{"id":2129,"date":"2008-05-07T13:40:01","date_gmt":"2008-05-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/afrika-kazi-ya-ugani-ni-muhimu-na-haithaminiwi\/"},"modified":"2008-05-07T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-07T13:40:01","slug":"afrika-kazi-ya-ugani-ni-muhimu-na-haithaminiwi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/afrika-kazi-ya-ugani-ni-muhimu-na-haithaminiwi\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Kazi ya Ugani Ni Muhimu na Haithaminiwi"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 27 (IPS) &ndash; Wakati huu wa wasiwasi wa kimataifa kuhusu mustakabali wa usambazaji wa chakula duniani, ni maoni ambayo yanafanya kunyamaza kidogo na kufiki&#341;i: &#8220;Nafundisha wanafunzi wa kilimo na ugani lakini wengi wao wanachagua fani nyingine, hususani ICTs, kutokana na kwamba kilimo ni kwa ajili ya &#8216;wale ambao hawajaenda shule&#8217;.&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Washington Ochola, mhadhili mwandamizi wa kilimo endelevu na maendeleo vijijini katika Chuo Kikuu cha Ege&#341;ton, ka&#341;ibu na Nai&#341;obi, alitoa maoni hayo katika uzinduzi wa ka&#341;ibuni katika mji mkuu wa Kenya wa matokeo ya utafiti wa Inte&#341;national Assessment of Ag&#341;icultu&#341;al Science and Technology fo&#341; Development (IAASTD). Mpango huu wa miaka mitatu unakusanya maoni ya pande zinazohusika katika sekta kiufanisi zaidi na kiundelevu. <\/p>\n<p>Mbali zaidi ya kuwa wafungwa wa wale ambao hawana elimu ya shule, hata hivyo, kazi ya ugani inahitaji utaalam mkubwa kwa wale wanaoitumia, kwani wakulima wanakabiliwa na matatizo ambayo yangeweza kuwa makubwa mno vizazi vilivyopita: shinikizo la kufanya kazi katika soko la utandawazi, kwa mfano, au kuzalisha mazao wakati VVU\/UKIMWI unaangamiza nguvukazi ya vijijini. Wafanyakazi wa ugani kijadi wamekuwa kama kiunganishi kati ya watafiti ambao wanabuni teknolojia mpya na wakulima amnbao wanatekeleza mipango hii. <\/p>\n<p>Jinsi gani mamlaka nchini Kenya &ndash; na mahali pengine ba&#341;ani Af&#341;ika &ndash; yanakabiliana na changamoto za kuzalisha ujuzi wa wafanyakazi wa ugani na kuwezesha wale ambao taya&#341;i wanafanya vizu&#341;i kusaidia zaidi katika kujua kama kilimo kinafikia malengo katika ba&#341;a. Pia itahitaji kukuza zaidi hadhi ya wanataaluma mbali ya kutoa taa&#341;ifa na teknolojia ya mawasiliano kwa waaji&#341;iwa; kuongeza bajeti ya kazi ya ugani kunaweza kuonekana kuwa muhimu. <\/p>\n<p>&#8220;Wafanyakazi wa ugani wapo, lakini hakuna vifaa kuwawezesha kutoa huduma kwa wakulima,&#8221; Daniel Otunge wa Inte&#341;national Se&#341;vice fo&#341; the Acquisition of Ag&#341;i&ndash;Biotech Applications (ISAAA) aliiambia IPS. ISAAA, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali yenye makao yake mjini Nai&#341;obi, inajihusisha na kazi za ugani kwa kilimo cha ndizi na kupanda miti aina ya mika&#341;atusi. <\/p>\n<p>&#8220;Bila ya kuwa na pikipiki, kwa mfano, mfanyakazi wa ugani hawezi kufikia wakulima muhimu.&#8221; <\/p>\n<p>Mawasilino kati ya vikundi mbalimbali vya wafanyakazi wa ugani pia yanahitaji kubo&#341;eshwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna kukosekana kwa mfumo wa pamoja katika kazi ya ugani,&#8221; alisema Ochola, ambaye alifanya kazi kama mmoja wa waandishi wa &#341;ipoti ya IAASTD juu ya kilimo katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. &#8220;Hii inasababisha ku&#341;udia au kugongana kwa dhana, na hivyo kuwachanganya wakulima. Kwa mfano, makampuni ya suka&#341;i yana wafanyakazi wa ugani na pia se&#341;ikali ina wafanyakazi wa ugani ambao wanalenga wakulima hao hao!&#8221; <\/p>\n<p>Wakati kazi ya ugani ma&#341;a nyingi imekuwa na faida kubwa, wakulima wa mazao ya biasha&#341;a, wameonekana kutokuwa na ufanisi kwa wakulima wadogo, na kilimo cha mseto. Wakulima wadogo wadogo hawana &#341;asilimali za kushughulika na wafanyakazi wa ugani kwa ajili ya mazao mbalimbali na wanyama, alisema Ochola. Wakulima wakubwa ambao wanasimamia mazao machache wanajikuta ikiwa &#341;ahisi kuwasiliana na wafanyakazi. <\/p>\n<p>Lakini, hata wale ambao wanaendesha kilimo kikubwa wanaweza wasipokee ushau&#341;i mzu&#341;i zaidi. <\/p>\n<p>&#8220;Matokeo mengi ya utafiti hayafikii wakulima kwa wakati mzu&#341;i na katika fomati nzu&#341;i kutokana na kukosekana kwa umakini katika kuandaa taa&#341;ifa na kuwa na taa&#341;ifa za kilimo zinazofaa na usimamiaji wa maa&#341;ifa,&#8221; alisema Ochola. <\/p>\n<p>Zaidi ya hapo, &#8220;Wafanyakazi wa ugani wanaoendeshwa na wafadhili wanaweka ajenda, na ma&#341;a nyingi hawa wanakwenda kinyume na mata&#341;ajio ya wakulima.&#8221; <\/p>\n<p>Washi&#341;iki wengine katika uzinduzi wa IAASTD mjini Nai&#341;obi walijenga picha ya wafanyakazi wa ugani ambao ujuzi wao ulikuwa wa kizamani mno: &#8220;Nadhani kutokana na kwamba wameletwa katika mikoa hii baada ya kuhitimu kutoka chuoni, wengi wao bado hawajaongeza elimu zao, na kuanza kunywa pamoja na wananchi &ndash; na kusahau kujiendeleza na tafiti na teknolojia mpya.&#8221; <\/p>\n<p>Tamaduni za kizamani pia zinahusika. Kulingana na &#341;ipoti ya IAASTD ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, asilimia 83 ya wafanyakazi wa ugani katika kanda ni wanaume ambao wanaweza kuzuiliwa au kukatishwa moyo kushughulika na wakulima wa kike kutokana na vikwazo vya kitamaduni. Hii imekuja pamoja na wanawake kuwa asilimia 70 ya wafanyakazi wa mashambani katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. <\/p>\n<p>Anabainisha Mwenyekiti mwenza wa IAASTD Judi Wakhungu, &#8220;Mfanyakazi wa ugani anazungumza na mwanaume kwasababu ha&#341;uhusiwi kuchangamana na wanawake katika jamii hiyo. Mwanaume siyo mkulima, na ujumbe ambao haufikii shabaha, na kukosa lengo la ufanyakazi wa ugani.&#8221; <\/p>\n<p>Wakhungu pia ni mku&#341;ugenzi mtendaji wa Kituo cha Af&#341;ika cha Mafunzo ya Teknolojia (ACTS), chenye makao yake mjini Nai&#341;obi. ACTS ilisimamia kuandaliwa kwa tathmini ya IAASTD katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. <\/p>\n<p>Matokeo yake matatizo yote haya ni sekta ya kazi ya ugani ambayo inashindwa kupata mafanikio. <\/p>\n<p>&#8220;Kazi ya ugani inaungwa mkono na wafadhili na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali na inapatikana katika kanda nzima, lakini wafanyakazi hawazingatii mahitaji ya wakulima yanayobadilika, na hivyo kutokuwa na matokeo ya kazi yao,&#8221; alisema Ochola. <\/p>\n<p>Hata hivyo, haja ya kuwepo kwa kila jitihada za kubo&#341;esha kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika kunaweza kutokuwa wazi. Kama ambavyo IAASTD inaonyesha, kilimo kinachangia ka&#341;ibu theluthi ya pato la taifa katika Af&#341;ika Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a, hata hivyo asilimia 30 ya watu wanaoishi katika ukanda huo wanakabiliwa na njaa. Kati ya mwaka 1970 na 1980, mavuno yalishuka au kubakia vile vile &ndash; hata kama wakazi waliongezeka. <\/p>\n<p>Ufumbuzi unaowezekana <\/p>\n<p>Katika kuhakikisha kuwa wanawake wengi zaidi wanapatiwa mafunzo, na kubakia katika kilimo, ili wafanyakazi wa ugani waweze kupata mafanikio zaidi katika kutafutia ufumbuzi wa kazi ya ugani. <\/p>\n<p>Kuwapatia wafanyakazi hao ujuzi wa kila aina na kuwa na uwezo wa kutoa ushau&#341;i juu ya mazao aina mbalimbali na wanyama kungeweza kufaidisha wale wanaoendesha kilimo kidogo kidogo na kile cha mseto. <\/p>\n<p>Maoni haya yana&#341;ejewa katika utafiti wa mwaka 2005 uliofanywa na Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO). &#8220;Mabadiliko ya mapambo katika mifumo ya sasa ya ugani ya kitaifa yatakuwa na faida ndogo, kwani itakuwa ni mafunzo yaliyo&#341;udiwa kwa wafanyakazi juu ya masomo ya kilimo. Kama ilivyo kwa fa&#341;asi aliyekufa,&#8221; unabainisha wa&#341;aka, ujulikanao kwa jina la &#8216;Mode&#341;nizing National Ag&#341;icultu&#341;al Extension Systems: A P&#341;actical Guide fo&#341; Policy&ndash;Make&#341;s of Developing Count&#341;ies&#8217;. <\/p>\n<p>Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na FAO: kuundwa kwa se&#341;a ya kitaifa juu ya kazi ya ugani ambayo inaweza kuhakikisha ahadi za kisiasa na kifedha katika sekta hiyo, na kuhamasisha ushi&#341;iki wa &#8220;kuanzia chini kwenda juu&#8221; wa wakulima kuhakikisha ugani unakidhi mahitaji yao wakati huo huo ukiendeleza fu&#341;sa ya &#8220;mfumo wa juu kwenda chini katika kukuza mbinu bo&#341;a za umma kama vile uhifadhi wa &#341;asilimali za asili na kulinda mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Kiwango cha elimu cha wakulima wenyewe kinaweza kuhitaji kubo&#341;eshwa, kusaidia waweze kutumia kiu&#341;ahisi wafanyakazi wa ugani. &#8220;Kama kutakosekana wakulima wengi wenye elimu, ni vigumu ku&#341;ahisisha matokeo ya kisayansi na kwa wao kufuata maelekezo,&#8221; alisema Ochola. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya FAO: &#8220;Muda ni muafaka kwa watunga se&#341;a katika nchi zinazoendelea kukosoa na kupitia upya fani ya ugani kuweza kuendana na hali ya kimataifa&#8230;&#8221; <\/p>\n<p>Njia mbadala ya tathmini hiyo  Hali ambapo wafanyakazi wa ugani wanakuwa kiungo dhaifu katika muunganiko wa se&#341;ikali na watafiti.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 27 (IPS) &ndash; Wakati huu wa wasiwasi wa kimataifa kuhusu mustakabali wa usambazaji wa chakula duniani, ni maoni ambayo yanafanya kunyamaza kidogo na kufiki&#341;i: &#8220;Nafundisha wanafunzi wa kilimo na ugani lakini wengi wao wanachagua fani nyingine, hususani ICTs, kutokana na kwamba kilimo ni kwa ajili ya &#8216;wale ambao hawajaenda shule&#8217;.&#8221; Washington Ochola, mhadhili&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":454,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2129","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2129","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/454"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2129"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2129\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2129"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2129"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2129"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}