{"id":2126,"date":"2008-05-07T13:40:01","date_gmt":"2008-05-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/biashara-malawi-kama-epas-ni-nzui-kwa-nini-kulazimisha-kusainiwa\/"},"modified":"2008-05-07T13:40:01","modified_gmt":"2008-05-07T13:40:01","slug":"biashara-malawi-kama-epas-ni-nzui-kwa-nini-kulazimisha-kusainiwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/05\/07\/biashara-malawi-kama-epas-ni-nzui-kwa-nini-kulazimisha-kusainiwa\/","title":{"rendered":"BIASHARA&ndash;MALAWI: &#8221;Kama EPAs Ni Nzu&#341;i, Kwa Nini Kulazimisha Kusainiwa &#8221;"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Wakati Umoja wa Ulaya (EU) umetaka kukamilika kwa mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPAs) mapema iwezekanavyo, se&#341;ikali ya Malawi imekuwa ikijiweka mbali na mpango huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ta&#341;ehe ya mwisho ya EPAs ya mwaka jana ilipita bila Malawi kutia saini &ndash; ikilinganishwa na mataifa mengine ya Af&#341;ika kama vile Ghana, Cote d&#8217;Ivoi&#341;e na wanachama wengine wa Muungano wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika, ukiondoa Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Malawi ilionyesha kuwa ilikuwa ikitumia muda wake ikiangalia maana halisi ya EPAs, kutokana na kuhofia kujifunga katika mkataba huo ambao unaweza usiwe mzu&#341;i kwa taifa. EPAs ni mipango yenye lengo la kuifanya biasha&#341;a kati ya EU na mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) kuwa hu&#341;ia. <\/p>\n<p>Katibu wa Biasha&#341;a Kumwembe aliiambia IPS mwezi uliopita kuwa Malawi haitaki kukimbilia katika kutia saini mkataba huo bila ya kufiki&#341;ia kwa undani njia zote za ushau&#341;iano katika ngazi za se&#341;ikali. <\/p>\n<p>&#8221;EPA siyo mkataba wa muda mfupi. Hili ni suala ambalo Malawi italishughulikia kwa muda m&#341;efu. Hivyo hatuwezi kukimbilia kutoa uamuzi ambao unaweza kutufanya kujilaumu baadaye,&#8221; alionya Kumwembe. <\/p>\n<p>Kutokana na jambo hilo &#8221;mkataba muhimu wa biasha&#341;a&#8221;, wiza&#341;a ya biasha&#341;a, ambayo imeshi&#341;iki moja kwa moja katika mazungumzo ya biasha&#341;a, inapaswa kupitia njia zote za kiutawala katika se&#341;ikali jambo ambalo lina maana ya kupata ushau&#341;i kutoka se&#341;ikali nzima. <\/p>\n<p>Kumwembe alitaja wiza&#341;a ya mambo ya kigeni nchini humo na ba&#341;aza la mawazi&#341;i kama moja ya makundi muhimu ambayo yanapaswa kuangalia na kutoa maoni juu ya kama nchi inapaswa kusaini EPA au hapana. <\/p>\n<p>&#8221;Huwezi kujadili mpango ambao haujakamilika. Tunataka kutia saini mkataba ambao hautakuwa na mapungufu na hii ndiyo sababu tunataka kuwa na ushau&#341;iano kamilifu,&#8221;aliongeza Kumwembe. <\/p>\n<p>Ushau&#341;ino wa se&#341;ikali ya Malawi unaweza kuchukua &#8220;muda m&#341;efu mno&#8221; na hakuna muda uliowekwa ili maamuzi yaweze kuchukuliwa. &#8221;Inaweza kuchukua muda kabla sisi, kama nchi hatujawa na uhakika nini tunakwenda kufanya katika EPA,&#8221; alisema Kumwembe. <\/p>\n<p>Mwanzoni mwa mwezi huu Rais wa Malawi Bingu wa Mutha&#341;ika alisema katika mkutano wa waandishi wa haba&#341;i kuwa hata&#341;uhusu Malawi kutia saini EPA kutokana na kwamba haitakuwa na faida kwa wananchi wa Malawi. Badala yake, unata&#341;ajiwa kuwa na hasa&#341;a kwa nchi. <\/p>\n<p>Mutha&#341;ika aliendelea mbele zaidi ya kushutumu &#8220;ubebe&#341;u&#8221; wa EU. <\/p>\n<p>Alipinga msimamo wa EU kuwa watiaji saini wa EPA watasaidiwa na pesa kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (EDF). <\/p>\n<p>&#8221;Huu ni ubebe&#341;u unaofanywa na EU ambao tunapaswa kukabiliana nao kwasababu ufadhili wa EDF hauna uhusiano na masha&#341;ti ya EPA. Wanafanya hivi ili kutoa adhabu kwa wale ambao hawatatia saini mikataba yao. Sasa, kama mikataba ni mizu&#341;i, ni kwa nini wanalazimisha watu kuitia saini &#8221; aliuliza Mutha&#341;ika.<\/p>\n<p>Uamuzi wa se&#341;ikali ungeweza kuwa na maana kwamba inapigia magoti shinikizo lililotoka kwa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) 10 nchini humo. Wamekuwa wakipinga dhidi ya kutia siani EPA katika muundo wake wa sasa tangu mapema mwaka jana. <\/p>\n<p>Mwezi Ap&#341;ili 2007 vyama vitano vya ki&#341;aia viliandika ba&#341;ua kwa &#341;ais wa EU Angela Me&#341;kel, vikidai kuwa EPAs itazuia Malawi na mataifa mengine maskini kulinda viwanda vyao vya ndani na ushu&#341;u na mambo mengine. <\/p>\n<p>Mtandao wa Malawi Economic Justice Netwo&#341;k (MEJN), ambao unahusisha NGOs zinazotetea haki ya biasha&#341;a, ni moja ya mashi&#341;ika ambayo yamekuwa yakipinga kutiwa saini kwa EPAs. <\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi mtendaji wa MEJN And&#341;ew Kumbati&#341;a aliiambia IPS kuwa, &#8221;se&#341;ikali inapaswa kutokutia saini mkataba huu katika muundo wake wa sasa. Masuala muhimu ya maendeleo na upande mwingine wa kupewa huduma hayajaangaliwa kuweza kukidhi matakwa ya Malawi&#8221;. <\/p>\n<p>Alisema Malawi ingehitaji mtaji wa hadi eu&#341;o bilioni 5.7 kuweza kukabiliana na vikwazo vya upande wa kutoa huduma na ma&#341;ekebisho mengine ya gha&#341;ama kama inatakiwa kufaidi kutokana na mapendekezo ya mkakati wa biasha&#341;a wa EPA. <\/p>\n<p>&#8221;Lakini hakuna makubaliano ya wazi katika aina ya sasa ya EPA juu ya jinsi &#341;asilimali hizi zinaweza kupatikana kwetu,&#8221; alisema Kumbati&#341;a. <\/p>\n<p>Bila ya kuwa na &#341;asilimali, Malawi itaingia katika mshtuko ambao unafanyika katika masoko ya bidhaa muda hadi muda. <\/p>\n<p>Kumbati&#341;a pia alisema EU inataka kushi&#341;ikiana na Wamalawi katika mkataba ambao unapunguza kasi ya kise&#341;a ya nchi hiyo kuweza kufiki&#341;ia mikataba mingine na ambayo ina faida zaidi za kiuchumi na kanda nyingine. <\/p>\n<p>&#8221;Asia ni nguvu ya kiuchumi inayoibukia ambayo inaweza kuja kuwa chaguo muhimu la Malawi,&#8221; alisema Kumbati&#341;a. Alikuwa na mashaka kuwa Malawi ilikuwa ikitakiwa, chini ya EPAs, kufungua soko lake kwa asilimia 80 katika biasha&#341;a zake zote na EU. <\/p>\n<p>&#8221;Hii ina maana kuwa soko la Malawi litawekwa katika ushindani wa moja kwa moja na soko la Ulaya. Hili litakuwa suala ambalo siyo la haki kwa nchi yetu ndogo kwani sisi ni uchumi unaoibukia tu. EPAs zinaweza kuangamiza kiu&#341;ahisi fu&#341;sa kubwa ya kupata maendeleo ambayo tunayo.&#8221; <\/p>\n<p>Suala linalovutia, kamati ya bunge la Malawi kuhusu biasha&#341;a taya&#341;i imeshapitisha kutiwa saini kwa EPA ya muda katika biasha&#341;a ya bidhaa. Mkataba huo wa muda mfupi una lengo la kuha&#341;ibika kwa biasha&#341;a kati ya mataifa ya Kiaf&#341;ika na EU, kufuatia kumalizika kwa Mkataba wa Cotonou mwishoni mwa mwaka jana. <\/p>\n<p>Kutiwa saini kwa EPAs awali kulipangwa kufanyika mwishoni mwa mwaka jana lakini mawazi&#341;i kutoka kanda ya Af&#341;ika Masha&#341;iki na Kusini (ESA), ambayo Malawi inapaswa kuwa katika upande huo, walisema katika mkutano wa mashau&#341;inao wa mawazi&#341;i wa ESA na Tume ya Ulaya mjini B&#341;ussels Novemba mwaka jana kuwa siyo suala la kiutendaji kufanya hivyo. <\/p>\n<p>Kumbati&#341;a alitoa wito katika mkutano wa B&#341;ussels wa viongozi wa Af&#341;ika wa kufanya kazi zaidi ya mashau&#341;ino hadi mikataba hiyo inafanyiw ama&#341;ekebisho. <\/p>\n<p>&#8221;Kwa kupitia Umoja wa Af&#341;ika, viongozi wa Af&#341;ika walisisitiza umuhimu wa biasha&#341;a na ushi&#341;ikiano wa maendeleo katika ushi&#341;ikiano wanaouendesha na EU. <\/p>\n<p>&#8221;Walisema kuwa sasa kuliko kipindi chochote kile, Af&#341;ika inahitaji ushi&#341;ikiano wa kiuchumi ambao utashuhudia watu wake wakipata maendeleo ya kiuchumi, na hali nzu&#341;i ya maisha ikiwa ni pamoja na utu wao kama binadamu,&#8221; alisema Kumbati&#341;a. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Wakati Umoja wa Ulaya (EU) umetaka kukamilika kwa mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPAs) mapema iwezekanavyo, se&#341;ikali ya Malawi imekuwa ikijiweka mbali na mpango huo. Ta&#341;ehe ya mwisho ya EPAs ya mwaka jana ilipita bila Malawi kutia saini &ndash; ikilinganishwa na mataifa mengine ya Af&#341;ika kama vile Ghana, Cote d&#8217;Ivoi&#341;e&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":389,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2126","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2126","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/389"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2126"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2126\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2126"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2126"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2126"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}