{"id":2142,"date":"2008-05-12T13:40:01","date_gmt":"2008-05-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/12\/maendeleo-afrika-dhamia-ya-kisiasa-inahitajika-kutatua-mgogoo-wa-chakula\/"},"modified":"2008-05-12T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-12T13:40:01","slug":"maendeleo-afrika-dhamia-ya-kisiasa-inahitajika-kutatua-mgogoo-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/12\/maendeleo-afrika-dhamia-ya-kisiasa-inahitajika-kutatua-mgogoo-wa-chakula\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;AFRIKA: &#8220;Dhami&#341;a ya Kisiasa&#8221; Inahitajika Kutatua Mgogo&#341;o wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 9 (IPS) &ndash; Haja ya kukipatia kilimo kipaumbele cha juu katika o&#341;odha ya utekelezaji ya se&#341;ikali imeelezewa katika mkutano kwa njia ya simu kujadili mgogo&#341;o wa sasa wa chakula unaoathi&#341;i Af&#341;ika.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanasayansi watatu wa juu kutoka taasisi za utafiti wa kilimo walizungumza na waandishi wa haba&#341;i Alhamisi juu ya kuongezeka kwa bei za vyakula. Mkutano wa waandishi wa haba&#341;i pia ulihusu mikakati ambayo mataifa ya Af&#341;ika yangeweza kutumia kuongeza mavuno siku zijazo, na kuondokana na madha&#341;a ya mgogo&#341;o huo, na kukabiliana na tukio ambalo limesababisha mazao ya chakula kama vile ya mahindi na mchele kuendelea kuongezeka bei. <\/p>\n<p>&#8220;Katika kipindi kifupi tunahitaji a&#341;dhi yenye &#341;utuba,&#8221; alisema Dennis Ga&#341;&#341;ity, mku&#341;ugenzi mkuu wa kituo cha Wo&#341;ld Ag&#341;ofo&#341;est&#341;y Cent&#341;e, chenye makao yake katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>&#8220;Wakulima katika ba&#341;a la Af&#341;ika wanahitaji kwa kiasi kikubwa aina zote za &#341;utuba katika kuweza kufufua a&#341;dhi yao. Ba&#341;a hilo ni la chini kabisa katika matumizi ya mbolea, kwani wakulima wanatumia chini ya asilimia 10 ya mbolea inayohitajika kwa mazao.&#8221; <\/p>\n<p>Kutokana na kuongezeka kwa bei za mbolea kwa kasi mno kutokana na kupanda kwa bei za mafuta, se&#341;ikali zinapaswa kuingilia kati katika kubo&#341;esha ubo&#341;a wa a&#341;dhi: &#8220;Bei za mbolea za viwandani zimeongezeka ma&#341;a mbili au hata ma&#341;a tatu&#8230;Se&#341;ikali zinapaswa kutoa &#341;uzuku za mbolea za kiwandani ma&#341;a moja. Kwa kuongeza, wakulima wanapaswa kuwa na masoko. Hii itawahamasisha kuongeza uzalishaji wao,&#8221; Ga&#341;&#341;ity alisema. <\/p>\n<p>Wakulima katika ba&#341;a pia wanahitaji mafunzo ya jinsi ya ku&#341;ejesha &#341;utuba ya a&#341;dhi kwa njia zisizokuwa za gha&#341;ama kubwa, kama vile kupanda mazao ya aina ya mikunde kunde. Vifundo katika mizizi ya mazao haya vina bakte&#341;ia ambao wanaweza kuchukua hewa ya nit&#341;ogen kutoka kwenye anga na kuiunganisha na a&#341;dhi kwa faida ya mazao hayo na mengine. Nit&#341;ogen, ambayo ni muhinmu kwa viumbe hai wote, ipo kwa wingi katika anga; hata hivyo, viumbe hai wengi hawawezi kuitumia katika hewa.<\/p>\n<p>Kuna dalili kuwa Kenya inaweza kupata mafanikio katika masuala yaliyowekwa na Ga&#341;&#341;ity. <\/p>\n<p>Wiki hii, Rais Mwai Kibaki alizindua mfuko wa kutoa mikopo wa thamani ya baadhi ya dola milioni 48 kwa wakulima wa taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki, kwa kusaidiana na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo, Equity Bank &ndash; kampuni ya ndani &ndash; na Alliance fo&#341; a G&#341;een Revolution in Af&#341;ica, muungano wa kundi la wafadhili ambao una makao yake mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Mazao hafifu nchini Kenya yamahusishwa na, kwa sehemu, kukosekana kwa mifuko ya kutoa fedha za kununulia pembejeo. Mwaka huu, uzalishaji wa chakula umeathi&#341;ika kutokana na mvua haba na ghasia zilizotokana na uchaguzi wa &#341;ais wa Desemba 27. <\/p>\n<p>Mahitaji ya kubo&#341;esha mbegu pia yaliezewa katika mkutano huo. Ma&#341;ianne Banzige&#341;, mku&#341;ugenzi wa P&#341;og&#341;amu ya Mahindi ya Kimataifa katika Kituo cha Kubo&#341;esha Mahindi na Ngano cha Kimataifa (Cent&#341;o Inte&#341;nacional de Mejo&#341;amiento de Ma&iacute;z y T&#341;igo, CIMMYT), alisema kuwa asilimia 35 tu ya wakulima ba&#341;ani Af&#341;ika wanakuwa na mbegu bo&#341;a za mahindi &ndash; hii ni pamoja na tafiti kuonyesha kuwa mbegu bo&#341;a zinaweza kuhakikisha mavuno mazu&#341;i, na kusaidia kuondokana na uhaba wa chakula. <\/p>\n<p>CIMMYT ina ofisi yake nchini Mexico; hata hivyo, Banzige&#341; makao yake yako Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Papa Abdoulaye Seck, mku&#341;ugenzi mkuu wa Kituo cha Mpunga Af&#341;ika, alibainisha kuwa mikakati ya kubo&#341;esha kilimo &ndash; matumizi makubwa ya mbolea za viwandani na mbegu bo&#341;a, ikiwa ni pamoja na hatua nyingine &ndash; isingeweza kutekelezwa kwa kutengana. Usalama wa chakula utapatikana tu kwa kuwa na mfumo wa jumla katika kilimo, alisema. Kituo hicho kina makao yake makuu ya muda mjini Cotonou, Benin. <\/p>\n<p>Malawi inatoa ufafanuzi juu ya kile kinachoweza kutekelezwa katika mfumo kama huu. <\/p>\n<p>Taifa hili la Kusini mwa Af&#341;ika lilikabiliwa na uhaba wa chakula hadi miaka minne iliyopita, wakati Umoja wa Mataifa uliposaidia wakulima kupata mbolea za viwandani, mbegu bo&#341;a na mahitaji mengine ya kilimo. &#8220;Nchi hiyo ilijinasua kutoka kwenye njaa na kuanza kuzalisha ziada,&#8221; alisema Banzige&#341;. <\/p>\n<p>Mgogo&#341;o wa chakula unahusishwa na sababu kadhaa. Hizi ni pamoja na matumizi makubwa ya mazao kwa ajili ya nishati, kuongezeka kwa matumizi katika baadhi ya mataifa yanayoendelea ya Asia, kushindwa kwa mazao katika mataifa kadhaa, na kuongezeka kwa bei za mafuta. <\/p>\n<p>Kulingana na Benki ya Dunia, gha&#341;ama za jumla za vyakula ziliongezeka kwa zaidi ya asilimia 80 kimataifa kati ya Feb&#341;ua&#341;i 2005 na Feb&#341;ua&#341;i mwaka huu. Mgogo&#341;o huo umesababisha maandamano katika pande kadhaa za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Sisi (wanasayansi) tulitambua mwaka 1999 kuwa mgogo&#341;o wa chakula ungetokea. Uzalishaji wa chakula umebakia palepale wakati wakazi na mahitaji vimeongezeka. Leo hii tulitambua kuwa kulikuwa na magonjwa yanayokuja ambayo yangeathi&#341;i uzalishaji. Lakini ufumbuzi wa kisayansi unakuja kati ya miaka mitatu na 10,&#8221; alisema Banzige&#341;. <\/p>\n<p>&#8220;Dhami&#341;a ya kisiasa inahitajika kufikia ufumbuzi huu,&#8221; aliongeza, akizungumzia suala hilo ambalo pia liliongelewa na Ga&#341;&#341;ity. <\/p>\n<p>&#8220;Mgogo&#341;o utaamsha sekta ya kisiasa kukifanya kilimo ambacho kiliwahi kuwa na mafanikio kukipa kipaumbele kinachostahili,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mkutano huo uliandaliwa na Kundi la Ushau&#341;i wa Kitaalam katika Utafiti wa Kilimo wa Kimataifa, ambalo linakusanya nchi na mashi&#341;ika mbalimbali katika kusaidia vituo 15 vya utafiti duniani kote.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 9 (IPS) &ndash; Haja ya kukipatia kilimo kipaumbele cha juu katika o&#341;odha ya utekelezaji ya se&#341;ikali imeelezewa katika mkutano kwa njia ya simu kujadili mgogo&#341;o wa sasa wa chakula unaoathi&#341;i Af&#341;ika. Wanasayansi watatu wa juu kutoka taasisi za utafiti wa kilimo walizungumza na waandishi wa haba&#341;i Alhamisi juu ya kuongezeka kwa bei za&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":454,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2142","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2142","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/454"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2142"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2142\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2142"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2142"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2142"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}