{"id":1306,"date":"2006-07-12T13:40:01","date_gmt":"2006-07-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/07\/12\/siasa-kenya-seikali-yalenga-hadhi-ya-maisha-ya-mawazii\/"},"modified":"2006-07-12T13:40:01","modified_gmt":"2006-07-12T13:40:01","slug":"siasa-kenya-seikali-yalenga-hadhi-ya-maisha-ya-mawazii","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/07\/12\/siasa-kenya-seikali-yalenga-hadhi-ya-maisha-ya-mawazii\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;KENYA: Se&#341;ikali Yalenga Hadhi ya Maisha ya Mawazi&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Julai 8 (IPS) &ndash; Agizo la se&#341;ikali ya Kenya kuwataka maofisa waandamizi se&#341;ikalini ku&#341;ejesha maga&#341;i ya kifaha&#341;i ili kupunguza gha&#341;ama linaweza kuwa haba&#341;i njema kwa walipa kodi, lakini kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji kunaweza kudhoofisha zoezi hilo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali inata&#341;ajiwa kuokoa kama dola milioni 17 kama gha&#341;ama za uendeshaji, ambazo zitaelekezwa kwa mi&#341;adi ya maendeleo, kutoka katika zoezi hilo. <\/p>\n<p>Maga&#341;i yanahusishwa na mawazi&#341;i, manaibu zao na makatibu wakuu. <\/p>\n<p>Ili kuhamasisha uwazi na uwajibikaji, kikundi cha haki za binadamu ambacho kimeitaka se&#341;ikali kuweka wazi kujua ni wazi&#341;i gani amepewa maga&#341;i mangapi na ni yapi, ambayo, kwa hakika yamesha&#341;ejeshwa. <\/p>\n<p>&#8221;Uwazi wa hali ya juu unahitajika katika kutafuta nani amepewa nini na jinsi ya kuthibitisha kwamba kila wazi&#341;i amepewa ga&#341;i moja,&#8221; Maina Kiai, mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kenya (KNCHR), alisema. Shi&#341;ika hilo limeteuliwa na se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, Kiai anatoa mwito wa kutolewa kwa adhabu dhidi ya wanaokiuka agizo. &#8220;Uwajibikaji ni muhimu. Mawazi&#341;i na viongozi wengine ambao hawatazingatia mwito huo ni lazima wapewe adhabu. Inabidi wafukuzwe kutoka ba&#341;aza la mawazi&#341;i kutokana na kukiuka agizo la se&#341;ikali na kuvunja maadili,&#8221; aliongeza. Katika hotuba yake ya bajeti (Juni 15), wazi&#341;i wa fedha Amos Kimunya aliagiza mawazi&#341;i na wasaidizi wao ikiwa ni pamoja na makatibu wakuu kuachia maga&#341;i ya nyongeza wanayomiliki na kubakia na ga&#341;i moja tu la se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Wakiwa hawajafu&#341;ahishwa na agizo la wazi&#341;i, baadhi ya mawazi&#341;i wamelaumu kwamba hawakupewa taa&#341;ifa na hivyo wanataka kupewa ba&#341;ua &#341;asmi. <\/p>\n<p>Pamoja na kukataa, zaidi ya maga&#341;i ya kifaha&#341;i 100 yamesha&#341;ejeshwa se&#341;ikalini wiki hii. Lakini ni mawazi&#341;i watatu tu, ikiwa ni pamoja na Kimunya, wamesha&#341;ejesha maga&#341;i yao. <\/p>\n<p>Kulingana na Kimunya, viongozi wa se&#341;ikali waandamizi wanamiliki maga&#341;i 11,000 pamoja na made&#341;eva 3,800 ambao wamo katika o&#341;odha ya malipo ya se&#341;ikali. Hii ina maana kwamba kuna de&#341;eva mmoja kwa kila maga&#341;i manne, kitu ambacho Kimunya alikielezea kama kisichokuwa muhimu. <\/p>\n<p>Wakati se&#341;ikali inapanga kugawa baadhi ya maga&#341;i ya nyongeza kwa maeneo yanayoyahitaji, mengine yatauzwa. Hata hapa, uwazi unahitajika. &#8220;Uwazi unahitajika katika ku&#341;ejesha maga&#341;i. Inabidi kuwepo na mfumo wa tathimini ambapo maga&#341;i yanayo&#341;ejeshwa yanatathiminiwa kwa kupitia mtathimini hu&#341;u na zoezi hilo kujulikana kwa umma ili Wakenya watambue ni kiasi gani kimepatikana na pesa hizo zinakwenda wapi,&#8221; Kiai alibainisha. <\/p>\n<p>Se&#341;a mpya ya usafi&#341;i, iliyosainiwa na F&#341;ancis Muthau&#341;a, mkuu wa aji&#341;a kwa umma nchini Kenya, alisema kiongozi mwanadamizi &#8220;atakuwa na haki kuwa na ga&#341;i moja la se&#341;ikali ambalo halitazidi 2500cc lenye injini ya pet&#341;oli na 3000cc kwa injini za dizeli.&#8221; Se&#341;a hiyo ilianza kutekelezwa kuanzia Julai 1. <\/p>\n<p>Wachambuzi wanasema bila ya kuwepo kwa dhami&#341;a ya kisiasa, agizo hilo linaweza kuwa gumu kutekelezwa, hasa ikizingatiwa uzoefu wa zamani. <\/p>\n<p>Katika hotuba ya bajeti mwaka 1998, aliyekuwa wazi&#341;i wa fedha, Simeon Nyachae, alipendekeza kupunguza maga&#341;i ya mawazi&#341;i na wasaidizi wao. Mpango huo, ambao ulipokolewa kwa upinzani mkubwa na baadhi ya mawazi&#341;i wenzake, haukupita. <\/p>\n<p>Katika nchi ambapo zaidi ya asilimia 56 ya idadi ya watu wote wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini wa dola moja kwa siku, mawazi&#341;i wanamiliki maga&#341;i ya kifaha&#341;i manne hadi matano. Haya yanatunzwa kwa kutumia fedha za walipa kodi. <\/p>\n<p>&#8220;Sisi ni nchi maskini na ni vibaya kwa watu se&#341;ikalini kuwa na utaji&#341;i wa aina hii. Inadhoofisha jitihada za se&#341;ikali kupambana na umaskini. Ni jambo baya kwa viongozi wa juu se&#341;ikalini kutembea na mashine za gha&#341;ama kubwa ambazo zinatumia mafuta mengi, na ambazo zinalipwa na walipa kodi,&#8221; alisema Kennedy Masime, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Kituo cha Utawala na Maendeleo, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGO) yenye makao yake mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Maga&#341;i mengi ni pamoja na maga&#341;i aina ya Me&#341;cedes Benz, Volvo na maga&#341;i yenye nguvu aina ya Range Rove&#341;s, Land C&#341;uise&#341;s, Nissan Pat&#341;ols na Toyota P&#341;ados. Gha&#341;ama ya Me&#341;cedes kama hiyo ni dola za Kima&#341;ekani 190,000, wakati ambapo Range Rove&#341;s zinagha&#341;imu kati ya dola 148,648 na 202,702 kwa moja. Toyota P&#341;at&#341;ol na Land C&#341;uise&#341;s zinagha&#341;imu kati ya dola 94,595 na 135,136 kila moja. <\/p>\n<p>Kenya ina mawazi&#341;i 30, manaibu mawazi&#341;i 39 na makatibu wakuu 33, kulingana na tovuti ya Ofisi ya Mawasiliano ya Se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Maga&#341;i mengi siyo lazima kuwa yanatumiwa kwa shughuli za se&#341;ikali. Viongozi wa se&#341;ikali wanayatumia kwa ajili ya mambo yao binafsi kama vile kuendea dukani. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, maga&#341;i yenye namba za usajili za se&#341;ikali yamekuwa yakionekana nje ya vilabu vya pombe au maeneo mengine ya bu&#341;udani wakati wa usiku au mwishoni mwa wiki. Matumizi mabaya ya maga&#341;i ya se&#341;ikali yamakuwa yakikosolewa na mashi&#341;ika ya haki za binadamu. <\/p>\n<p>Mwaka jana, Tume ya Haki za Binadamu ya Kenya, NGO, ilitaja na kubainisha mawazi&#341;i ambao walisemekana kutumia maga&#341;i ya se&#341;ikali wakati wa kampeni za ku&#341;a ya maoni juu ya katiba mpya iliyofanyika Novemba 2005.<\/p>\n<p>Vile vile, KNCHR, pamoja na shi&#341;ika la kunpambana na &#341;ushwa la T&#341;anspa&#341;ency Inte&#341;national, tawi la Kenya ilitoa &#341;ipoti mapema mwaka huu ikikosoa matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. <\/p>\n<p>Ripoti ijulikanayo kama, &#8216;Living La&#341;ge: Counting the Cost of Official Ext&#341;avagance in Kenya&#8217;, ilionyesha jinsi gani se&#341;ikali ya Rais Mwai Kibaki, ambaye aliingia mada&#341;akani Desemba 2002,ilinunua maga&#341;i ya kifaha&#341;i katika mwaka wake mmoja ikiwa mada&#341;akani. <\/p>\n<p>&#8220;Kati ya Janua&#341;i 2003 na Septemba 2004, se&#341;ikali mpya ilitumia kwa uchache shilingi za Kenya milioni 878 (kama dola milioni 12) katika ununuzi wa maga&#341;i ya kifaha&#341;i ambayo kwa kiasi kikubwa ni kwa ajili ya matumizi binafsi ya viongozi waandamizi se&#341;ikalini kama vile mawazi&#341;i, manaibu na makatibu wakuu,&#8221; ilisema &#341;ipoti hiyo. <\/p>\n<p>Fedha hizi, inasema &#341;ipoti, zinatosha kupeleka watoto 25,000 wenye um&#341;i wa kwenda shule wa miaka nane, au kutoa matibabu ya VVU\/Ukimwi kwa watu 147,000 kwa mwaka mzima. Katika makadi&#341;io ya Wakenya milioni mbili wanaokadi&#341;iwa kuwa na VVU, 270,000 wanahitaji matibabu ya ha&#341;aka. Hadi sasa, ni Wakenya 40,000 tu wanapata matibabu hayo. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Julai 8 (IPS) &ndash; Agizo la se&#341;ikali ya Kenya kuwataka maofisa waandamizi se&#341;ikalini ku&#341;ejesha maga&#341;i ya kifaha&#341;i ili kupunguza gha&#341;ama linaweza kuwa haba&#341;i njema kwa walipa kodi, lakini kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji kunaweza kudhoofisha zoezi hilo. Se&#341;ikali inata&#341;ajiwa kuokoa kama dola milioni 17 kama gha&#341;ama za uendeshaji, ambazo zitaelekezwa kwa mi&#341;adi ya maendeleo,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1306","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1306","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1306"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1306\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1306"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1306"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1306"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}