{"id":2170,"date":"2008-06-02T13:40:01","date_gmt":"2008-06-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/afya-afrika-unicef-yaipoti-vifo-vya-watoto-milioni-tano-kwa-mwaka\/"},"modified":"2008-06-02T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-02T13:40:01","slug":"afya-afrika-unicef-yaipoti-vifo-vya-watoto-milioni-tano-kwa-mwaka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/afya-afrika-unicef-yaipoti-vifo-vya-watoto-milioni-tano-kwa-mwaka\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;AFRIKA: UNICEF Ya&#341;ipoti Vifo vya Watoto Milioni Tano kwa Mwaka"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 30 (IPS) &ndash; Wakati Alice We&#341;e mwenye um&#341;i wa miaka minne alipopatwa na homa ya ghafla, mama yake Mi&#341;iam alimpeleka kwa mwanamke anayetoa tiba ya jadi ka&#341;ibu na nyumba yao huko Kangemi, makazi ya maskini yenye msongamano mkubwa nje kidogo mwa Mji Mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi. Siku mbili baadaye, Alice akawa ameshapoteza fahamu. Mama yake aliyejawa na hofu kubwa alikimbia hospitalini huku mtoto wake akiwa mikononi. Lakini ilikuwa ameshachelewa. Alice alifa&#341;iki kutokana na ugonjwa wa mala&#341;ia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Alice ni mmoja wa watoto zaidi ya milioni 10 duniani kote ambao hufa&#341;iki dunia kila mwaka kabla ya kushe&#341;ehekea siku ya tano ya kuzalizwa kwao, kulingana na &#341;ipoti mpya ya UNICEF, Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Ripoti hiyo, &#8220;Hali ya Watoto wa Af&#341;ika Mwaka 2008,&#8221; ilizinduliwa mwezi Mei 28 katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Tokyo wa Maendeleo ya Af&#341;ika uliofanyika nchini Japan. Inaangalia mafanikio na mapungufu ya se&#341;ikali kuhusu afya na maisha ya watoto katika Af&#341;ika na ni nyongeza katika &#341;ipoti pana ya UNICEF kuhusu afya ya watoto ulimwenguni. <\/p>\n<p>Takwimu zinatisha. Pamoja na kwamba Af&#341;ika ina asilimia 22 tu ya vizazi katika dunia, nusu ya vifo vya watoto milioni 10 wanaokufa kila mwaka vinatokea ba&#341;ani Af&#341;ika. Ba&#341;a hilo ni la pekee ambalo lina idadi inayoongezeka ya vifo miongoni mwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano tangu miaka ya 1970. <\/p>\n<p>Wengi wa watoto hao wanakufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika na kutibika. Ripoti ya UNICEF inasema kuwa mala&#341;ia ni sababu kubwa ya asilimia 18 ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Magonjwa ya kuha&#341;a na neumonia &ndash; magonjwa ambayo yanastawi zaidi katika jamii maskini ambako usafi wa mazingi&#341;a ni duni zaidi, na ambako wakazi ma&#341;a nyingi hawapati mlo kamili na wanaathi&#341;iwa na uchafuzi wa mazingi&#341;a &ndash; yanachangia asilimia 40 ya vifo vya watoto. Ugonjwa mwingine unaoua sana ni UKIMWI. <\/p>\n<p>Katika uzinduzi wa &#341;ipoti hiyo mjini Tokyo, Ann M. Veneman, mku&#341;ugenzi mtendaji wa UNICEF, alisema mafanikio madogo yamepatikana katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a &ndash; kwa ujumla wake, takwimu za vifo zimeshuka kwa asilimia 14 kati ya mwaka 1990 na 2006. Mafanikio haya yanaweza kuhusishwa na kupanuliwa kwa p&#341;og&#341;amu za kutoa chanjo, kuongezeka kwa matumizi ya vyanda&#341;ua vyenye dawa na kutoa matone ya vitamini A kwa watoto. Mipango mingine iliyotekelezwa ba&#341;ani Af&#341;ika ni pamoja na kunyonyesha watoto maziwa ya mama kwa hadi miezi sita bila kutumia chakula chochote na kusambazwa kwa madawa ya kupunguza makali ya VVU\/UKIMWI kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. <\/p>\n<p>Nchini Ghana, wanawake wote wajawazito kwa sasa wapo chini ya mpango wa kupatiwa madini ya chuma na tiba za mala&#341;ia. Watoto wote wa um&#341;i kati ya miezi sita na miaka mitano wanachanjwa dhidi ya magonjwa ya utotoni kama vile su&#341;ua na polio. <\/p>\n<p>Nchini Malawi, se&#341;ikali imeanzisha p&#341;og&#341;amu ya kutoa chanjo ikiwa ni pamoja na kutoa matone ya kuongeza lishe &ndash; kiasi kidogo cha madini kama vile ya chuma, cobalt, ch&#341;omium na shaba. Se&#341;ikali pia inajenga visima kubo&#341;esha upatikanaji wa maji kwa watu wanaoishi maeneo ya vijijini na miji ya ndanindani. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti hiyo, nchi tano Kaskazini mwa Af&#341;ika zimefanya jitihada kubwa katika kupunguza viwango vya vifo vya watoto. Nchini Alge&#341;ia, Mis&#341;i, Libya, Mo&#341;occo na Tunisia takwimu zilishuka kwa uchache kufikia asilimia 45 kati ya mwaka 1990 na 2006. Mataifa haya ambayo kwa kiasi fulani ni mataji&#341;i yako katika shabaha ya kufikia Lengo la Nne la Maendeleo ya Milenia (MDG): kupunguza moja ya tatu ya vifo miongoni mwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano. <\/p>\n<p>Lakini Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a haina uwezekano wa kufikia lengo lolote lile kati ya haya yanayohusiana ifikapo mwaka 2015; ba&#341;a hilo lipo nyuma katika jitihada za kukabiliana na umaskini na njaa, kubo&#341;esha afya ya wajawazito, na kuondokana na atha&#341;i za kuenea kwa VVU. Mmoja katika kila watoto sita katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a bado atafa&#341;iki dunia kabla ya kutimiza miaka mitano. Ukanda huo unaelezewa na UNICEF kama mbaya zaidi kwa maisha ya mtoto duniani. <\/p>\n<p>Nchini Af&#341;ika Kusini, watoto 250,000 wa chini ya miaka 15 wana VVU&mdash;sehemu kubwa mno ya watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka 15 wanaokadi&#341;iwa kufikia 400,000 ambao wameambukizwa VVU katika Af&#341;ika. Pamoja na usambazaji mkubwa wa madawa ya kupunguza kasi ya gonjwa hilo, watoto wengine 64,000 wanaambukizwa vi&#341;usi hivyo kila mwaka nchini Af&#341;ika Kusini. Katika kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika, vifo vya watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano vimeongezeka kwa asilimia 17 kati ya mwaka 1990 na 2006; vifo hivi kwa kiasi kikubwa vinatokana na VVU\/UKIMWI. <\/p>\n<p>Katika Af&#341;ika ya Magha&#341;ibi na Kati, kuna watu wengi zaidi wasiokuwa na huduma ya maji safi ya kunywa mwaka 2004 ikilinganishwa na mwaka 1990. Maji ya kunywa yasiyokuwa salama yanasababisha kuha&#341;a, kuha&#341;a damu na magonjwa mengine yanayotokana na maji machafu. Wanawake na watoto ambao wanapaswa kwenda kuteka maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani wanakuwa hata&#341;ini kushambuliwa na magenge ya wahuni; matukio ya kutekwa na kubakwa kwa wanawake na watoto yamewekwa katika kumbukumbu, kwa mfano, nchini Sudan. <\/p>\n<p>Ripoti ya UNICEF inatoa wito wa fedha za kukabiliana na hali hiyo ikiwa ni pamoja na chanjo kwa watoto, huduma za kabla na baada ya kujifungua kwa wanawake, unyonyeshaji unaopendekezwa wa angalau miezi sita na kujengwa kwa vituo vingi zaidi vya afya. <\/p>\n<p>Kufiki&#341;i kuhusu ugavi na usimamiaji wa mfumo wa maji pia ni suala nyeti. Nchini Ghana, p&#341;og&#341;amu ya mageuzi ya maji ilianzishwa miaka ya 1990 na kupata mafanikio makubwa. Jukumu la kusambaza maji lilihamishiwa kwa se&#341;ikali za mitaa na jamii za vijijini na hadi mwaka 2004 vyanzo vya maji safi vimeongezeka hadi asilimia 75 kutoka asilimia ya chini ya 55. <\/p>\n<p>Richa&#341;d Lee, afisa katika shi&#341;ika la haba&#341;i lenye makao yake nchini Af&#341;ika Kusini la &#8220;Kitengo cha Haba&#341;i cha Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kilichopo chini ya UNICEF aliiambia IPS kuwa jitihada za kujitolea katika ngazi za kitaifa na kimataifa zinahitajika. &#8220;Kama takwimu za vifo zinaweza kushushwa&#8230; huduma za afya zinapaswa kutolewa kuanzia tumboni hadi kuzaliwa kwa mtoto, um&#341;i wa utotoni na katika um&#341;i wa ba&#341;ehe. Na hili litahitaji kiasi kikubwa cha fedha. Se&#341;ikali zinapaswa kuelekeza nguvu zao katika kutumia vyanzo vyao kwa ufanisi zaidi, lakini ni kweli kuwa mataifa mengi ya Af&#341;ika hayana vifaa vya kutekeleza mipango mbalimbali. Ufadhili wa wahisani utahitajika kuweza kuinua utekelezaji.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, huko Kangemi, Kenya, kabu&#341;i dogo la Alice We&#341;e ni ushahidi wa kimya wa ukweli kwamba kwa mamilioni ya watoto wa Af&#341;ika, mipango hii taya&#341;i imeshachelewa mno. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 30 (IPS) &ndash; Wakati Alice We&#341;e mwenye um&#341;i wa miaka minne alipopatwa na homa ya ghafla, mama yake Mi&#341;iam alimpeleka kwa mwanamke anayetoa tiba ya jadi ka&#341;ibu na nyumba yao huko Kangemi, makazi ya maskini yenye msongamano mkubwa nje kidogo mwa Mji Mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi. Siku mbili baadaye, Alice akawa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":284,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2170","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2170","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/284"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2170"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2170\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2170"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2170"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2170"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}