{"id":2120,"date":"2008-04-21T13:40:01","date_gmt":"2008-04-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/21\/siasa-umoja-wa-mataifa-waona-mafanikio-ya-kulinda-amani-libeia\/"},"modified":"2008-04-21T13:40:01","modified_gmt":"2008-04-21T13:40:01","slug":"siasa-umoja-wa-mataifa-waona-mafanikio-ya-kulinda-amani-libeia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/04\/21\/siasa-umoja-wa-mataifa-waona-mafanikio-ya-kulinda-amani-libeia\/","title":{"rendered":"SIASA: Umoja wa Mataifa Waona Mafanikio ya Kulinda Amani Libe&#341;ia"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 16 (IPS) &ndash; Umoja wa Mataifa, ambao unakabiliwa na matatizo ya kisiasa na vifaa katika misheni zake za kulinda amani nchini Sudan, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, Somalia, Ethiopia na E&#341;it&#341;ea, unafu&#341;ahia mafanikio yaliyopatikana katika opa&#341;esheni zake za kulinda amani nchini Libe&#341;ia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Misheni ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa nchini Libe&#341;ia (UNMIL), ambayo iliundwa Septemba 2003, polepole inamaliza muda wake wa opa&#341;esheni kutokana na kumalizika kwa vita katika taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi na kutokana na mafanikio yake ya kasi katika kuleta utulivu wa kisiasa. <\/p>\n<p>&#8220;Libe&#341;ia imekuwa haina vita kwa kipindi cha miaka minne iliyopita na kuna haba&#341;i njema zinazokuja kutoka nchini humo,&#8221; anasema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon. <\/p>\n<p>Lakini anaonya kuwa &#8220;matumaini na mshikamano tunaouona leo hii unachezewa na amani ya muda na tete&#8221;. <\/p>\n<p>Hata hivyo bado vikosi kutoka Namibia na Bangladesh vimeshajiondoa, wakati vikosi vya Ghana na Nige&#341;ia vimekuwa vikipunguza aska&#341;i wake. Kikosi kingine kutoka Senegal kitaondoka ifikapo Juni mwaka huu. <\/p>\n<p>Hadi mwisho mwa mwezi Septemba, jumla ya aska&#341;i 2,450 wataondolewa, na kuacha nguvu ya jeshi la UNMIL ikiwa na aska&#341;i 11,691 tu. Aska&#341;i wengi watakuwa ni kutoka Pakistan (3,403), Bangladesh (2,811), Nige&#341;ia (1,862) na Ethiopia (1,801). <\/p>\n<p>Kiasi cha nguvu ya UNMIL ni kama aska&#341;i 16,000 wenye sa&#341;e ikiwa ni pamoja na aska&#341;i wa ki&#341;aia. Mwaka 2006&ndash;2007, jumla ya bajeti ya UNMIL ilifikia dola milioni 688. <\/p>\n<p>Kutokana na mafanikio ya kisiasa nchini Libe&#341;ia, Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio mwaka jana linalopitisha uamuzi wa katibu mkuu wa kupunguza aska&#341;i wa UNIMIL hadi kufikia 2,450. <\/p>\n<p>Vile vile, kuanza kuondoka kwa polisi wa UNMIL kutaanza mwishoni mwa Ap&#341;ili wakati washau&#341;i wa polisi 498 watakapoondoka katika awamu saba hadi Desemba 2010, na hivyo kupunguza polisi hadi 742 ifikapo Desemba 2010. <\/p>\n<p>Ellen Ma&#341;g&#341;ethe Loj, mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Libe&#341;ia, aliliambia Ba&#341;aza la Usalama Jumatatu kuwa changamoto katika nchi hiyo sasa zinahusiana zaidi na usalama wa ndani, utawala wa she&#341;ia, utawala bo&#341;a na maendeleo ya kiuchumi, mambo ambayo yanahusiana kwa ka&#341;ibu. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba hali ya usalama katika mipaka ya Libe&#341;ia na nchi tatu maji&#341;ani zake imekuwa tulivu, alisema, hali katika mipaka yote mitatu itaendelea kufuatiliwa na UNMIL. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni kutokana na kwamba kuzuka kwa vita katika nchi yoyote ile ji&#341;ani wa Libe&#341;ia itakuwa na madha&#341;a ya ha&#341;aka kwa hali ya usalama wa Libe&#341;ia na kinyume chake,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Matokeo yake, Libe&#341;ia itaendelea kutegemea zaidi uwepo wa aska&#341;i wa UNMIL watakaosalia na vikosi vya polisi. <\/p>\n<p>Pia aliliambia Ba&#341;aza la Usalama kuwa kwa sasa Libe&#341;ia &#8220;ni mahali pa matumaini, penye sifa ya mafanikio mengi chanya.&#8221; <\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti kwa Ba&#341;aza la Usalama mwezi uliopita, Katibu Mkuu Ban Ki&ndash;alisema kumekuwa na &#8220;maendeleo ya kasi&#8221; nchini Libe&#341;ia katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na &#8220;hali ya ujumla inabakia kuwa tulivu&#8221;. <\/p>\n<p>Lakini bado hali ya kiusalama inabakia kuwa tete na mafanikio zaidi yanahitajika katika maeneo kadhaa ili kuima&#341;isha mafanikio ya kweli, aliongeza. <\/p>\n<p>Katika hotuba yake ya mwaka kwa bunge mwezi Janua&#341;i, Rais wa Libe&#341;ia Ellen Johnson&ndash;Si&#341;leaf alisema nchi imekuwa na kiwango cha ukuaji wa uchumi cha asilimia 9.0 na mapato katika miezi 11 ya kwanza mwaka 2007 yalifikia dola milioni 163. Hii, alisema, imevuka makadi&#341;io ya bajeti ya mwaka ya kukusanya dola milioni 152. <\/p>\n<p>Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika pia walifuta deni la zaidi ya dola milioni 671 kati ya deni la dola bilioni 4.8 inazodaiwa Libe&#341;ia. Shi&#341;ika la Fedha la Kimataifa limekubali kutoa msaada wa kifedha ambao utasahau baadhi ya dola milioni 920 katika deni la Libe&#341;ia. <\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti yake kwa Ba&#341;aza la Usalama, katibu mkuu alisema kuwa pamoja na kwamba hali ya kiutu nchini Libe&#341;ia imeendelea kubo&#341;eka, &#8220;bado nchi inakabiliwa na changamoto kubwa katika baadhi ya sekta, hususani afya, elimu, chakula, maji na usafi wa mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Hadi sasa, Libe&#341;ia imepokea asilimia 62 tu ya dola milioni 110 zinazohitajika kushughulikia kipaumbele cha juu zaidi cha mahitaji ya kibinadamu nchini humo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, bado kuna idadi kadhaa ya kazi ambazo ni za msingi kwa ajili ya uendelevu wa amani na utulivu ambayo badi haijatekelezwa kikamilifu nchini humo, aliongeza. <\/p>\n<p>Hii ni pamoja na kufanyia mageuzi mifumo ya kishe&#341;ia na kimahakama, kuwaunganisha upya wakazi walioathi&#341;iwa na vita na kutumia utawala wa she&#341;ia nchini kote. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, alibainisha, bado Libe&#341;ia inakabiliwa na changamoto za ujenzi na maendeleo, ikiwa ni pamoja na kukabiliana na umaskini uliokithi&#341;i, kukosekana kwa usalama wa chakula, uhaba mkubwa wa aji&#341;a, idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika, miundombinu mibovu na uhaba katika kusambaza huduma za msingi za afya na elimu. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, Ma&#341;ekani inaongoza jitihada za kimataifa &ndash; pamoja na China, Uje&#341;umani, Nige&#341;ia, Benin na Ghana &ndash; kutoa mafunzo na kuweka muundo wa jeshi lenye nguvu la aska&#341;i 2,000 la Libe&#341;ia. Idadi ya waliopatiwa mafunzo hadi sasa ni 1,124, ambao wengi wao wamehitimu kutoka Kituo cha Mafunzo cha Ba&#341;clay na Camp Wa&#341;e nchini Libe&#341;ia. <\/p>\n<p>Katika mwezi Desemba, makampuni matatu ya silaha ya Kikosi cha Kwanza cha Jeshi yalianzishwa upya katika she&#341;ehe zilizozinduliwa na Rais Johnson&ndash;Si&#341;leaf. <\/p>\n<p>Kwa sasa, maafisa watatu kutoka Benin, Ghana na Nige&#341;ia, ambao waliaji&#341;iwa katika Wiza&#341;a ya Ulinzi ya Libe&#341;ia, wanasaidia kuongoza na kudhibiti vikosi vya jeshi. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, aska&#341;i wapatao 15 kutoka Libe&#341;ia wanapitia mafunzo ya maafisa wa jeshi na maalum katika taasisi za kijeshi za Nige&#341;ia, wakati maafisa kadhaa wengine wanafaidika kutokana na mafunzo maalum nchini China, Ma&#341;ekani na Uje&#341;umani. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 16 (IPS) &ndash; Umoja wa Mataifa, ambao unakabiliwa na matatizo ya kisiasa na vifaa katika misheni zake za kulinda amani nchini Sudan, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, Somalia, Ethiopia na E&#341;it&#341;ea, unafu&#341;ahia mafanikio yaliyopatikana katika opa&#341;esheni zake za kulinda amani nchini Libe&#341;ia. Misheni ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa nchini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2120","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2120","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2120"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2120\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2120"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2120"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2120"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}