{"id":2168,"date":"2008-06-02T13:40:01","date_gmt":"2008-06-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/maswali-na-majibu-misaada-ya-maendeleo-siyo-mwaobaini\/"},"modified":"2008-06-02T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-02T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-misaada-ya-maendeleo-siyo-mwaobaini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/maswali-na-majibu-misaada-ya-maendeleo-siyo-mwaobaini\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8216;Misaada ya Maendeleo Siyo Mwa&#341;obaini&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>ROME, Mei 29 (IPS) &ndash; Celine Tan ni mhadhili katika Taasisi ya She&#341;ia ya Chuo Kikuu cha Bi&#341;mingham. Utafiti wake wa shahada ya udakta&#341;i wa falsafa umelenga katika kufadhili maendeleo, hususani madha&#341;a yake katika utawala na uhusiano wa kimataifa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tan pia ni mtafiti wa Mtandao wa Ulimwengu wa Tatu, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGO) yenye makao yake nchini Malaysia. Pia aliwahi kufanya kazi na NGOs nyingine kama vile M&#341;adi wa B&#341;etton Woods uliopo mjini London, na mashi&#341;ika ya haki za binadamu. <\/p>\n<p>Mha&#341;i&#341;i Mkuu wa IPS Mi&#341;en Gutie&#341;&#341;ez aliongea na Tan kuhusu misaada na mchango wake katika mazingi&#341;a ya kushuka kwa uchumi wa kimataifa. <\/p>\n<p>IPS: Ulimwengu wa misaada ya kimataifa unaonekana kuwa mkanganyiko mgumu kuuelewa wa vifupisho na nadha&#341;ia. Ni kwa nini inapaswa kujua kama na jinsi maendeleo yanafadhiliwa  <\/p>\n<p>Celine Tan: Pesa ni muhimu katika maendeleo. Misaada ya kimataifa ni muhimu wakati nchi na jumuiya haziwezi kukusanya &#341;asilimali za kutosha &#8230; Jinsi ambavyo misaada hiyo inatumiwa inaonyesha kama inakidhi au haikidhi malengo ya shabaha za maendeleo. <\/p>\n<p>Kila mmoja anapaswa kujali kuhusu jinsi gani maendeleo yanafadhiliwa kwasababu maendeleo ni bidhaa ya umma wa kimataifa. Umaskin unajenga kukosekana kwa usalama, siyo tu kwa wanajamii na mtu mmoja mmoja walioathi&#341;ika nao lakini kwa dunia nzima, hususani katika zama hizi za utandawazi ambapo maamuzi ya ndani yanaweza kuwa na madha&#341;a kimataifa. <\/p>\n<p>IPS: Utafiti wako unatathmini mfumo wa Mada za Mkakati wa Kupunguza Umaskini (PRSP) katika kufadhili maendeleo. Umegundua nini  <\/p>\n<p>CT: Mkakati wa PRSP unachukua nafasi ya p&#341;og&#341;amu za ku&#341;ekebisha uchumi na kuleta maendeleo (SAPs) kama misingi ya misaada na msamaha wa madeni kwa mataifa yanayoendelea. <\/p>\n<p>Utafiti uligunduua kuwa mchakato wa PRSP inawezekana umefungua baadhi ya nafasi ya ushi&#341;iki na umiliki katika nchi na kuweka upunguzaji umaskini mbele ya se&#341;a ya maendeleo, matokeo yake ya ujumla yanaonekana kwa kuwepo na kuungwa mkono kimataifa &#8230; PRSPs inaweka msisitizo mkubwa kwenye jukumu la se&#341;ikali &#8230; bila ya kuangalia shinikizo la kimataifa ambalo linazuia nchi zinazoendelea katika kufikia malengo haya, kama vile biasha&#341;a za kimataifa zisizokuwa na usawa, tatizo la madeni ya nje. <\/p>\n<p>PRSP pia zinatumia masha&#341;ti kama ya SAPs, kama vile ubinafisishaji na biasha&#341;a hu&#341;ia, ambazo zimeonekana kuangamiza uchumi wa nchi na hivyo, kuwa kikwazo kwa jitihada za kupunguza umaskini. <\/p>\n<p>IPS: PRSPs zinaandaliwa na nchi wanachama, kwa kuo&#341;odhesha se&#341;a ya kiuchumi &#8230; Lakini unasema kuwa zinakwenda zaidi ya uta&#341;atibu wa uwekaji kumbukumbu, ni kwa nini  <\/p>\n<p>CT: PRSPs siyo nya&#341;aka za kuweka kumbukumbu tu. Se&#341;ikali zinata&#341;ajiwa kufuatilia kigezo cha utungaji wa se&#341;a shi&#341;ikishi ambacho kinaweza kuingizwa ndani ya nchi kutoka ng&#8217;ambo na bila kuzingatia kwa kiasi kikubwa mazingi&#341;a ya ndani. Hii ina maana kuwa nchi na jumuiya hazina umiliki wa mchakato huo, na mchakato unaweza kusimamiwa kuendana na kile ambacho wahisani wanakiona kama vipaumbele vya se&#341;a ya maendeleo &#8230; <\/p>\n<p>Katika hali kama hii, mageuzi yoyote yale ya kweli katika suala la kufungua ushi&#341;iki kwa washikadau wa kweli kunaweza kuwa kidogo na kuwepo na upungufu wa malengo muhimu ya kupunguza umaskini na kuleta maendeleo. <\/p>\n<p>IPS: Unaonaje misaada ya maendeleo kuhusika katika kushuka kwa uchumi ulimwenguni  Unadhani chumi zinazokua zinazojulikana kama za Kusini zinapaswa kuwa na jukumu kubwa  <\/p>\n<p>CT: Misaada ya maendeleo ni muhimu &#8230; Hata hivyo, siyo mwa&#341;obaini wa matatizo ya kupunguza umaskini na changamoto nyingine za maendeleo. Ufumbuzi ni kuunda muundo wa usawa zaidi wa biasha&#341;a ya kimataifa na fedha kuwezesha nchi kuzalisha &#341;asilimali zake ndani &#8230; Hii ina maana kuwa bidhaa zao zinakuwa na fu&#341;sa sawa ya kuuzwa katika masoko tofauti &#8230; <\/p>\n<p>Chumi zinazokua za kusini zinapaswa kuwa na jukumu kubwa katika kufadhili maendeleo lakini zinaweza tu kufanya hivyo kama zinafungamana na vigezo vya kimataifa. Nchi kubwa &ndash; kama vile China, India, B&#341;azil na Af&#341;ika Kusini &ndash; zote zinafadhili mi&#341;adi katika nchi zenye maendeleo duni, kama zile za Af&#341;ika, lakini pia zina idadi kubwa ya watu maskini nchini mwao na tena, zina vikwazo vya kutokuwa na usawa wa kibiasha&#341;a na ta&#341;atibu za ufadhili kama nchi zenye maendeleo duni. <\/p>\n<p>IPS: Hivi ka&#341;ibuni uliandika kutokuunga mkono Tamko la Pa&#341;is juu ya Ufanisi wa Misaada &#8230; <\/p>\n<p>CT: Sina upinzani na misingi ya uwajibikaji, lakini mkakati wa uwajibikaji wa OECD una upande mmoja. Umeandaliwa na wahisani kwa kuwa na mchango mdogo kutoka kwa nchi zinazopokea na hauna mkakati wa usawa kwa nchi zinazopokea kuzifanya nchi wahisani kuwajibika kutokana na se&#341;a zao ambazo zinaathi&#341;i ufanisi wa misaada. Hivyo, wakati nchi zinazopokea zinabanwa na masha&#341;ti zaidi ya misaada, wahisani hawawajibishwi kutokana na ahadi zao za misaada au se&#341;a zao za misaada. <\/p>\n<p>IPS: Tamko la Pa&#341;is lilipitishwa mwaka 2005 kama mkakati wa kuongeza ubo&#341;a wa misaada, limekuwa na madha&#341;a gani katika kipindi cha miaka miwili iliyopita  <\/p>\n<p>CT: Utekelezaji wa Tamko la Pa&#341;is unabakia katika maswali. Se&#341;ikali nyingi za mataifa yanayoendelea zinaliona kama aina nyingine ya masha&#341;ti ambayo wanapaswa kuyatekeleza ili kupata misaada kidogo. Wala siyo wafadhili wote wanatekeleza mkakati huo &#8230; <\/p>\n<p>Suala linalotia mashaka zaidi, masha&#341;ti ya Tamko la Pa&#341;is yanaweza kukuza mageuzi ya se&#341;a ambazo zimekataliaa na nchi katika majadiliano mengine ya kimataifa, kama vile kuweka wazi manunuzi ya umma kwa makampuni ya kigeni, suala ambalo mataifa yanayoendelea yamelikataa katika mijadala ya biasha&#341;a.<\/p>\n<p>IPS: Mwaka huu kuna mlolongo wa mikutano inayofanana inayokamilika sambamba na Doha. Unata&#341;ajia nini kutoka kwa mchakato huu  <\/p>\n<p>CT: Ma&#341;idhiano ya Monte&#341;&#341;ey ilikuwa ni wa&#341;aka muhimu kwani unawakilisha majadiliano ya kina na ya jumla ya changamoto zinazokabili nchi katika kufikia malengo ya maendeleo na kuweka &#341;asilimali za kifedha katikati mwa malengo hayo. Ma&#341;idhiano yalijikita katika ushi&#341;ikiano wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo &#8230; Nata&#341;ajia tathmini ya kina juu ya maendeleo ya Ma&#341;idhiano ya Monte&#341;&#341;ey na kubuni mkakati sahihi wa kutekeleza malengo ambayo bado hayajatekelezwa hadi sasa. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ROME, Mei 29 (IPS) &ndash; Celine Tan ni mhadhili katika Taasisi ya She&#341;ia ya Chuo Kikuu cha Bi&#341;mingham. Utafiti wake wa shahada ya udakta&#341;i wa falsafa umelenga katika kufadhili maendeleo, hususani madha&#341;a yake katika utawala na uhusiano wa kimataifa. Tan pia ni mtafiti wa Mtandao wa Ulimwengu wa Tatu, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGO) yenye&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2168","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2168","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2168"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2168\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2168"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2168"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2168"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}