{"id":2166,"date":"2008-06-02T13:40:01","date_gmt":"2008-06-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/maendeleo-kwa-japan-ni-zaidi-ya-kutosha\/"},"modified":"2008-06-02T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-02T13:40:01","slug":"maendeleo-kwa-japan-ni-zaidi-ya-kutosha","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/02\/maendeleo-kwa-japan-ni-zaidi-ya-kutosha\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Kwa Japan ni Zaidi ya Kutosha"},"content":{"rendered":"<p>YOKOHAMA, Japan, Mei 28 (IPS) &ndash; Japan inapata sifa ya kile ambacho Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha&ndash;Rose Migi&#341;o amekiita &#8220;kujitolea kwa kiasi kikubwa kwa nchi hiyo katika maendeleo ya Af&#341;ika.&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini pongezi kwa Japan katika mkutano wa nne wa maendeleo ya Af&#341;ika unaojulikana kama &#8220;Tokyo Inte&#341;national Confe&#341;ence on Af&#341;ican Development (TICAD)&#8221; ambao ulianza Jumatano katika mji wa banda&#341;i wa Japan wa Yokohama ka&#341;ibu na Tokyo haujaja bila ya kukosolewa, hususani kutoka kwa Zimbabwe. <\/p>\n<p>Pongezi ni kwamba Japan, nchi ya pili kwa kuwa na uchumi wenye nguvu duniani, ilianzisha &#8216;TICAD&#8217; mwaka 1993, wakati Af&#341;ika ilikuwa ikisamba&#341;atika. Kama anavyosema Migi&#341;o, TICAD ambayo inafanyika kila baada ya miaka mitano &#8220;ilisaidia kukusanya washi&#341;ika wa maendeleo wa Af&#341;ika katika jiithada za pamoja na za kusonga mbele.&#8221; <\/p>\n<p>Wazi&#341;i mkuu wa zamani Yoshi&#341;o Mo&#341;i alianzisha mjadala kati ya Af&#341;ika na mataifa ya dunia yenye viwanda vingi katika mkutano wa kilele wa mataifa ya G8 wa Okinawa mwaka 2000. <\/p>\n<p>Miaka nane baadaye, masuala ya kimaendeleo ya Af&#341;ika yatazungumzwa tena na Wazi&#341;i Mkuu wa Japan, Yasuo Fukuda, katika mkutano wa kilele wa G8 wa Hokkaido nchini Japan, uliopangwa kufanyika Julai 7 hadi 9. <\/p>\n<p>Rais Blaise Compao&#341;e wa Bu&#341;kina Faso aliungana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kutoa ushahidi kwa mkutano wa TICAD unaofanyika Mei 28&ndash;30 kwamba mpango huo umeima&#341;isha mijadala ya kise&#341;a kwa kujikita katika kanuni za mataifa ya Af&#341;ika kumiliki maendeleo yao wenyewe, na jumuiya ya kimataifa kusaidia jitihada za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Huu pia ni msingi ambao Ushi&#341;ikiano Mpya wa Maendeleo Af&#341;ika (NEPAD) uliundwa,&#8221; Migi&#341;o aliwaambia wajumbe. Wajumbe wanatoka mataifa 52 ya Af&#341;ika, 40 kati yao wakiwa wakuu wa nchi, wawakilishi wa mataifa 22 ya wahisani na Umoja wa Ulaya (EU), na mataifa 12 kutoka ba&#341;a la Asia, mbali na viongozi 16 kutoka taasisi za kikanda na mashi&#341;ika 55 ya kimataifa. <\/p>\n<p>Wakati akipongeza uamuzi wa Japan wa kuongeza ma&#341;a mbili misaada ya maendeleo kwa mataifa ya nje (ODA) katika kipindi cha miaka mingine mitano ijayo, na kufanya misaada yake kwa mwaka kwenda Af&#341;ika kutoka kiwango cha sasa cha dola milioni 900 hadi dola bilioni 1.8 ifikapo mwaka 2012, Migi&#341;o alijiunga na viongozi wa Af&#341;ika katika kusema kuwa &#8220;mataifa hisani yanapaswa kutekeleza ahadi zao za kuongeza kiasi, ubo&#341;a na uhakika wa ODA.&#8221; <\/p>\n<p>Viongozi wa Japan wanasema kuwa pamoja na Tokyo inaendelea kubakia nyuma katika kufikia lengo la Umoja wa Mataifa la kutumia asilimia 0.7 ya pato lake la taifa kwenye misaada ya maendeleo (ODA), hakuna mpango wa kuweka ta&#341;ehe ya kufikia shabaha hiyo. <\/p>\n<p>Kwa sasa, ni asilimia 0.17 ya pato la ndani la Japan linaingia kwenye ODA. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa zamani Toshiki Kaifu (1989&ndash;1991), ambaye alianzisha makampuni ya Japan ya kusaidia mataifa yanayoendelea, aliiambia IPS kuwa ni &#341;ahisi zaidi kushawishi watu juu ya kutoa misaada ya kibinadamu kuliko ODA kupelekwa kwa nchi ambazo Japan haijawahi kuwa na mahusiano ya kihisto&#341;ia. &#8220;Lakini tunapaswa kuendelea kutekeleza lengo hilo.&#8221; <\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mtendaji wa Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA) Tho&#341;aya Ahmed Obaid alielezea matumaini yake kuwa pesa zaidi zitatengwa kwa ajili ya afya ya wajawazito. Obaid alionya kuwa malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) yasingefikiwa kama maisha, afya na haki za wanawake hazitakuzwa kikamilifu. <\/p>\n<p>&#8220;Afya ya wajawazito inavuka malengo mengine yote ya MDGs, hususani yale ya kubo&#341;esha afya ya mtoto, kuwezesha wanawake, na kufikia usawa wa kijinsia,&#8221; alisema. &#8220;Ni wakati tu wanawake wanapokuwa na afya bo&#341;a, elimu na kuwezeshwa wanaweza kuinua familia zao na mataifa yao kutoka kwenye kina cha umaskini, na kuwaweka ima&#341;a katika kujiletea maendeleo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo Jumatano, Wazi&#341;i Mkuu Fukuda aliongelea kuhusu uhusiano kati ya kubo&#341;esha afya ya uzazi na kufikia malengo ya MDGs. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la &#8221; Inte&#341;national Planned Pa&#341;enthood Fede&#341;ation (IPPF)&#8221;, shi&#341;ika kubwa la ki&#341;aia linalotoa huduma za afya ya kujamiina na uzazi katika Af&#341;ika, lilisema kuwa mkutano wa TICAD IV unakuja katika nusu ya kufikia MDGs, na unatoa fu&#341;sa ya kweli katika kutafutia ufumbuzi kukosekana kwa mafanikio katika kubo&#341;esha afya ya wajawazito na watoto wachanga kama ilivyowekwa katika MDGs 4, 5 na 6. <\/p>\n<p>&#8220;Mjadala kati ya viongozi wa Kiaf&#341;ika na washi&#341;ika wa maendeleo wa kimataifa unapaswa kusaidia kuondoa sababu za ku&#341;udi nyuma,&#8221; IPPF ilisema katika taa&#341;ifa yake. <\/p>\n<p>Matokeo yaliyopatikana kwa njia ya ushau&#341;iano mpana na kusababisha kufikiwa kwa TICAD IV ni kwamba kuna idadi kadhaa ya mapendekezo ya se&#341;a na &#8216;madi&#341;isha ya fu&#341;sa ya kuchukua hatua&#8217; ambayo yangeweza kusaidiwa kwa kufikia ndoto ya &#8216;Af&#341;ika yenye maendeleo makubwa&#8217; katika kipindi cha miaka mitano ijayo, IPPF ilisema. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Japan ilipata baadhi ya pongezi kutoka kwa Wazi&#341;i wa mambo ya Kigeni wa Zimbabwe Simba&#341;ashe S. Mumbengegwi kwa kutoa &#8220;jukwaa la thamani kwa ajili ya mjadala wa se&#341;a ambao unaondokana na mfumo wa kuwa wasikilizaji tu.&#8221; <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Mambo ya Kigeni wa Zimbabwe alipongeza &#8220;watu na se&#341;ikali ya Japan&#8221; kwa kuwa msta&#341;i wa mbele katika kukabiliana na gonjwa la UKIMWI kwa kutoa dola milioni 500 mwaka 2000 ambazo zilikuwa mbegu kwa mfuko wa kupambana na UKIMWI duniani wa Global Aids Fund.&#8221; <\/p>\n<p>Aliongeza: &#8220;Hata hivyo, walipotoa msaada huu kutoka moyoni mwao, se&#341;ikali na watu wa Japan hawakujua kuwa Global Aids Fund siku moja ingetumiwa kama silaha ya kisiasa kwa kuweka vikwazo kwa baadhi ya nchi zinazoendelea kwa sababu za kisiasa zisizokuwa na uhalali.&#8221; <\/p>\n<p>Tangu kuzinduliwa kwa Mfuko huo, Zimbabwe imepokea msaada wake ma&#341;a mbili tu katika migawo yake ya ma&#341;a tisa hadi sasa. Mbali ya hilo, Mumbengegwi alisema, kiasi ambacho kimetolewa kwa Zimbabwe katika kipindi hicho cha ma&#341;a mbili ni kidogo ikilinganishwa na kile ambacho kimetolewa kwa nchi nyingine katika kanda. <\/p>\n<p>Wastani wa misaada inayotolewa kwa mwaka nchini Zimbabwe ni dola 124 tu kwa kanda. &#8220;Inasikitisha kuwa Global Aids Fund imekuwa mfuko wa kisiasa,&#8221; Mumbengegwi alisema. <\/p>\n<p>Lakini kiongozi mwandamiizi wa Japan haonekani kuwa na mata&#341;ajio mazu&#341;i kuhusu misaada inayotolewa kwa Zimbabwe. Japan ina mkataba wa ODA ambao una vigezo vitatu muhimu kwa nchi zinazopokea ODA, alisema. Hivi ni pamoja na utawala wa she&#341;ia, haki za binadamu na utawala bo&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Kama vigezo hivi havijafikiwa, hatuwezi kutoa ODA; wabunge na watu wetu hawatatuelewa,&#8221; alisema kiongozi huyo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>YOKOHAMA, Japan, Mei 28 (IPS) &ndash; Japan inapata sifa ya kile ambacho Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha&ndash;Rose Migi&#341;o amekiita &#8220;kujitolea kwa kiasi kikubwa kwa nchi hiyo katika maendeleo ya Af&#341;ika.&#8221; Lakini pongezi kwa Japan katika mkutano wa nne wa maendeleo ya Af&#341;ika unaojulikana kama &#8220;Tokyo Inte&#341;national Confe&#341;ence on Af&#341;ican Development (TICAD)&#8221; ambao&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":476,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2166","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2166","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/476"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2166"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2166\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2166"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2166"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2166"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}