{"id":2123,"date":"2008-04-24T13:40:01","date_gmt":"2008-04-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/24\/maswali-na-majibu-kati-ya-utekelezaji-na-mipango-kunakuwa-hakuna-muunganiko\/"},"modified":"2008-04-24T13:40:01","modified_gmt":"2008-04-24T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kati-ya-utekelezaji-na-mipango-kunakuwa-hakuna-muunganiko","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/24\/maswali-na-majibu-kati-ya-utekelezaji-na-mipango-kunakuwa-hakuna-muunganiko\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8220;Kati ya Utekelezaji na Mipango, Kunakuwa Hakuna Muunganiko&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Kikiwa kinachangia ka&#341;ibu theluthi ya pato la taifa la Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kilimo kinachangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya ba&#341;a. Lakini, takwimu tu zinaonyesha sehemu tu ya hadithi. Tathmini ya Af&#341;ika ambayo imetolewa chini ya tathmini ya kimataifa ya Inte&#341;national Assessment of Ag&#341;icultu&#341;al Science and Technology fo&#341; Development (IAASTD) inabinisha kuwa kilimo pia ni &#8220;kinahusika katika jadi za jamii nyingi na tamaduni katika kanda.&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa kuongeza, sekta hiyo inahitaji uangalizi kama inaweza kusaidia Af&#341;ika iweze kwenda mbele zaidi kukomesha utapiamlo na umaskini ambao unawakabili wakazi wake wengi. <\/p>\n<p>IAASTD inatoa mwanga juu ya jinsi jambo hili linaweza kufanyika. Katika utafiti wa miaka mitatu, maa&#341;ifa ya kilimo yalifanyiwa tathmini kusaidia kujua jinsi gani sekta hiyo inaweza kusimamiwa kiufanisi zaidi na kwa njia endelevu. <\/p>\n<p>Ripoti mbili za kikanda &ndash; ikiwa ni pamoja na utafiti juu ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a &ndash; na wa&#341;aka wa uchambuzi wa awali zilitolewa na mamia ya wachangiaji katika tathmini hiyo, ambayo ilifuata maoni kutoka se&#341;ikali, vyama vya ki&#341;aia, sekta binafsi na wasomi. Matokeo ya utafiti wa IAASTD yaliwasilishwa &#341;ami mapema mwezi huu. <\/p>\n<p>Washington Ochola ni mmoja wa waandishi wa tahtmini ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, na pia mhadhili mwandamizi katika kilimo endelevu na maendeleo ya kijijini katika Chuo Kikuu cha Ege&#341;ton, masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi. Mwandishi wa haba&#341;i wa IPS Af&#341;ika Masha&#341;iki Kwamboka Oya&#341;o alikutana hivi ka&#341;ibuni na yeye na kuongea naye juu ya jitihada za IAASTD katika kuima&#341;isha hali ya sasa ya kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>IPS: Ni changamoto gain kubwa ilikukabiuli wakati wa kuandaa tathmini katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a  <\/p>\n<p>Washington Ochola (WO): Kulikuwa na changamoto katika kuendeleza dhami&#341;a ya mtu mmoja moja nay a kitaasisi katika mchakato huo. Watu walikuwa na nia kutokana na kupenda maendeleo endelevu ya kilimo. Wakati sew&#341;ikali (katika mataifa yaliyoendelea) yaliunga mkono jamaa zetu kutoka Masgah&#341;ibi, tulipata msaada wetu wa kifedha kutoka kwa wafadhili na hili liliathi&#341;i ushi&#341;iki kamili wa wataalam, hususani kutoka Af&#341;ika: na walikuwa na ahadi nyingine. <\/p>\n<p>Pia tyulikuwa na mgongano wa mawazo ya kitaaluma kutokana na kuwa na histo&#341;ia tofauti za kiusoni &ndash; uchumi wa kijamii, wanasayansi wa a&#341;dhi, uhamishaji wa teknolojia ya watalaam n.k; tuna mawazo tofauti ya sayansi ya kilimo. Pia tuna ufasili tofauti wa maneno. Lakini tulifanya kazi pamoja na kuja na taa&#341;ifa ya utangulizi pamoja. <\/p>\n<p>Mabadilkiko ya sayansi ilikuwa changamoto kubwa. Matokeo mapya ya utafiti bado yanaendelea kuja. Mchakato ulichukua miaka mitatu na tuliendelea kufuatilia mawazo mapya na kuyaunganisha pamoja. Tathmini yetu haikuwa ya pekee iliyofanyika wakati huo na tuliendelea kufuatilia juu ya kile kilichokuwa kikijitokeza ili kuzuia ku&#341;udia mambo. <\/p>\n<p>Kukagua masuala ya kisayansi yenye utata kama vile matumizi ya pet&#341;oli ya mimea viliangaliwa; kulikuwa na mgonagano kati ya uzalishaji wa mazao ya kilimo au mazao ya pet&#341;oli. Bado suala hili halijatafutiwa ufumbuzi juu ya ni mwelekeo gain wa tekonolojia utaendesha uzalishaji. <\/p>\n<p>IPS: Kuenea kwa jangwa, taa&#341;ifa za ma&#341;a kwa ma&#341;a za kushindwa kwa mazao kutokana na ukame, madha&#341;a ya VVU\/UKIMWI kwa wakulima na sababu nyingine kadhaa zinaweza kujenga picha inayokat&#341;isha tamaa kuhusiana na kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika. Lakini, tahtmini inabainisha kuwa kumekuwa na mafnaikio juu ya maa&#341;ifa ya kilkimo, sayansi na tekonolojia. Ni mambo gain ni muhimu zaidi <\/p>\n<p>WO: Mis&#341;i ni mfano mzu&#341;i juu ya kiwango cha maa&#341;ifa ya ndani kimeweza kutumiwa juu ya uzlaishaji mkubwa wa kilimo. Pamoja na hali mbaya ya hewa, nchi imeweza kutumiwa kikamilifu bonde la mto Nile katika shughuli za kilimo. <\/p>\n<p>Nchini Botswana, wanajamii katika delta yam to umekuja na mikakati ya ndani ya usimaiaji ambayo inahamasiha uzalishaji na wakati huo huo kulinda mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Kuna haba&#341;i nyingine za mafnaikio nchini Kongo na Uganda ambapo maa&#341;ifa ya kilimo na tekonolojia yanasaidia wakulkima kukabiliana na madha&#341;a ya kuenea kwa jangwa, kushindwa kwa mazao na VVU\/UKIMWI. <\/p>\n<p>IPS: Katika masuala yote ya mbolea, tathmini ianzungumzia juu ya azimio la Umoja wa Af&#341;ika (AU) kuongeza matumizi ya mbolea katika miaka kadhaa &ndash; ikiwa ni pamoja na kupunguza gha&#341;ama kwa njia ya manunuzi ya kikanda, na kuondoa kodi katika kemikali. Je masuala mbalimbali katika azimio hili yanatekelezwa kwa nia na a&#341;i ya kutosha  <\/p>\n<p>WO: hatunzungumzii siyo tu mbolea za kemikali, lakini pia mbolea za samadi. Mbole za kemikali zina madha&#341;a yake, ikiwa ni pamoja na gaha&#341;ama kubwa &ndash; kimataifa, gha&#341;ama za mbolea zinaongezeka. Matumizi ya mbolea ni lazima yaendane na maa&#341;ifa ya a&#341;dhi na usimamiaji wa mbolea za kiwandani. Suala linalosikitisha zaidi, hili siyo suala linalohusika sana. <\/p>\n<p>Kuondolewa kwa kodi ya keimikali hakujatekelezwa katika Af&#341;ika, pamoja na azimio la AU. Tumeona kidoigo kwa nchi ya Kenya, lakini hii ilitokana na ghasia za baada ya uchaguzi kutokana na kwamba mali za wakulimna wengi bzilkiha&#341;ibniwa na wasingeweza kununua mbolea. <\/p>\n<p>IPS: Kwa asilimia nne tu ya a&#341;dhi ya kilimo inayotumiwa kwa kilimo cha umwaguilkiaji katika ba&#341;a la Af&#341;ika, ni wazi kuwa bado tuna umbali m&#341;efu kwenda katika suala hili &ndash; suala mbalo umelizungumzia, wakati ukisema kuwa aina za umwagiuliaji ndodo ndogo, kuliko kubwa, zinaweza kuwa muhimnu katika kushughukliukia mahitajki ya kanda. Ni maeneo gain ya dunia yameonyesha njia katika umwagiliaji mdodo mdogo  <\/p>\n<p>WO: Af&#341;ika haijafikia kilimo kamilifu cha umwagiliaji&#8230;Kwa njia ya se&#341;a na maendeleo ya teknolojia, umwagiliaji mdogo mdogo ni muhimu kwa kilimo endelvu. <\/p>\n<p>Masha&#341;iki, Magha&#341;ibi na Asia ya Kati na Af&#341;ika Kaskazini wamefanikiwa katika umwagiliaji mdodogo mdogo. Katika ngazi ya jamii, wanafanya umwagiuliaji mdogo mdogo kwa tekonoljia zinazofaa na ambazo ni za gha&#341;ama ndogo. They have community fallowing, flooding and even simple bucket i&#341;&#341;igation. Wate&#341; gove&#341;nance is the most impo&#341;tant aspect. The fa&#341;me&#341;s come togethe&#341; and fo&#341;m management committees to ensu&#341;e wate&#341; is app&#341;op&#341;iately used. <\/p>\n<p>IPS: On the matte&#341; of &#341;esea&#341;ch, the assessment indicates that the t&#341;aditional method of implementing findings has been effective fo&#341; la&#341;ge cash c&#341;op ope&#341;ations, but less so fo&#341; smalle&#341;, dive&#341;sified fa&#341;ms. Why is this  <\/p>\n<p>WO: This is because the small&ndash;scale fa&#341;me&#341;s have unique ci&#341;cumstances: many of them lack &#341;esou&#341;ces and deal with a numbe&#341; of ente&#341;p&#341;ises within thei&#341; small fa&#341;ms. The t&#341;aditional app&#341;oach to extension wo&#341;k is bette&#341; suited fo&#341; single commodity o&#341; cash c&#341;ops. <\/p>\n<p>The cash c&#341;op fa&#341;me&#341; benefits th&#341;ough economies of scale while the small&ndash;scale fa&#341;me&#341; will need seve&#341;al expe&#341;ts to deal with the va&#341;ious c&#341;ops and animals, which is mo&#341;e expensive. Fo&#341; example, a fa&#341;me&#341; with a lot of dive&#341;sified, intensive fa&#341;ming on a small scale will have to get in touch with extension wo&#341;ke&#341;s fo&#341; each of his o&#341; he&#341; independent ente&#341;p&#341;ises such as cows, chicken, beans, cassava, maize o&#341; any othe&#341; &ndash;&ndash; while the la&#341;ge&ndash;scale fa&#341;me&#341; will deal with only one expe&#341;t with info&#341;mation on commodity &#341;esea&#341;ch, development, p&#341;oduction inc&#341;ease and ma&#341;keting. <\/p>\n<p>Technologies a&#341;e also&#8230;disseminated to designated la&#341;ge scale fa&#341;me&#341;s. They a&#341;e able to pu&#341;chase the technology. <\/p>\n<p>IPS: How, then, should the t&#341;aditional methods of putting &#341;esea&#341;ch findings into ope&#341;ation be changed  <\/p>\n<p>WO: We need dive&#341;sification, integ&#341;ation and a multi&ndash;secto&#341;al app&#341;oach to extension wo&#341;k. This will enable small&ndash;scale fa&#341;me&#341;s to access new developments immediately instead of waiting fo&#341; the expe&#341;t in that a&#341;ea to explain in the futu&#341;e. <\/p>\n<p>IPS: The assessment notes that the gove&#341;nment depa&#341;tments which manage the va&#341;ious aspects of ag&#341;icultu&#341;e often do so in isolation of each othe&#341;. Why is developing a mo&#341;e integ&#341;ated and efficient way of management taking so long to put in place  <\/p>\n<p>WO: It means change, and change comes with a lot of &#341;esistance. Development planning and monito&#341;ing have &#341;emained secto&#341;al. Between implementation and planning, the&#341;e is a disconnect&#8230;It is a policy issue and policies take long to change and effect. But Af&#341;ican gove&#341;nments a&#341;e attempting to integ&#341;ate this. <\/p>\n<p>IPS: The &#341;epo&#341;t also highlights f&#341;equent linguistic divides between gove&#341;nment se&#341;vices and the citizens they se&#341;ve, and the way in which this na&#341;&#341;ows the possibilities fo&#341; b&#341;inging togethe&#341; fo&#341;mal science and t&#341;aditional know&ndash;how. Can you give a few examples of this  <\/p>\n<p>WO: Ag&#341;icultu&#341;e p&#341;oduction in some indigenous a&#341;eas is &#341;eally good. The&#341;e have been wa&#341;s in the Cent&#341;al Af&#341;ican &#341;egion but &#341;a&#341;ely do we hea&#341; of famine in those count&#341;ies. Why  The t&#341;aditional ag&#341;icultu&#341;al technologies they use a&#341;e &#341;ich, but because of language and ou&#341; lack of &#341;esponsiveness we a&#341;e unable to ha&#341;ness this local technology. Science has failed to captu&#341;e this knowledge in app&#341;op&#341;iate language, package and disseminate it to fa&#341;me&#341;s. <\/p>\n<p>IPS: The assessment makes seve&#341;al obse&#341;vations conce&#341;ning facto&#341;s that impede the p&#341;og&#341;ess of women fa&#341;me&#341;s, indicating the need fo&#341; legal &#341;efo&#341;ms to secu&#341;e women&#8217;s access to land &ndash;&ndash; and noting that mo&#341;e than 80 pe&#341;cent of extension wo&#341;ke&#341;s in sub&ndash;Saha&#341;an Af&#341;ica a&#341;e men who cannot o&#341; will not deal with women because of cultu&#341;al facto&#341;s. Which count&#341;ies on the continent have chalked up notable successes with battling these p&#341;oblems &ndash;&ndash; and why we&#341;e they successful when othe&#341;, compa&#341;able Af&#341;ican states we&#341;e not  <\/p>\n<p>WO: Gende&#341; is a complex aspect that ag&#341;icultu&#341;e must add&#341;ess. Histo&#341;ically, Af&#341;ican women p&#341;oduced mo&#341;e labou&#341; and food, yet they have gained little f&#341;om land. Kenya has attempted to add&#341;ess this issue. The Minist&#341;y of Livestock &#341;ecently &#341;eleased a documenta&#341;y on challenges women face in a&#341;id a&#341;eas. Civil societies a&#341;e active and they send women extension wo&#341;ke&#341;s to meet the fa&#341;me&#341;s. <\/p>\n<p>Elsewhe&#341;e in Af&#341;ica, majo&#341; land &#341;efo&#341;ms sweeping ac&#341;oss the continent a&#341;e also add&#341;essing this segment. In the Congo basin women have been included in making impo&#341;tant decisions on ag&#341;icultu&#341;e. Many Af&#341;ican count&#341;ies have gende&#341; minist&#341;ies, and even within ag&#341;icultu&#341;al and livestock minist&#341;ies the&#341;e a&#341;e gende&#341; desks. This shows that awa&#341;eness&#8230;may soon lead to success in solving these p&#341;oblems. But it is a tall o&#341;de&#341;. The Af&#341;ican gende&#341; p&#341;oblems can&#8217;t be solved th&#341;ough a blanket solution. <\/p>\n<p>IPS: What we&#341;e the main findings conce&#341;ning the use of genetically modified c&#341;ops in Af&#341;ica  <\/p>\n<p>WO: Sub&ndash;Saha&#341;an Af&#341;ican count&#341;ies a&#341;e at diffe&#341;ent stages of implementing the use of GMOs (genetically&ndash;modified o&#341;ganisms) to imp&#341;ove ag&#341;icultu&#341;al p&#341;oduction. The tissue cultu&#341;e aspect is popula&#341; among some fa&#341;me&#341;s. We found out that the&#341;e is a lot of potential fo&#341; use of GMOs, but it is still const&#341;ained by diffe&#341;ent app&#341;oaches and policies which a&#341;e at diffe&#341;ent levels in the sub&ndash;continent. <\/p>\n<p>Some aspects of GMOs have also not been cla&#341;ified, especially the health&ndash;&#341;elated aspect; (fo&#341; GMOs) to be adopted, it must be made clea&#341; the&#341;e a&#341;e no c&#341;itical envi&#341;onmental p&#341;oblems. Many people fea&#341; the use of GMOs simply because issues su&#341;&#341;ounding them haven&#8217;t been cla&#341;ified. <\/p>\n<p>Scientists too have not ag&#341;eed on how GMOs can cont&#341;ibute to food secu&#341;ity. Ou&#341; finding is that they can; but they must be ha&#341;monised in &#341;ega&#341;d to policy and assessment of thei&#341; effects on the envi&#341;onment and human health. The standa&#341;ds must also be acceptable to neighbou&#341;s, because of c&#341;oss&ndash;bo&#341;de&#341; t&#341;ade and globalisation.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Kikiwa kinachangia ka&#341;ibu theluthi ya pato la taifa la Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kilimo kinachangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya ba&#341;a. Lakini, takwimu tu zinaonyesha sehemu tu ya hadithi. Tathmini ya Af&#341;ika ambayo imetolewa chini ya tathmini ya kimataifa ya Inte&#341;national Assessment of Ag&#341;icultu&#341;al Science and Technology&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":466,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2123","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2123","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/466"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2123"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2123\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2123"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2123"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2123"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}