{"id":2152,"date":"2008-05-20T13:40:01","date_gmt":"2008-05-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/20\/biashara-malawi-misaada-haitakuwa-na-mashati-ya-kutia-saini-epas\/"},"modified":"2008-05-20T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-20T13:40:01","slug":"biashara-malawi-misaada-haitakuwa-na-mashati-ya-kutia-saini-epas","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/20\/biashara-malawi-misaada-haitakuwa-na-mashati-ya-kutia-saini-epas\/","title":{"rendered":"BIASHARA&ndash;MALAWI: Misaada Haitakuwa na Masha&#341;ti ya Kutia Saini EPAs"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Mei 16 (IPS) &ndash; Tume ya Ulaya (EC) imeithibitishia Malawi kuwa nchi hiyo itaendelea kupokea misaada ya ushi&#341;ikiano hata kama haitatia saini mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Rais wa Malawi Bingu wa Mutha&#341;ika mwezi uliopita aliushutumu Umoja wa Ulaya (EU)kutokana na &#8221;ubebe&#341;u&#8221;, kwa kusema ilikuwa ikiadhibu nchi ambazo zilipinga EPAs kwa kutishia kuondoa misaada yake katika Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya. <\/p>\n<p>Malawi siyo mmoja wa mataifa 18 ya Af&#341;ika ambayo yametia saini mikataba ya muda ya EPAs ambayo EU ilikuwa ikija&#341;ibu kuikimbiza mwaka jana. Mutha&#341;ika alisema katika mkutano wa waandishi wa haba&#341;i mwezi uliopita kuwa hata&#341;uhusu Malawi kutia saini EPA kwasababu ina uwezekano wa kuathi&#341;i uchumi wa nchi. <\/p>\n<p>Shinikizo kubwa dhidi ya EPA limetokana na sekta tofauti. Asasi Zisizokuwa za Kise&#341;ikali (NGOs) kumi kati ya zile zenye ushawishi mkubwa nchini humo zilipinga kutiwa saini kwa EPA kutokana na madha&#341;a mabaya ambayo yanaweza kusababishwa na biasha&#341;a hu&#341;ia ya ghafla na ya kina. <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha, mkuu wa ujumbe wa EU nchini Malawi, Alessand&#341;o Ma&#341;iani, alisema wiki iliyopita kuwa EU inaamini kuwa EPAs itakuwa kwa faida ya Malawi. Alikuwa akiongea katika maadhimisho ya Siku ya Ulaya Mei 9 katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Lilongwe. <\/p>\n<p>Ma&#341;iani pia alihakikishia Malawi kuwa EU itaendelea kufadhili nchi kwa hadi eu&#341;o zipatazo milioni 451, hata kama nchi hiyo haitatia saini EPAs. <\/p>\n<p>&#8221;Samahani &#341;uhusu mimi kuthibitisha kuwa hakuna uhusiano kati ya kupata misaada iliyotengwa kwa ajili ya Malawi chini ya Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya na kutia saini EPAs,&#8221; alisema Ma&#341;iani. <\/p>\n<p>Alikuwa akielezea juu ya taa&#341;ifa ya vyombo vya haba&#341;i ya EC iliyotolewa Ap&#341;ili 18 ambayo ilitangaza kuwa misaada kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (EDF) haitahusiana na EPAs. <\/p>\n<p>&#8221;Hii ni muhimu kwa Malawi ikiwa ni pamoja na mataifa yote ya ACP (Af&#341;ican, Ca&#341;ibbean na Pacific) ambayo yatakuwa na faida kwa msaada wa maendeleo unaotolewa kupitia EDF. Kamishina (wa Biasha&#341;a) (Pete&#341;) Mandelson alisema kuwa kiwango cha &#341;asilimali kilichotolewa na mataifa ya ACP kitaendelea kubakia kama ilivyokubaliwa,&#8221; ilisema taa&#341;ifa hiyo. <\/p>\n<p>EC ilikubali kuwa p&#341;og&#341;amu za &#341;asilimali za kanda za EDF zitaangalia matakwa ya utekelezaji wa EPA lakini pia kwamba &#8221;hakuna muda kumekuwepo na ja&#341;ibio la EU kupunguza &#341;asilimali katika EDF ambazo zimetengwa kwa ajili ya mataifa ya ACP ambayo hayajatia saini EPA&#8221;. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa hiyo ilionyesha zaidi kuwa Malawi ilikuwa moja ya mataifa ya kwanza kabisa ya ACP ambayo yalitia saini makubaliano ya ka&#341;ibu kabisa ya EDF katika mkutano wa kilele kati ya EU na Af&#341;ika mjini Lisbon Desemba mwaka jana, na kwamba hakuna uhusiano uliopo kutaka kutia saini EPA. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa zaidi zilithibitisha kuwa &#8221;lengo la jumla la ushi&#341;ikiano wa misaada na Ulaya ni kusaidia mataifa yanayoendelea katika mapambano yake dhidi ya umaskini na katika utekelezaji wa mkakati wake wa maendeleo kufikia malengo. <\/p>\n<p>&#8221;Umiliki wa misaada ya Ulaya na mshi&#341;ika wa nchi ni mkubwa na unachangia kufikia malengo ya maendeleo ya milenia, na hususani malengo ya maendeleo ya taifa ya nchi mshi&#341;ika,&#8221; ilisema EC. <\/p>\n<p>EC pia inakumbusha Malawi kuwa wakati imeamua kutokusaini EPA, inafaidi kutokana na mkataba wa biasha&#341;a unaojulikana kama &#8221;Eve&#341;ything but A&#341;ms&#8221; (EBA) chini ya mfumo wa jumla wa EU wa kutoa upendeleo, kama ilivyo kwa mataifa yote yenye maendeleo duni (LDCs) duniani. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa ilisema kuwa chini ya EBA mataifa yote ya LDCs yana wajibu na kutumia soko la EU bila ya kuwa na kiwango cha bidhaa zinazotakiwa kuingizwa humo, ukiondoa tu kipindi cha mseto cha suka&#341;i na mchele. &#8220;Suka&#341;i inayosafi&#341;ishwa nje kutoka Malawi kwenda mataifa ya EU itaendelea kuingia katika soko la EU bila kutozwa ushu&#341;u na haitakuwa na kiasi kinachopaswa kuingizwa kuanzia mwaka 2009 na kuendelea,&#8221; ilisema EC. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa ziliendelea kumnukuu Mandelson kuwa &#8221;ni haki ya kila nchi kuonyesha kama mkataba una faida kwake&#8221;.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Mandelson alisema kuwa EBA siyo kwamba ndiyo inayofaa kutokana na kwamba ni mfumo wa kutoa msaada kwa nchi moja moja kutoka kwa EU wakati ambapo EPA, kama mikataba inayoendelea kujadiliwa chini ya she&#341;ia za Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Duniani, inatoa kiwango fulani cha usalama wa kishe&#341;ia ambacho hakipatikani katika EBA. <\/p>\n<p>And&#341;ew Kumbati&#341;a, ambaye anaongoza asasi ya Malawi Economic Justice Netwo&#341;k, NGO maa&#341;ufu zaidi nchini humo ambayo inapigania haki ya biasha&#341;a, bado anashutumu EU kutokana na kushindwa kutoa ahadi yake ya kutoa misaada ambayo itasaidia nchi kama vile Malawi kuweza kukabiliana na se&#341;a za biasha&#341;a hu&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8221;Kila nchi inapaswa kuwa juu ya EPAs lakini taya&#341;i EU ni kubwa zaidi hapa. Tunapaswa kufanya biasha&#341;a kwa usawa na EU inapaswa kutusaidia kufikia ngazi waliyofikia. Kuna haja ya kutatua masuala ya upande unaotoa na tunataka misaada ili tuweze kushughulikia masuala hayo lakini EU iko kimya mno kuhusu masuala haya,&#8221; Kumbati&#341;a aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ulaya, Wazi&#341;i wa Biasha&#341;a na Viwanda Ted Kalebe alisema Malawi ilikuwa na matumaini kuwa majadiliano yanayoendelea juu ya EPAs yatakuja kufikia hitimisho lenye maana mwishoni mwa mwaka huu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Mei 16 (IPS) &ndash; Tume ya Ulaya (EC) imeithibitishia Malawi kuwa nchi hiyo itaendelea kupokea misaada ya ushi&#341;ikiano hata kama haitatia saini mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya. Rais wa Malawi Bingu wa Mutha&#341;ika mwezi uliopita aliushutumu Umoja wa Ulaya (EU)kutokana na &#8221;ubebe&#341;u&#8221;, kwa kusema ilikuwa ikiadhibu nchi ambazo zilipinga&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":285,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2152","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2152","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/285"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2152"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2152\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2152"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2152"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2152"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}