{"id":2148,"date":"2008-05-15T13:40:01","date_gmt":"2008-05-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/15\/mazingira-ni-kofia-tu-ni-la-kijani\/"},"modified":"2008-05-15T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-15T13:40:01","slug":"mazingira-ni-kofia-tu-ni-la-kijani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/15\/mazingira-ni-kofia-tu-ni-la-kijani\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA: Ni Kofia tu ni la Kijani"},"content":{"rendered":"<p>BONN, Mei 14 (IPS) &ndash; Ilibainishwa ni jinsi gani kampeni za mahusiano ya mashi&#341;ika ya kimataifa ni za kijani. Makampuni makubwa, kuanzia yale yanayozalisha bia hadi yanayozalisha maga&#341;i, yanataka kutuambia kuwa yanafanya jitihada za kulinda mazingi&#341;a kutokana na kuongezeka kwa joto duniani na kupotea kwa bayoanuwai. Ni nini makampuni haya yanachokifanya ni suala jingine kabisa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Suala hilo lilikuja kuwa ushahidi katika mkutano wa tano wa pande zinazohusika katika Itifaki ya Usalama wa Bayoanuwai uliofunguliwa mjini Bonn siku ya Jumatatu. <\/p>\n<p>Makampuni mengi ya kutengeneza kemikali aidha yanaja&#341;ibu kugomea ta&#341;atibu kali za kimataifa za kudhibiti viumbe waliozalishwa katika maaba&#341;a, au wanapuuzia she&#341;ia za hati miliki ili kufaidika na maa&#341;ifa ya jadi katika nchi zinazoendelea. <\/p>\n<p>Chukuklia mfano wa mmea wa Umckaloabo (Pela&#341;gonium sidoides) au unaojulikana kwa jina la Ge&#341;anium nchini Af&#341;ika Kusini). Se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini, Kituo cha Af&#341;ika cha Kusimamia Bayoanuwai (ACB) na Azimio la Be&#341;ne, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya Uswis, wote wanasema kuwa mmea huo umekuwa ukitumiwa katika dawa za jadi kwa ka&#341;ne dhidi ya magonjwa ya mapafu. <\/p>\n<p>Lakini kwa miaka sasa, mmea huo umekuwa wa kibiasha&#341;a katika kampuni ya madawa ya Kije&#341;umani ya Spitzne&#341;, kwa kudai kuwa matumizi ya dawa ya Umckaloabo yamejulikana ba&#341;ani Ulaya tangu mwaka 1935. Spitzne&#341; pia inauza dawa za UKIMWI zinazotokana na Umckaloabo. <\/p>\n<p>Waaf&#341;ika wanasema madawa hayo ya Kije&#341;umani siyo halali kwasababu yanatokana na asili ya kijenetiki na maa&#341;ifa ya kijadi kutoka kusini mwa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Njia ya kutengeneza Umckaloabo ya Kije&#341;umani siyo mpya wala ya kiubunifu&#8221; inapolinganishwa na mbinu za kijadi zilizotumiwa na waganga wa Af&#341;ika Kusini, anasema F&#341;itz Doeldne&#341;, mshau&#341;i wa she&#341;ia wa suala la Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini na mashi&#341;ika mengine mawili imefungua mashitaka mbele ya Ofisi ya Hatimiliki ya Ulaya kupinga madai ya Spitzne&#341; juu ya matumizi ya kimadawa ya Umckaloabo. <\/p>\n<p>Kulingana na maoni ya Af&#341;ika Kusini, Spitzne&#341; pia ilikiuka mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya bayoanuwai (kifungu cha 15, ubeti wa 5) ambapo se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini na waganga wa jadi ambao wamekuwa wakitumia Umckaloabo kwa vizazi sasa ni lazima kutoa &#8220;&#341;idhaa kabla&#8221; kwa ajili ya matumizi ya kibiasha&#341;a kimataifa yatokanayo kwa &#341;asilimali zake za kijenetiki. <\/p>\n<p>Spitzne&#341; anakanusha kuwa &#341;idhaa ni muhimu kwa Ulaya kutumia Umckaloabo kibiasha&#341;a na madawa yanayotokana nayo. <\/p>\n<p>Kutokana na matumizi makubwa ya Umckaloabo kibiasha&#341;a, ufalme wa Af&#341;ika Kusini wa Lesotho ulisajili mmea huo mwaka 2004 kama ambao &#8220;uko hata&#341;ini kupotea.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati huo huo, makampuni sita ya kutengeneza kemikali yamepinga she&#341;ia za kimataifa juu ya kuwajibika kutokana na uha&#341;ibifu wa kiafya na kimazingi&#341;a unaosababishwa na viumbe hai wenye vinasaba ambavyo wametengeneza. <\/p>\n<p>Kampuni sita (BASF, Baye&#341; C&#341;opScience, Dow Ag&#341;oSciences, DuPont\/Pionee&#341;, Monsanto na Syngenta) badala yake wanahitaji pendekezo la &#8220;mkataba&#8221; kuweza kutatua madai kwa kutiana saini makubaliano ya fidia na nchi moja moja, kuliko she&#341;ia za jumla. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika kadhaa ya mazingi&#341;a, ikiwa ni pamoja na F&#341;iends of the Ea&#341;th (FoE), yamelaani msimamo huu. &#8220;Pendekezo hilo kwa ujumla wake linaonekana kwa washikadau wengi kutojitosheleza, kutokana na kwamba hakutakuwa na uwajibikaji katika mazingi&#341;a mengi kama kunakuwa na GMO,&#8221; Juan Lopez, m&#341;atibu wa kimataifa wa kampeni ya FoE dhidi ya viumbe wenye vinasaba aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Mataifa mengi yanayoendelea yanayoshi&#341;iki katika mazungumzo yanataka kuwepo kwa she&#341;ia kali za kimataifa kuwalinda dhidi ya uwezekano wa uha&#341;ibifu wa mazao yenye vinasaba,&#8221; Lopez aliongeza. &#8220;Watakaohusika katika uchafuzi huo ni lazima walipe, na wasi&#341;uhusiwe kuweka ta&#341;atibu za kulipa fidia.&#8221; <\/p>\n<p>Ch&#341;istine von Weizsaecke&#341;, &#341;ais wa taasisi ya mazingi&#341;a ya Eco&#341;opa, alisema makampuni hakika yanataka &#8220;kubinafisisha utungaji wa she&#341;ia za mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Zaidi ya wajumbe 3,000 kutoka mataifa 147, ambayo yote yame&#341;idhia Itifaki ya Ca&#341;tagena juu ya Usalama wa Bayoanuwai, wanashi&#341;iki katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mjini Bonn ambao unataka kuhakikisha matumizi salama ya teknolojia ya kisasa ya viumbe hai, ikiwa ni pamoja na she&#341;ia za kimataifa juu ya uwajibikaji. Mijadala ya Bonn itaendelea hadi Mei 16. <\/p>\n<p>Itifaki ya Ca&#341;tagena, ilipitishwa Janua&#341;i 2000, ni mkataba wa nyongeza katika Mkataba wa Bayoanuwai, na unataka kulinda bayoanuwai kutokana na hata&#341;i zinazoweza kujitokeza kutokana na viumbe hai wenye vinasaba. <\/p>\n<p>Miongoni mwa ta&#341;atibu zake, mkataba huo unaweka ta&#341;atibu za kimataifa za kubadilishana taa&#341;ifa kuhakikisha nchi zinapatiwa takwimu muhimu kuweza kutoa maamuzi sahihi kabla ya kukubali kuagiza viumbe wenye vinasaba nchini mwao. <\/p>\n<p>Mkutano wa Bonn kuhusu Itifaki ya Ca&#341;tagena unakuja baada ya mkutano wa chombo kinachotekeleza Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bayoanuwai (CBD). Mkutano huo ulianza mjini Bonn Mei 19. <\/p>\n<p>Baadhi ya wawakilishi 5,000 kutoka mataifa 190 watashi&#341;iki katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon, Kansela wa Uje&#341;umani Angela Me&#341;kel na Rais wa B&#341;azili Luiz Inacio Lula da Silva watakuwa miongoni mwa viongozi ambao watakusanyika kujadili masuala yanayohusiana na uha&#341;ibifu wa misitu ya asili na kuvamia baha&#341;i, na kuzuia uha&#341;ibifu wa bayoanuwai. <\/p>\n<p>Mkutano wa CBD unafanyika miaka miwili kabla ya ta&#341;ehe ya mwisho ya kufikiwa kwa shabaha ya bayoanuwai mwaka 2010, iliyopitishwa mwaka 2002 na wakuu 110 wa se&#341;ikali. Mkataba huo ulitaka kupunguza kiasi cha uha&#341;ibifu wa bayoanuwai ifikapo mwaka 2010.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BONN, Mei 14 (IPS) &ndash; Ilibainishwa ni jinsi gani kampeni za mahusiano ya mashi&#341;ika ya kimataifa ni za kijani. Makampuni makubwa, kuanzia yale yanayozalisha bia hadi yanayozalisha maga&#341;i, yanataka kutuambia kuwa yanafanya jitihada za kulinda mazingi&#341;a kutokana na kuongezeka kwa joto duniani na kupotea kwa bayoanuwai. Ni nini makampuni haya yanachokifanya ni suala jingine kabisa&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":78,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2148","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2148","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/78"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2148"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2148\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2148"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2148"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2148"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}