{"id":2127,"date":"2008-05-07T13:40:01","date_gmt":"2008-05-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/biashara-unctad-yapata-fusa-ya-kusikia-hali-ya-usawa-wa-kijinsia-inazidi-kuwa-mbaya-na-mzui\/"},"modified":"2008-05-07T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-07T13:40:01","slug":"biashara-unctad-yapata-fusa-ya-kusikia-hali-ya-usawa-wa-kijinsia-inazidi-kuwa-mbaya-na-mzui","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/biashara-unctad-yapata-fusa-ya-kusikia-hali-ya-usawa-wa-kijinsia-inazidi-kuwa-mbaya-na-mzui\/","title":{"rendered":"BIASHARA: UNCTAD Yapata Fu&#341;sa ya Kusikia Hali ya Usawa wa Kijinsia Inazidi Kuwa Mbaya &ndash; na Mzu&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>ACCRA, Ap&#341;ili 24 (IPS) &ndash; Njia pekee ambayo maskini, hususani wanawake wanaweza kufaidika nayo kutokana na jitihada zote za Taasisi ya Biasha&#341;a na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNCTAD) katika kubo&#341;esha biasha&#341;a ya kimataifa ni kuhakikisha kuwa masuala ya kukosekana kwa usawa yanatafutiwa ufumbuzi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Haya ni matamshi ya Esthe&#341; Busse&#341;, mshau&#341;i wa se&#341;a za biasha&#341;a wa asasi yenye makao yake makuu mjini Geneva ya Shi&#341;ikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani, ambaye anahudhu&#341;ia mkutano wa 12 wa UNCTAD mjini Acc&#341;a, Ghana. Mkutano ulianza Ap&#341;ili 20 na kumalizika kesho (Ap&#341;ili 25). Shi&#341;ikisho hilo ni asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGO) inayofanya kazi katika kutetea haki za wafanyakazi. <\/p>\n<p>Katika mahojiano na IPS alisema kuwa viongozi wa UNCTAD hapo awali hawakuwa na dhami&#341;a ya kisiasa kuchukua maamuzi ambayo yatafaidisha maskini. UNCTAD inapaswa kuangalia jinsi gani biasha&#341;a hu&#341;ia inaweza kuathi&#341;i maskini, hususani wanawake, na &#8221;kuondokana na mambo ya biasha&#341;a na uwekezaji&#8221;. <\/p>\n<p>Mshau&#341;i maalum wa masuala ya jinsia na msaidizi wa katibu mkuu Rachel Mayanja, alisema katika mkutano kuwa UNCTAD inapaswa kusaidia se&#341;ikali kuandaa mipango ambayo ingehakikisha usawa wa kijamii katika zama za utanadawazi usiokuwa na usawa. <\/p>\n<p>Hili lilihitajika kuondoa watu maskini, wanawake na makundi mengine ya pembezoni kutokana na kuendelea kwa vikwazo vinavyohusiana na aji&#341;a, uamuzi na upatikanaji wa fedha. <\/p>\n<p>&#8221;Kama dunia haitawekeza katika se&#341;a za kutafutia ufumbuzi wa madha&#341;a ya utanadawazi na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi na kupunguza umaskini, maskini wataendelea kuishi mbali na dunia,&#8221; Mayanja alisema katika mjadala wa utandawazi, maendeleo na kupunguza umaskini. <\/p>\n<p>Alionya kuwa nchi chache, maskini na taji&#341;i, zinaweza kujikinga na wimbi la kukosekana kwa usawa duniani, na hivyo kufanya kuwa suala muhimu kwa uchumi na se&#341;a za kijamii na taasisi ambazo zitaongeza jitihada za kupunguza kuongezeka kwa pengo la kukosekana kwa usawa wa kijinsia na kijamii. <\/p>\n<p>&#8221;Katika suala la wanawake na usawa wa kijamii,&#8221; Mayanja alisema, &#8221;pamoja na baadhi ya mifano chanya ya utandawazi kuweza kuongeza fu&#341;sa za aji&#341;a na kuima&#341;isha makundi na mitandao ya kusaidia wanawake, pia umesababisha au kuchochea kukosekana kwa usawa wa kijinsia.&#8221; <\/p>\n<p>Siyo tu kwamba wanawake wanabeba mzigo mkubwa wa umaskini duniani lakini katika baadhi ya mifano ya utandawazi umeongeza pengo, huku wanawake wakipoteza aji&#341;a, faida na haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8221;Hivyo, usawa wa kijinsia kama lengo na, kama njia ya kufikia shabaha za maendeleo zilizokubalika kimataifa, uliongeza kiwango cha umuhimu na uha&#341;aka,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mayanja alihitimisha kwa kusema kuwa se&#341;a zinapaswa kuzingatia jinsia. Zililipaswa kukuza uwezo wa wanawake katika ngazi zote za shughuli za maendeleo. Hili litawezesha &#8221;kwenda umbali wa kuweza kuondokana na kukosekana kwa usawa&#8221;. <\/p>\n<p>Supachai Panitchpakdi, katibu mkuu wa UNCTAD, jana alitoa wito wa kuingizwa kwa jinsia kama sehemu ya takwimu za aji&#341;a ambazo zinafuatilia madha&#341;a ya biasha&#341;a hu&#341;ia. Pia alipendekeza kuwa uwezo wa kujenga biasha&#341;a uzingatie jinsia. <\/p>\n<p>Busse&#341; alisema kuwa, &#8221;katika nchi nyingi duniani, hususani katika ukanda wa kuzalisha biasha&#341;a za kuuza nje, wafanyakazi hawaja&#341;uhusiwa kujikusanya wenyewe. Hii imesababisha kunyanyaswa kwa wafanyakazi, na kusababisha kupata uji&#341;a mdogo sana. <\/p>\n<p>&#8221;Ni wanawake ambao wanateseka zaidi kutokana na kuwa hawajajikusanya na hivyo kukosa sauti (ya kutoa upinzani),&#8221; Busse&#341; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Be&#341;nice Chenge, mfanyakazi katika kiwanda cha nguo kutoka Zambia ambaye alihudhu&#341;ia baadhi ya shughuli zilizofanywa na asasi zisizokuwa za kise&#341;ikali katika mkutano huo, alikubaliana na Busse&#341;. <\/p>\n<p>&#8221;Wakati kampuni ya kigeni ilipofungua kampuni ya nguo nchini Zambia katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Lusaka, wanawake ambao walikuwa ndiyo waaji&#341;iwa wengi walilipwa chini ya mshaha&#341;a wa kitaifa. Tulipoja&#341;ibu kulalamika kwa mamlaka, baadhi yetu tulionekana kuwa waasi na hivyo kufukuzwa kazi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Shi&#341;ikisho la Kimataifa la Vyama vya Wafanyakazi kwa kupitia mawasiliano yake na wafanyakazi duniani kote lilikuta kuwa wakati UNCTAD inaja&#341;ibu kuondokana na vikwazo vya biasha&#341;a, haiundi mifumno yoyoye ile kulinda wafanyakazi, alisema Busse&#341;. <\/p>\n<p>Matokeo yake, ni makampuni makubwa ambayo yanaendelea kuvuna faida za biasha&#341;a hu&#341;ia. Kwa mfano ingekuwa kahawa, nafaka na biasha&#341;a ya ndizi. <\/p>\n<p>M&#341;atibu wa se&#341;a za biasha&#341;a ya kimataifa ya Actionaid Aftab Alam Khan alisema kilimo kipo, &#8221;katika moyo wa masuala ya bidhaa. Makampuni ya kimataifa yanahodhi sekta, na kulazimisha mambo (ya biasha&#341;a) na madha&#341;a mabaya yanayoathi&#341;i bidhaa &ndash;nchi tegemezi zinazoendelea wakati zikivuna faida isiyokuwa ya usawa kutoka kwa mfumo wa usambazaji. ActionAid ni NGO ya kupambana na umaskini. <\/p>\n<p>Utafiti uliofanywa na Actionaid na Kituo cha Kati unaonyesha kuwa makampuni matatu yanayofanya biasha&#341;a ya kahawa yalishikilia nusu ya soko la dunia mwaka 1998 wakati mwaka 2002 ni makampuni mawili tu yalidhibiti &#341;obo tatu ya biasha&#341;a ya nafaka duniani na mengine mawili, nusu ya biasha&#341;a ya ndizi. <\/p>\n<p>Hali hiyo imetoa nguvu zaidi kwa bodi za vyama vya ushi&#341;ika. Busse&#341; alisema, &#8221;se&#341;ikali zinapoteza udhibiti wao wa kisiasa na haiwezi kutoa ulinzi wa kijamii ambao unaweza kuhakikishia wafanyakazi haki zao.&#8221; <\/p>\n<p>Se&#341;ikali nyingi zinaonekana kujua tatizo lakini hazijui jinsi ya kusawazisha mazingi&#341;a muhimu kwa ukuaji wa kiuchumi na wakati huo huo kushinikiza kupatikana kwa usawa wa kijamii, jambo ambalo maskini na watu wanyonge katika jamii wanalihitaji. <\/p>\n<p>Rais wa Finland Ta&#341;ja Halonen alisema se&#341;ikali hazihitaji kuchagua maendeleo katika haki ya kijamii, kwasababu mambo hayo mawili yanapaswa kwenda pamoja. <\/p>\n<p>&#8221;Kuwapa uwezo wanawake kutoa maamuzi na kuwa washi&#341;ika sawa katika nguvukazi na mazingi&#341;a ya biasha&#341;a, ni njia ya uhakika kwa nchi kuima&#341;isha mafanikio ya kijamii na kukuza ushindani.&#8221; <\/p>\n<p>Halonen aliongeza, &#8221;se&#341;ikali zinapaswa kufanya kazi zaidi kuhamasisha na kusaidia wanawake vijana na wasichana kuwa na jukumu kubwa katika nyanja zote za kijamii, ikiwa ni pamoja na kukuza fu&#341;sa za elimu.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ACCRA, Ap&#341;ili 24 (IPS) &ndash; Njia pekee ambayo maskini, hususani wanawake wanaweza kufaidika nayo kutokana na jitihada zote za Taasisi ya Biasha&#341;a na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNCTAD) katika kubo&#341;esha biasha&#341;a ya kimataifa ni kuhakikisha kuwa masuala ya kukosekana kwa usawa yanatafutiwa ufumbuzi. Haya ni matamshi ya Esthe&#341; Busse&#341;, mshau&#341;i wa se&#341;a za biasha&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":378,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2127","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2127","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/378"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2127"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2127\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2127"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2127"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2127"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}