{"id":1291,"date":"2006-06-21T13:40:01","date_gmt":"2006-06-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/21\/afya-namibia-vita-dhidi-ya-polio-yaenda-mlango-hadi-mlango-shamba-hadi-shamba\/"},"modified":"2006-06-21T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-21T13:40:01","slug":"afya-namibia-vita-dhidi-ya-polio-yaenda-mlango-hadi-mlango-shamba-hadi-shamba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/21\/afya-namibia-vita-dhidi-ya-polio-yaenda-mlango-hadi-mlango-shamba-hadi-shamba\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;NAMIBIA: Vita Dhidi ya Polio Yaenda Mlango Hadi Mlango, Shamba hadi Shamba"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Juni 18 (IPS) &ndash; Kampeni ya chanjo ya polio imepangwa kufanyika nchini Namibia katika siku chache zijazo &ndash; hii inafanyika wakati nchi inapambana na kuzuka kwa gonjwa hilo kwa ma&#341;a ya kwanza katika kipindi kinachozidi miaka kumi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Jack V&#341;ies, mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kusimamia Magonja ya Dha&#341;ula, ambayo ina&#341;atibu kampeni ya Juni 21&ndash;23, aliiambia IPS kuwa viongozi wa se&#341;ikali walikabiliwa na &#8220;kazi kubwa&#8221; katika kusambaza chanjo katika wilaya zote 35 nchini humo. <\/p>\n<p>Namibia ni nchi ya kwanza kuja&#341;ibu kuwapatia chanjo wananchi wake wote, wanaokadi&#341;iwa kufikia milioni mbili, katika kipindi cha miaka kumi. Se&#341;ikali ya mwisho kuendesha chanjo ya aina hiyo ni Albania, mwaka 1996. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa linadhamini utoaji wa chanjo, kwa gha&#341;ama ya dola za Kima&#341;ekani milioni 4.5. Du&#341;u nyingine mbili zaidi za chanjo zitafanyika mwezi Agosti. <\/p>\n<p>Ugonjwa wa polio ulizuka hivi ka&#341;ibuni mwezi Mei 7 katika mji mdogo wa A&#341;anos kusini&ndash;masha&#341;iki mwa Namibia &ndash; pamoja na kwamba ugonjwa huo awali haukutambuliwa. Iliwachukua maofisa wa afya ka&#341;ibu mwezi mmoja kuthibitisha kuwa ugonjwa huo ulikuwa ni polio, ambapo wakati huo watu saba walikuwa taya&#341;i wameshafa&#341;iki dunia, na wengine 39 wameshapooza. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ilitokana na hali ya mfumo wa afya. Nchi haina vifaa vya kupimia na hii ndiyo sababu imechukua wiki tatu kuthibitisha kuwa polio ilikuwa nchini humo,&#8221; Phil ya Nangolo, mku&#341;ugenzi mtendaji wa asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya &#8220;National Society fo&#341; Human Rights&#8221;,yenye makao yake makuu katika mji mkuu wa nchi wa Windhoek, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Hatimaye ugonjwa huo ulikuja kujulikana Juni 6, baada ya vipimo kupelekwa katika maaba&#341;a za Af&#341;ika Kusini na hivyo kugundua vi&#341;usi vya polio. <\/p>\n<p>Hadi leo hii, watu 10 wameshafa&#341;iki dunia kutokana na ugonjwa huo, wote wakiwa watu wazima na wakati ambapo wengine 61 wameshaambukizwa. Ugonjwa huo umeshaathi&#341;i watu wa &#341;ika zote, huku wengine asilimia 90 wenye um&#341;i kati ya miaka 20 na 40 wakiwa wameambukizwa. Mmoja ana um&#341;i wa miaka 76. <\/p>\n<p>&#8220;Hili siyo jambo la kawaida, kwasababu katika matukio mengi, vi&#341;usi vya polio aina ya &#8220;poliomyelitis&#8221; vinashambulia zaidi watoto wa um&#341;i wa chini ya miaka mitano, wala siyo watu wazima,&#8221; Tomas Hakuendwi, mtaalamu wa magonjwa mwenye makao yake mjini Windhoek, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kuzuka kwa ugonjwa kumetuletea mashaka kadhaa. Namibia inafanya kampeni ya chanjo kwa watoto kila baada ya mwaka, kitu ambacho kimesaidia nchi kuongeza kinga kwa wananchi wake wote,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Ugonjwa huo ulizuka kwa ma&#341;a ya kwanza mwaka 1995, na wakati huo haukuua mtu yoyote. Hii inazua maswali mengi ni kwa nini vi&#341;usi hivyo vime&#341;ejea tena baada ya miaka mingi.&#8221; <\/p>\n<p>Kinachojulikana ni kwamba vi&#341;usi hivyo vilikuja kutoka Angola. Shi&#341;ika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limefuatilia na kukuta kwamba umetokea kwa ji&#341;ani huyo wa kaskazini ya Namibia mwaka jana na kwamba uliingia huko kutokea nchini India. <\/p>\n<p>Matukio mengi nchini Namibia yamejitokeza katika makazi yasiyokuwa &#341;asmi kaskazini mwa mji mkuu, lakini kuna matukio tofauti katika maeneo mengine ya nchi, alisema Kalumbi Shangula, katibu mkuu katika Wiza&#341;a ya Afya. <\/p>\n<p>B&#341;uce Aylwa&#341;d, m&#341;atibu wa Mpango wa Kutokomeza Polio Duniani, aliiambia IPS kuwa kuna wasiwasi wa vi&#341;usi hivyo kuenea katika nchi nyingine kwenye ukanda huo. <\/p>\n<p>Kuna mashaka juu ya ugonjwa huo kuingia nchini Zimbabwe na ku&#341;ejea tena nchini Angola, alibainisha Shangula, &#8220;kutokana na kuwepo kwa safa&#341;i nyingi za watu kutoka nchi hizi wanaoingia Namibia.&#8221; <\/p>\n<p>Maofisa wa uhamiaji wanasema zaidi ya Waangola 50,000 na Wazimbabwe 20,000 wanatembelea Namibia kila mwezi. <\/p>\n<p>&#8220;Ufumbuzi unaegemea kwa kuchukua hatua katika mipaka. Hiyo ndiyo njia pekee ya kupunguza hata&#341;i ya kuingiza ugonjwa huo,&#8221; aliongeza Aylwa&#341;d. <\/p>\n<p>Mipango ya kuzuia polio kuvuka mpaka tena iko njiani. <\/p>\n<p>&#8220;Chanjo pia imesambazwa katika ndege zote, balozi, banda&#341;i za kuingilia nchini humo na katika mipaka yote,&#8221; alisema V&#341;ies. &#8220;Wale wanaoingia nchini Namibia watapatiwa chanjo katika vituo vya mipakani.&#8221; <\/p>\n<p>Shangula aliiambia IPS kwamba jitihada za kikanda pia zinafanyika kukabiliana na vitisho vya polio: &#8220;Tunashi&#341;ikiana na nchi nyingi za Kusini mwa Af&#341;ika kwa kupitia Itifaki ya Afya ya SADC (Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika), ambayo ina lengo la kukabiliana na matatizo ya kiafya na changamoto zinazokabili kanda.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Hii imefanya kazi, na hiyo ndiyo sababu ni kwa nini Botswana na Af&#341;ika Kusini wamesema wangetusaidia katika mpango wa utoaji chanjo.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na mwakilishi wa WHO nchini Namibia, Custodia Mandlhate, wataalamu waliobobea kutoka Geneva, Ghana, Sie&#341;&#341;a Leone naTanzania wanatoa msaada zaidi, kutokana na kusafi&#341;i kuja Windhoek kusaidia katika kampeni ya utoaji chanjo. <\/p>\n<p>&#8220;Tutakwenda mlango hadi mlango, shamba hadi shamba,&#8221; Mandlhate alisema. &#8220;Tunataka kumfikia kila mmoja.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza taasisi kama vile Chuo Kikuu cha Namibia na Chuo cha Polytechnic nchini Namibia zimeahidi kujitolea katika kampeni hiyo, kulingana na V&#341;ies. <\/p>\n<p>Polio ni ugonjwa unaoambukiza sana ambao unashambulia mfumo wa mishipa, na unaweza kusababisha kupooza. Dalili za awali ni pamoja na homa, kutapika, kuumwa kichwa, kuumwa miguu na kukakamaa shingo. <\/p>\n<p>Vi&#341;usi hivyo vinaenezwa kwa njia ya kinyesi cha mtu aliyeambukizwa, hivyo kuwafanya wanajumuiya wanaoishi katika mazingi&#341;a machafu kuwa katika hata&#341;i zaidi. Hata hivyo, kwa sasa hakuna tiba ya polio, lakini chanjo inaweza kutoa ulinzi wa muda m&#341;efu dhidi ya ugonjwa huo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Juni 18 (IPS) &ndash; Kampeni ya chanjo ya polio imepangwa kufanyika nchini Namibia katika siku chache zijazo &ndash; hii inafanyika wakati nchi inapambana na kuzuka kwa gonjwa hilo kwa ma&#341;a ya kwanza katika kipindi kinachozidi miaka kumi. Jack V&#341;ies, mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kusimamia Magonja ya Dha&#341;ula, ambayo ina&#341;atibu kampeni ya Juni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":241,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1291","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1291","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/241"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1291"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1291\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1291"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1291"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1291"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}