{"id":2174,"date":"2008-06-04T13:40:01","date_gmt":"2008-06-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/biashara-nigeia-yatishia-majiani-kuhusu-mikataba-ya-nchi-kwa-nchi-ya-epas\/"},"modified":"2008-06-04T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-04T13:40:01","slug":"biashara-nigeia-yatishia-majiani-kuhusu-mikataba-ya-nchi-kwa-nchi-ya-epas","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/biashara-nigeia-yatishia-majiani-kuhusu-mikataba-ya-nchi-kwa-nchi-ya-epas\/","title":{"rendered":"BIASHARA: Nige&#341;ia &#8221;Yatishia&#8221; Maji&#341;ani kuhusu Mikataba ya Nchi kwa Nchi ya EPAs"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 2 (IPS) &ndash; Mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi yanafanya kazi katika ku&#341;ejesha ushi&#341;ikiano katika ja&#341;ibio la kutaka kuendesha mjadala wa pamoja wa mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mazungumzo yamefanyika katika ngazi ya kanda kutokana na kwamba Ghana na Ivo&#341;y Coast kila moja ilitia saini EPA yake na Umoja wa Ulaya (EU), na kuweka nchi mbili katika msuguano na maji&#341;ani zao ambao wamekataa kutia saini mikataba hiyo. <\/p>\n<p>IPS imeweza kuthibitisha kwamba nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi (ECOWAS) wamekubaliana kuwa chombo hicho kinge&#341;atibu mazungumzo ya kanda na EU kuanzia sasa hadi Juni 2009, shabaha ya kuhitimisha mazungumzo hayo. Hili litafanyika kwa msaada wa Muungano wa Kiuchumi na Sa&#341;afu wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi (WEAMU). <\/p>\n<p>Uamuzi huu ulitokana na mkutano uliofanyika kati ya Nige&#341;ia, Ivo&#341;y Coast na Ghana na Sek&#341;eta&#341;ieti ya ECOWAS mapema Janua&#341;i mwaka huu. <\/p>\n<p>Mataifa haya matatu ni pekee katika kanda ambayo hayana hadhi ya kuwa katika mataifa yenye maendeleo duni (LDCs). Hii inaelezea ni kwa nini Ivo&#341;y Coast na Ghana walihisi kuwa wameshinikizwa kutia saini EPAs mwaka jana, kutokana na kwamba bidhaa zao zinavyouzwa nje katika soko la EU isingekuwa hivyo ingekuwa inatozwa ushu&#341;u mkubwa mno. LDCs zinaweza kuendelea kuuza bidhaa zake kwa EU bila kutozwa ushu&#341;u chini ya mpango wa EU wa upendeleo wa &#8220;Eve&#341;ything But A&#341;ms&#8221;. <\/p>\n<p>IPS ilipokea &#341;ipoti kwamba Nige&#341;ia ilitishia maji&#341;ani zake kufikia uamuzi huo. <\/p>\n<p>Akizungumza na IPS, Ndiogou Fall wa shi&#341;ika la wakulima la Af&#341;ika Magha&#341;ibi lijulikanalo kama ROPPA, alisema, &#8221;Ivo&#341;y Coast iliambiwa na Nige&#341;ia kwamba wanapaswa kulipia kodi kubwa katika bidhaa zinazouzwa nje kwenda Nige&#341;ia kama isingeambatana na ECOWAS katika mazungumzo ya EPA. Matokeo yake Ivo&#341;y Coast ili&#341;udi nyuma katika msimamo wake huo.&#8221; <\/p>\n<p>Fall alisema kuwa Ghana, pia, iliambiwa kuwa ingeweza kukabiliwa na ushu&#341;u mkubwa kutoka kwa soko la Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>Nige&#341;ia inachangia asilimia 61 ya pato la mwaka la kanda na hivyo ni soko muhimu kwa nchi nyingine katika kanda hiyo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, suala hili lilikanushwa na kiongozi wa se&#341;ikali wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi, ambaye hakutaka kutajwa jina lake kutokana na kushi&#341;iki katika mchakato huo. &#8221;Ni kwa hatua gani mambo kama hayo yanajitokeza. Mkutano wa Janua&#341;i haukuwa na uadui.&#8221; <\/p>\n<p>A&#341;ianne Idzenga wa shi&#341;ika la misaada la &#8220;Oxfam Inte&#341;national&#8221; liliongeza kuwa, &#8221;kitu ambacho kimekuwa dalili ya nguvu kutoka Nige&#341;ia kwenda kwa Ivo&#341;y Coast na Ghana ilikuwa ni tangazo lake la kusitisha mazungumzo ushu&#341;u wa nje wa pamoja wa kanda.<\/p>\n<p>&#8221;Tangu mkutano wa mawazi&#341;i mapema mwaka 2008, wakati kanda ilipojenga misimamo yao upya, mazungumzo ya ECOWAS juu ya ushu&#341;u wa nje wa pamoja yameshaanza na Nige&#341;ia inashi&#341;iki&#8221;. <\/p>\n<p>Kwa sasa, kulingana na kiongozi huyo wa se&#341;ikali wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi, &#8221;katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi, hatujagawanyika. Ivo&#341;y Coast na Ghana walifanya kile walichohitaji kufanya kuzuia kuanguka kiuchumi. Kama kuna utata, ni kutokana na kwamba nchi hizi zimeshatia saini. Lakini sasa tuna nia ya kufanya kazi pamoja kuwa na EPA kamili.&#8221; <\/p>\n<p>Alikubali kuwa kuna matatizo mbeleni. &#8221;Kuanzia sasa, hakuna ambaye anajali (kuhusu ukweli kwamba nchi hizi zimetia saini). Mikataba hiyo (ya muda mfupi) imesimama, kusubi&#341;i mchakato wa ECOWAS. Wasiwasi unatokea wakati Tume ya Ulaya inaposema, &#8216;Ghana, tia saini na ku&#341;idhia EPA za muda mfupi&#8217;. Hapo ndipo tutakuwa na tatizo.&#8221; <\/p>\n<p>Nchi zinatambua kuwa mbinu zao za kikanda zinaweza kushindwa. Sababu ni kwamba mfumo wa ushu&#341;u wa nje wa pamoja ambao mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi waliamua mwaka 2001 kuhitimisha haiwezekani kama Ghana na Ivo&#341;y Coast itapitia mikataba yake na EU. <\/p>\n<p>Kufanya mambo kuwa mabaya zaidi, dalili zinaonyesha kuwa Ivo&#341;y Coast imeendelea na mazungumzo yake na EU yenyewe pamoja na kuanzishwa kwa jitihada za kikanda. Ken Ukaoha, &#341;ais wa Chama cha Taifa cha Wafanyabiasha&#341;a wa Nige&#341;ia (NANTS), aliiambia IPS kuwa &#8221;kumekuwa na uvumi kwamba Ivo&#341;y Coast inafanya baadhi ya mazungumzo peke yake&#8221;. <\/p>\n<p>Uvumi huu ulithibitishwa na chanzo cha haba&#341;i cha ndani ambacho hakikutaka kutajwa. Alielezea hali ya sasa kama &#8221;ya mchafukoge wa kipekee. Ni msimamo mpya kutokana na kwamba nchi hizo zinapaswa kuungana kikanda. Hakuna ubadilishanaji wa taa&#341;ifa katika kanda. Kama suala hili litaendelea, kuna uwezekano kwamba zitaishia kusamba&#341;atika&#8221;, chanzo hicho kiliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kulingana na utafiti wa pamoja uliofanywa na Taasisi ya Maendeleo ya Ng&#8217;ambo (ODI) na Kituo cha Kusimamia Maendeleo ya Se&#341;a cha Ulaya (ECDPM), uliochapishwa Machi 2008, EPA iliyotiwa saini na Ivo&#341;y Coast inataka biasha&#341;a hu&#341;ia kuanzia mwaka 2009 na kuendelea. <\/p>\n<p>Kati ya mwaka 2009 na 2012, asilimia 60 ya bidhaa zilizoagizwa na Ivo&#341;y Coast kutoka EU zinatakiwa kuingia katika mfumo wa biasha&#341;a hu&#341;ia. Ratiba ya biasha&#341;a hu&#341;ia ya Ghana pia inaanza mwaka 2009, huku ikitakiwa asilimia 70 ya bidhaa zake inazoingiza kutoka nje kuingia katika mfumo wa biasha&#341;a hu&#341;ia kwa kipindi cha miezi 10 ya mwanzo. <\/p>\n<p>Kama itatekelezwa, &#341;atiba ya kutumia masoko tofauti katika EPA itasamba&#341;atisha jitihada za ECOWAS za kuunda ushu&#341;u wa nje wa pamoja. Halafu EPAs zinazosainiwa kati ya nchi mbili zinajikita katika &#341;atiba za nchi moja moja za Ghana na Ivo&#341;y Coast. <\/p>\n<p>Kiongozi huyo wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi aliiambia IPS kuwa, &#8221;msingi wa kufikia masoko kwa EC inapaswa kuwa suala la ushu&#341;u wa nje wa pamoja wa ECOWAS na wala siyo &#341;atiba ya nchi moja moja. <\/p>\n<p>Kama siyo hivyo tutaishia na masha&#341;ti mengi ya kutumia masoko ya EU. <\/p>\n<p>&#8221;Baadhi ya wanachama wetu hawana sekta za viwanda zenye maendeleo, kwa mfano. Kufanya kazi kutokana na &#341;atiba ya nchi moja moja, inawezekana kwao kutoa ushu&#341;u sifu&#341;i kwa bidhaa za viwandani kutoka kwa EU. Lakini nini kinachotokea kwa wanachama wengine ambao wana nia ya kulinda viwanda vyao &#8221; <\/p>\n<p>Wakati huo huo, EU imeandaa semina mjini Bamako, Mali, ambayo ilianza Mei 29. Ulaya imeiita &#8221;semina ya utoaji wa haba&#341;i&#8221; kufahamisha wahusika wa se&#341;ikali na wasiokua wa se&#341;ikali juu ya hatua zitakazochukuliwa nyakati za usoni kuhusu mazungumzo ya EPA katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Semina hii, kulingana na EU, inafuatia &#8221;kipindi kigumu&#8221; katika mwezi wa mwisho wa mwaka jana wakati sehemu kubwa ya kanda iliposhindwa kutia saini EPA za muda mfupi. <\/p>\n<p>Je mkutano wa Bamako utaondoa vikwazo vya muungano wa kikanda au utasababisha mgawanyiko zaidi  Idzenga aliongea na IPS kutoka Bamako mwezi Mei 29, akisema, &#8221;semina hii ya haba&#341;i ni mfano mzu&#341;i wa shinikizo ambalo EC inaliweka kwa washi&#341;ika katika kanda katika kuingiza kalenda (ya EC) na masuala mengine. <\/p>\n<p>&#8221;Katika p&#341;og&#341;amu hiyo, kuna pengo la uwekezaji wakati uwekezaji linakuwa ni suala ambalo kanda imesema haitaki kulizungumzia katika EPA. Uwekezaji utaingiaje katika p&#341;og&#341;amu za kikanda  Nimehemewa.&#8221; <\/p>\n<p>*Hii ni makala ya kwanza katika mfululizo wa makala mbili. Aileen Kwa ni mwandishi maalum wa se&#341;a za biasha&#341;a ambaye anafanya kazi katika asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya Focus on the Global South. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 2 (IPS) &ndash; Mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi yanafanya kazi katika ku&#341;ejesha ushi&#341;ikiano katika ja&#341;ibio la kutaka kuendesha mjadala wa pamoja wa mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Mazungumzo yamefanyika katika ngazi ya kanda kutokana na kwamba Ghana na Ivo&#341;y Coast kila moja ilitia saini EPA yake na Umoja wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":473,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2174","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2174","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/473"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2174"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2174\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2174"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2174"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2174"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}