{"id":2165,"date":"2008-05-29T13:40:01","date_gmt":"2008-05-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/29\/maswali-na-majibu-ni-kweli-tunapata-mafanikio-lakini-yanakuja-taatibu\/"},"modified":"2008-05-29T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-29T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-ni-kweli-tunapata-mafanikio-lakini-yanakuja-taatibu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/29\/maswali-na-majibu-ni-kweli-tunapata-mafanikio-lakini-yanakuja-taatibu\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8220;Ni kweli Tunapata Mafanikio, Lakini Yanakuja Ta&#341;atibu&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Mei 27 (IPS) &ndash; Linapokuja suala la kupata maji jijini Da&#341; es Salaam, ni ya ghali mno kwa maskini.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kukosekana kwa miundombinu na gha&#341;ama za kuunganishiwa maji vimechangia kufanya maji ya bomba kutokupatikana kwa wengi katika jiji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a la Tanzania, hususani katika maeneo ya maskini. <\/p>\n<p>Hii inasababisha wakazi wengi kati ya milioni nne katika jiji hilo kununua maji. Hata hivyo, maji yaliyonunuliwa yanaweza kuwa na gha&#341;ama kubwa zaidi ya asilimia 2,500 kuliko maji ya bomba, na hivyo kuwa na maana kuwa maji ni ya ghali zaidi kwa wale ambao hawana uwezo wa kununua. <\/p>\n<p>Wate&#341;Aid, shi&#341;ika la hisani lenye makao yake mjini London ambalo linasambaza huduma ya maji na vyoo kwa mataifa maskini yanayoendelea, linasema kuwa lita 20 za maji yanayonunuliwa kwa wachuuzi zinagha&#341;imu tak&#341;ibani shilingi 200 za Kitanzania (wastani wa dola senti 16), dhidi ya shilingi nane (chini ya dola senti moja) ya kiasi kama hicho cha maji kutoka mfumo wa maji ya bomba wa Da&#341; es Salaam. Inakadi&#341;iwa kuwa lita 20 ni kiasi cha chini cha maji yanayohitajika kwa ajili ya mahitaji ya binadamu kwa siku. <\/p>\n<p>Mwandishi wa haba&#341;i Sa&#341;ah McG&#341;ego&#341; aliongea na Ben Taylo&#341;, mshau&#341;i wa se&#341;a wa Wate&#341;Aid nchini Tanzania, kuweza kupata mantiki ya jinsi gani matatizo haya yanaweza kutatuliwa. <\/p>\n<p>IPS:Ni sababu gani zimefanya watu maskini kulipia zaidi maji jijini Da&#341; es Salaam  <\/p>\n<p>BEN TAYLOR: Kikwazo kimoja ni kwamba hakuna mitandao ya maji ya bomba kabisa katika eneo kubwa la jiji&#8230;Jijini Da&#341; es Salaam, miundombinu ya maji daima imekuwa katika jamii ambazo mataji&#341;i wanaishi. Katika vitongoji vya maskini kuna mabomba machache mno. <\/p>\n<p>Hata kama kuna mtandao wa maji ya bomba, kaya inaweza kukosa pesa za kuunganishiwa &ndash; ambazo zinatozwa na kampuni ya ugavi wa maji. Kunahitajika kuwa na mfuko wa kuunganishiwa maji; wale wanaolipia bili za maji wachangie asilimia katika bili zao kuweza kutoa &#341;uzuku kwa ajili ya jumuiya maskini kuungnishiwa maji. Katika utekelezaji, kuna ushahidi mdogo mno kuwa mfuko unatumiwa kwa ajili ya hilo. <\/p>\n<p>Kuna njia mbada ya kuja&#341;ibu kuuanganisha mtandao wa maji ya bomba unaounganisha kila kaya, suala ambalo ni la gha&#341;ama kubwa. Njia &#341;ahisi ni kujenga vioski vidogo vya maji, ambalo ni duka dogo linalouza maji kwa watumiaji. Kampuni ya ugavi wa maji inapatia kiosiki bomba kuu, vinakuwa na mita za maji, na vinaweza kuuza kwa kutumia ndoo kwa jumuiya iliyopo. <\/p>\n<p>Da&#341; es Salaam kwa sasa ina huduma hiyo, na nadhani hiyo ni hatua nzu&#341;i ya maendeleo. Lakini kuongezewa kwa maelfu kadhaa ya vioski itasaidia, (na) kuna matatizo ya vioski vyenyewe. Haviaminiki kwasababu maji hayatoki kwa masaa 24 na waendeshaji vioski wanaweza kutoza gha&#341;ama kubwa kidogo. Wanapaswa kutoza gha&#341;ama za chini zaidi. <\/p>\n<p>Pia kuna masuala ya umiliki wa a&#341;dhi kwasababu vioski vimejengwa kwa ha&#341;aka, bila kufiki&#341;ia zaidi kuhusu kama vijengwe katika a&#341;dhi ya umma, kampuni ya ugavi wa maji inapaswa kununua au kukodisha a&#341;dhi, au kumiliki a&#341;dhi. <\/p>\n<p>IPS: City Wate&#341; &ndash; Kampuni tanzu ambayo pia ilihusisha kampuni ya Uinge&#341;eza ya Biwate&#341;, kampuni ya uhandisi ya Kije&#341;umani ya Gauff, na mwekezaji wa Tanzania &ndash; mkataba wake wa kufanya kazi ya mtandao wa maji jijini Da&#341; es Salaam ulikatishwa mwaka 2005. Se&#341;ikali ya Tanzania ilisema City Wate&#341; ilishindwa kufanya ubo&#341;eshaji uliohitajika wa kusambaza maji, wakati kampuni hiyo ilisema haikupewa taa&#341;ifa zilizohitajika kufanya kazi kwa ufanisi. Unaweza kutuambia zaidi juu ya tatizo lilliotokana na mpangilio huo  <\/p>\n<p>BT:Hakukuwa na uangalifu wa kutosha kutoka kwa Benki ya Dunia katika kuandaa mkataba na kufanyia tathmini uwezo wa City Wate&#341;. Hakukuwa na uangalizi wa kutosha kwa City Wate&#341; kufanya tathmini ya hali halisi ya mtandao wa maji. Kumekuwa na ukosefu mkubwa wa taa&#341;ifa: hakuna mtu alitambua mtandao wa maji ya bomba ulivyokuwa, ni wateja wangapi walikuwepo, ni mapato kiasi gani yaliingia. <\/p>\n<p>Halafu nadhani jinsi mkataba ulivyovunjwa inatia kinyaa. Wengine wanasema ilikuwa njia ya kupata umaa&#341;ufu wa kisiasa kwa kuiondoa kampuni ya Ulaya kutoka kwa huduma ya maji iliyobinafisishwa na ambayo haina umaa&#341;ufu. <\/p>\n<p>IPS: Hali sasa ikoje  <\/p>\n<p>BT: DAWASCO (Shi&#341;ikal la Maji Safi na Maji Taka Da&#341; es Salaam) lilichukua nafasi. Linamilikiwa na se&#341;ikali, afisa mtendjai mkuu anateuliwa na se&#341;ikali, na walichukua ofisi ya City Wate&#341; na wafanyakazi. Lakini, inaendeshwa kama kampuni: inaongozwa na se&#341;ikali, lakini inayotengeneza faida. <\/p>\n<p>Tatizo ni kwamba DAWASCO inapaswa kulenga katika masuala yao wenyewe ya msingi na hakuna mfumo ambapo se&#341;ikali imeja&#341;ibu kuwahamasisha kulenga kwa jumuiya za maskini. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, wana changamoto katika mfumo wa bili na ukusanyaji wa mapato, na juu ya hali ya mtandao, ambao ni wa zamani mno. <\/p>\n<p>Kuna suala kama kuendesha mfumo wa maji jijini Da&#341; es Salaam iwe ni kwa ajili ya faida au kwa ajili ya umma na kuhitaji kupewa &#341;uzuku na se&#341;ikali. Hata&#341;i ya &#341;uzuku ni kwamba kwa kuingiza pesa kwa shi&#341;ika lisilokuwa na faida unalifanya lisifanye kazi kwa ufanisi. Lakini kama unalenga &#341;uzuku zako, unaweza kukuta mfumo wa kufanya biasha&#341;a ambao una faida na msaada kwa jumuiya maskini. Unaweza kutumia kupata vioski kujengwa, na kuhakikisha kwamba vinaendeshwa kwa ufanisi, na kutoza gha&#341;ama nzu&#341;i. <\/p>\n<p>IPS: Je Tanzania ina vyanzo vya maji vya kutosha kukidhi mahitaji ya watumiaji kitaifa &ndash; na jinsi gani nchi inaweza kubo&#341;esha matumizi ya maziwa na mito iliyopo  <\/p>\n<p>BT: Makadi&#341;io ya ka&#341;ibuni nchini Tanzania ni kwamba kiasi cha maji yanayozalishwa kinapaswa kutosheleza &ndash; kama yanatumiwa vizu&#341;i. <\/p>\n<p>Lakini mengi yanapotea. Maji mengi ambayo Tanzania inachukua kutoka kwenye mito yanapotea kwa kuvuja kwenye mabomba au kuunganishwa kinyume cha she&#341;ia. Ni asilimia 20 tu ya maji yanayozalishwa yanauzwa na kulipiwa, asilimia ambayo ni ndogo mno. Katika miji mikubwa ya Magha&#341;ibi kiwango kinaka&#341;ibia kati ya asilimia 10 hadi 15 ya maji yanayozalishwa. <\/p>\n<p>Changamoto nyingine ni kwamba jiji linakua kwa kasi kubwa &ndash; hii ina maana kuwa, kuna watu wengi zaidi wa kupatiwa huduma hiyo. <\/p>\n<p>IPS: DAWASCO inajitahidi kufukuzana na wadeni na kuhamasisha wateja wapya kulipia madeni yao. Ni kwa nini kiasi kidogo tu cha watu ambao wanapata huduma hiyo wanalipia bili zao  <\/p>\n<p>BT: Kuna histo&#341;ia ndefu ya watu wanaunganishiwa kinyume cha she&#341;ia. Kama unaweza kukuta bomba unaweza kujiunganishia, na hii ni ngumu kuzuia. Pia kuna watu wengi mno wamejiunganishia maji kinyume cha she&#341;ia kwamba, katika siku za zamani, wafanyakazi wa DAWASCO wangeweza kula njama nao. Mteja angemtaka mfanyakazi kuunganishiwa maji, kumlipa &#341;ushwa, halafu atakuwa halipii ada ya kuunganishiwa. <\/p>\n<p>Pia kuna matatizo ya kiufundi katika mita za maji kutokana na kwamba zinahesabu hata kama maji hayatoki kwa masaa 24. Watu hawataki kulipia maji ambayo hawajayapata. <\/p>\n<p>IPS: Kuna she&#341;ia au se&#341;a nchini Tanzania ambayo inahakikishia wananchi haki yao ya msingi ya maji  <\/p>\n<p>BT: Maneno matupu ya se&#341;ikali ni kwamba maji safi na salama ni shabaha maalum ya mwaka 2025. Hii ina maana kwamba miaka 17 imebakia sasa, hivyo ni wazi kwamba siyo suala ambalo &#8220;linawezekana&#8221; hivi ka&#341;ibuni. Sote tunatambua kuwa itakuwa ni changamoto kubwa katika muda mfupi. <\/p>\n<p>IPS: Je Tanzania ina nafasi nzu&#341;i ya kuweza kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya kupunguza nusu ya watu wasiokuwa na maji safi na vyoo ifikapo mwaka 2015, ikilinganishwa na viwango vya mwaka 1990  <\/p>\n<p>BT: Nadhani haiwezekani. Ni hakika tunapata mafanikio, lakini yanakuja ta&#341;atibu. Kuna uwezekano wa kufikia shabaha ya maji kuliko ya kuwa na vyoo &ndash; na katika maeneo ya mijini kuna uwezekano wa kufikia malengo ya ugavi wa maji kuliko katika maeneo ya kijijini. <\/p>\n<p>Tatizo ni kwamba takwimu za kihisto&#341;ia zilizopo ni ngumu kuzitambua. Databezi ndiyo tu inajengwa sasa. Kwa sasa tunategemea zaidi tafiti za kaya ambazo hazifanyiki kila mwaka.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Mei 27 (IPS) &ndash; Linapokuja suala la kupata maji jijini Da&#341; es Salaam, ni ya ghali mno kwa maskini. Kukosekana kwa miundombinu na gha&#341;ama za kuunganishiwa maji vimechangia kufanya maji ya bomba kutokupatikana kwa wengi katika jiji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a la Tanzania, hususani katika maeneo ya maskini. Hii inasababisha wakazi wengi kati ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2165","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2165","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2165"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2165\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2165"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2165"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2165"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}