{"id":2164,"date":"2008-05-28T13:40:01","date_gmt":"2008-05-28T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/28\/haki-ethiopia-bado-uhuu-wa-vyombo-vya-habai-unashambuliwa\/"},"modified":"2008-05-28T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-28T13:40:01","slug":"haki-ethiopia-bado-uhuu-wa-vyombo-vya-habai-unashambuliwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/28\/haki-ethiopia-bado-uhuu-wa-vyombo-vya-habai-unashambuliwa\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;ETHIOPIA: Bado Uhu&#341;u wa Vyombo vya Haba&#341;i Unashambuliwa"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 27 (IPS) &ndash; Toleo la Mei la ja&#341;ida maa&#341;ufu la bu&#341;udani nchini Ethiopia la Enku halijaonekana kuchapishwa mwezi huu kama ilivyo kawaida yake. Polisi wa Ethiopia walivamia kopi zote 10,000 kabla ya kusambazwa; Alemayehu Mahtemewo&#341;k, mchapishaji wa gazeti hilo na naibu mha&#341;i&#341;i wake, alikuwa akihukumiwa kutokana na kutishia utulivu wa umma na kutumikia siku saba kizuizini, pamoja na wafanyakazi wenzake watatu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;kalem Fasil, mwandishi ambaye yeye mwenyewe aliswekwa jela na se&#341;ikali ya Meles Zenawi kutokana na kuandika makala inayokosoa jinsi uchaguzi wa wabunge wa mwaka 2005 ulivyoendeshwa, anaamini kuwa kitendo cha polisi dhidi ya ja&#341;ida hilo ilikuwa na lengo la kupeleka ujumbe kwa vyombo vya haba&#341;i kwa ujumla. <\/p>\n<p>&#8220;Ukandamizaji wa vyombo hu&#341;u vya haba&#341;i nchini Ethiopia pengine ni haba&#341;i isiyotazamwa katika Af&#341;ika,&#8221; anasema Fasil ambaye kuandika haba&#341;i za wizi wa ku&#341;a kulifuatiwa na kukamatwa kwake mwezi Novemba 2005 akiwa pamoja na kaka yake, mume na watu wengine kwa madai ya mauaji ya halaiki na uhaini. Akiwa na mimba wakati wa kukamatwa kwake, alijifungua mtoto akiwa jela &ndash; asingeachiliwa hu&#341;u kwa miezi 18. <\/p>\n<p>Mashitaka dhidi ya Alemayehu yanatokana na haba&#341;i ya uku&#341;asa wa mbele ya Enkuya mwezi Mei, kuhusu ghasia na hukumu ya mmoja wa waimbaji maa&#341;ufu zaidi nchini, Tewod&#341;os Kassahun. Akijulikana zaidi nchini Ethiopia kama Teddy Af&#341;o, mwimbaji huyo alijitokeza mahakamani Ap&#341;ili 23, ambapo alikana mashitaka ya kushi&#341;iki katika ajali ya ghafla mwezi Novemba 2006. <\/p>\n<p>Razak Adam, mfanyakazi wa maendeleo wa Ethiopia mwenye makao yake mjini Nai&#341;obi, anasema kuwa mahali popote pale duniani, hukumu ya Kassahun inaweza kuwa haba&#341;i ya tabia mbaya ya mtu maa&#341;ufu, lakini nchini Ethiopia, inaonekana zaidi kama iliyotokana na siasa. Muziki na matamshi yanayokosoa se&#341;a za se&#341;ikali na kujitokeza kwake mahakamani mwezi Ap&#341;ili kulifumua maandamano mjini Addis Ababa, kwa kushi&#341;ikisha maelfu ya wapenzi wake, wengi wakiwa vijana wa um&#341;i mdogo. Maandamano hayo ni ya kawaida katika mji mkuu wa Ethiopia wenye udhibiti mkubwa. Maandamano kama hayo yalijitokeza katika Uwanja wa Adidas Ababa Mei 4, wakati mashabiki wengi wapatao 35,000 katika Mashindano ya Riadha ya 16 walipoanza kushangilia &#8220;Mwachieni Teddy&#8221; kaulimbiu ambazo zilitumiwa baada ya mwana&#341;iadha wa Ethiopia Kenenisa Bekele kushinda mbio za mita 5,000. <\/p>\n<p>&#8220;Nchini Ethiopia, haba&#341;i hiyo ni ya kisiasa mno na ngumu kwani inaonyesha siyo tu hali ya hata&#341;i ya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i; inasababisha pia baadhi ya masuala mengine muhimu lakini ambayo hayajatafutiwa ufumbuzi ambayo yanaigawa jamii ya Waethiopia,&#8221; Adam aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Masuala haya yaliyokuwa yakiiandama Ethiopia katika siku za zamani kama ilivyo sasa. Kassahun anaimba miondoko ambayo inapinga migawanyiko ya kikabila na kidini katika jamii yao. Kibao chake cha mwaka 2005, Yastese&#341;yal (&#8220;ukombozi&#8221; kwa lugha ya Amha&#341;ic) kilitumiwa na vyama vya upinzani kama wimbo wao kushawishi dhidi ya Wazi&#341;i Mkuu Meles Zenawi. Video ya wimbo huo ni pamoja na picha za Mfalme wa Ethiopia Haile Selassie, De&#341;g &ndash; se&#341;ikali ya kijeshi ambayo ilitawala baada ya mfalme &ndash; na uongozi wa sasa chini ya Zenawi; miondoko inaonyesha kuwa se&#341;ikali zimebadilika, lakini watu bado wanateseka. Tangu wakati huo, muziki wa Kassahun ulikuwa umepigwa ma&#341;ufuku kutoka kwa vyombo vyote vya se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Kwa wasikilizaji wake wengi, hata hivyo, Kassahun ni shujaa. Kutokana na kuandika hukumu yake, Mahtemewo&#341;k na ja&#341;ida lake lisolokuwa la kisiasa walisababisha uadui kutoka kwa se&#341;ikali. Mahtemewo&#341;k anasema Enku limekuwa likidhibtiwa kila ma&#341;a na mchapishaji wake ambaye ni p&#341;inta ya se&#341;ikali tangu ilipoanza kuandika masuala ya muziki wa Teddy Af&#341;o mwezi Desemba, lakini hakuta&#341;ajia kukamatwa kwake au kupo&#341;wa kwa ja&#341;ida. &#8220;Tangu kuchapishwa kwa toleo la tatu la ja&#341;ida letu, tumekuwa tukidhibitiwa na p&#341;inta. Tulita&#341;ajia kuambiwa kuandika taa&#341;ifa za hukumu ya Tewod&#341;os Kassahun bila ya kudhibitiwa, lakini uvamizi huu umekuja kwa mshtuko.&#8221; <\/p>\n<p>Suala la Enku ni muendelezo wa udhibiti wa vyombo vya haba&#341;i. Se&#341;kalem Fasil &ndash; akiwa amekamatwa mwaka 2005 &ndash; hajaachiliwa hu&#341;u hadi Ap&#341;ili 2007, alipoachiliwa hu&#341;u kutokana na mashitaka yote. Lakini faini kubwa taya&#341;i zimeshatozwa kwa magazeti matatu yanayochapishwa na kampuni yake, Se&#341;kalem Publishing House, na hatimaye yalifungwa. Pamoja na kuwa hakuna ushahidi wa kishe&#341;ia, se&#341;ikali inakataa kutoa leseni kwake kuanza magazeti mapya. <\/p>\n<p>Chama cha Vyombo vya Haba&#341;i Hu&#341;u cha Ethiopia, pamoja na Fasil, waliongoza kempeni ya kuachiliwa kwa mha&#341;i&#341;i wa Enku. Mashi&#341;ika ya kupigania uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i ya kimataifa pia kwa nguvu yalilaani vitendo vya se&#341;ikali dhidi ya Enku na wafanyakazi wake. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini New Yo&#341;k la &#8220;Committee to P&#341;otect Jou&#341;nalists&#8221; lililaani kukamatwa kwa Mahtemewo&#341;k na shi&#341;ika la &#8220;Repo&#341;te&#341;s Without Bo&#341;de&#341;s&#8221;, shi&#341;ika la kimataifa ambalo linapinga udhibiti wa waandishi wa haba&#341;i, lilitoa tamko linalosema, &#8220;Mamlaka ya Ethiopia yamepeleka isha&#341;a hasi mno kwa kuchagua usiku wa&#8230; Siku ya Uhu&#341;u wa Vyombo vya Haba&#341;i Duniani kukamata mwandishi na kupo&#341;a toleo la ja&#341;ida hu&#341;u.&#8221; Shi&#341;ika hio lilitishia kumwingiza Wazi&#341;i Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi kwenye o&#341;odha tena ambayo inajulikana kama &#8220;p&#341;ess f&#341;eedom p&#341;edato&#341;s&#8221;; Zenawi aliondolewa kwenye o&#341;odha hiyo mwaka 2007, kutokana na kutambua kubo&#341;eka kwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini Ethiopia. <\/p>\n<p>Pamoja na kukamatwa kwake na mashitaka yanayomkabili, Mahtemewo&#341;k alibakia kuwa chanya. &#8220;A&#341;i yangu ni nzu&#341;i. Tunataka kuendelea kuchapisha, lakini mtaji wetu wote umewekezwa katika toleo la mwezi ambalo limepo&#341;wa&#8230; mikono yetu imefungwa.&#8221; <\/p>\n<p>Kuchinjwa kwa Enku hakuwezi kuonekana kwa kutenganisha matatizo mapana ya kisiasa na kitamaduni nchini Ethiopia. Suala la Teddy Af&#341;o na Enku ni dalili ya chuki ya se&#341;ikali dhidi ya wapinzani.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 27 (IPS) &ndash; Toleo la Mei la ja&#341;ida maa&#341;ufu la bu&#341;udani nchini Ethiopia la Enku halijaonekana kuchapishwa mwezi huu kama ilivyo kawaida yake. Polisi wa Ethiopia walivamia kopi zote 10,000 kabla ya kusambazwa; Alemayehu Mahtemewo&#341;k, mchapishaji wa gazeti hilo na naibu mha&#341;i&#341;i wake, alikuwa akihukumiwa kutokana na kutishia utulivu wa umma na kutumikia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":475,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2164","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2164","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/475"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2164"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2164\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2164"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2164"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2164"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}