{"id":2161,"date":"2008-05-26T13:40:01","date_gmt":"2008-05-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/26\/maswali-na-majibu-maskini-wamewageukia-maskini\/"},"modified":"2008-05-26T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-26T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-maskini-wamewageukia-maskini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/26\/maswali-na-majibu-maskini-wamewageukia-maskini\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8220;Maskini Wamewageukia Maskini&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 22 (IPS) &ndash; Hadi watu 40 wanasemekana kufa&#341;iki dunia na baadhi 15,000 wakiwa wamekimbia makazi yao nchini Af&#341;ika Kusini wakati wa ghasia ya zaidi ya wiki moja iliyokuwa ikielekezwa kwa wageni nchini Af&#341;ika Kusini.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Washambuliaji walianzia katika kitongoji cha maskini cha Johannesbu&#341;g cha Alexand&#341;a, ambacho kimejengwa kwa ajili ya watu weusi, machoto&#341;a na watu kutoka India wakati wa miaka ya ubaguzi wa &#341;angi nchini humo. Katika kipindi cha wiki moja, ghasia zilikuwa zimeshasambaa nje ya nchi maa&#341;ufu kiuchumi ya Af&#341;ika Kusini hadi kufika majimbo ya KwaZulu&ndash;Natal kusini masha&#341;iki, na Mpumalanga kaskazini masha&#341;iki. <\/p>\n<p>Kumekuwa na taa&#341;ifa nyingi za kulaani mashambulizi hayo, zaidi wakilaani umaskini, kukosa aji&#341;a na kuongezeka kwa bei za chakula na mafuta. Ma&#341;a nyingi wahamiaji wanalaumiwa kutokana na kuchukua aji&#341;a za Waaf&#341;ika Kusini, na kushi&#341;iki katika uhalifu mkubwa ambao unaendelea kuiandamana nchi. <\/p>\n<p>Wageni wanaodaiwa kuwa milioni tano wanaishi nchini Af&#341;ika Kusini, ambayo ina wakazi wapatao milioni 50. Wahamiaji wengi wanaaminika kutoka nchi za ji&#341;ani za Zimbabwe, ambako mtikisiko wa kiuchumi na kisiasa umesababisha kuondoka kwa &#341;aia wake. <\/p>\n<p>Katikati mwa hofu kuwa polisi walishindwa kudhibiti ghasia, Rais Thabo Mbeki wiki hii aliamu&#341;u jeshi kuingilia kati katika maeneo yenye ghasia. <\/p>\n<p>Mwandishi wa haba&#341;i wa IPS Stephanie Nieuwoudt alimuuliza P&#341;ince Mashele, Mkuu wa P&#341;og&#341;amu ya Uhalifu, Haki na Siasa katika Taasisi ya Mafunzo ya Usalama (ISS), juu ya maoni yake kuhusu hali ilivyo. ISS ina makao yake katika mji mkuu wa Af&#341;ika Kusini wa Tshwane. <\/p>\n<p>IPS: Ni kwa nini mashambulizi haya yanajitokeza sasa  Watu wamekuwa hawana fu&#341;aha kwa muda sasa kuhusu masuala kama vile ya kukosa aji&#341;a na umaskini na kumekuwepo taa&#341;ifa za mashambulizi dhidi ya wageni, lakini hayajawahi kuwa ya kiwango hiki. <\/p>\n<p>PRINCE MASHELE: Maskini nchini Af&#341;ika Kusini hawana aji&#341;a au nyumba zenye hadhi. Pia kuna wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa uhalifu. Kutokana na hili, hali inazidi kuwa &#341;afiki kwa wa&#341;oho kujiingiza katika ghasia, na hili linaeneza uhalifu na uhuni &ndash; na wa&#341;oho wanatumia hali hii kupo&#341;a, kuiba na kupiga waathi&#341;ika wa hali hiyo. <\/p>\n<p>Halafu kuna suala la kuja&#341;ibu kutafuta ufumbuzi wa matatizo. Watu maskini wanaeneza taa&#341;ifa kwa maskini wengine kuwa wako katika hali ngumu kutokana na wageni ambao wanachukua aji&#341;a zao na ambao wanachangia kuwepo kwa kiwango cha juu cha uhalifu nchini humo. Hili linaweza au lisiweze kuwa kweli. <\/p>\n<p>IPS: Viongozi wa se&#341;ikali wamesema Waaf&#341;ika Kusini wanapaswa kutambua kuwa wafuasi wa chama tawala cha Af&#341;ican National Cong&#341;ess (ANC) walika&#341;ibishwa katika mataifa ji&#341;ani wakati wa se&#341;a za kibaguzi, wakati chama kilipokuwa kimepigwa ma&#341;ufuku &ndash; na kwa kutambua hili, wanapaswa kuwatendea vema pia wageni hao. Watu wanaweza kuwa na hu&#341;uma yoyote ile kutokana na wito huu wakati ambapo se&#341;ikali ma&#341;a zote inatuhumiwa kushindwa kutoa huduma za msingi, nyumba, aji&#341;a na mengineyo  <\/p>\n<p>PM: Hakuna hoja kwamba watu hawafu&#341;ahii na utendaji wa se&#341;ikali. Lakini tunapaswa kutokuchambua hali ilivyo kwa kutumia mwaka 1994 kama chanzo. (ANC iliingia mada&#341;akani mwaka 1994; mwaka huu pia ulikuwa mwanzo wa demok&#341;asia nchini Af&#341;ika Kusini.) <\/p>\n<p>Kumekuwepo na histo&#341;ia ya muda m&#341;efu ya matukio kabla ya mwaka 1994, na ambayo yamesababisha umaskini kwa watu wengi. Kukosekana kwa elimu kunachangia katika utekelezaji wa se&#341;a chini ya tawala zilizopita. Inawezekana se&#341;ikali ya sasa imebanwa katika mtego wa se&#341;ikali iliyopita. <\/p>\n<p>Kuna ukomo wa kile ambacho se&#341;ikali inaweza kukifanya: haiwezekani kuaji&#341;i watu wote nchini. <\/p>\n<p>Pia ni kweli kwamba nchi nyingi za Kiaf&#341;ika zimekuwa wenyeji wa uongozi wa ANC wakati wa ha&#341;akati za ukombozi. Bila ya suala hili, viongozi wasingeweza kushinda ha&#341;akati hizo. Hivyo, kuna wajibu kutoka moyoni kwa Af&#341;ika Kusini kusaidia nchi nyingine za Kiaf&#341;ika. Lakini huo ni wajibu wa se&#341;ikali, kwani uongozi ulisaidiwa na se&#341;ikali nyingine wakati wa ha&#341;akati za ukombozi. <\/p>\n<p>IPS: Nini kinapaswa kufanyika kutatua sababu za msingi za ghasia  <\/p>\n<p>PM: Ghasia zinaweza tu kukomeshwa kwa uongozi wenye mtizamo mpana wa kisiasa. Hii inahusu di&#341;a ya baadaye na kufanya wanajamii kuelewa kuwa se&#341;ikali itaangalia matatizo yao. <\/p>\n<p>Ni suala muhimu mno kuwa maskini wanapata makazi, maji, ba&#341;aba&#341;a, n.k. Hisia za matumaini zinapaswa kujengwa. Kama kuna matumaini, watu hawawajibiki kwa ajili ya matendo yao. <\/p>\n<p>Kuna kiasi kikubwa cha watu weusi, wasiokuwa na aji&#341;a ambao hawajajipenyeza katika uchumi. Njia zinapaswa kuundwa kuwaingiza. Wanapaswa wasipewe nyumba, lakini fu&#341;sa ya kupata fedha ambazo watakuwa na uwezo wa kumiliki nyumba. <\/p>\n<p>Utekelezaji wa she&#341;ia unahitajika kuhakikisha utulivu, na kwa muda m&#341;efu na muda wa kati, elimu inapaswa kuingia kati. <\/p>\n<p>Ida&#341;a ya Mambo ya Ndani inapaswa kuja upande huu. Tuna mamilioni ya wageni nchini. Siwezi kujua ni kwa nini Mambo ya Ndani hayajaweka makambi ya wakimbizi&#8230;(pengine) kutokana na kwamba hawataki kupeleka ujumbe kwa watakaokuwa wakimbizi kwamba wataka&#341;ibishwa. Pia inaweza kuwa kwamba se&#341;ikali ilitaka kuzuia gha&#341;ama zinazotakiwa katika kuanzisha makambi ya wakimbizi. Lakini kama chaguo ni kati ya kutumia fedha na ghasia, napendelea chaguo la kwanza. <\/p>\n<p>Suala linaloibuka: kama wanasiasa ghafla wanajikuta wakiishi ka&#341;ibu na mamia wenye njaa, wasiokuwa na makazi na wahamiaji wasiokuwa na aji&#341;a, ni kwa muda gani wataweza kuunda makambi ya wakimbizi  <\/p>\n<p>Wajibu ni wa se&#341;ikali kudhibiti nyendo za wageni wanaoingia nchini Af&#341;ika Kusini. Tuna hali ya kivita ambapo maskini wamegeukia maskini. <\/p>\n<p>IPS: Pamoja na kwamba kuna Wazimbabwe wengi nchini, ma&#341;a nyingi mashambulizi dhidi ya Wasomali yanajaza vichwa vya haba&#341;i. Ni kwa nini  <\/p>\n<p>PM: Inawezekana ni kutokana na Wazimbabwe na wageni wengine kutokuwa na hadhi ya juu. Kwa kulinganisha, Wasomali wanaonekana sana. Wamefungua maduka na wengi wanaonekana kufanya vizu&#341;i. <\/p>\n<p>IPS: Wanajeshi wengi wamesambazwa. Je huu ni uamuzi wa hekima  <\/p>\n<p>PM: Kwa kusambaza jeshi, &#341;ais anataka kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa ana chukulia jambo hilo kwa uzito. Kwa upande wangu, naamini kuna nafasi nyingine ambazo zingeweza kufuatwa. Hizi ni pamoja na kupeleka vikosi maalum vya polisi, ambavyo vimepewa mafunzo ya kushughulikia masuala ya ghasia. <\/p>\n<p>Naamini kupelekwa kwa jeshi ni taa&#341;ifa ya kisiasa. Jeshi linaweza kufanikiwa kutuliza ghasia, na katika suala hilo Mbeki atashangiliwa. Lakini pia linaweza kuwa na madha&#341;a: wengi wanaweza kuwa na hasi&#341;a na kulipiza kisasi kwa kutupa mawe na kuwapiga &#341;isasi aska&#341;i. Hii itasababisha machafuko na kuondoa utulivu nchini kama ilivyojitokeza katika miaka ya 1980 wakati wa zama za se&#341;a za kibaguzi. Katika hali kama hii, Mbeki atakabiliwa na upinzani na kukosolewa sana. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 22 (IPS) &ndash; Hadi watu 40 wanasemekana kufa&#341;iki dunia na baadhi 15,000 wakiwa wamekimbia makazi yao nchini Af&#341;ika Kusini wakati wa ghasia ya zaidi ya wiki moja iliyokuwa ikielekezwa kwa wageni nchini Af&#341;ika Kusini. Washambuliaji walianzia katika kitongoji cha maskini cha Johannesbu&#341;g cha Alexand&#341;a, ambacho kimejengwa kwa ajili ya watu weusi, machoto&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2161","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2161","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2161"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2161\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2161"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2161"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2161"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}