{"id":1290,"date":"2006-06-21T13:40:01","date_gmt":"2006-06-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/21\/kenya-kazi-ya-utungaji-wa-sea-ya-vyama-vya-kiaia-inaendelea\/"},"modified":"2006-06-21T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-21T13:40:01","slug":"kenya-kazi-ya-utungaji-wa-sea-ya-vyama-vya-kiaia-inaendelea","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/21\/kenya-kazi-ya-utungaji-wa-sea-ya-vyama-vya-kiaia-inaendelea\/","title":{"rendered":"KENYA: Kazi ya Utungaji wa Se&#341;a ya Vyama vya Ki&#341;aia Inaendelea"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 16 (IPS) &ndash; Ni wachache tu wanaweza kukataa kwamba mashi&#341;ika ya ki&#341;aia (CSOs) yameongezeka kwa idadi na ushawishi katika miongo ya hivi ka&#341;ibuni. Lakini, mashi&#341;ika haya yapo katika wakati ambapo yanaweza kuwa na wajibu unaoonekana sambamba na se&#341;ikali katika utungaji wa se&#341;a za umma\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Bado, anasema Tibe&#341;ius Ba&#341;aza, mtafiti katika Ida&#341;a ya Utawala na Maendeleo katika Taasisi ya Uchambuzi wa Se&#341;a na Utafiti &ndash; asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali yenye makao yake makuu katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>&#8220;Mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yanashi&#341;iki katika utoaji wa maamuzi katika ngazi za chini sana. Hii haitoshi katika mfumo wa se&#341;ikali ya kidemok&#341;asia,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Njia nzu&#341;i ni ile ambayo CSOs zinashi&#341;iki katika kubaini mahitaji ya watu, kutunga ajenda katika kuandaa malengo ya se&#341;a na baadaye kusimamia na kufanya tathmini juu ya se&#341;a,&#8221; Ba&#341;aza aliongeza. &#8220;Lakini hilo halifanyiki kiasi cha kutosha.&#8221; <\/p>\n<p>Maneno kama yake yalitolewa pia na Faith Kasiva, mku&#341;ugenzi mtendaji wa asasi inayopambana na unyanyasaji dhidi ya wanawake ya &#8220;Coalition on Violence Against Women&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inapokuja kwetu, inakuja ili tuweze kupitisha bila kupinga kile ambacho imeshakiamua. Mambo haya siyo ya kiushau&#341;iano,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Njia mbadala ya mwingiliano kati ya CSOs na se&#341;ikali inaweza kujitokeza &ndash; lakini inashindwa kutafsi&#341;i katika se&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Katika wa&#341;sha, sisi (se&#341;ikali na wanaha&#341;akati wa masuala ya ki&#341;aia) tunaweza kukubaliana katika baadhi ya masuala &ndash; lakini &#341;asimu ya mwisho inayotokana na ushau&#341;iano huo itakuwa tofauti kabisa,&#8221; Paddy Onyango, mku&#341;ugenzi mtendaji wa asasi ya &#8220;Citizens Coalition fo&#341; Constitutional Change&#8221;, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Tumewahi kufanya kazi na se&#341;ikali katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuunda se&#341;a ambayo ingeiweka Kenya katika hali ya kutokuvumilia &#341;ushwa kabisa. Lakini, se&#341;ikali imebadili mwelekeo wa vyama vya ki&#341;aia.&#8221; <\/p>\n<p>Akitoa mfano, alizungumzia suala la She&#341;ia ya Kupambana na Rushwa na Uhalifu wa Kiuchumi ya mwaka 2003, ambayo inafafanua jinsi gani Tume ya Kupambana na Rushwa ya Kenya (KACC) inavyoweza kufanya kazi. <\/p>\n<p>&#8220;Kulikuwa na mambo ambayo tulipendelea yatekelezwe &#8230;Kwa mfano, tulitaka KACC kupewa uwezo wa kuendesha mashitaka,&#8221; Onyango alisema, akibainisha kuwa hili lilionekana kama suala la msingi kuingiza watu walioonekana kuhusika katika ulaji wa &#341;ushwa katika kitabu. <\/p>\n<p>Hata hivyo, tume ya kupambana na &#341;ushwa &ndash; chombo kilichoundwa kuchunguza madai ya &#341;ushwa &ndash; hakijapewa uwezo wa kufungua mashitaka. Mamlaka hayo yanabakia mikononi mwa Mwanashe&#341;ia Mkuu wa Se&#341;ikali Amos Wako, hata kama u&#341;efu wa muda unaotumiwa na ofisi yake kumaliza kesi ya &#341;ushwa umeisababishia kupewa jina la kutokuwa na uwezo. <\/p>\n<p>Wale ambao walihusika katika kashfa kubwa ya &#341;ushwa nchini Kenya ya Goldenbe&#341;g, bado hawajapewa adhabu. Kashfa hiyo ilihusu uuzaji nje hewa wa dhahabu na almasi kutoka nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki mapema miaka ya 1990, kitu kilichosemakana kuigha&#341;imu se&#341;ikali mamia kwa mamilioni ya dola. <\/p>\n<p>Wakenya pia walisubi&#341;i ufumbuzi wa kashfa ya Anglo Leasing, ambayo imekuwa ikiuandamana utawala wa &#341;ais Mwai Kibaki. Suala hili lilihusu utoaji wa zabuni ya mamilioni ya dola kwa kampuni hewa ya Anglo Leasing and Finance, kujenga maaba&#341;a za kisasa za polisi &ndash; na kuiuzia nchi hiyo mtambo wa kutengenezea pasi za kusafi&#341;ia ambazo zisingeghulishiwa kiu&#341;ahisi. <\/p>\n<p>Lakini katikati mwa giza hilo, kuna sababu ya kuwa na matumaini. <\/p>\n<p>&#8220;Wakenya wana uwezo wa kutosha kuishinikiza se&#341;ikali kusikiliza sauti zao, kuionyesha se&#341;ikali kuwa hawatakubali kila kitu kinachoelekezwa kwao. Tuliona hili wakati wa ku&#341;a ya maoni,&#8221; alisema Ba&#341;aza, akitoa mfano wa ku&#341;a ya maoni ya mwaka jana juu ya katiba mpya ya taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki. <\/p>\n<p>CSOs zilifanya kampeni ya kuelimisha wananchi kabla ya ku&#341;a ya maoni ambapo walitaka &#341;aia kupigia ku&#341;a ya hapana katiba hiyo. <\/p>\n<p>Hatimaye, katiba ilikataliwa, hata kama ilitokana na se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka huo ulikuwa na kifungu cha kuwa na &#341;ais mwenye mada&#341;aka makubwa, kinyume na matakwa ya Wakenya waliotaka mada&#341;aka ya &#341;ais kugawanywa kati ya &#341;ais na cheo kipya cha wazi&#341;i mkuu (kilichoundwa katika katiba hiyo) &ndash; kwa nia ya kupunguza ku&#341;udiwa kwa matumizi mabaya ya mada&#341;aka na &#341;ais. <\/p>\n<p>Matakwa ya kutaka mada&#341;aka ya &#341;ais kupunguzwa yalitokana na Tume ya Kukusanya Maoni juu ya Ma&#341;ekebisho ya Katiba ya Kenya kutaka kujua Wakenya walitaka kitu gani kiingizwe katika katiba mpya. <\/p>\n<p>Uwezo wa vyama vya ki&#341;aia kushinikiza se&#341;a za se&#341;ikali utajadiliwa baadaye mwezi huu katika mji mkuu wa Scotland wa Glasgow katika mkutano wa kimataifa wa asasi ya CIVICUS (Juni 21&ndash;25). <\/p>\n<p>CIVICUS ni asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali yenye makao yake makuu katika jiji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Af&#341;ika Kusini la Johannesbu&#341;g, ambayo inalenga katika kutetea haki za &#341;aia kuwa na sauti katika siasa, kiuchumi na katika mambo ya utamaduni wa nchi zao. <\/p>\n<p>Neno &#8220;civicus&#8221; ni la Kilatini lenye maana ya &#8220;mji&#8221; au &#8220;jumuiya&#8221;.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 16 (IPS) &ndash; Ni wachache tu wanaweza kukataa kwamba mashi&#341;ika ya ki&#341;aia (CSOs) yameongezeka kwa idadi na ushawishi katika miongo ya hivi ka&#341;ibuni. Lakini, mashi&#341;ika haya yapo katika wakati ambapo yanaweza kuwa na wajibu unaoonekana sambamba na se&#341;ikali katika utungaji wa se&#341;a za umma Bado, anasema Tibe&#341;ius Ba&#341;aza, mtafiti katika Ida&#341;a ya Utawala&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1290","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1290","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1290"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1290\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1290"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1290"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1290"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}