{"id":1294,"date":"2006-06-23T13:40:01","date_gmt":"2006-06-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/23\/siasa-china-mkakati-wa-shinda-nishinde-kuanza-baani-afika\/"},"modified":"2006-06-23T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-23T13:40:01","slug":"siasa-china-mkakati-wa-shinda-nishinde-kuanza-baani-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/23\/siasa-china-mkakati-wa-shinda-nishinde-kuanza-baani-afika\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;CHINA: Mkakati wa &#8216;Shinda Nishinde&#8217; Kuanza ba&#341;ani Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>BEIJING, Juni 21 (IPS) &ndash; Zia&#341;a ya Wazi&#341;i Mkuu wa China Wen Jiabao katika ba&#341;a la Af&#341;ika wiki hii &ndash; sehemu ya ombi la Beijing kupata vyanzo vya nishati vya baadae na malighafi kwa ajili ya uchumi wa nchi hiyo, inatumiwa pia kama jukwaa la kukuza se&#341;a za nje za China katika ba&#341;a hilo na mahali pengine duniani kote.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Vyombo vya haba&#341;i vya se&#341;ikali vilielezea zia&#341;a ya Wen kama mfano wa diplomasia ya &#8216;shinda nishinde&#8217; na kusisitiza sifa ya China kama nchi inayokua na yenye uka&#341;imu ambayo hainyonyi &#341;asilimali kwasababu ya faida za kiuchumi au kuchanganya biasha&#341;a na siasa. Wanadiplomasia wa China pia wametetea &#341;ikodi ya China katika ba&#341;a hilo, kwa kusema kuwa Beijing ilikuwa &#8216;haifungamani na upande wowote&#8217; katika maamuzi yake ya kutoa misaada na kuwa mfano wa kuigwa katika kuchochea maendeleo ya nchi maskini. <\/p>\n<p>Zia&#341;a ya siku nane ya Wen ba&#341;ani Af&#341;ika ambayo ilianza siku ya Jumamosi itamchukua hadi Mis&#341;i, Ghana, Jamhu&#341;i ya Kongo, Angola, Af&#341;ika Kusini, Tanzania na Uganda. Zi&#341;a yake inakuja chini ya miezi miwili baada ya Rais Hu Jintao alipotembelea Mo&#341;occo, Nige&#341;ia na Kenya na miezi mitano kabla ya kongamano la ushi&#341;ikiano kati ya China na Af&#341;ika kufanyika nchini China. <\/p>\n<p>Mlolongo wa shughuli za kidiplomasia unatokana na njaa ya China ya nishati na malighafi ambayo wakosoaji wa mambo wanasema, imeifanya kushi&#341;ikiana na baadhi ya tawala mbaya ba&#341;ani Af&#341;ika na penginepo duniani. Mwezi huu shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu la &#8220;Amnesty Inte&#341;national&#8221; liliishutumu China kutokana na kuchochea vita na ukiukwaji wa haki za binadamu kutokana na kuuza silaha kwa se&#341;ikali za kikandamizaji kama vile Sudan na Zimbabwe kwa ajili ya kupatiwa mafuta na madini. <\/p>\n<p>Lakini Beijing imetetea &#341;ikodi yake. &#8220;Ni haba&#341;i za upande mmoja au sisizokuwa na ukweli kusema kuwa kuongezeka kwa ushi&#341;ikiano wa China na Af&#341;ika kunatokana na maslahi ya mafuta,&#8221; msaidizi wa wazi&#341;i wa mambo ya nje He Yafei aliuambia mkutano wa waandishi wa haba&#341;i wiki iliyopita. &#8220;Lengo la ushi&#341;ikiano kati ya Sino na Af&#341;ika ni kufaidika kwa pande zote mbili&#8230;ni mzu&#341;i husasani kwa ajili ya maendeleo ya nchi za Kiaf&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Wen pia aliendeleza diplomasia za &#8220;shinda nishinde&#8221; za China kutokana na kuunganisha ukuaji wa uchumi wa nchi yake na siasa zinazovutia. Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa haba&#341;i mjini B&#341;azaville siku ya Jumatatu, alisema China haina &#8220;maslahi ya kichoyo&#8221; katika kushi&#341;ikiana na nchi za Kiaf&#341;ika lakini ilitaka kusadia &#8220;maendeleo hu&#341;u&#8221; ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;China imekuwa ikiendeleza mahusiano na Af&#341;ika chini ya kanuni za kufaidika kwa pande zote mbili na bila kuingiliwa kwa mambo ya ndani ya Af&#341;ika,&#8221; Wen alisema kufuatia mazungumzo na Rais wa Jamhu&#341;i ya Kongo, Denis Sassou&ndash;Nguesso. <\/p>\n<p>Wakati zia&#341;a ikianza, msimamo wa kisiasa wa kutokuingiliwa kwa mambo ya ndani ulielezewa katika gazeti la se&#341;ikali linalotolewa kwa lugha ya Kiinge&#341;eza kila siku la &#8216;China Daily&#8217; Juni18. <\/p>\n<p>&#8220;China imekuwa ikitoa misaada ya kifedha na kiufundi kwa watu wanaoihitaji zaidi katika Af&#341;ika ambayo haifungamani na masha&#341;ti yoyote yale,&#8221; ilisema taha&#341;i&#341;i katika gazeti hilo. &#8220;Imekuwa ikizishawishi nchi za Af&#341;ika kuendeleza uchumi wake kwa kupitia biasha&#341;a na uwekezaji katika kilimo na taasisi za kijamii, bila ya kushinikiza mambo katika mageuzi ya kiuchumi na kisiasa&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Inasomeka kama kukemea moja kwa moja se&#341;a za nje za Ma&#341;ekani na nchi za Magha&#341;ibi katika ba&#341;a hilo,&#8221; anasema mwanadiplomasia wa Magha&#341;ibi aliyepo mjini Beijing. &#8220;Ni moja ya ma&#341;a ya kwanza kuwa wawazi hivyo kuelezea vipaumbele vya diplomasia zao katika ba&#341;a la Af&#341;ika na ina lengo la kujiwakilisha kama taifa linalovutia zaidi duniani kuliko Ma&#341;ekani.&#8221; <\/p>\n<p>Watafiti hapa wanasisitiza kuwa zia&#341;a ya Wen inaonyesha kuhama polepole kwa Beijing kutoka katika utoaji wa kipaumbele kwa mahuasiano na mataifa ya kimataifa na kujenga himaya ya kisiasa na nchi zenye maendeleo duni. Kuhama huku kumejionyesha zaidi tangu Hu Jintao alipokuwa &#341;ais mwaka 2002. Rais aliyemtangulia, Jiang Zemin alikuwa akipendelea kuendeleza mahusiano kati ya Sino na Ma&#341;ekani kama eneo muhimu katika kuendeleza ukuaji wa uchumi wa China. <\/p>\n<p>&#8220;Zia&#341;a za Afika mwaka huu, awali na &#341;ais wa China na sasa wazi&#341;i mkuu, inaonyesha kwamba ushi&#341;ikiano wa Sino&ndash;Af&#341;ika upo juu katika ajenda za kidiplomasia za China,&#8221; anasema Wang Yingying, mtafiti katika Taasisi ya Mafunzo ya Kimataifa ya China. <\/p>\n<p>Kama sehemu ya ushawishi wa kuweza kupata nishati na &#341;asilimali za madini, China imekuwa ikizipatia se&#341;ikali za Af&#341;ika misaada ya kiuchumi, kiufundi na mikopo isiyokuwa na &#341;iba. Makampuni ya Kichina yamekuwa yakishi&#341;iki katika ujenzi wa ba&#341;aba&#341;a kuu, hospitali, miundombinu ya maji, ikulu na viwanja vya michezo. Kuna ka&#341;ibu mi&#341;adi ya uwekezaji 900 katika ba&#341;a hilo inayokadi&#341;iwa kufadhiliwa na fedha kutoka China. <\/p>\n<p>Kuongezeka kwa maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya Beijing katika ba&#341;a hilo kumekwenda sambamba na kuongezeka kwa biasha&#341;a za nchi na nchi. Biasha&#341;a kati ya China na Af&#341;ika imeongezeka ka&#341;ibu ma&#341;a nne tangu mwaka 2000, na kufikia &#341;ikodi ya thamani ya dola za Ma&#341;ekani bilioni 39.7 mwaka jana, kutoka dola bilioni 10.6. <\/p>\n<p>Mafuta ni sababu kubwa ya China kutafuta ushi&#341;ikiano na Af&#341;ika. Beijing imekuwa ikitumia mabilioni ya dola kupata haki ya kuchimba mafuta nchini Nige&#341;ia, Sudan na Angola. Pia imetia sahihi mipango kadhaa ya kuchunguza vyanzo vya mafuta katika nchi kadhaa za Af&#341;ika kuanzia Jamhu&#341;i ya Kongo katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi hadi Ethiopia. Kwa sasa ba&#341;a hilo linauza asilimia 25 ya mafuta yanayoagizwa na China kutoka nchi za nje na Beijing inataka kuongezeka ili kuwa na vyanzo mbadala vya mafuta kutoka Masha&#341;iki ya Kati. <\/p>\n<p>Angola, ambayo ipo katika o&#341;odha ya nchi zitakazotembelewa na Wen, ni mzalishaji wa pili wa mafuta yanayouzwa China ambayo thamani yake yanafikia dola bilioni 6.58 mwaka jana. Ili kuwa na chanzo cha mafuta chenye uhakika katika siku za usoni, Beijing imetoa mkopo wa dola bilioni tatu kusaidia Angola kuka&#341;abati miundombinu yake, ambayo iliha&#341;ibiwa vibaya wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. <\/p>\n<p>Nchi kama Jamhu&#341;i ya Kongo na Af&#341;ika Kusini, ambazo hazina mafuta pia zina umuhimu mkubwa katika ajenda ya zia&#341;a ya Wen kutokana na kuwa na &#341;asilimali kama vile shaba na madini aina ya aluminium ambayo yanahitajika katika uchumi wa China.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BEIJING, Juni 21 (IPS) &ndash; Zia&#341;a ya Wazi&#341;i Mkuu wa China Wen Jiabao katika ba&#341;a la Af&#341;ika wiki hii &ndash; sehemu ya ombi la Beijing kupata vyanzo vya nishati vya baadae na malighafi kwa ajili ya uchumi wa nchi hiyo, inatumiwa pia kama jukwaa la kukuza se&#341;a za nje za China katika ba&#341;a hilo na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":191,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1294","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1294","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/191"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1294"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1294\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1294"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1294"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1294"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}