{"id":1297,"date":"2006-06-27T13:40:01","date_gmt":"2006-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/27\/siasa-cameroon-ngos-zapitisha-maadili-ya-kukuza-uwazi\/"},"modified":"2006-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-27T13:40:01","slug":"siasa-cameroon-ngos-zapitisha-maadili-ya-kukuza-uwazi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/27\/siasa-cameroon-ngos-zapitisha-maadili-ya-kukuza-uwazi\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;CAMEROON: NGOs Zapitisha Maadili ya Kukuza Uwazi"},"content":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Juni 24 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Came&#341;oon yameka&#341;ibisha mkataba wa kwanza wa uwajibikaji ulimwenguni ambao ulipitishwa na wanaha&#341;akati wa kimataifa mjini Glasgow, Scotland, kusimamia jinsi mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) yanavyoweza kuendesha shughuli zao.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali kumi na moja kama vile shi&#341;ika la Oxfam Inte&#341;national, ActionAid Inte&#341;national na Amnesty Inte&#341;national yalipitisha wa&#341;aka huo katika mji mkuu wa Scotland Juni 6. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa yake, NGOs hizo zilisema: &#8221;Kwa kuongeza katika matakwa ya ndani ya kuwa wawazi na kuwajibika, mkataba wa uwajibikaji pia unataka kuonyesha kuwa NGOs zinaheshimu kwa undani imani kutoka kwa umma, hazipuuzii na zinajitolea kuima&#341;isha na kuendeleza imani hiyo. Mpango huu unakuja katika muda ambapo asasi zisizokuwa za kutengeneza faida zinasimamiwa zaidi, na wale wanaozitaka kustawi na wale wanaotaka kukandamiza shughuliz a NGO.&#8221; <\/p>\n<p>NGOs zilipitisha wa&#341;aka huo kabla ya mkutano wa CIVICUS, uliopewa jina la &#8220;Wo&#341;ldwide Alliance fo&#341; Citizen Pa&#341;ticipation&#8221;, uliofanyika mjini Glasgow Juni 21&ndash;25. <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wanatumaini kuwa mkataba huo utakuja kukubaliwa na asasi zote za ki&#341;aia. <\/p>\n<p>&#8221;(Ni) mpango muhimu ambao utawezesha sekta isiyotengeneza faida kuwa na wajibu mkubwa, kuwa wazi na kufuata maadili,&#8221; Ma&#341;ie Ngouanfo, &#341;ais wa &#8220;Association fo&#341; Equitable Development&#8217;, aliiambia IPS. Kikundi cha Ngouanfo ni NGO yenye makao yake mjini Yaounde, Came&#341;oon. <\/p>\n<p>&#8221;NGOs zinaathi&#341;i sana maoni ya umma na siasa za se&#341;ikali ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Huku kukiwa na utandawazi, NGOs sasa zimejaa ba&#341;ani Af&#341;ika lakini nyingi hazizingatii uwazi na uwajibikaji, wanasema baadhi ya wachambuzi. Baadhi ya asasi za ki&#341;aia zinafanya kazi zaidi kama kampuni za biasha&#341;a kuliko mashi&#341;ika yanayohusiana na masuala ya kibinadamu. <\/p>\n<p>&#8221;Kutokana na kuongezeka kwa wajibu uliofanywa na NGOs katika jamii na matumaini juu ya mashi&#341;ika hayo, NGOs zinahitaji kuwa na maadili,&#8221; Mathu&#341;in Nna, p&#341;ofesa wa sayansi ya siasa katika Chuo Kikuu cha Ngaounde&#341;e kaskazini mwa Came&#341;oon, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8221;Watu wanapokuwa na mawasiliano ya kila siku na NGOs kama walinzi wa demok&#341;asia, haki za binadamu na maendeleo endelevu, mambo yote hayo ambayo ni nguzo kuu za utawala bo&#341;a, wanazitazama kwa matumaini,&#8221; Nna aliongeza. &#8221;Kutokana na sababu hizo, yanatakiwa kuwa wazi katika kila nyanja ya kuhudumia watu kwa ajili ya maslahi yao pia.&#8221; <\/p>\n<p>Baadhi ya NGOs zimechukua hatua kubo&#341;esha jinsi zinavyoongozwa. Lakini hatua nyingbine muhimu zinahitajika kubo&#341;esha uongozi wao wa ndani, ambazo zinakosolewa zaidi. <\/p>\n<p>Kwa mfano, ma&#341;a nyingi NGOs zinahusika katika kashfa na kushutumiwa kutokana na kukosekana kwa uwazi. Pia zinashutumiwa kutokana na kuzidi kushutumu wengine huku zikishindwa kuweka nyumba zao katika hali nzu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8221;Je NGOs zina uwazi kama zinavyodai &#8221; anauliza Nicole Elouga, mwanashe&#341;ia mwenye makao yake makuu mjini Yaounde. &#8221;(NGOs) nyingi zinahusishwa kwa vitendo vya &#341;ushwa.&#8221; <\/p>\n<p>Alikuwa akitoa mfano wa kashfa ya uagizaji wa maga&#341;i ambapo NGO ya kimataifa ilikutwa ikitoa hongo kwa maofisa wa ushu&#341;u wa fo&#341;odha wa Came&#341;oon mwaka 2005. <\/p>\n<p>&#8221;Nchini Came&#341;oon, kwa mfano, mamia kadhaa ya NGOs yanafanya kazi katika sekta mbalimbali,&#8221; alisema Paul Zemdjio, m&#341;atibu wa NGO ijulikanayo kama Fu&#341;sa Sawa kwa Wote mjini Yaounde. &#8221;Lakini miaka saba iliyopita ni NGOs chache tu na mi&#341;adi ya kanisa zilikubali kuzingatia maadili ya kukuza uwazi ndani na kuzunguka mashi&#341;ika hayo.&#8221; <\/p>\n<p>Mwezi Machi 1999, wawakilishi wa NGOs na makanisa walikutana kujadili masuala ya kupambana na &#341;ushwa. Katika kufunga mkutano huo, maadili yalipitishwa kupambana na &#341;ushwa miongoni mwa mashi&#341;ika yaliyohusika. <\/p>\n<p>&#8221;Wakati huo (1999)&#8221;, Zemdjio alisema kuwa, &#8221;&#341;ushwa imekuwa kensa katika jamii ya Came&#341;oon. Imekuwepo katika kila ngazi ya jamii, ikiwa ni pamoja na NGOs zenyewe.&#8221; <\/p>\n<p>Maadili hayo yalitaka NGOs kukubaliana na miundo na ta&#341;atibu kama zile za kukataa &#341;ushwa, haki ya kukemea na kukataa &#341;ushwa, kukuza uwazi katika kusimamia fedha na kuzingatia muda wa uongozi. Wastani wa NGOs 23 zinaheshimu maadili hayo sasa, Zemdjio alisema. <\/p>\n<p>&#8221;Tuliamua kupambana na &#341;ushwa na kukuza uwazi kwasababu watu wana matumaini makubwa kwetu (NGOS) kutokana na wajibu wetu katika jamii,&#8221; alisema Ma&#341;tine Mbateck, mwanachama wa Kituo cha Kikanda cha Kusaidia na Kuendeleza Mipango ya Maendeleo ya Wanawake, NGO yenye makao yake Mbalmayo, kusini mwa Yaounde. <\/p>\n<p>&#8221;Katika kuonyesha kuwa tupo makini, tuliahidi kukuza uwazi katika kusimamia fedha. Tulianzisha mtindo wa kuwa na sahihi mbili, tulifanya mahesabu yetu kuwa wazi kwa umma na kukubali maadili na kuwepo kwa ukaguzi wa mahesabu kwa uhu&#341;u na unaofanywa na watu wa nje,&#8221; Mbateck alisema. <\/p>\n<p>Lakini mijadala ya masuala ya utawala bado ni mwiko nchini Came&#341;oon ikiwa ni pamoja na katika nchi za Kiaf&#341;ika. <\/p>\n<p>Pamoja na vikwazo hivyo, Zemdjio alisema, &#8221;Kuongezeka kwa ushawishi wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kulikotokana na wimbi la kuingia kwa demok&#341;asia na utawala wa wengi ukichukua nafasi ya se&#341;ikali za kijeshi na mifumo ya vyama vingi sasa ime&#341;uhusu masuala haya kujadiliwa wazi wazi kwa uhu&#341;u zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Masuala ya utandawazi na uwazi yanabakia kuwa muhimu kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika kuanzisha mikakati ya kikanda ya kubo&#341;esha utawala bo&#341;a. <\/p>\n<p>&#8221;Uhusiano kati ya utawala bo&#341;a na maendeleo ni muhimu sana, jinsi gani ya kupunguza umaskini na kuhakikisha kunakuwepo na maendeleo ba&#341;ani Af&#341;ika bila ya kuwepo kwa utawala bo&#341;a &#8221; Jacqueline Nde, mwanachama wa muungano wa kimataifa wa kampeni ya &#8216;Publish What You Pay&#8217;, aliiuliza IPS. <\/p>\n<p>Ikiwa imeanza nchini Came&#341;oon Desemba 2005, shi&#341;ika hili la kijamii la Af&#341;ika magha&#341;ibi na ya kati linatengeneza mikakati kukuza uwazi na utawala bo&#341;a kwa ajili ya mapato yaliyotokana na uuzaji wa mali za asili. Katika ba&#341;a la Af&#341;ika, mkakati huo una&#341;atibiwa na shi&#341;ika la &#8220;Catholic Relief Se&#341;vice&#8221; mjini Yaounde.<\/p>\n<p>Nde alisema shi&#341;ika hilo linafanana na lile la mjini London la &#8220;Initiative on T&#341;anspa&#341;ency fo&#341; the Ext&#341;active Indust&#341;ies (EITI)&#8221;, ambalo linatoa ushau&#341;i na vitendo kama njia ya kusafisha nyumba na taa&#341;ifa mfano wa matendo mazu&#341;i. &#8221;Lakini hadi leo hii&#8221;, alisema waziwazi, &#8221;kumekuwepo na matatizo ya kuanzisha EITI nchini mwetu.&#8221; <\/p>\n<p>Ukiwa umezinduliwa mjini Johannesbu&#341;g Septemba mwaka 2002, mpango huo unataka kwamba se&#341;ikali na madini na makampuni ya pet&#341;oli yanaweka wazi kipato kilichopatikana kutokana na &#341;asilimali za asili zilizochimbwa a&#341;dhini, na pia kuonyesha jinsi gani kipato kilichotolewa kwa ajili ya kupambana na umaskini kimetumika.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Juni 24 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Came&#341;oon yameka&#341;ibisha mkataba wa kwanza wa uwajibikaji ulimwenguni ambao ulipitishwa na wanaha&#341;akati wa kimataifa mjini Glasgow, Scotland, kusimamia jinsi mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) yanavyoweza kuendesha shughuli zao. Mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali kumi na moja kama vile shi&#341;ika la Oxfam Inte&#341;national, ActionAid Inte&#341;national na Amnesty Inte&#341;national&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":135,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1297","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1297","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/135"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1297"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1297\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1297"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1297"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1297"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}