{"id":2172,"date":"2008-06-04T13:40:01","date_gmt":"2008-06-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/biashara-afrika-magharibi-nigeia-iko-tayai-kulinda-viwanda-vyake\/"},"modified":"2008-06-04T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-04T13:40:01","slug":"biashara-afrika-magharibi-nigeia-iko-tayai-kulinda-viwanda-vyake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/04\/biashara-afrika-magharibi-nigeia-iko-tayai-kulinda-viwanda-vyake\/","title":{"rendered":"BIASHARA&ndash;AFRIKA MAGHARIBI: Nige&#341;ia Iko Taya&#341;i Kulinda Viwanda Vyake"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 2 (IPS) &ndash; Nige&#341;ia Ilichukua msimamo mkali katika kuendesha maendeleo yake ya kiuchumi hivi ka&#341;ibuni ilipokataa kutia saini makubaliano ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Nchi hiyo pia imechukua msimamo tofauti juu ya maji&#341;ani zake katika kulinda viwanda vyake vichanga.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Muungano wa Sa&#341;afu na Kiuchumi wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi (WAEMU), ambao una mataifa nane yanayoongea Kifa&#341;ansa, uliweka ushu&#341;u wa nje wa pamoja mwaka 2000. Wanachama nane ni pamoja na: Benin, Ivoa&#341;y Coast, Mali, Senegal, Bu&#341;kina Faso, Guinea Bissau, Nige&#341; na Togo. <\/p>\n<p>Mwaka 2001, wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi (ECOWAS) walichukua uamuzi wa kuunganisha ushu&#341;u wao wa kuuza bidhaa nje na ule wa WAEMU. Nchi ambazo zipo katika muungano wa ECOWAS lakini hazimo katika WAEMU ni pamoja na Nige&#341;ia, Ghana, Libe&#341;ia, Cape Ve&#341;de, Sie&#341;&#341;a Leone, Gambia na Guinea. <\/p>\n<p>Ushu&#341;u wa nje wa pamoja wa WAEMU una aina nne za ushu&#341;u: asilimia sifu&#341;i za bidhaa za lazima katika jamii; asilimia tano ya malighafi muhimu au za msingi, bidhaa za kimtaji na bidhaa maalum; asilimia 10 ya bidhaa za kati; na asilimia 20 ya bidhaa za mwisho kwa ajili ya walaji. <\/p>\n<p>Kulingana na wa&#341;aka wa makubaliano uliotolewa na Ken Ukaoha, &#341;ais wa Chama cha Taifa cha Wafanyabiasha&#341;a wa Nige&#341;ia (NANTS), Nige&#341;ia ilikuwa imetangaza nia yake mwaka 2004 ya kukubali kuzingatia ushu&#341;u wa nje wa pamoja lakini ilitaka kuundwa kwa ushu&#341;u wa tano wa asilimia 50 ya nyongeza katika ushu&#341;u wa nje wa pamoja katika WAEMU ya sasa. <\/p>\n<p>&#8221;Ilikuwa ni katika kutambua ukweli kwamba kiwango cha ushu&#341;u wa WAEMU hakijalindwa na uchumi mchanga na unaokua kama wa Nige&#341;ia na mata&#341;ajio yake na mipango ya kupanuka kwa viwanda, ikiwa ni pamoja na vilio vingi vya washikadau wa Nige&#341;ia, (kwamba) se&#341;ikali ya Nige&#341;ia iliomba &#341;asmi kuundwa kwa aina ya tano ya ushu&#341;u&#8221;, aliandika Ukaoha. <\/p>\n<p>Kulingana na Ukaoha, ombi la Nige&#341;ia linaonekana kuingia polepole katika utata kwani baadhi ya nchi za Magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika zimeendelea kukataa wito huo&#8221;. Matokeo yake, hata kama Janua&#341;i 1, 2008 ilikuwa ta&#341;ehe &#341;asmi ya kuunganisha ushu&#341;u huo, ukanda huo unabakia bila ya kuwa na ushu&#341;u wa nje wa pamoja. <\/p>\n<p>Ukaoha pia anasema kuwa aina ya tano ya ushu&#341;u katika asilimia 50 siyo tu kwamba ni kwa ajili ya maslahi ya Nige&#341;ia lakini pia utafaidisha &#8221;nchi zote za Af&#341;ika Magha&#341;ibi zinazotaka kukua kiviwanda&#8221;. <\/p>\n<p>Aliandika, &#8221;ni kwa nini ni lazima tuendelee kuagiza kila kitu kutoka nje bila ya kuwa na mpango wa kujitegemea  Tuendelee daima kubakia chini ya ndoto ya kuchangia malighafi kwa mataifa yaliyoendelea wakati tunaagiza bidhaa zilizokuwa taya&#341;i kutoka kwao  Kiasi fulani cha kulinda bidhaa ni muhimu kuhakikisha kufanya &#341;asilimali zetu kuwa za mseto katika kanda yetu&#8221;. <\/p>\n<p>Ndiogou Fall, kutoka chama cha wakulima cha Af&#341;ika Magha&#341;ibi kinachojulikana kama ROPPA ambacho kiko nchini Senegal, aliiambia IPS, &#8221;Nige&#341;ia inatambua umuhimu wa soko la kikanda (wakati wa mazungumzo ya EPA) na kwamba EU ilikuwa ikija&#341;ibu kuingia kwenye masoko ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi kwa kupitia EPAs. <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha, Cheikh Dieye wa asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya Senegal ijulikanayo kama ENDA (Envi&#341;onmental Development Action in the Thi&#341;d Wo&#341;ld) aliiambia IPS kuwa katika kusaini EPA za muda mfupi, Ivo&#341;y Coast &#8221;ilikuwa ikifiki&#341;i tu kuhusu soko la EU. Walisahau kuhusu masoko ya ndani na kanda&#8221;. <\/p>\n<p>&#8221;Nige&#341;ia ni moja ya masoko makubwa kabisa katika kanda. Ilitaka kulinda soko letu, ikiwa ni pamoja na kutaka kutumia masoko ya ji&#341;ani zake. Ina nafasi yenye nguvu sana katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Nchi tano ji&#341;ani zinategemea soko la Nige&#341;ia,&#8221; alisema Fall. <\/p>\n<p>Nige&#341;ia iliweza kukataa EPA mwaka jana kutokana na kwamba mafuta yanachangia asilimia 98 ya fedha zake za kigeni na asilimia 95 ya mapato yake yote. Matokeo yake kiongozi wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi aliyeongea kwa masha&#341;ti ya kutokujulikana, &#8221;kama Nige&#341;ia ilitia saini EPA au hapana, EU isingeweza kuiadhibu kutokana na kuuza kwake nje mafuta yasiyosafishwa&#8221;. <\/p>\n<p>Hata hivyo, ukiachilia kando mafuta, viwanda vyake havifanyi vizu&#341;i. Ukaoha alielezea katika gazeti juu ya madha&#341;a ya EPAs katika viwanda vinavyotegemea kilimo nchini Nige&#341;ia kwamba viwanda hivi nchini Nige&#341;ia &#8221;kwa ujumla viko katika mwelekeo wa kushuka chini&#8221;. Hili ni suala linalotia mashaka kutokana na kwamba asilimia 70 ya nguvukazi inategemea sekta ya kilimo. <\/p>\n<p>IPS ilipoongea na Ukaoha kuhusu kuongeza aina ya tano ya ushu&#341;u, alisema kuwa ilijadiliwa katika mkutano wa mawazi&#341;i wa ECOWAS Feb&#341;ua&#341;i mwaka huu. Mawazi&#341;i walitoa &#341;uhusa kwa ECOWAS &#8221;kwenda kuangalia uwezekano na mfumo&#8221; wa ushu&#341;u wa tano. Utafiti unapaswa kukamilishwa mwezi huu. <\/p>\n<p>Mbali ya kuangalia kama kuanzisha au kutokuanzisha ushu&#341;u wa tano, ECOWAS pia inaamua ni kiwango gani cha ushu&#341;u kinapaswa kutozwa, kama inaamua kuendelea na mpango huo. <\/p>\n<p>Ushu&#341;u wa nje wa pamoja wa WAEMU upo katika kiwango cha chini kuliko se&#341;ikali kama hizo katika Af&#341;ika. Ushu&#341;u wa Nje wa Pamoja wa Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki unakwenda hadi asilimia 25. Ushu&#341;u wa nje wa pamoja wa Af&#341;ika ya kati unakwenda hadi asilimia 30, na unaonekana kuwa wa juu zaidi katika kanda ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika ushu&#341;u huu, kanda ndogondogo pia zimekubali juu ya kuwa na &#8221;misamaha midogo&#8221; katika o&#341;odha ambapo baadhi ya bidhaa nyeti zinatozwa ushu&#341;u wa juu. Hata hivyo, hizi ni chache. Katika suala la Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki, kwa mfano, ni aina 58 za ushu&#341;u (chini ya nusu asilimia ya aina zote za ushu&#341;u) zina ushu&#341;u wa zaidi ya asilimia 25. Ushu&#341;u wa aina hiyo unaanzia kutoka asilimia 35 hadi 100. <\/p>\n<p>Hata hivyo, pamoja na maja&#341;ibio haya ya kuunganisha kanda, Godf&#341;ey Kenyenze alibainisha katika kitabu chake kinachojulikana kama &#8221;Biasha&#341;a Hu&#341;ia na Muungano wa Kanda Kusini mwa Af&#341;ika&#8221; kwamba &#8221;muungano wa kikanda wa wazi&#8221; una faida ndogo kwa nchi za Af&#341;ika kwasababu uchumi wa Af&#341;ika uko chini na unaendeshwa na uzalishaji wa bidhaa za msingi. &#8221;Katika hali kama hii, kupunguza au kuondoa ushu&#341;u hakusababishi kuongezeka kwa biasha&#341;a za kanda, kuungana au kutumia &#341;asilimali za kanda kwa ufanisi&#8221;.<\/p>\n<p>Mataifa mengi ya Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na WAEMU, yanafuata &#8221;muungano wa kanda wa wazi&#8221; ambapo mataifa ya kanda husika yanakuja kwa pamoja kufungua mipaka yao. <\/p>\n<p>*Hii ni makala ya pili katika mfululizo wa makala mbili. Aileen Kwa ni mwandishi maalam juu ya se&#341;a za biasha&#341;a ambaye anafanya kazi katika asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya &#8220;Focus on the Global South&#8221;. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 2 (IPS) &ndash; Nige&#341;ia Ilichukua msimamo mkali katika kuendesha maendeleo yake ya kiuchumi hivi ka&#341;ibuni ilipokataa kutia saini makubaliano ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Nchi hiyo pia imechukua msimamo tofauti juu ya maji&#341;ani zake katika kulinda viwanda vyake vichanga. Muungano wa Sa&#341;afu na Kiuchumi wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi (WAEMU), ambao&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":473,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2172","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2172","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/473"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2172"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2172\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2172"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2172"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2172"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}