{"id":2138,"date":"2008-05-09T13:40:01","date_gmt":"2008-05-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/09\/nisahati-benki-ya-dunia-ifc-wataka-kuwekeza-nje-ya-gidi-katika-afika\/"},"modified":"2008-05-09T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-09T13:40:01","slug":"nisahati-benki-ya-dunia-ifc-wataka-kuwekeza-nje-ya-gidi-katika-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/09\/nisahati-benki-ya-dunia-ifc-wataka-kuwekeza-nje-ya-gidi-katika-afika\/","title":{"rendered":"NISAHATI: Benki ya Dunia, IFC Wataka Kuwekeza Nje ya G&#341;idi katika Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Mei 5 (IPS) &ndash; Kampeni ya kimataifa ya kusdambaza umeme kwa moja ya nne ya wananchi wa Af&#341;ika inaingia katika du&#341;u mpya wiki hii kwa kuwa na mazungumzo ya kuleta wawekezaji zaidi katika soko ambalo halifikiwi na gi&#341;idi ya umeme katika ba&#341;a hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wawakilishi wa sekta ya umeme duniani, se&#341;ikali, mashi&#341;ika ya wafadhili, na mash&#341;iima yasikyokuwa ya ksie&#341;ikali watakutana mjini Acc&#341;a, Ghana kuanzia Jumanne kwa kile ambacho waandaaji wanakiita mkutano wa biasha&#341;a ya kimataifa kuhusu umeme wa nje ya g&#341;idi katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Tukio hilo ni sehemiu ya &#8220;Angaza Af&#341;ika&#8221; kampoeni iliyozinduliwa Septemba iliyopiuta na Benki ya dunia na kitengo chake cha sekta binafsi kijulikanacho kama Inte&#341;national Finance Co&#341;po&#341;ation (IFC). <\/p>\n<p>Mbali ya kuvutia wawekezaji kat&#341;ika soko linaloibukia la umeme usiokuwa wa g&#341;idi, mashi&#341;ika hayao yanapanga kutumia mkutano wa Ghana kusaidia makampuni kuanzisha biahs&#341;a ya kimkakati na ushi&#341;ika wa kifedha. <\/p>\n<p>Matatizo ya umeme yanaonekana kuwa kikwazo kikuu kinachozuia maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kukatika kwa umeme kunakabili sekta na kukimbiza wawekezaji, na mipango ya afya na elimu inapanda na kushuka katika upatikanaji wa sasa wa umeme mada&#341;asni au kuathi&#341;i utoaji wa chanjo. <\/p>\n<p>Ifikapo mwaka 2030, Angaza Af&#341;ika inataka kufikia watuy milioni 250 ambao hawana nishati na kuwandoa katika u&#341;tegemezi wa kutumia nishati za gha&#341;ama kubwa na za hata&#341;i. <\/p>\n<p>Kupanda kwa bei ya nishati ni lengo kuu la misheni hii, walisema waandaaji wa mazungumzo ya Mei 6&ndash;8. <\/p>\n<p>&#8220;Kuzidi kuongezeka kwa umeme wa bei nafuu na unaopatikana kiu&#341;ahisi ni muhimu kwa maendeleo ya Af&#341;ika,&#8221; alisema Anil Cab&#341;aal, mtaalam wa masuala ya umeme katika Benki ya Dunia. &#8220;Kusdubi&#341;i kupanua g&#341;idi ya umeme siyo chaguo, hasa kutokana na matatizo ya nishati.&#8221; <\/p>\n<p>Hata kabla makampuni ya ugavi na wateja wao hawajakabiliwa na kupanda kwa bei za umeme, ni asilimia 26 tu ya Waaf&#341;ika walikuwa na umeme. Katiuka baadhi ya nchi, takwimu inabakia kuwa chini kama asilimia 5. Kwa muda m&#341;efu g&#341;idi ya umeme ya Af&#341;ika imekuwa na sifa ya kukabiliwa na uchakavu wa mkiundoimbinu, tekonolojia ya kizamani na &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Waaf&#341;ika &#8220;maskini wa umeme&#8221; wanatumia baadhi ya dola bilioni 40 kwa mwaka katika nishati ya mafuta ambayo Benki ya Dunia inaielezea kama &#8220;ya gha&#341;ama kubwa, isiyofanya kazi vizu&#341;i, ya ubo&#341;a duni, [na] inayochafua mazingi&#341;a&#8221;. Niahsati inayotumiwa zaidi ni mafuta ya taa, ambayo benki inasema kuwa yanatumia asilimia 10&ndash;30 ya gha&#341;ama za kaya nzima katika Af&#341;ika kusini mwa jangwa la Saha&#341;a. <\/p>\n<p>Tangu miaka ya 1980, jitihada kubwa zimekuwa zikichukuliwa kuongeza wingi na upatikanaji wa nishati katika ba&#341;a &ndash; ikiwa ni pamoja na mi&#341;adi mikubwa ya miundombionu ya umeme iuliyoanzishwa na benki na IFC na kutekelezwa na mnakampuni ya kimataifa na ya ndani &ndash; zimeonekana kuwa na faida kidogo: Af&#341;ika inakaliwa na moja ya sita ya wakazi wote duniani lakini inazalisha asilimia nne tu ya umeme duniani kote. <\/p>\n<p>Kwa sasa, benki hiyo na IFC zinahamsisha njia mbadala kama vile taa zinazowaka kama umeme. Teknolojia zote hizo zinazalisha mwanga zaidi kwa kila wait moja kuliko taa za umeme wa kawaida zna zinadumu kwa muda m&#341;efu, pamoja na kwamba gha&#341;ama za awali ni kubwa zaidi. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, mashi&#341;ika hayo yanaja&#341;ibu kupounguza vikwazo vya kisiasa amnbavyo, kwa maoni yao, vinaingilkia jitihada za sekta binafasi katika kupenyeza kwenye soko la umeme usiokuwa wa g&#341;idi. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kujenga muungano kati ya pande zote katika sekta, tunata&#341;ajia kupunguza vikwazo na kuona matukio ambayo yanaweza kujitokeza ambazo zinakwenda sambamba na maendeleo ya soko ambalo halijagunduklika kjama hili,&#8221; alisema Monika Webe&#341;&ndash;Fah&#341;, meneja wa tawi la IFC la Uendelevu wa Ubunifu wa Kibiasha&#341;a. <\/p>\n<p>Katika mazungumzo ya Ghana, benki hiyo na IFC inata&#341;ajia kutangaza washindi wa mashindano ya kubuni na kuzalisha bidhaa za umeme. Halafu mashii&#341;ika hayo yatatafsi&#341;i mapendekezo ya mi&#341;adi itakayoishinda katika huduma halisi ambazo zinaonekana kuwa na gha&#341;ama nafuu kwa watuamiaji wa kipato cha chini kutgoka Af&#341;ika na yenye faida kwa makampuni. <\/p>\n<p>Pia litakaloongelewa katika mkutano huo ni utafiti wa maja&#341;ibio juu ya mahitaji ya walaji, tabia, na mamambo wanayopendelea nchini Ghana na Kenya. Utafiti wa nyongeza wa soko unafanyika nchini Ethiopia, Tanzania, na Zambia, kulingana na benki hiyo na IFC. <\/p>\n<p>Utafiti huu ni wa kwanza kuanza kuchunguza kile ambacho benki imekiita soko kubwa la bidhaa za umeme salama na zinazopatikana kiu&#341;ahisi ambazo ni za gha&#341;ama nafuu ikilinganishwa na taa zinazotumia nishati ya mafuta, nishati mbadala na vyanzo vya kimakanika. <\/p>\n<p>Wafadhili wakuu katika mkutano wa wiki hii ni pamoja na P&#341;og&#341;amu ya Kusaidia Usimamiaji wa Sekta ya Nishati, mshau&#341;i mtaalam katika masuala ya kiufundi iliyoanzishwa na Benki ya Dunia na Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa; Mfuko wa Mazingi&#341;a Duniani unaofadhiliwa na wahisani mbalimbali wa kimataifa; na Mfuko wa Ushau&#341;i wa Miundombinu kati ya Sekta Binafasi na ya Umma, ambao ulianzishwa na se&#341;ikali za Uinge&#341;eza na Japan, kwa msaada wa Benki ya Dunia, ku&#341;ahisha ushi&#341;iki wa sekjta binafsi katika jitihada za maendeleo zinazofadhiliwa na mashi&#341;ika ya umma. <\/p>\n<p>Wahusika wengine katika uwekezaji wa nishati mbadala ni Good Ene&#341;gies Inc.; se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza, Luxembu&#341;g, Uholanzi, na No&#341;way; na Tume ya Ulaya; na Renewable Ene&#341;gy and Ene&#341;gy Efficiency Pa&#341;tne&#341;ship, mtandao wa wanaha&#341;akati wa se&#341;a za umma wenye makao yake nchini Aust&#341;ia unaofadhiliwa na se&#341;ikali za wahisani. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Mei 5 (IPS) &ndash; Kampeni ya kimataifa ya kusdambaza umeme kwa moja ya nne ya wananchi wa Af&#341;ika inaingia katika du&#341;u mpya wiki hii kwa kuwa na mazungumzo ya kuleta wawekezaji zaidi katika soko ambalo halifikiwi na gi&#341;idi ya umeme katika ba&#341;a hilo. Wawakilishi wa sekta ya umeme duniani, se&#341;ikali, mashi&#341;ika ya wafadhili, na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":381,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2138","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2138","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/381"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2138"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2138\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2138"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2138"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2138"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}