{"id":2163,"date":"2008-05-27T13:40:01","date_gmt":"2008-05-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/27\/biashara-ufaansa-inataka-kuwa-na-uhusiano-wa-kubadilika-na-afika\/"},"modified":"2008-05-27T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-27T13:40:01","slug":"biashara-ufaansa-inataka-kuwa-na-uhusiano-wa-kubadilika-na-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/27\/biashara-ufaansa-inataka-kuwa-na-uhusiano-wa-kubadilika-na-afika\/","title":{"rendered":"BIASHARA: Ufa&#341;ansa Inataka Kuwa na Uhusiano wa Kubadilika na Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Mei 24 (IPS) &ndash; Ufa&#341;ansa, &#341;ais ajaye wa Umoja wa Ulaya, imetaka kambi hiyo kuonyesha u&#341;ahisi wa kubadilisha msimamo katika mazungumzo yenye lengo la kufikia mikataba ya biasha&#341;a na Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Chombo cha utendaji cha Umoja wa Ulaya, Tume ya Ulaya, kimekuwa na mazungumzo na mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific na kutaka kuondoa kwa kiwango cha chini asilimia 80 ya ushu&#341;u unaotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa katika kipindi cha miaka 15 kutokana na kutiwa saini kwa Mikataba ya Ushi&#341;ikiano wa Kiuchumi (EPAs) ambayo inajadiliwa sasa. Wakati Tume imekuwa ikiendesha mazungumzo kwa niaba ya mataifa yote 27 ya EU, Ufa&#341;ansa kwa sasa inataka biasha&#341;a hu&#341;ia isiwe na mata&#341;ajio makubwa mno, na kudumu kwa kipindi ki&#341;efu. <\/p>\n<p>IPS imethibitisha kuwa viongozi wa se&#341;ikali ya Ufa&#341;ansa hivi ka&#341;ibuni waliwasiliana na makao makuu ya Tume mjini B&#341;ussels, wakitaka kwamba inaonyesha uelewa mkubwa kwa matatizo ya Af&#341;ika kuliko ilivyo sasa. <\/p>\n<p>Ufa&#341;ansa, ambayo ilianza mazungumzo yake ya miezi sita kwa niaba ya EU mwanzoni mwa Julai, imesema kuwa kukosekana kwa utulivu kulikotokana na kuongezeka kwa bei za vyakula duniani kunaonyesha ni kwa nini kipaumbele maalum kinatakiwa kupewa katika masuala ya chakula na kilimo katika EPAs. <\/p>\n<p>Pamoja na kuwa moja ya watetezi wakubwa wa jinsi gani EU inasaidia wakulima wake, Ufa&#341;ansa imedai kuwa ushindani usiokuwa sawa katika Af&#341;ika kati ya bidhaa zinazozalishwa kwa &#341;uzuku na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi zinapaswa kusitishwa. Uingizwaji wa bidhaa za chakula za bei ya chini kunaweza kuwa na faida kwa walaji wa mijini, viongozi wa Kifa&#341;ansa walisema, lakini kunaweza kuwa na madha&#341;a makubwa kwa kilimo cha Af&#341;ika, ambacho kwa ujumla kinapata msaada mdogo au hakuna kabisa kutoka se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>Pamoja na kutetea mabadiliko, Ufa&#341;ansa imetaka msaada kutolewa kusaidia Af&#341;ika kujenga uwezo wa kilimo chake kwa kuwapa mafunzo wakulima na kukuza uwezo wao wa kupata mikopo, na kwa kuwezesha kilimo cha umwagiliaji katika a&#341;dhi kame. Se&#341;ikali za EU na Tume zimeahidi kutoa eu&#341;o bilioni 2 (dola bilioni 2.75) kwa mwaka kama &#8216;msaada kwa biasha&#341;a&#8217; kwa mataifa maskini ifikapo mwaka 2010. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Pa&#341;is pia imetaka Ch&#341;istiane Taubi&#341;a, naibu wa Bunge la taifa la Ufa&#341;ansa, kuandaa &#341;ipoti juu ya jinsi gani EPAs inaweza kutumiwa kukuza mahusiano ya ka&#341;ibuni kati ya kanda za Af&#341;ika. Ripoti yake inawezekana kukamilika ifikapo katikati mwa Juni.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali kadhaa za Af&#341;ika zimelaumiwa hatua hizo za EU mwishoni mwa mwaka jana kujadiliana mikataba ya biasha&#341;a na nchi moja moja kumezo&#341;otesha jitihada za kujenga miundo ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi kikanda katika ba&#341;a. Mamadou Diap, wazi&#341;i wa biasha&#341;a wa Senegal, hivi ka&#341;ibuni alipendekeza se&#341;ikali za Af&#341;ika zilipaswa kuungana zaidi. &#8220;Tunakwenda B&#341;ussels na tuna zaidi ya mawazi&#341;i 80 wa Af&#341;ika ambao moja moja wanafanya mikutano ya EU katika suala kama hilo,&#8221; alisema. &#8220;Tunawezaje kupata maendeleo yenye maana na mtizamo huo &#8221; <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati dhidi ya umaskini wameka&#341;ibisha msimamo wa Ufa&#341;ansa. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a tu Ufa&#341;ansa itakapotaka kuangalia suala la sababu za mgogo&#341;o wa chakula: jinsi gani she&#341;ia za biasha&#341;a ni za haki,&#8221; alisema Jean&ndash;Denis C&#341;ola kutoka Oxfam F&#341;ance. &#8220;Mizizi ya tatizo inatokana na mahusiano ya kibiasha&#341;a kati ya EU na ACP.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini Pete&#341; Mandelson, kamishina wa Ulaya anayeshughulikia biasha&#341;a, hadi sasa ametaka kuchukua njia ya kiupatanishi zaidi kuhusu se&#341;ikali za ACP. Amesisitiza kuwa kuondoa asilimia 80 ya ushu&#341;u ni muhimu kuweza kuendana na she&#341;ia za mikataba ya biasha&#341;a kati ya mataifa maskini na taji&#341;i. She&#341;ia hizo zinatungwa na Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Duniani. <\/p>\n<p>Katika eneo la maoni la gazeti la Inte&#341;national He&#341;ald T&#341;ibune la Mei 22, Mandelson alisema: &#8220;Pamoja na uka&#341;agosi, masoko ya kilimo yanayolindwa zaidi duniani kwa mbali zaidi siyo yale ya mataifa yaliyoendelea, lakini miongoni mwa mataifa yanayoendelea. Ma&#341;a nyingine ushu&#341;u wa aina hii unalinda wakulima wadogo wadogo. Lakini ma&#341;a nyingi wanaweza kujenga masoko ya kilimo ya kikanda ambayo yanaweza kuongeza tija na uzalishaji wa kilimo.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;c Maes, mtaalam wa biasha&#341;a katika shi&#341;ika la kupambana na umaskini la Ubelgiji la 11.11.11, alielezea msimamo mkali huo wa Mandelson kuhusu baadhi ya mataifa maskini zaidi duniani kama &#8220;usioeleweka kiu&#341;ahisi&#8221;. <\/p>\n<p>Maes alisema kuwa hakuna EPA zinapaswa kuanza kutumika hadi tathmini juu ya maana yake halisi zinafanywa na vyombo vyenye sifa ambavyo ni hu&#341;u kutoka kwa taasisi za EU. <\/p>\n<p>Kwa ujumla wake, mataifa 78 ya ACP yamekuwa yakifanya mazungumzo ya biasha&#341;a na EU. Hadi sasa, ni mataifa 35 tu kati ya haya yametia saini EPAs. Na katika hali nyingi, mikataba iliyofikiwa imepewa jina la &#8216;mikataba ya muda mfupi&#8217;, kwani Tume inataka kuifanyia mabadiliko na kuwa mikataba ya biasha&#341;a hu&#341;ia kamilifu. <\/p>\n<p>G&#341;&eacute;goi&#341;e The&#341;y kutoka shi&#341;ika la Inte&#341;national Fede&#341;ation fo&#341; Human Rights (linalojulikana kwa kifupi chake cha Kifa&#341;ansa kama, FIDH) alisema kuwa madha&#341;a yanayoweza kutokana na uwezo wa Af&#341;ika wa kulisha &#341;aia wake zinapaswa kufanyiwa uchambuzi wa kina. Kwa sasa hakuna tathmini, alisema, ya jinsi gani mikataba ya biasha&#341;a iliyotiwa saini kati ya EU na nchi za nje inaweza kuathi&#341;i haki katika she&#341;ia za kimataifa. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali za EU, aliongeza, kishe&#341;ia zinapaswa kuheshimu haki ya chakula, haki ya uhu&#341;u kutokana na njaa, na haki ya maendeleo ya kiuchumi. Haki hizo zinaweza kukiukwa, wanaha&#341;akati wengi wanaamini, kama wakulima wadogo wanaondolewa katika kazi yao &ndash; na wanashindwa kulisha familia zao &ndash; kwasababu hawawezi kukabiliana na shinikizo la bidhaa za kutoka nje zilizozalishwa kwa &#341;uzuku. <\/p>\n<p>&#8220;Ulaya ina majukumu ya kutoa ushahidi kuwa mikataba hiyo haitaweza kusababisha kunyimwa haki za binadamu,&#8221; alisema The&#341;y. &#8220;EU haiwezi kutupatia ushahidi kwasababu haina nyenzo ya kutathmini madha&#341;a yanayoweza kutokana na mikababa ya biasha&#341;a.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Mei 24 (IPS) &ndash; Ufa&#341;ansa, &#341;ais ajaye wa Umoja wa Ulaya, imetaka kambi hiyo kuonyesha u&#341;ahisi wa kubadilisha msimamo katika mazungumzo yenye lengo la kufikia mikataba ya biasha&#341;a na Af&#341;ika. Chombo cha utendaji cha Umoja wa Ulaya, Tume ya Ulaya, kimekuwa na mazungumzo na mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific na kutaka kuondoa kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":301,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2163","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2163","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/301"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2163"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2163\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2163"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2163"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2163"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}