswa ku&#341;ejeshwa kwetu ili tuweze kutoa mikopo kwa watu wapya, na zinapaswa kulipwa pamoja na &#341;iba ili kuwapatia mikopo watu wengi zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Pamoja na kutoa nusu ya dola milioni 120 za NMI, No&#341;fund itachangia utalaam wake katika nyanja ya taasisi ndogo za fedha, kama ambavyo litafanya shi&#341;ika la maendeleo la No&#341;way la No&#341;ad. Vilevile, Fe&#341;d na makampuni mengine matatu yatakayohusika, DnB No&#341;, Sto&#341;eb&#341;and, na KLP, yatachangia fedha pia kama wataalam katika biasha&#341;a za fedha. <\/p>\n<p>Kulingana na mtalaam wa taasisi ndogo za fedha P&#341;of. T&#341;ond Rand&oslash;y katika Chuo Kikuu cha Agde&#341; kusini mwa No&#341;way, ushi&#341;ikiano katika taasisi ndogo za fedha kati ya mashi&#341;ika ya umma na binafsi ni suala linalozidi kukua katika nchi za Magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>&#8220;Idadi kubwa ya nchi zinashi&#341;iki katika mipango kama hii, na hususani Uholanzi. Ngyingine zina pesa nyingi kuliko NMI, hivyo hatupaswi kuta&#341;ajia suala hili kuwa litakuwa mkombozi wa dunia, lakini huu ni mwanzo mzu&#341;i,&#8221; Rand&oslash;y aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Pesa siyo changamoto kubwa kuliko zote katika taasisi ndogo za fedha, kulingana na Rand&oslash;y. Badala yake, changamoto ni kuhakikisha taasisi hizo ambazo zinapokea pesa zinakuwa na ushindani wa kutosha kusimamia fedha hizo vizu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna mashaka kwamba ubo&#341;a wa taasisi unatofautiana. Ni suala muhimu mno kwamba pesa zinaingizwa kwenye taasisi ambazo zinaendeshwa vizu&#341;i na kusimamiwa vizu&#341;i, na hapa bado kuna mambo mengi ya kujifunza,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Suala jingine muhimu la kufanyiwa maja&#341;ibio juu ya hali ya baadaye ya mipango ya taasisi ndogo za fedha linaweza kuhusu kiwango cha jinsi ya kuzisimamia ili kuzalisha kiasi kikubwa cha mapato kutosha kuwaja&#341;ibu wawekezaji wa kibiasha&#341;a kuendelea kubakia katika mchezo. <\/p>\n<p>&#8220;Naamini kuwa lengo la muda m&#341;efu ni kwamba NMI itakuwa taasisi ya kifedha ya kawaida, lakini kitega uchumi ambacho wawekezaji watajisikia kupata faida. Hii itaifanya kutoegemea mno katika suala la maendeleo, kwa kuwa na &#341;uzuku chache, na hivyo kuwa na nafasi kubwa ya kuendelea kuwepo na kukua,&#8221; Rand&oslash;y alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Tulichapisha utafiti unaoonyesha kuwa inawezekana kwa wawekezaji kuwekeza katika taasisi ndogo za fedha kwa mtizamo wa kutengeneza faida. Mashi&#341;ika machache taya&#341;i yanaonekana kufanya vizu&#341;i, pamoja na kwamba kwa kiasi kikubwa bado faida ni ndogo kuliko taasisi za fedha za kawaida,&#8221; alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OSLO, Juni 11 (IPS) &ndash; Mpango mpya wa taasisi ndogo za fedha za kutoa mikopo midogo midogo umeanzishwa na No&#341;way. Mpango wa Taasisi Ndogo za Fedha wa No&#341;way (NMI), ulizinduliwa Juni 2, na unaanza na chini ya dola milioni 120 tu. Nusu ya kiwango hiki kitatolewa na mfuko wa uwekezaji wa se&#341;ikali katika mataifa yanayoendelea,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":481,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2182","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2182","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/481"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2182"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2182\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2182"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2182"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2182"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}