{"id":2156,"date":"2008-05-20T13:40:01","date_gmt":"2008-05-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/20\/biashara-afrika-epa-inatishia-kusambaatisha-umoja-wa-foodha-wa-zamani-2\/"},"modified":"2008-05-20T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-20T13:40:01","slug":"biashara-afrika-epa-inatishia-kusambaatisha-umoja-wa-foodha-wa-zamani-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/20\/biashara-afrika-epa-inatishia-kusambaatisha-umoja-wa-foodha-wa-zamani-2\/","title":{"rendered":"BIASHARA&ndash;AFRIKA: EPA Inatishia Kusamba&#341;atisha Umoja wa Fo&#341;odha wa Zamani"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Mei 17 (IPS) &ndash; Mustakabali wa umoja wa zamani kabisa wa fo&#341;odha katika dunia, Umoja wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika (SACU), unaning&#8217;inia kutokana na makubaliano ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi ambayo mataifa mengi ya SACU yametia saini na Umoja wa Ulaya (EU).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali za SACU kwa sasa zinaja&#341;ibu kufiki&#341;i ni jinsi gani ya kuzuia kupooza au hata kuanguka. Lakini wanajikuta wakiwa wamegawanyika. Baadhi yao katika SACU wanataka kupewa somo juu ya mikataba hiyo ya soko hu&#341;ia ambayo wameikubali wakati wengine wanataka kuendelea na kuima&#341;isha uhusiano na EU, kwa hofu ya kupoteza misaada na kuuza bidhaa katika masoko ya EU. <\/p>\n<p>Mataifa matano yanaunda SACU: Af&#341;ika Kusini, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi katika umoja huo, na Botswana, Lesotho, Namibia na Swaziland (mataifa ya BLNS). SACU imekuwa umoja wa fo&#341;odha tangu mwaka 1910.<\/p>\n<p>Kumekuwa na msuguano katika SACU tangu mwaka 1999, wakati Af&#341;ika Kusini ilipohitimisha Mkataba wa Ushi&#341;ikiano wa Kibiasha&#341;a na Maendeleo (TDCA) na Umoja wa Ulaya. Mkataba huo utaathi&#341;i vibaya mataifa ya BLNS. <\/p>\n<p>Kutokana na kwamba unasema kuwa ka&#341;ibu bidhaa zote za EU zitaweza kuingia katika SACU bila kutozwa ushu&#341;u, kutakuwepo na upotevu wa mapato ya ushu&#341;u katika BLNS: hadi asilimia 50 kwa nchi ya Lesotho na Namibia, asilimia 30 kwa Swaziland na asilimia 10 kwa taifa lenye maendeleo ya wastani la Botswana. <\/p>\n<p>Dot Keet, mtaalam wa biasha&#341;a aliyeongea kwa niaba ya &#8220;Af&#341;ica T&#341;ade Netwo&#341;k&#8221; katika mkutano wa asasi zisizokuwa za kise&#341;ikali juu ya mkataba wa biasha&#341;a hu&#341;ia wa EU mjini B&#341;ussels mwezi uliopita, pia aliongelea madha&#341;a hasi ya TDCA kwa Af&#341;ika Kusini yenyewe. IPS iliweza kupata nakala ya hotuba yake ambayo ilielezea kwa sehemu, juu ya kusita kwa sasa kwa Af&#341;ika Kusini kutia saini mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPAs) na EU. <\/p>\n<p>Wakati TDCA ilipotiwa saini, bidhaa zilizouzwa nje na Af&#341;ika Kusini kwenda mataifa ya EU ziliongezeka katika siku za mwanzo lakini, ma&#341;a tu nchi ilipoanza kutekeleza viwango vya kushusha ushu&#341;u, bidhaa kutoka EU pia ziliongezeka. Kulingana na Keet, &#8221;hasa&#341;a ya biasha&#341;a kati ya Af&#341;ika Kusini na EU inaongezeka kwa eu&#341;o zipatazo bilioni mbili kwa mwaka kwa faida ya EU&#8221;. <\/p>\n<p>Keet alisema bidhaa za kilimo kutoka Ulaya kuingia Af&#341;ika Kusini na SACU zimeongezeka kwa asilimia 50 tangu mwaka 2003. Kuingizwa kwa vyakula vilivyosindikwa kumekuwa na atha&#341;i kubwa: jams na matunda ya kopo na mbogamboga. <\/p>\n<p>&#8221;Pa&#341;malat (kampuni ya vyakula ya Italia) iliingia Af&#341;ika Kusini na kuingiza kampuni ya maziwa Magha&#341;ibi mwa Cape. Ilisitisha mikataba ya usambazaji na makampuni ya maziwa ya wazawa. Na makampuni haya ya ndani yalifunga biasha&#341;a kutokana na Pa&#341;malat kuagiza maziwa ya unga kutoka EU. Hii imekuwa na madha&#341;a makubwa katika sekta ya aji&#341;a,&#8221; Keet alifafanua. <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha, EU inashikilia kuwa ushu&#341;u wa bidhaa kutoka nje na sehemu ya bidhaa zinazo&#341;uhusiwa ambazo&#8221;ni bidhaa nyeti&#8221; kulinda wazalishaji wa EU. Bidhaa nyingi hizi kama vile nyama za kopo, ni bidhaa ambazo Af&#341;ika Kusini na mataifa mengine ya SACU yanaweza kutoa ushindani. <\/p>\n<p>Keet aliongeza kuwa biasha&#341;a nyingi kutoka Ulaya kuingia Af&#341;ika Kusini ni katika sekta ya huduma za fedha na maeneo mengine yanayohitaji mitaji mikubwa kama vile teknolojia ya elekt&#341;oni. &#8221;Hii inaonyeshwa katika kasi ndogo ya kuundwa kwa aji&#341;a nchini Af&#341;ika Kusini,&#8221; suala ambalo linatia mashaka zaidi kwasababu ya kiwango cha aji&#341;a kufikia asilimia 40 (ikiwa ni pamoja na watu wasiokuwa na aji&#341;a ambao wameacha kutafuta aji&#341;a). <\/p>\n<p>Hata hivyo mabadiliko yanayovutia katika se&#341;a yapo hewani. Keet alibainisha kuwa, &#8221;Se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini inafanya baadhi ya mabadiliko katika mikakati yake ya ndani. Miongoni mwa haya ni pamoja na jitihada za kutekeleza mkakati wa kuima&#341;isha viwanda unaofanya kazi zaidi na wenye biasha&#341;a mseto zaidi, hususani katika mahusiano na nchi nyingine zenye uchumi ima&#341;a za Kusini: China, India na B&#341;azil na nyingine kutoka Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8221;Wahusika wakuu katika se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini sasa wana wasiwasi kuhusu baadhi ya masuala katika TDCA. Kwa kiasi fulani wanachanganyikiwa jinsi ya kushughulika na kukubaliana na vipengele hivyo,&#8221; Keet alisema. <\/p>\n<p>Aliendelea kutoa si&#341;i kuwa &#8221;Af&#341;ika Kusini inaja&#341;ibu kutaka kupitia upya mkataba huo na Ulaya. Sasa wanasema kuwa ili kuweza kikidhi maslahi ya BLNS, mkataba wa TDCA unapaswa kupitiwa upya kwa ajili ya uima&#341;a wa kise&#341;a katika SACU na SADC (Jumuiya ya Maendeleo Nchi Kusini mwa Af&#341;ika). <\/p>\n<p>&#8221;EU imejibu suala hilo kwa kusema kuwa itajadiliana tena juu ya TDCA na njia ya pekee ambayo inaweza kufanya vipengele kubadilishwa ni suala la EPA kamili. Hii itakuwa na maana ya kuingiza masuala mapya (ya huduma, vitega uchumi, ushindani na manunuzi) ikiwa ni pamoja na kifungu cha MFN (Mataifa Yanayopewa Upendeleo Mkubwa), na suala hili ni zito mno,&#8221; Keet alionya. <\/p>\n<p>Kifungu cha MFN kitalazimu Af&#341;ika Kusini kupatia EU masha&#341;ti ya kutumia masoko kama ilivyo kwa mataifa mengine, kama vile India na B&#341;azil, katika mikataba ya nchi mbili ya mustakabali wake. Mkataba wa TDCA unahusu bidhaa na kilimo tu na, tofauti na EPA, hauna &#8220;masuala haya mapya&#8221; wala kifungu cha MFN. <\/p>\n<p>Kutokana na &#341;ipoti mbalimbali katika SACU, se&#341;ikali sasa zimegawanyika mno kuhusu jinsi gani ya kuendelea na mazungumzo ya EPA na Ulaya. Mataifa matatu kati ya mataifa ya BLNS, Swaziland, Botswana na Lesotho, yanaomba maji&#341;ani zao kuongeza kasi ya mazungumzo na EU. Mataifa haya yanata&#341;ajia kutia saini EPAs kamili ifikapo mwishoni mwa mwaka 2008. <\/p>\n<p>Kutoka kwa chanzo kimoja cha ndani ya SACU, ambacho hakikutaka jina kutajwa kutokana na masuala yenyewe kuwa nyeti, sababu kuu inayohamasisha inaonekana kuwa hofu ya kupoteza misaada kutoka EU. Kama kuna majadiliano ya EPAs za muda (kama ambavyo baadhi ya mataifa ya ACP yanataka), wanataka haya kufanyika katika suala la kujadili EPAs kamili. Huu pia ni msimamo wa Tume ya Ulaya. <\/p>\n<p>Namibia, kwa upande mwingine, ingependa mazungumzo ya muda ya EPA kabla ya ku&#341;idhiwa mikataba hiyo kabla ya mwisho mwa mwaka. Af&#341;ika Kusini inaunga mkono mkakati huo. Kulingana na Katibu Mtendaji wa SACU Tswelopele Mo&#341;emi, nchi hizi mbili zilio&#341;odhesha o&#341;odha ya wasiwasi wake kwa mawazi&#341;i wa biasha&#341;a wa SACU mapema mwaka huu kuhusu EPAs. <\/p>\n<p>Kutokana na kwamba kuna tofauti kati ya &#341;atiba ya soko hu&#341;ia ya TDCA na EPA, mifumo tofauti ya ushu&#341;u itasababisha changamoto kubwa kwa SACU katika kuendeleza umoja wake wa fo&#341;odha. <\/p>\n<p>Hata hivyo hizi zinahusika kipekee katika kukabiliana na ugumu ambao unaendelea. Masuala mengine ya ushi&#341;ikiano wa kikanda ambayo SACU bado inayafanyia kazi yanaweza kusamba&#341;atika kama EPAs kamili zitatiwa saini na baadhi ya mataifa ya SACU. <\/p>\n<p>Katika masuala ya ndani, SACU bado haijaunganisha se&#341;a zake za viwanda na se&#341;a nyingine za kiuchumi. Kulingana na chanzo kimoja ndani ya se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini kilichoongea kwa masha&#341;ti ya kutotajwa, &#8221;kuunganisha se&#341;a za SACU za viwanda, she&#341;ia za uasilia, ta&#341;atibu za fo&#341;odha na maeneo mengine yoyote yanaweza kutaka kuunganishwa siku zijazo&#8230; zote hizi zitasamba&#341;atishwa na kuna uwezekano wa kuwa mbaya zaidi, hali ambayo (taya&#341;i inaleta changamoto).&#8221; <\/p>\n<p>* Aileen Kwa, Mwandishi wa masuala ya kitaalam anafanya kazi katika asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya &#8220;Focus on the Global South&#8221;. Hii ni makala yake ya kwanza katika mfululizo wa makala zake mbili.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Mei 17 (IPS) &ndash; Mustakabali wa umoja wa zamani kabisa wa fo&#341;odha katika dunia, Umoja wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika (SACU), unaning&#8217;inia kutokana na makubaliano ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi ambayo mataifa mengi ya SACU yametia saini na Umoja wa Ulaya (EU). Se&#341;ikali za SACU kwa sasa zinaja&#341;ibu kufiki&#341;i ni jinsi gani ya kuzuia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":473,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2156","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2156","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/473"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2156"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2156\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2156"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2156"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2156"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}