{"id":1296,"date":"2006-06-26T13:40:01","date_gmt":"2006-06-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/26\/afrika-katika-baa-la-afika-mashoga-wanakabiliwa-na-kifungo-wanabaguliwa\/"},"modified":"2006-06-26T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-26T13:40:01","slug":"afrika-katika-baa-la-afika-mashoga-wanakabiliwa-na-kifungo-wanabaguliwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/26\/afrika-katika-baa-la-afika-mashoga-wanakabiliwa-na-kifungo-wanabaguliwa\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Katika Ba&#341;a la Af&#341;ika, Mashoga Wanakabiliwa na Kifungo, Wanabaguliwa"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 23 (IPS) &ndash; &#8220;Tupo hapa ba&#341;ani Af&#341;ika: tunaishi katika jamii, tunalipa kodi kama ambavyo kila mmoja anafanya katika jamii, tunashi&#341;ikiana na watu katika jamii. Sisi ni watu wa asili sana katika ulimwengu,&#8221; alisema mwanaha&#341;akati wa mashoga ba&#341;ani Af&#341;ika Donna Smith.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwakishi wa Chama cha Kuwawezesha Wanawake &ndash; chama cha wasagaji weusi katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Johannesbu&#341;g nchini Af&#341;ika Kusini &ndash; alikuwa akizungumza katika mkutano wa pili wa Af&#341;ika juu ya Afya na Haki ya Kujamiiana ambao ulifanyika katika mji mku wa Kenya wa Nai&#341;obi, wiki hii (Juni 19&ndash;21). <\/p>\n<p>Ka&#341;ibu wajumbe 400 walikusanyika katika mkutano uliokuwa na lengo la kubo&#341;esha se&#341;a na mipango juu ya kujamiiana ba&#341;ani Af&#341;ika. Mkutano wa kwanza wa aina hiyo ulifanyika mjini Johannesbu&#341;g mwaka 2004. <\/p>\n<p>Mjadala juu ya kujamiiana kwa mashoga ulionekana kuchukua hisia za wengi katika mkutano huo, huku washi&#341;iki wakigombea nafasi katika chumba kidogo kilichotengwa kwa mjadala huo. Bado nchi nyingi ba&#341;ani Af&#341;ika zinapinga ushoga, ikiwa ni pamoja na Kenya &ndash; ambapo kosa hilo linaweza kusabisha adhabu ya kifungo cha hadi miaka 14 jela. <\/p>\n<p>Pamoja na she&#341;ia za kikandamizaji, mashoga wanakabiliwa na unyanyapaa na kubaguliwa. <\/p>\n<p>&#8220;Nilifanya kazi katika taasisi ya elimu ya juu. Rafiki zangu walipogundua kwamba nilikuwa shoga, ma&#341;a moja waliniacha peke yangu, kama vile nilikuwa na ugonjwa mbaya wa kuambukiza,&#8221; David Ku&#341;ia, mjumbe kutoka Kenya, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Nililazimika kuacha aji&#341;a yangu kwasababu sikupenda jinsi nilivyokuwa nikitendewa,&#8221; aliongeza. Ku&#341;ia aligundua kuwa alikuwa shoga alipokuwa katika shule ya sekonda&#341;i mapema katika miaka ya 1990. <\/p>\n<p>Kitu kibaya zaidi ni pale ubaguzi unapokuja kujidhihi&#341;isha kuwa vita. <\/p>\n<p>Fikile Vilakazi wa Muungano wa wasagaji ba&#341;ani Af&#341;ika alitoa mfano wa Zoliswa Nkonyana, msagaji mwenye um&#341;i wa miaka 19 ambaye aliuawa na kikundi cha wahuni mjini Cape Town, Af&#341;ika Kusini, mapema mwaka huu kwasababu ya tabia yake ya kujamiiana. (Muungano huo, wenye makao yake makuu katika mji mkuu wa Namibia, Windhoek, ni mtandao wa mashi&#341;ika yanayotetea haki za wasagaji.) <\/p>\n<p>Mambo yanafanywa kuwa mabaya zaidi, alisema Vilakazi, kutokana na mitizamo ya viongozi wa nchi juu ya ushoga: &#8220;Idadi kadhaa ya matukio ya ubakaji na kupigwa yame&#341;ipotiwa kwa polisi. Polisi wanachukua muda m&#341;efu kushughulikia mambo hayo. Mtu anapotoa taa&#341;ifa, polisi wanajibu kwa kuuliza swali ni kwa nini mtu huyo ni msagaji.&#8221; <\/p>\n<p>Kubaguliwa kwa mashoga kunaweza kuwakatisha tamaa wasijishughulishe na huduma ambazo ni muhimu kwa afya na maisha yao. <\/p>\n<p>&#8220;Mitizamo ya kiuadui na kibaguzi imefanya watu wengi wenye tabia za MSM &ndash; wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao &ndash; kusita kupata huduma. Hii imefanya kundi la MSM kuwa katika hata&#341;i kubwa ya kuambukizwa VVU\/Ukimwi,&#8221; alibainisha Angus Pa&#341;kinson wa kikundi cha &#8220;Live&#341;pool VCT and Ca&#341;e Kenya&#8221;, chenye makao yake makuu mjini Nai&#341;obi kinachofanya kazi ya kuhudumia na kufanya utafiti juu ya VVU\/Ukimwi. (Maana ya VCT ni &#8220;kupima na kupata ushau&#341;i nasaha kwa hia&#341;i &#8220;. &#8220;Live&#341;pool VCT and Ca&#341;e Kenya&#8221; ina uhusiano na Chuo cha Live&#341;pool cha Madawa ya Kit&#341;opiki kilichopo nchini Uinge&#341;eza.) <\/p>\n<p>&#8220;MSM wengi hawatambui juu ya VVU\/STIs (magonjwa ya ngono) na wanaamini kuwa hawapo katika hata&#341;i kubwa ya kuambukizwa, huku wakitumia kondomu ma&#341;a chache na vilainishi visivyofaa.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa upande wa Ca&#341;y Alan Johnson, m&#341;atibu mwandamizi katika shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini New Yo&#341;k la &#8220;Inte&#341;national Gay and Lesbian Human Rights Commission&#8221;, ukomeshwaji wa she&#341;ia zinazofanya ushoga kuwa uhalifu kunaweza kukomesha hali hii. <\/p>\n<p>&#8220;Jumuiya ya mashoga duniani kote inazidi kuongezeka na hatuwezi kuendelea kupuuzia haki zao kwa kupitia she&#341;ia za kikoloni za kizamani. Kama se&#341;ikali zinaheshimu haki za binadamu, inabidi na haki za mashoga na wasagaji ziheshimiwe pia na kuingizwa katika mfumo mpana wa haki za binadamu,&#8221; Johnson alisema. <\/p>\n<p>Kwa sasa, hata hivyo, ushoga na usagaji bado unaonekana na wengi kama unatokana na jamii za Magha&#341;ibi, na kitu kipya katika utamaduni wa Kiaf&#341;ika.<\/p>\n<p>Waumini wa baadhi ya imani pia wanaona haki za mashoga kama zinapingana na imani za kidini. Hii ilijionyesha waka&#341;i Maaskofu wa kanisa la Kianglikana ba&#341;ani Af&#341;ika walipoamua kukata mahusiano yao na Kanisa la Episcopal nchini Ma&#341;ekani juu ya uamuzi wao wa mwaka 2004 kumwapisha Gene Robinson, mtu aliyetambulika kama shoga, kuwa askofu wa Dayosisi ya New Hampshi&#341;e &ndash; jimbo la masha&#341;iki mwa Ma&#341;ekani. <\/p>\n<p>Lakini, Smith anasema wakati ambapo mtu shoga anaweza kuishi maisha ya kawaida ya kujamiiana kati ya mwanamke na mwanaume &#8220;kutokana na matakwa ya kishe&#341;ia, hawawezi kuwa na amani na kutimiza haja za mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume.&#8221; <\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa kuanzia um&#341;i wa miaka nane, amekuwa akifiki&#341;i juu ya wanaume, na kutambua kuwa alikuwa tofauti na wasichana wengine: &#8220;Uzoefu wangu wa kwanza wa kujamiiana na msichana, ulinifanya kutambua moja kwa moja hali yangu ya kujamiiana ingekuwaje.&#8221; <\/p>\n<p>Kikao cha mashoga pia kilishuhudia kuzinduliwa nchini Kenya kwa kitabu kijulikanacho kama &#8216;Tommy Boys, Lesbian Men and Ancest&#341;al Wives: Female Same Sex P&#341;actices in Af&#341;ica&#8217;, ambacho kinazungumzia juu ya usagaji Kusini na Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Kitabu hiki kiliandikwa kwa pamoja na wanaha&#341;akati kutoka nchi sita: Af&#341;ika Kusini, Namibia, Swaziland, Kenya, Uganda na Tanzania. Miongoni mwa mambo mengine, kinaonyesha jinsi gani wasagaji wa Af&#341;ika wanaweza kupata nafasi ya kuelezea tabia zao za kujamiiana, na jinsi wanavyopingwa na jumuiya zao.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 23 (IPS) &ndash; &#8220;Tupo hapa ba&#341;ani Af&#341;ika: tunaishi katika jamii, tunalipa kodi kama ambavyo kila mmoja anafanya katika jamii, tunashi&#341;ikiana na watu katika jamii. Sisi ni watu wa asili sana katika ulimwengu,&#8221; alisema mwanaha&#341;akati wa mashoga ba&#341;ani Af&#341;ika Donna Smith. Mwakishi wa Chama cha Kuwawezesha Wanawake &ndash; chama cha wasagaji weusi katika mji&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1296","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1296","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1296"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1296\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1296"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1296"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1296"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}