{"id":2173,"date":"2008-06-04T13:40:01","date_gmt":"2008-06-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/maswali-na-majibu-mpango-wa-kilimo-cha-majini-nchini-malawi-waleta-matumaini-2\/"},"modified":"2008-06-04T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-04T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-mpango-wa-kilimo-cha-majini-nchini-malawi-waleta-matumaini-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/maswali-na-majibu-mpango-wa-kilimo-cha-majini-nchini-malawi-waleta-matumaini-2\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: Mpango wa Kilimo cha Majini nchini Malawi Waleta Matumaini"},"content":{"rendered":"<p>GRAHAMSTOWN, Mei 31 (IPS) &ndash; Kwa kipindi ki&#341;efu, wavuvi katika Ziwa Nyasa wanategemea samiki aina ya chambo kusaidia familia zao &ndash; bila ya kuhakikisha kizazi cha samaki hawa kinaendelea kuwepo. Kufuatia kuanza kwa uvuvi wa kibiasha&#341;a katika ziwa hilo, hata hivyo, kiasi cha samaki aina ya chambo wanaovuliwa kwa mwaka kimeshuka, kutoka tani 3,250 mwaka 1985 hadi 207 mwaka 2002.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hatimaye se&#341;ikali ililazimisha kusimamisha uvuvi wa kibiasha&#341;a. <\/p>\n<p>Kampuni ya Kilimo cha Majini ya Maldeco iliyoanzishwa mwaka 2003 kujenga hifadhi za samaki wa chambo kwa kutumia kilimo cha majini &ndash;&ndash; na Tom Shipton na Envi&#341;o&ndash;Fish Af&#341;ica (kampuni ya ushau&#341;i wa kitaalam yenye makao yake mjini G&#341;ahamstown, Af&#341;ika Kusini) iliaji&#341;i mshau&#341;i wa ufundi kuendesha m&#341;adi huo. Hivi ka&#341;ibuni aliongea na mwandishi wa IPS Steven Lang. <\/p>\n<p>IPS: Ni kwa nini Wamalawi walikuja kwako kupata ushau&#341;i  <\/p>\n<p>TOM SHIPTON: Awali waliaji&#341;i mshau&#341;i wa kitaalam kutoka Ulaya kuja kufanya tathmini na mambo mengine. Ilikuwa ni m&#341;adi mkubwa na walipanga kujenga mabwawa ya aina hii kati ya 12 au 16 ya u&#341;efu wa mita 12, na kina cha mita 10. Ni sawa na mashamba ya samaki aina ya salmon, kwa kutumia teknolojia ya mabwawa ya salmon; lakini ma&#341;a tu wakagundua kuwa mipango yao haikuweza kufanya kazi. <\/p>\n<p>IPS: Na hapo ndipo ulipoingia  <\/p>\n<p>TS: Ndiyo. Walikwenda kwa Benki ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (DBSA) kwa ajili ya mkopo kufanya utafiti zaidi na kuanglia upande wa kiufundi. <\/p>\n<p>Jambo ambalo walilifanya ni, walichukua teknolojia kwa ajili ya O&#341;eoch&#341;omis niloticus (samaki aina ya pe&#341;ege kutoka Mto Nile) na kudhani kuwa inawezekana kwa aina hii mpya (ya chambo, ambayo wanasayansi wanaiita O&#341;eoch&#341;omis ka&#341;ongae). <\/p>\n<p>Zote ni samaki aina ya O&#341;eoch&#341;omis, lakini ni tofauti sana. Samaki aina ya O&#341;eoch&#341;omis ka&#341;ongae, ambazo ndio wanaotumiwa hapa, wana tabia tofauti mno ya uzazi na masuala mengine. <\/p>\n<p>Hivyo, tuna hofu kwamba kama tungetumia mfumo wa O&#341;eoch&#341;omis niloticus unaweza kutokufanya kazi. <\/p>\n<p>IPS: Ni nini tofauti kubwa hasa  <\/p>\n<p>TS: Wakati huo, hatukujua tofauti, ni nini kiwango cha kuweza kuishi&#8230;Hata hatukujua viwango vya ukuaji, na kama hujui viwango vya ukuaji huwezi kuwa na &#341;atiba ya uzalishaji &ndash; hivyo ni jinsi gani unaweza kupanga kifedha  Kulikuwa na masuala mengi mno ya teknolojia ya viumbe ambayo yalihitaji kutatuliwa. <\/p>\n<p>IPS: Uliwezaje kutafutia ufumbuzi masuala haya  <\/p>\n<p>TS: DBSA iliingiza &#341;and nusu milioni (kama dola 65,000) katika utafiti na tulipeleka mtu huko, Dk Je&#341;ome Davis, kwa kipindi cha miezi tisa kufanya tu maja&#341;ibio: kupata aina mbalimbali za viwango vya ukuaji na kuangalia aina nyingine pia &ndash;&ndash; shi&#341;anus (O&#341;eoch&#341;omis shi&#341;anus) &ndash; na kupata tu mafunzo ya viumbe ambayo ni muhimu, kuangalia ni aina gani ya uwiano wa jinsia unahitajika katika mabwawa hayo, na mambo mengine. <\/p>\n<p>IPS: Ni nini matokeo ya utafiti huo  <\/p>\n<p>TS: Ni nini kilijitokeza kutoka kwenye utafiti huo kwamba samaki aina ya ka&#341;ongae wanakua polepole zaidi kuliko aina ya niloticus, pengine polepole ma&#341;a tatu zaidi &ndash; sina uhakika sana. Lakini, ilikuwa muhimu sana. <\/p>\n<p>Waligundua kuwa shi&#341;anus, aina nyingine za samaki ambazo zimengia tu katika mabwawa, wanakua kwa kasi kubwa. Lakini samaki aina ya shi&#341;anus wa kiume wanakua kwa ha&#341;aka na wa kike wanakua polepole mno&#8230;Unapowachanganya, wa kike wanachoshwa na wanaingia kwa asili katika mfumo wa uzazi ambapo wanaanza kuzaa wakiwa na umbo dogo mno&#8230;Hivyo, unaishia na maelfu ya samaki wadogo badala ya samaki wakubwa wenye thamani kubwa. <\/p>\n<p>Hili ni tatizo la kawaida kwa samaki wengi aina ya O&#341;eoch&#341;omus, lakini ka&#341;ongae wanakua kwa kuchelewa &ndash; ambao wana&#341;uhusu aina zote za kike na kiume kuwa wakubwa. Hii ina maana kwamba huwezi kuwa na samaki wa jinsia moja. <\/p>\n<p>IPS: Ni kwa nini ni vizu&#341;i kuwa na aina chache kubwa sa samaki kuliko samaki wengi wadogo  <\/p>\n<p>TS: Ndiyo, hapa Af&#341;ika Kusini au Ulaya ni tatizo kubwa kwasababu watu wanapenda kula samaki wakubwa, lakini nchini Malawi siyo suala linalozingatiwa kwasababu watu wanakula samaki wadogo. <\/p>\n<p>Unapoteza nguvu nyingi mno, kwasababu unaingiza nguvu nyingi katika uzalishaji, lakini unachotaka kufanya ni kuingia katika suala la ukuaji. <\/p>\n<p>IPS: M&#341;adi umekuwa ukitekelezwa kwa miaka mitano tu sasa. Unafikia malengo  <\/p>\n<p>TS: Hawako kwa ajili ya uzalishaji kamili; bado hazijafikia tani 3,000, siyo mahali popote ka&#341;ibu na takwimu hiyo. Lakini, Malawi ni nchi ngumu kufanya mambo kusonga mbele. <\/p>\n<p>Moja ya matatizo ni kwamba kama unazalisha tani 3,000 kwa mwaka na una uwiano wa ubadilishaji wa chakula wa 1.5, hiyo ina maana unahitaji chakula cha samaki cha tani elfu nne na nusu kila mwaka. <\/p>\n<p>Kwa sasa, upo katika mkono wa kusini masha&#341;iki mwa Ziwa Nyasa, ambapo ma&#341;a nyingi njia inaha&#341;ibiwa wakati wa mvua kubwa, halafu mashi&#341;ika ya misaada yanakuja na kujenga ba&#341;aba&#341;a, lakini hazina ubo&#341;a mzu&#341;i &ndash; hivyo zinadumu kwa misimu michache, halafu zinaha&#341;ibika. <\/p>\n<p>IPS: Na chakula cha samaki kinatakiwa kutoka nje  <\/p>\n<p>TS: Ndiyo, tunataka kuzalisha soya zao wenyewe kwa ajili ya mahitaji yao, lakini kwa sasa chakula kingi kinatoka nje. <\/p>\n<p>Hicho ni kikwazo kikubwa. Kikwazo kingine ni &#341;asilimali watu. Unakuwa na watu wengi: kuna watu wachache sana nchini Malawi ambao wana kiwango cha elimu kuweza kuendesha mfumo huo wa ufugaji wa samaki na kuwa mameja wazu&#341;i. <\/p>\n<p>Na suala linalokatisha tamaa ni kwamba VVU ni tatizo kubwa hapa. Unawapa mafunzo halafu wanafa&#341;iki dunia. <\/p>\n<p>IPS: Ni nini mawazo yako kuhusu mata&#341;ajio ya muda m&#341;efu ya m&#341;adi huu  <\/p>\n<p>TS: Ni vigumu, lakini ukweli kwamba suala wameweza kuanzisha shamba hili na kulifanya lifanye kazi. Nina matumaini. Zinaweza kutokufikia tani 3,000, lakini wamekuwepo kwa miaka mitano, na wameweza kujifunza masomo. Linaingia.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GRAHAMSTOWN, Mei 31 (IPS) &ndash; Kwa kipindi ki&#341;efu, wavuvi katika Ziwa Nyasa wanategemea samiki aina ya chambo kusaidia familia zao &ndash; bila ya kuhakikisha kizazi cha samaki hawa kinaendelea kuwepo. Kufuatia kuanza kwa uvuvi wa kibiasha&#341;a katika ziwa hilo, hata hivyo, kiasi cha samaki aina ya chambo wanaovuliwa kwa mwaka kimeshuka, kutoka tani 3,250 mwaka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2173","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2173","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2173"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2173\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2173"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2173"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2173"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}