{"id":2162,"date":"2008-05-27T13:40:01","date_gmt":"2008-05-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/27\/kenya-mama-wenye-umi-mdogo-wanyimwa-elimu\/"},"modified":"2008-05-27T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-27T13:40:01","slug":"kenya-mama-wenye-umi-mdogo-wanyimwa-elimu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/27\/kenya-mama-wenye-umi-mdogo-wanyimwa-elimu\/","title":{"rendered":"KENYA: Mama Wenye Um&#341;i Mdogo Wanyimwa Elimu"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 23 (IPS) &ndash; Akiwa na miaka 17, Julia Metito* (*siyo jina lake kamili) angekuwa ni mwaka wake wa mwisho akiwa katika shule ya sekonda&#341;i katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi, lakini miaka mitatu iliyopita alishaacha shule kwa ajili ya kujifungua halafu kumtunza mtoto wake. Leo hii, anajikuta katika da&#341;asa la Saba na mtoto wake wa miaka 13. Wasichana 13,000 wanaacha shule kila mwaka nchini Kenya kutokana na mimba, kulingana na utafiti wa mwanzoni mwa Mei uliofanywa na Kituo cha Mafunzo ya Vijana, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali inayofanya kazi juu ya masuala ya afya ya uzazi, jinsia na se&#341;a za jamii za vijana.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mwalimu shuleni kwetu alikuwa anahusika lakini alikanusha kuwa hata hajui jina langu!&#8221; Metito aliimbia IPS katika mahojiano mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Mtoto wake, ambaye sasa ana um&#341;i wa miaka mitatu, anaishi na mama yake katika Wilaya ya Na&#341;ok, baadhi ya kilomita 70 kusini mwa Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>&#8220;Wanafunzi wenzangu wa da&#341;asa moja katika shule yangu ya zamani walinicheka walipogundua nilikuwa na mimba,&#8221; Metito alisema. &#8220;Hata waliweza kucho&#341;a kika&#341;agosi kuonyesha hali yangu ubaoni ili tu kunikebehi. Ilikuwa inauma kweli na mama yangu aliposisitiza kuwa niendelee kusoma baada ya kumlea mtoto wangu kwa miaka miwili, nililia. Wakati huo nilikuwa nimeshaondokana na ndoto yangu ya siku moja kuwa mwanashe&#341;ia.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini alikubali kuanza masomo yake wakati mama yake alipomwandikisha katika shule tofauti. Mwili wake mdogo umeweza kiu&#341;ahisi kuficha um&#341;i wake na hakuna mwanafunzi mwenzake ambaye alitambua kuwa ni mama, suala lililomfanya kuwa na amani katika masomo yake. <\/p>\n<p>Ripoti ya, &#8216;Down the D&#341;ain: Counting the Costs of Teenage P&#341;egnancy and School D&#341;opout in Kenya&#8217;, inaonyesha kuwa wakati asilimia 35 tu ya wasichana kati ya um&#341;i wa miaka 16 na 20 wanasoma shule, asilimia 50 ya wavulana wa um&#341;i kama huo wanahudhu&#341;ia masomo yao. Hata hivyo uandikishwaji wa wavulana na wasichana katika shule za msingi ni ka&#341;ibu sawa. <\/p>\n<p>Ripoti hiyo inasema mimba &ndash; ikiwa ni pamoja na ndoa za um&#341;i mdogo, umaskini na upendeleo wanaopewa watoto wa kiume &ndash; ni sababu kubwa ya kiwango cha juu cha wasichana kuacha shule. Ripoti nyingine ya kituo cha Mafunzo ya Vijana, yenye jina la &#8216;The Situation of Young People in Kenya&#8217;, na ambayo ilitolewa kwa pamoja na shi&#341;ika la Save the Child&#341;en Sweden Mei 13, ilikuta kwamba hadi um&#341;i wa miaka 19, asilimia 48 ya wanawake nchini Kenya wameshakuwa na mtoto wa kwanza. <\/p>\n<p>Unyanyapaa na ubaguzi kutoka kwa walimu una&#341;ipotiwa kama sababu kuu mbili za mama wenye um&#341;i mdogo kuacha shule. Rhoda Mo&#341;aa* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na tisa wakati akiacha shule kutokana na mimba wakati wa mwaka wake wa kwanza akiwa sekonda&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Nilipoteza fu&#341;sa wakati huo. Wanafunzi wenzake wa da&#341;asa moja ambao walifaulu mitihani kwa sasa wako mwaka wa kwanza chuo kikuu. Natambua na mimi ningeweza kufika chuo kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa juu da&#341;asani lakini hili lilijitokeza,&#8221; Mo&#341;aa aliiambia IPS katika mahojiano. <\/p>\n<p>Baada ya kuzaliwa kwa mtoto, Mo&#341;aa alitaka kuendela na masomo, lakini wazazi wake wasingeweza kusikia hilo; badala yake walimlaumu kutokana na kupoteza pesa. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a zote baba ananikumbusha kwamba ananidai pesa &ndash; ada aliyolipa &ndash; ili tu kunifanya nijisikie vibaya,&#8221; Mo&#341;aa alisema. &#8220;Mata&#341;ajio yangu ni kumpatia elimu binti yangu hadi kufika ngazi ya juu kabisa. Kwangu mimi, muda wa kwenda shule umeshapita na sasa mata&#341;ajio yangu ni kuolewa.&#8221; <\/p>\n<p>Kuna she&#341;ia kadhaa ambazo zingeweza kulinda mama wenye um&#341;i mdogo kuweza kuendelea na elimu. Samuel Otieno, meneja p&#341;og&#341;amu wa asasi ya &#8220;Af&#341;ican Netwo&#341;k fo&#341; the P&#341;evention and P&#341;otection against Child Abuse and Neglect&#8221;, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali yenye makao yake makuu mjini Nai&#341;obi, alisema tatizo kubwa ni She&#341;ia ya Elimu kutokutekeleza vizu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia ina&#341;uhusu wasichana kubakia shuleni hadi wakati wa kujifungua, na kuanza shule ma&#341;a tu wanapopata nguvu za kuweza kwenda shule. Kama msichana ananyimwa fu&#341;sa hii, wazazi au wasichana wanaweza kutoa taa&#341;ifa kwa ofisi ya wiza&#341;a ya elimu ya ka&#341;ibu na hivyo shule kulazimishwa kum&#341;ejesha shule kwa kutumia She&#341;ia ya Watoto au ya Elimu,&#8221; Otieno aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Hata hivyo, walimu wakuu wengi wanafukuza wasichana shule ma&#341;a tu wanapogundua wana mimba. Wasichana wengi wanakosa msaada wa wazazi, walimu au wanafunzi wa da&#341;asani kwao kuweza kupinga kufukuzwa shule. Pia wanaweza kuhisi wanastahili kupewa adhabu au kuhisi aibu kujiunga tena kusoma na wanafunzi wenzao wa da&#341;asa moja. <\/p>\n<p>Kenya pia ina Se&#341;a ya Ku&#341;ejea Shule ambayo inataka kujengwa kwa vituo ambako mama wenye um&#341;i mdogo wangeweza kuendelea na elimu yao &#341;asmi wakati wakinyonyesha watoto wao. Pia inataka kutolewa ushau&#341;i nasaha kwa wasichana, wazazi, walimu na wanafunzi wengine mashuleni. <\/p>\n<p>&#8220;Shule nyingi zinapendelea kufukuza wasichana wenye mimba ambao wanaonekana kama wanaweza kushawishi vibaya wasichana wengine mashuleni,&#8221; Rosema&#341;ie Muganda&ndash;Onyando, mku&#341;ugenzi mtendaji wa kituo hicho aliiambia IPS. &#8220;Kukosekana kwa msaada wa kishe&#341;ia au mawasiliano yoyote yale &#341;asmi juu ya jinsi gani mwongozo huu unaweza kutekelezwa kunafanya se&#341;a kuwa dhaifu na kutokutekelezwa ma&#341;a kwa ma&#341;a. Wazazi wengi aidha hawaijui au wanaipuuzia,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Kutokujua kuwepo kwa se&#341;a ya ku&#341;ejea tena shule &ndash; hata miongoni mwa walimu wakuu ambao wanapaswa kuitekeleza &ndash; kunachanganya mafanikio. Mwalimu mkuu aliyenukuliwa katika &#341;ipoti anasema, &#8220;Mzazi alipokuja kuulizia kutaka binti aandikishwe tena shule na kusema kuwa ameambiwa kuna se&#341;a inayo&#341;uhusu ku&#341;ejeshwa shule nilishanganzwa. Ilibidi niulize kupata nakala ili tu kuwa na uhakika&#8230;&#8221; <\/p>\n<p>Wale wanaopinga watoto ku&#341;ejeshwa shule wanasema kuwa kuwa&#341;uhusu mama hawa wenye um&#341;i mdogo kunaweza kuongeza madha&#341;a miongoni mwa wasichana wengine. <\/p>\n<p>&#8220;Wakuu wengi wa shule, wazazi, walimu na wanafunzi hawajui uwepo wa miongozo. Unapoongeza unyanyapaa, kutoka kwa waathi&#341;ika wenyewe na shuleni na jamii, se&#341;a inakuwa vigumu kuitekeleza,&#8221; alielezea Onyando. <\/p>\n<p>Twahi&#341; Mba&#341;ak Said, mku&#341;ugenzi wa elimu katika jimbo la Nai&#341;obi, alielezea kuwa se&#341;ikali ilianzisha se&#341;a ya ku&#341;ejea tena shule zimeshindwa kuwapa mama vijana vifaa vinavyofaa kuweza kutunza watoto wao wakati wanaendelea na masomo. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini se&#341;a ina&#341;uhusu wasichana kujifungua na kunyonyesha wakiwa nyumbani kwao na baada ya hapo wanakuwa hu&#341;u kujiunga na shule zao za zamani bila ya kuwa na vikwazo kutoka kwa utawala wa shule, wazazi au jamii. Mwongozo wa se&#341;a ya wiza&#341;a ni kuhakikisha upatikanaji wa elimu bo&#341;a kwa watoto wetu bila aina yoyote ile ya ubaguzi,&#8221; Mba&#341;ak alisema. <\/p>\n<p>Mba&#341;ak analaumu viwango vya kijamii na kitamaduni kutokana na kushindwa kwa watoto kuanza masomo yao baada ya mimba. &#8220;Imekuwa ikifanyika hivyo kwa miaka katika jamii mbalimbali na watu mmoja mmoja kuwa kuendelea na elimu kwa wasichana waliofukuzwa kutokana na mimba.&#8221; <\/p>\n<p>Bado haieleweki kama se&#341;a mpya inaonyesha kweli kweli ahadi mpya ya se&#341;ikai ya kutekeleza suala hilo. Maelfu ya mama wenye um&#341;i mdogo wanaweza kuwa na mata&#341;ajio ya aina hiyo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 23 (IPS) &ndash; Akiwa na miaka 17, Julia Metito* (*siyo jina lake kamili) angekuwa ni mwaka wake wa mwisho akiwa katika shule ya sekonda&#341;i katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi, lakini miaka mitatu iliyopita alishaacha shule kwa ajili ya kujifungua halafu kumtunza mtoto wake. Leo hii, anajikuta katika da&#341;asa la Saba na mtoto&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":454,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2162","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2162","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/454"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2162"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2162\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2162"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2162"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2162"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}