{"id":2150,"date":"2008-05-16T13:40:01","date_gmt":"2008-05-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/16\/biashara-afrika-eu-yataka-kuizidi-china-katika-afika\/"},"modified":"2008-05-16T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-16T13:40:01","slug":"biashara-afrika-eu-yataka-kuizidi-china-katika-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/16\/biashara-afrika-eu-yataka-kuizidi-china-katika-afika\/","title":{"rendered":"BIASHARA&ndash;AFRIKA: EU Yataka Kuizidi China Katika Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 15 (IPS) &ndash; Kutokana na kuzidi kupanda kwa China kama nguvu kubwa katika uchumi na siasa za Af&#341;ika, mipango imeandaliwa katika Umoja wa Ulaya (EU) kuondosha taifa hilo la Asia katika kuhodhi ba&#341;a hilo kwa kuanzisha ushi&#341;ika wa utatu ambao utaiweka Ulaya katikati.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Dhana ya kuwa na uhusiano wa utatu ilianzishwa na Louis Michel, Kamishina wa Maendeleo na Misaada ya Kibinadamu wa EU, na inataka kuweka msingi wa pamoja katika kile ambacho kimeonekana kuwa ni uhusiano wa kiutata kati ya wahusika hao wawili. <\/p>\n<p>&#8221;Kuna nyanja tatu ambapo washi&#341;ika wanaweza kufanya kazi pamoja: amani na usalama, miundombinu na maliasili,&#8221; anasema Ve&#341;onika Tywuschik, mtafiti msaidizi katika Kituo cha Usimamiaji wa Se&#341;a za Maendeleo cha Ulaya (ECDPM) mjini B&#341;ussels. ECDPM ni asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ambayo inasaidia Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific katika michakato ya se&#341;a. <\/p>\n<p>Huku Michel akijiandaa kuachia mada&#341;aka kama kamishina mwaka 2009, shinikizo linazidi kujengeka kuja na jukwaa linalofanya kazi katika miezi michache ijayo. <\/p>\n<p>Kipindi cha ushau&#341;iano na umma ambacho kilianza Ap&#341;ili 16 na kitakamilika Julai 13 mwaka huu kinataka kukusanya aina mbalimblai za maoni juu ya jinsi gani mahusiano yanayopendekezwa yanafaa kutumika. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka wa kukusanya maoni ya umma umetolewa kama dodoso kwa kutaka sekta za wananchi wa Ulaya yanakoweza kuelekezwa na ni kwa nini. <\/p>\n<p>Katika kutambulisha wa&#341;aka huo, Tume ya Ulaya inaandika kuwa &#8221;lengo kuu la mawasiliano ni kukuza ubunifu, mchakato wa hatua kwa hatua wa majadiliano na ushi&#341;ikiano kati ya Af&#341;ika, EU na China kukuza maelewano na ku&#341;uhusu u&#341;atibu bo&#341;a na ushi&#341;ikiano katika masuala maalum&#8221;. <\/p>\n<p>Hii ni pamoja na &#8221;mipango ya kimataifa yenye malengo ya muda m&#341;efu ya kubo&#341;esha u&#341;atibu na masuala ya usalama katika Af&#341;ika na kuwa na misaada inayofanya kazi katika suala zima la Malengo ya Maendeleo ya Milenia&#8221;. <\/p>\n<p>Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) ni mipango ambayo iliwekwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN) ambayo inataka kupunguza nusu ya umaskini uliokithi&#341;i na maambukizi ya VVU\/UKIMWI na pia kutoa elimu ya msingi kwa wote ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Uhusiano wa China na Af&#341;ika umeongezeka katika miaka ya ka&#341;ibuni. <\/p>\n<p>Kulingana na takwimu za Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni, bidhaa zinazouzwa nje kutoka Af&#341;ika kwenda China kati ya mwaka 2001 na 2006 ziliongezeka kwa zaidi ya asilimia 40. Bidhaa zilizoingziwa kutoka China ziliongezeka kwa asilimia 35. Ongezeko hilo ni kubwa kutokana na kwamba wastani wa ukuaji wa biasha&#341;a katika kipindi kama hicho ilikuwa asilimia 14. <\/p>\n<p>Biasha&#341;a kati ya China na Af&#341;ika kwa sasa inaka&#341;ibia dola bilioni 55, na gawio lake katika ongezeko la bidhaa zinazouzwa nje kwa mwaka katika Af&#341;ika iliongezeka ma&#341;a mbili tangu mwaka 2000. <\/p>\n<p>Katika maelezo yake ya kuima&#341;isha uhusiano wake na mataifa mapya, se&#341;ikali ya China ilitangaza mkopo wa dola bilioni 5 kwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo mwezi Desemba mwaka jana &ndash; siku chache tu kabla ya mkutano wa kilele kati ya EU na Af&#341;ika nchini U&#341;eno. <\/p>\n<p>Shughuli hizi zimesababisha haja ya baadhi ya viongozi wa EU kwa Ulaya kuima&#341;isha mwelekeo wake katika ba&#341;a ambalo wanaliona kama himaya yao ya jadi. Lakini kiwango ambacho mataifa ya EU yanaweza kwenda au kutokwenda ili kuji&#341;idhisha, kimesababisha baadhi ya maswali. <\/p>\n<p>Mwezi Novemba 2007 &#341;asimu ya &#341;ipoti juu ya se&#341;a ya China na madha&#341;a yake kwa Af&#341;ika, kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu maendeleo ilisisitiza kuwa &#8221;mkakati wowote ule ima&#341;a kukabiliana na changamoto mpya zilizotokana na wahisani wanaoibukia katika Af&#341;ika, kama vile China&#8230; usija&#341;ibu kuiga mbinu za China na malengo yake, kutokana na kwamba hizo zinaweza zisiendane na imani, kanuni na maslahi ya muda m&#341;efu ya EU&#8221;. <\/p>\n<p>Ripoti hiyo pia ilitaka EU na China kuongeza msaada wake katika Mkakati Mpya wa Ushi&#341;ikiano wa Maendeleo wa Af&#341;ika (NEPAD), se&#341;a ya Umoja wa Af&#341;ika kwa ajili ya maendeleo ya ba&#341;a hilo. <\/p>\n<p>Ikionyesha kile kinachoonekana kama kicho la wasiwasi kuhusu kuhusika kwa China katika nchi kama vile Sudan, &#341;ipoti ilisema kuwa &#8221;uwekezaji usiokuwa na masha&#341;ti wa China katika mataifa ya Af&#341;ika yanayotawaliwa vibaya na se&#341;ikali za kikandamizaji kunachangia katika kuzidisha ukiukwaji wa haki za binadamu na kuufanya utawala kuwa mbaya zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Pet&#341;oChina, kampuni ndogo ya Shi&#341;ika la Pet&#341;oli la Taifa la China, inamiliki hisa kubwa katika shi&#341;ika la mafuta la taifa la Sudan na inafanya kazi zake nyingi huko, huku China ikinunua zaidi ya nusu ya mafuta ya Sudan yaliyouzwa nje mwaka 2006. <\/p>\n<p>Mpango huo umekosolewa kutokana na baadhi kudai kuwa se&#341;ikali ya Sudan imekuwa ikitumia faida ya kununua silaha za kuendeleza opa&#341;esheni zake za kijeshi &ndash; moja kwa moja au kwa kutumia wakala &ndash; katika jimbo la taifa hilo la Da&#341;fu&#341;. <\/p>\n<p>Katika eneo hilo lenye vita la magha&#341;ibi mwa Sudan, jeshi la Sudan na wanamgambo wa Janjaweed ambao ni washi&#341;ika wa se&#341;ikali wamekuwa wakishutumiwa kwa kufanya uhalifu dhidi ya &#341;aia wasiokuwa na hatia. Vita vimeshawaua watu wanaokadi&#341;iwa kuwa 300,000, wengi wao wakiwa &#341;aia tangu mwaka 2003, kulingana na msaidizi wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu, John Holmes. <\/p>\n<p>Watu wanaokadi&#341;iwa kuwa milioni 2.7 wamekimbia kutoka jimboni humo. <\/p>\n<p>China ilikuwa katika taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i tena Ap&#341;ili mwaka huu, ambapo wafanyakazi wa banda&#341;ini nchini Af&#341;ika Kusini walikataa kupakua meli iliyokuwa imesheheni silaha kutoka China na ambazo zilikuwa zikielekea kwa se&#341;ikali ya kikandamizaji ya Rais Robe&#341;t Mugabe nchini Zimbabwe. <\/p>\n<p>Maafisa wa uchaguzi walitangaza matokeo ya ku&#341;a za &#341;ais yasiyokamilika kutokana na kwamba hakukuwa na mgombewa aliyepata zaidi ya asilimia 50 ya ku&#341;a, na hivyo kusababisha kutaka ku&#341;ejewa kwa uchaguzi. Se&#341;ikali ya Mugabe imekuwa ikishutumiwa kutokana na kukiuka kwa kiasi kikubwa haki za binadamu kama sehemu ya kukandamiza wapinzani wake wa kisiasa. <\/p>\n<p>Baadhi ya wachambuzi wa mambo, hata hivyo, wanakumbuka maamuzi hayo ya kisiasa kama yale ya shauku la Ufa&#341;ansa la kusaidia udikteta wa Wahutu chini ya Juv&eacute;nal Habya&#341;imana nchini Rwanda au ukatili wa U&#341;eno dhidi ya chama cha waasi cha Mozambique F&#341;ente de Libe&#341;ta&ccedil;&atilde;o de Mo&ccedil;ambique (FRELIMO) kuanzia mwaka 1964 hadi 1974, na hivyo kuwa na wasiwasi na mpango wa EU dhidi ya China kwa ba&#341;a hilo. <\/p>\n<p>&#8221;Ushi&#341;ikiano umekuwa kama suala la kufunika se&#341;ikali za kigeni kuweza kuendeleza maslahi yao katika Af&#341;ika,&#8221; anasema Dk. Geo&#341;ge Ayittey, mwanauchumi maa&#341;ufu katika Chuo Kikuu cha Washington DC nchini Ma&#341;ekani.. <\/p>\n<p>&#8221;Mataifa ya Ulaya kwa kiasi yameachwa katika Af&#341;ika kwasababu se&#341;ikali nyingi za Kiaf&#341;ika zimekuwa zikitiliana mikataba na China. Yanataka kuingia na kuanza kuchukua hatua. <\/p>\n<p>&#8221;Kinachopaswa kuwa juu ni maslahi ya Af&#341;ika, na se&#341;ikali hizi hazipo kwa ajili ya maslahi hayo,&#8221; anasema Ayittey. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 15 (IPS) &ndash; Kutokana na kuzidi kupanda kwa China kama nguvu kubwa katika uchumi na siasa za Af&#341;ika, mipango imeandaliwa katika Umoja wa Ulaya (EU) kuondosha taifa hilo la Asia katika kuhodhi ba&#341;a hilo kwa kuanzisha ushi&#341;ika wa utatu ambao utaiweka Ulaya katikati. Dhana ya kuwa na uhusiano wa utatu ilianzishwa na Louis&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":376,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2150","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2150","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/376"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2150"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2150\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2150"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2150"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2150"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}