{"id":1292,"date":"2006-06-23T13:40:01","date_gmt":"2006-06-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/23\/siku-ya-wakimbizi-duniani-kijana-wa-kisudani-abadili-maumivu-kuwa-sanaa\/"},"modified":"2006-06-23T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-23T13:40:01","slug":"siku-ya-wakimbizi-duniani-kijana-wa-kisudani-abadili-maumivu-kuwa-sanaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/23\/siku-ya-wakimbizi-duniani-kijana-wa-kisudani-abadili-maumivu-kuwa-sanaa\/","title":{"rendered":"SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI: Kijana wa Kisudani Abadili Maumivu kuwa Sanaa"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 19 (IPS) &ndash; Mcho&#341;o unaonyesha mwanamke akiwa amemfunga mtoto wake kifuani. Ukiwa na jina la &#8216;Emb&#341;ace&#8217;, unaonyesha kukumbukumbu ambayo imedumu ndani ya mwanasanaa, ambaye alikuwa aska&#341;i mtoto katika vita vya wenyewe kwa wenyewe Kusini mwa Sudan ambaye alikuwa na jina la &#8220;Commande&#341; Spoon&#8221;.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mwanamke huyu amembeba mtoto mmoja kifuani mwake, na kushikilia wengine wawili mikononi mwake. Wakati akiwa anakimbia mapigano, alinikuta nikiwa na aska&#341;i mwenzangu. Alikuwa akilia na kututaka tusimpige &#341;isasi, lakini mwenzangu alipiga &#341;isasi pamoja na watoto wake wote,&#8221; alisema Spoon, akielezea juu ya tukio lililotokea mwaka 1997. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kweli nililia, na kumnyooshea mwenzangu huyo mtutu wa bunduki: Nilitaka kumuua. Na yeye pia alininyooshea bunduki, lakini kamanda wetu aliingilia kati hapo ndipo tulipodondosha silaha chini&#8230;Tangu wakati huo, picha ya mwanamke huyo inabakia kuwa wazi akilini mwangu.&#8221; <\/p>\n<p>Picha hiyo pia itaingia katika mawazo ya wengine, katika Siku ya Wakimbizi Duniani (Juni 20). Mcho&#341;o wa Spoon umechapwa katika fulana ili ziweze kuvaliwa na wale watakaoshi&#341;iki katika tukio la kuadhimisha siku hiyo nchini Kenya, ambapo kijana huyo sasa anaishi kama mkimbizi. <\/p>\n<p>Hii inakuja baada ya kazi iliyochukua nafasi ya pili katika mashindano ya watoto wakimbizi wanaosoma katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Nai&#341;obi, ambayo yalibuniwa na ofisi ya nchini humo ya Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) &ndash; na kuvutia washi&#341;iki 180. <\/p>\n<p>Mpiganaji huyo mtoto wa zamani anayezungumza kwa upole anasema mwanamke aliyepigwa &#341;isasi alikuwa amevalia mavazi ya &#341;angi ya chungwa, na mtoto aliyekuwa kifuasi mwake &#341;angi ya zamba&#341;au. Rangi hizi zimetumiwa katika mcho&#341;o, ambao unaonyesha picha hizo zikiwa katika &#341;angi ya nyuma nyeuzi. Rangi nyekundu pia imetumika, kuonyesha damu ambayo ilimwagika kutoka kwa mwanamke huyo na watoto wake. <\/p>\n<p>Spoon aliiambia IPS kwamba alitaka kuuonyesha ulimwengu juu ya kilichotokea nchini Sudan wakati wa vita vilivyodumu kwa miaka 21 kati ya waasi wa Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation Movement\/A&#341;my (SPLM\/A) na se&#341;ikali ya Kha&#341;toum. Tak&#341;ibani watu milioni mbili waliuawa katika mapigano, ambayo pia yalisababisha ka&#341;ibu watu milioni nne kukimbia makazi yao, hii ni kulingana na Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Tukio lililoonyeshwa katika picha ya &#8216;Emb&#341;ace&#8217; ni moja tu ya matukio kadhaa ambayo Spoon anasema aliyashuhudia baada ya kutumiwa na waasi wa SPLM\/A. Akiwa ameshindwa kuvumilia kuona matukio ya aina hiyo, hatimaye aliweza kuto&#341;okea katika nchi ji&#341;ani ya Uganda, halafu Kenya mwaka 2004. Kwa sasa anasoma katika Shule ya Msingi Ri&#341;uta Satellite jijini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Kufuatia mkataba wa amani uliosaniwa mwaka jana kumaliza mapigano kusini mwa Sudan, Spoon angependa ku&#341;ejea nyumbani. Lakini, uha&#341;ibifu uliosababishwa na vita umemfanya kufiki&#341;i kwanza. <\/p>\n<p>Ni hakika wengine wengi wanashi&#341;iki katika hofu yake kwamba kwa sasa Sudan inatia matumaini madogo. Zoezi la ku&#341;ejesha wakimbizi nyumbani lililoanzishwa na UNHCR mwezi Desemba limeshafanikiwa kuwa&#341;ejesha wakimbizi 1,500 &ndash; sehemu ndogo tu ya wakimbizi wote wa Sudan wanaoishi nchini Kenya. Kambi ya Kakuma kaskazini masha&#341;iki mwa nchi peke yake ina zaidi ya wakimbizi 90,000, wengi wao wakiwa wanatokea Sudan. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna miundombinu, shule, na jumuiya ya kimataifa inatakiwa kushi&#341;iki katika mi&#341;adi hii ya maendeleo,&#8221; mkuu wa UNHCR Ant&oacute;nio Gute&#341;&#341;es alisema akizungumzia hali nchini Sudan alipokuwa akiongea na waandishi wa haba&#341;i mjini Nai&#341;obi, Juni 18. <\/p>\n<p>&#8220;Tumeona kwamba idadi ya wanao&#341;ejea kusini mwa Sudan inaongezeka wakati mwaka wa shule unapomalizika. Unapoanza, idadi inapungua kutokana na kukosekana kwa shule, na wakimbizi wana&#341;ejea kwenye nchi zao walikopewa hifadhi kama zinakuwa na shule &ndash; ikiwa ni pamoja na katika makambi,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Kambi ya Kakuma ina wakimbizi 30,000 watoto ambao wanahudhu&#341;ia masomo ya shule ya msingi, na sekonda&#341;i, kulingana na ofisi ya UNHCR mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Hata hivyo, katika hali yoyote ile, maisha katika makambi ya wakimbizi ni ya hata&#341;i kwa watoto &ndash; hasa wale ambao hawana wazazi wala walezi wao. <\/p>\n<p>&#8220;Hata kama ma&#341;a tu wanapofika watoto hao wanawekwa chini ya usimamizi wa wazazi wa kambo, tatizo ni kwamba wanadhalilishwa aidha kingono au kwa kufanyishwa kazi,&#8221; alisema Eva Ayie&#341;a, ofisa mipango anayeshughulikia utetezi katika shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la &#8220;Refugee Conso&#341;tium of Kenya&#8221;. Shi&#341;ika hilo lina lengo la kubo&#341;esha maisha ya wakimbizi wanaoishi nchini humo. <\/p>\n<p>Kaulimbiu ya mwaka huu ya Siku ya Wakimbizi Duniani ni &#8216;Kufufua Wimbi la Matumaini&#8217;, hii ni kutokana na kutambua uvumilivu ulioonyeshwa na wakimbizi ulimwenguni kote. <\/p>\n<p>Kama Gute&#341;&#341;es anavyobainisha katika taa&#341;ifa yake ya Siku ya Wakimbizi Duniani, &#8220;&#8230;kama kuna tabia moja inayofanana kwa wote miongoni mwa makumi kwa mamilioni ya wakimbizi ambao sisi katika shi&#341;ika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa tumekuwa tukiwasaidia kwa zaidi ya miaka 55, ni ukweli kwamba pamoja na kupoteza kila kitu, hawapotezi matumaini.&#8221; <\/p>\n<p>Makadi&#341;io ya UNHCR yanaweka jumla ya wakimbizi mwishoni mwa mwaka 2005 kufikia milioni 8.4 &ndash; huku zaidi ya wakimbizi milioni tano wakiwa wameshaishi nje ya nchi zao kwa miaka mitano au zaidi, kulingana na Gute&#341;&#341;es. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi tunaulizwa ni jinsi gani tunaweza kukabiliana na ukweli wa giza lililopo katika kazi yetu, mwaka baada ya mwaka, bila ya kukatishwa tamaa,&#8221; anasema mkuu huyo katika taa&#341;ifa yake. <\/p>\n<p>&#8220;Na jibu letu huwa ni &#341;ahisi: Kama wakimbizi wenyewe hawakati tamaa, kwa nini sisi tukate tamaa &#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 19 (IPS) &ndash; Mcho&#341;o unaonyesha mwanamke akiwa amemfunga mtoto wake kifuani. Ukiwa na jina la &#8216;Emb&#341;ace&#8217;, unaonyesha kukumbukumbu ambayo imedumu ndani ya mwanasanaa, ambaye alikuwa aska&#341;i mtoto katika vita vya wenyewe kwa wenyewe Kusini mwa Sudan ambaye alikuwa na jina la &#8220;Commande&#341; Spoon&#8221;. &#8220;Mwanamke huyu amembeba mtoto mmoja kifuani mwake, na kushikilia wengine&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1292","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1292","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1292"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1292\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1292"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1292"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1292"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}