{"id":2144,"date":"2008-05-14T13:40:01","date_gmt":"2008-05-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/14\/burma-kufungiwa-misaada-na-seikali-ya-kijeshi-kunaweza-kuongeza-vifo-vya-kimbunga\/"},"modified":"2008-05-14T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-14T13:40:01","slug":"burma-kufungiwa-misaada-na-seikali-ya-kijeshi-kunaweza-kuongeza-vifo-vya-kimbunga","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/14\/burma-kufungiwa-misaada-na-seikali-ya-kijeshi-kunaweza-kuongeza-vifo-vya-kimbunga\/","title":{"rendered":"BURMA: &#8216;Kufungiwa Misaada na Se&#341;ikali ya Kijeshi Kunaweza Kuongeza vifo vya Kimbunga&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>BANGKOK, Mei 12 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya kijeshi ya Bu&#341;ma hivi ka&#341;ibuni inaweza kukabiliwa na madai ya ku&#341;uhusu makumi kwa maelfu ya watu wake kufa&#341;iki dunia kutokana na uki&#341;itimba kwa njia ya jitihada za kutoa misaada ya kimataifa kwa wahanga milioni moja wa kimbunga nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wiki moja baada ya kimbunga cha Na&#341;gis kukumba delta ya I&#341;&#341;awaddy kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa Bu&#341;ma, na kuua ka&#341;ibu watu 100,000 na kuwafanya wengine wapatao milioni 1.5 kuyakimbia makazi yao, se&#341;ikali ya kijeshi ime&#341;uhusu tu sehemu ndogo ya msaada wa dha&#341;ula. <\/p>\n<p>Kukosekana kwa misaada hiyo kutoka kwenye makundi yenye uzoefu wa kusamabaza maji ya kunywa kwa kusafisha na ku&#341;ejesha vyanzo vya maji katika maeneo yaliyoha&#341;ibiwa. &#8221;Tuna mashaka kuwa watu katika eneo lililoathi&#341;ika hawapati maji ya kutosha na yenye ubo&#341;a,&#8221; anasema Rick Baue&#341;,mshau&#341;i wa uhandisi wa afya katika shi&#341;ika la maendeleo la Uinge&#341;eza la Oxfam. &#8221;Tunapaswa kufiki&#341;i kuwa watu wanakunywa maji machafu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8221;Mabwawa ya maji safi na visima kwa sasa yatachafuliwa na taka, udongo, miili ya wafu na wanyama waliokufa kutokana na kimbunga,&#8221; aliiambia IPS. &#8221;Vyanzo hivi vya maji vimesafishwa kikamilifu.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo Oxfam, ambayo inaonekana kuwa shi&#341;ika linaloongoza kwa utoaji wa misaada ya dha&#341;ula, halipo nchini Bu&#341;ma. Bado linasubi&#341;i leseni ya muda kuweza kufanya kazi Kusini&ndash;masha&#341;iki mwa Asia ambapo viongozi wa kikandamizaji wa kijeshi wameibatiza nchi hiyo Myanma&#341;. <\/p>\n<p>Oxfam imetoa onyo kuhusu kuongezeka kwa vifo ambavyo taya&#341;i vimekwishakuwa vingi kutokana na janga la Mei 3. &#8221;Huku kukiwa na zaidi ya watu 100,000 au zaidi waliokufa kutokana na kimbunga, kuna sababu zote kutokea kwa janga la kibinadamu ambalo linaweza kuzidisha vifo hadi kufikia ma&#341;a 15 katika kipindi kijacho,&#8221; Sa&#341;ah I&#341;eland, mku&#341;ugenzi wa kanda wa Oxfam katika Asia ya masha&#341;iki, alisema katika mkutano wa waandishi hapa Jumapili. <\/p>\n<p>Janga hilo litafanya se&#341;ikali ya kijeshi kulaumiwa, tangu Oxfam ilipokumbusha majene&#341;ali kuwa hakukuwa na janga la kibinadamu kufuatia tsunami ya Desemba 2004, ambayo iliukumba mwambao wa zaidi ya mataifa 10 katika Baha&#341;i ya Hindi. &#8221;Katika tsunami ya Boxing Day watu 250,000 walipoteza maisha yao katika masaa ya awali lakini hatukuona kuzuka kwa magonjwa kwasababu se&#341;ikali za mataifa hayo na dunia nzima ilihamasisha misaada mikubwa kuzuia janga kutokea. Inatubidi kufanya hivyo kwa watu wa Myanma&#341;,&#8221; aliongeza I&#341;eland. <\/p>\n<p>Huko Aceh, katika pembe ya kaskazini mwa Indonesia, iliyopigika zaidi na tsunami na ambako watu wanaoka&#341;ibia 165,000 walikufa, wataalam wa masuala ya maji wa Oxfam walifika katika eneo siku moja baada ya janga na kuanza kufanya kazi ya kusambaza maji ya kunywa masaa 48 baadaye. Nchini Bangladesh, kufuatia kimbunga cha Novemba iliyopita cha Sid&#341;, Oxfam ilipeleka timu yake ya tathmini ya awali masaa nane baada ya kimbunga. <\/p>\n<p>Wasiwasi kuhusu kukosekana kwa maji ya kunywa katika maeneo yaliyoha&#341;ibiwa ya delta ya I&#341;&#341;awaddy pia kunatolewa na shi&#341;ika la Wo&#341;ld Vision, ambalo ni moja tu kati ya mashi&#341;ika matatu ya kimataifa limeweza kuka&#341;ibishwa na se&#341;ikali ya kijeshi kutoa misaada ya dha&#341;ula. &#8221;Tuna wasiwasi kuwa maelfu ya watu wanakunywa maji machafu,&#8221; anasema James East, mku&#341;ugenzi wa mawasiliano wa kanda ya Asia&ndash;Pacific. <\/p>\n<p>&#8221;Ma&#341;a nyingi, katika hali ya baada ya janga, unapaswa kupata maji safi kwa wahanga mapema mno,&#8221; alisema katika mahojiano. &#8221;Kama sivyo, watu wanaweza kwa ha&#341;aka sana kuugua kipindupindu, kuha&#341;a damu na kuha&#341;isha.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa sasa, Wo&#341;ld Vision inafanya kazi Myaung Mya, mji uliopo kilomita 50 kaskazini mwa Labutta, mji katika delta ambao uliathi&#341;ika vibaya kutokana na kimbunga. Imeanzisha makazi 26 katika mji huu, ambayo taya&#341;i yameshuhudia baadhi ya wahanga 30,000 wakiwasili wakitafuta msaada wa maji, chakua na huduma za afya. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), ambalo, kama ilivyo kwa Wo&#341;ld Vision, limeka&#341;ibishwa na se&#341;ikali ya kijeshi kusaidia wahanga wa kimbunga, na taya&#341;i limeshapeleka vidonge milioni tatu vya kusafishia maji kusaidia baadhi ya wahanga, na watoto. <\/p>\n<p>Vidonge hivyo, ambavyo vilipelekwa kwa ndege iliyobeba shehena ya dha&#341;ula, vina uwezo wa &#8221;kusafisha lita milioni tatu za maji machafu, ya kutosha mahitaji ya watu 200,000 kwa wiki moja,&#8221; linasema shi&#341;ika hilo la Umoja wa Mataifa. &#8221;Kutokana na ba&#341;aba&#341;a nyingi kubakia zimefungwa na vipande vya nyumba zilizoha&#341;ibiwa na miti, usambazaji wa vidonge vya kusafishia maji ni wa ha&#341;aka na unaofanya kazi zaidi kuliko kusambaza kiasi kikubwa cha maji safi.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini taya&#341;i UNICEF inakubali kuwa inakabiliwa na muda mfupi, kutokana na wataalam wake wa afya nchini humo kusema kuwa &#8221;asilimia 20 ya watoto katika eneo lililoathi&#341;ika zaidi taya&#341;i wanaha&#341;isha na kuandamwa na mala&#341;ia&#8221;. <\/p>\n<p>Wakosoaji wa Bu&#341;ma, hata hivyo, wanashangazwa na mtizamo wa se&#341;ikali ya kijeshi wa kutozingatia misaada kutolewa kwa mamilioni ya watu walioathi&#341;ika na janga kubwa la asili. Rikodi kama hiyo ya kuchukua hatua polepole ya kuweka taa&#341;ifa za janga hilo mbali na macho ya umma na kukataa misaada ya kimataifa imejitokeza hapo kabla. Mei mwaka 2004, kwa mfano, se&#341;ikali ya kijeshi &#8221;ilisubi&#341;i kwa siku 10 kutoa taa&#341;ifa kwa umma kuhusu kimbunga cha Mei 19 2004 katika Jimbo la A&#341;akan &ndash; kibaya zaidi kutokea Magha&#341;ibi mwa Bu&#341;ma katika kipindi cha miaka 40,&#8221; linasema ALTSEAN, shi&#341;ika la haki za binadamu Kusini&ndash;masha&#341;iki mwa Asia. &#8221;Katika siku hizo kufuatia (kimbunga cha Mala, ambacho kilipiga delta ya I&#341;&#341;awaddy Ap&#341;ili 2006), ili&#341;ipotiwa kuwa hakuna misaada iliyoandaliwa kwa waathi&#341;ika wa kimbunga.&#8221; <\/p>\n<p>Kukosekana kujali kwa waathi&#341;ika kulionekana wiki moja baada ya tsunami ya Desemba 2004, ambayo pia iliathi&#341;i delta ya Bu&#341;ma ya I&#341;&#341;awaddy. Se&#341;ikali ya kijeshi siyo tu kwamba imekataa misaada ya kimataifa lakini pia kuiambia dunia kuwa Bu&#341;ma ina &#341;asilimali kuanzisha jitihada zake za kutoa misaada. <\/p>\n<p>Mambo hayo yanaonyeshwa katika haba&#341;i zilizotolewa kuhusu Bu&#341;ma, na kuonyesha mawazo ya se&#341;ikali katika kukabiliana na janga la hivi ka&#341;ibuni. Katika zia&#341;a ya wazi&#341;i ambaye alitembelea eneo lililoathi&#341;ika katika delta eneo la mto lilijaa miili ya watu iliyovimba, ng&#8217;ombe, ngu&#341;uwe na mbwa. <\/p>\n<p>Alipoulizwa kuhusu viongozi wa ndani kuhusu mipango ya se&#341;ikali kusafisha chanzo cha maji, wazi&#341;i ali&#341;ipotiwa kukasi&#341;ika, na kusema, &#8221;Siyo suala lako.&#8221; Aliongeza: &#8221;Samaki katika bwawa watakula nyama na mifupa itazama chini ya mto.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BANGKOK, Mei 12 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya kijeshi ya Bu&#341;ma hivi ka&#341;ibuni inaweza kukabiliwa na madai ya ku&#341;uhusu makumi kwa maelfu ya watu wake kufa&#341;iki dunia kutokana na uki&#341;itimba kwa njia ya jitihada za kutoa misaada ya kimataifa kwa wahanga milioni moja wa kimbunga nchini humo. Wiki moja baada ya kimbunga cha Na&#341;gis kukumba delta&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":433,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2144","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2144","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/433"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2144"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2144\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2144"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2144"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2144"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}