{"id":2121,"date":"2008-04-21T13:40:01","date_gmt":"2008-04-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/21\/siasa-seikali-za-kiafika-zakataa-kuingilia-kati-kwa-umoja-wa-mataifa-katika-mgogoo-wa-zimbabwe\/"},"modified":"2008-04-21T13:40:01","modified_gmt":"2008-04-21T13:40:01","slug":"siasa-seikali-za-kiafika-zakataa-kuingilia-kati-kwa-umoja-wa-mataifa-katika-mgogoo-wa-zimbabwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/21\/siasa-seikali-za-kiafika-zakataa-kuingilia-kati-kwa-umoja-wa-mataifa-katika-mgogoo-wa-zimbabwe\/","title":{"rendered":"SIASA: Se&#341;ikali za Kiaf&#341;ika Zakataa Kuingilia kati kwa Umoja wa Mataifa katika Mgogo&#341;o wa Zimbabwe"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 18 (IPS) &ndash; Pamoja na shinikizo inayozidi kuongezeka kutoka kwa baadhi ya mataifa yenye nguvu ya Magha&#341;ibi kuingilia kati katika mgogo&#341;o wa uchaguzi wa Zimbabwe, kuingilia kati kwa Umoja wa Mataifa kunabakia kuwa uwezekano wa mbali.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Af&#341;ika (AU) uliofanyika Jumatano hapa, Uinge&#341;eza na Ma&#341;ekani zilitaka kuingilia kati kwa Umoja wa Mataifa nchini Zimbabwe na kuelezea kuwa ni muhimu kuweza kumaliza mgogo&#341;o huo, lakini msimamo wao ulishindwa kuungwa mkono na nchi wanachama wengi wa AU. <\/p>\n<p>&#8220;Suala hili liachiwe se&#341;ikali ya Zimbabwe,&#8221; Rais wa Af&#341;ika Kusini Thabo Mbeki aliwaambia waandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Rais Robe&#341;t Mugabe inasema kuwa kuchelewa kutoa matokeo ya uchaguzi wa Machi 29 kunatokana na makosa ambayo yalijitokeza wakati wa kupiga ku&#341;a. Tume ya Uchaguzi nchini humo inasema haiwezi kutoa matokeo hadi itakapokamilisha sehemu ya ku&#341;udia kuhesabu ku&#341;a, ambako kutakamilika mwishoni mwa wiki hii. <\/p>\n<p>Lakini chama cha upinzani cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change (MDC) kimekataa kukubaliana na utata wa se&#341;ikali na kinasema kuwa ku&#341;ejea kuhesabu ku&#341;a ni njama tu ya kuficha kushindwa kwa chama tawala. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa ya Alhamisi, kiongozi wa MDC Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai alisema Mbeki ajiuzulu kuwa mpatanishi. Pia aliishutumu se&#341;ikali ya Mugabe kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kutoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufikisha kesi hiyo kwa Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC). <\/p>\n<p>Mbeki na Mugabe ni ma&#341;afiki wa siku nyingi katika jitihada zao za pamoja za kupambana na utawala wa kibaguzi nchini Af&#341;ika Kusini na Zimbabwe, ambayo ilijulikana kama Rhodesia, kabla ya siku za uhu&#341;u. <\/p>\n<p>Mbeki alisema Jumatano kama matokeo ya uchaguzi yalionyesha kuwa hakukuwa na mgombea ambaye amefikia idadi kubwa ya ku&#341;a ya zaidi ya asilimia 50, uchaguzi uta&#341;udiwa. &#8220;Ku&#341;udiwa kwa uchaguzi huo kunapaswa kufanyika kama ilivyokuwa katika awamu ya kwanza, bila ya kuwepo kwa ghasia,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mbeki, ambaye kwa sasa nchi yake ni &#341;ais wa Ba&#341;aza La Usalama lenye wajumbe 15, alisema Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) inaweza kushughulikia mgogo&#341;o wa sasa wa kisiasa nchini Zimbabwe. SADC kwa sasa inasubi&#341;i kutangazwa kwa matokeo ya mwisho. <\/p>\n<p>&#8220;Kama hali itazo&#341;ota na kuwa tishio kwa amani na usalama, suala hilo litaweza kuingia katika ajenda za Ba&#341;aza la Usalama,&#8221; aliwaambia waandishi wa haba&#341;i. Hata hivyo, katika msimamo ule ule, aliongeza: &#8220;Ufumbuzi unakalia mikononi mwa watu wa Zimbabwe.&#8221; <\/p>\n<p>Upinzani nchini Zimbabwe hautaki ku&#341;udiwa kwa uchaguzi. &#8220;Hakuna haja ya ku&#341;udiwa kwa uchaguzi kwasababu tumeshinda,&#8221; Tsvangi&#341;ai, ambaye kwa sasa yupo nchini Botswana, ilisema katika taa&#341;ifa. <\/p>\n<p>Katika kujibu mapigo, se&#341;ikali ya Mugabe inamshutumu kutokana na kuwa kiba&#341;aka wa se&#341;ikali za Magha&#341;ibi. Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza, ikiwa ni pamoja na Tume ya Ulaya, wanasema wanataka kutangazwa ma&#341;a moja kwa matokeo hayo ya uchaguzi wa Machi 29. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa yake ya Alhamisi, Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Ma&#341;ekani Condoleezza Rice alielezea hali hiyo kama &#8220;chukizo&#8221; na kukosoa kwa ukali msimamo wa AU. <\/p>\n<p>&#8220;Ni wakati wa Af&#341;ika kuingilia kati,&#8221; Rice alisema. &#8220;Uko wapi wasiwasi wa Umoja wa Af&#341;ika na maji&#341;ani wa Zimbabwe kuhusu kile kinachojitokeza nchini Zimbabwe &#8220;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i Mkuu wa Uinge&#341;eza Go&#341;don B&#341;own pia alitoa taa&#341;ifa Jumatano ikisema dunia inapaswa kumsimamisha Mugabe &#8220;asiibe uchaguzi&#8221;. Pia alizungumzia mata&#341;ajio ya ku&#341;udiwa kwa uchaguzi utakaosimamiwa na wafuatiliaji wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna anayedhani, kwa kuona matokeo kutoka kwenye vituo vya kupigia ku&#341;a, kuwa Rais Mugabe ameshinda uchaguzi huo,&#8221; aliuambia mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Af&#341;ika. &#8220;Uchaguzi ulioibwa hauwezi kuwa uchaguzi wa kidemok&#341;asia kabisa.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha kati ya Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza kuhusu msimamo wa Zimbabwe, Russia na China, mataifa mengine yenye ku&#341;a ya veto katika Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa, yalikataa kutoa taa&#341;ifa kwa umma katika mkutano huo wa kilele. Hata hivyo, wanadiplomasia kutoka mataifa yote mawili walisema kuwa mashi&#341;ika ya kikanda kama vile AU yalionyesha nia zaidi ya kutatua matatizo ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe anasema kuwa anataka jumuiya ya kimataifa kuzuia usafi&#341;ishaji wa silaha nchini mwake, pamoja na kwamba hakuna azimio la Ba&#341;aza la Usalama linalotaka kuwekwa vikwazo vya silaha dhidi ya Zimbabwe. <\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon kwa kiasi kikubwa amebakia kutokuegemea upande wowote katika mgogo&#341;o huo. <\/p>\n<p>&#8220;Mamlaka nchini Zimbabwe na nchi katika ukanda huo yamesisitiza kuwa masuala haya yanapaswa kutafutiwa ufumbuzi na kanda,&#8221; alisema, &#8220;lakini jumuiya ya kimataifa inaendelea kuangalia na kusubi&#341;i hatua ya kuchukuliwa.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Uaminifu wa mchakato wa kidemok&#341;asia katika Af&#341;ika unaweza kuwa muhimu hapa,&#8221; aliuambia mkutano wa kilele. &#8220;Kama kutakuwa na ku&#341;udiwa kwa uchaguzi, ni lazima ufanyike kwa haki na uwazi, huku kukiwepo waangalizi wa kimataifa.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 18 (IPS) &ndash; Pamoja na shinikizo inayozidi kuongezeka kutoka kwa baadhi ya mataifa yenye nguvu ya Magha&#341;ibi kuingilia kati katika mgogo&#341;o wa uchaguzi wa Zimbabwe, kuingilia kati kwa Umoja wa Mataifa kunabakia kuwa uwezekano wa mbali. Katika mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Af&#341;ika (AU) uliofanyika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":379,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2121","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2121","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/379"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2121"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2121\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2121"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2121"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2121"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}