{"id":1289,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/mashariki-ya-kati-kumbukumbu-za-maangamizi-zatanda-miongoni-mwa-wakimbizi-wa-sudan\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"mashariki-ya-kati-kumbukumbu-za-maangamizi-zatanda-miongoni-mwa-wakimbizi-wa-sudan","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/mashariki-ya-kati-kumbukumbu-za-maangamizi-zatanda-miongoni-mwa-wakimbizi-wa-sudan\/","title":{"rendered":"MASHARIKI YA KATI: Kumbukumbu za Maangamizi Zatanda Miongoni mwa Wakimbizi wa Sudan"},"content":{"rendered":"<p>JERUSALEM, Juni 15 (IPS) &ndash; Baadhi ya wakimbizi 200 kutoka Sudan ambao wamevuka mpaka kutoka Mis&#341;i kuingia Is&#341;ael wanakabiliwa na mwiba mkali wa utata wa kimaadili kwa nchi ambayo imezaliwa kutokana na jivu la mauaji makubwa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hadi sasa, mamlaka za Is&#341;ael zinaonekana kuwa viziwi juu ya hatma ya wakimbizi hao kuwa&#341;uhusu kuwa na makazi, angalau ya muda nchini Is&#341;ael. Utetezi wa viongozi wazito wa Kiyahudi ambao wanasisitiza kuwa taifa la Kiyahudi haliwezi kupuuzia hatma ya wakimbizi wanaokimbia kufunguliwa mashitaka na kuchinjwa nchini mwao, zimeshindwa kulainisha mamlaka hayo. <\/p>\n<p>Katika miezi sita iliyopita, wakimbizi wa Sudan, wengine wakiwa wameokoka kutokana na kuuawa katika eneo lenye vita la Da&#341;fu&#341;, wamevuka mpaka kuingia Is&#341;ael kutoka Msi&#341;i. Wote wamekamatwa. Wengine wamekuwa na bahati kuweza kuachiwa hu&#341;u na wameshachukuliwa na &#8220;kibbutzim&#8221; (wanajumuiya wanaoishi pamoja). Lakini wengine wamekuwa katika kizuizi kwa miezi, wakisubi&#341;i kupelekwa mbele ya jaji. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya Is&#341;ael yameshaanza kufanya kazi yao, lakini hatma yao &ndash; wale waliopo jela na kwenye &#8220;kibbutzim&#8221; &ndash; inabakia ya mashaka. <\/p>\n<p>Wengi wanaoja&#341;ibu kuvuka mpaka wamesukumwa nyuma ku&#341;ejea Mis&#341;i na mamlaka za Is&#341;aeli. Chini ya kile kinachojulikana kwa Is&#341;ael kama se&#341;a ya &#8220;ku&#341;ejeshwa kwa ha&#341;aka&#8221;, kama masaa 24 hayajapita tangu mtu alipoingia nchini Is&#341;ael, na kama hawakuweza kuingia zaidi ya kilomita 50 kutoka mpakani, wanaweza ku&#341;ejeshwa Mis&#341;i. <\/p>\n<p>Wale ambao hawaja&#341;ejeshwa nyuma wanawekwa kizuizini kutokana na kuvuka mipaka kuingia Is&#341;ael kinyume cha she&#341;ia. Wanapopelekwa mbele ya majaji, se&#341;ikali imeweza kusema kuwa wamekuwa tishio kutokana na kwamba ni &#341;aia wa taifa la Kiislamu ambalo halina uhusiano wa kidiplomasia na Je&#341;usalem, na ambalo shughuli za al&ndash;Qaeda zinaendeshwa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, mahakama hazijanunua mawazo ya &#8220;nchi ya maadui &#8221; yanayotolewa na se&#341;ikali, na baadhi ya wakimbizi wameshaachiliwa hu&#341;u na kuchukuliwa na &#8220;kibbutzim&#8221; ambao wameahidi kukaa nao hadi mipangilio mingine itakapofikiwa. <\/p>\n<p>Lakini baadhi wamekuwa wakiteseka kwa miezi wakiwa katika vizuizi, kabla ya kupelekwa mbele ya majaji. Mahakama Kuu ya She&#341;ia, kufuatia upinzani kutoka kwa makundi ya haki za binadamu ya Is&#341;ael, imeamua kuwa se&#341;ikali ni lazima kutafuta ufumbuzi kuhakikisha kuwa wakimbizi waliopo kizuizini wanatolewa hukumu mapema iwezekanavyo. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la &#8220;Hotline fo&#341; Mig&#341;ant Wo&#341;ke&#341;s&#8221;, ambalo linasaidia wafanyakazi wa kigeni nchini Is&#341;ael, na Kliniki ya Haki za Wakimbizi katika Ida&#341;a ya She&#341;ia ya Chuo Kikuu cha Tel Aviv, wamemtaka Mwanashe&#341;ia Mkuu wa Se&#341;ikali kupiga ma&#341;ufuku se&#341;a ya &#8220;u&#341;ejeshwaji wa ha&#341;aka&#8221;, ambayo wanasema inakiuka azimio la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, ambalo Is&#341;ael ni miongoni mwa mataifa yaliyotia saini. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Mambo ya Ndani Roni Ba&#341;&ndash;On hakuweza kuficha ukweli kwamba ni se&#341;a ya se&#341;ikali yake kushinikiza wakimbizi ku&#341;ejea Mis&#341;i. &#8220;Tatizo ni kwamba hakuna ushi&#341;ikiano na Wamis&#341;i,&#8221; alisema bungeni hivi ka&#341;ibuni. &#8220;Kumekuwepo hata na matukio ambapo tulija&#341;ibu kushinikiza (wakimbizi) ku&#341;ejea na (Wamis&#341;i) kuwasukumiza kuingia Is&#341;ael. Ni kweli kumekuwa na mchezo wa mieleka katika mpaka.&#8221; Wazi&#341;i wa mambo ya ndani aliongeza kuwa wimbi la wakimbizi wa Sudan wanaoja&#341;ibu kuingia Is&#341;ael katika miezi ya hivi ka&#341;ibuni limesitishwa, ama sivyo nchi hiyo ingefu&#341;ika na wakimbizi kutoka Sudan. <\/p>\n<p>Katika wiki za hivi ka&#341;ibuni, makundi ya kutetea haki za binadamu yameunganishwa na idadi kadhaa ya wakubwa wa Kiyahudi katika miito yao kwa Is&#341;ael kuwatendea wakimbizi kwa hu&#341;uma na kuwapatia makazi, angalau ya muda mfupi. <\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua iliyokwenda kwa Wazi&#341;i Mkuu Ehud Olme&#341;t, mwenyekiti wa Yad Vashem, msikiti wa kumbukumbu ya Mauaji nchini humo, alitaka se&#341;ikali &#8220;kuonyesha mshikamano&#8221; kwa wakimbizi wa Sudan. &#8220;Kama wafuasi wa Kiyahudi,&#8221; aliandika Avne&#341; Shalev, &#8220;ambao kumbukumbu ya mauaji inatuunguza, hatuwezi kunyamaza wakati wakimbizi kutoka katika eneo la mauaji la Da&#341;fu&#341; wanagonga milangoni mwetu.&#8221; <\/p>\n<p>Yehuda Baue&#341;, mtaalam wa Mauaji anayeongoza ambaye aliongeza jina lake katika upinzani uliopelekwa Mahakama Kuu, alisema kuwa wakimbizi wapatiwe hifadhi ya kisiasa ya muda hadi makazi yatakapopatikana kwa ajili yao nchini Is&#341;ael au katika nchi nyingine. Akizungumzia kuhusu hoja ya &#8220;nchi adui &#8220;, Baue&#341; aliikumbusha mahakama kuwa Wayahudi wa Kije&#341;umani waliokuwa wakikimbia wafuasi wa chama cha kidikteta cha Nazi ma&#341;a nyingine walionekana kama &#8220;&#341;aia adui &#8221; na nchi Washi&#341;ika. <\/p>\n<p>Mhanga wa mauaji na mshindi wa Tuzo ya Nobel kutokana na uandishi wake Elie Wiesel aliitaka Is&#341;ael kuwachukua wakimbizi wa Da&#341;fu&#341; ambao waliwasili katika taifa la Kiyahudi. &#8220;Sisi kama wayahudi tuna jukumu la kusaidia hata watu ambao siyo Wayahudi,&#8221; alisema katika mahojiano ya hivi ka&#341;ibuni na gazeti la kila siku la &#8220;Haa&#341;etz&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa mkimbizi hivyo naunga mkono kukubali wakimbizi. Nilidhani ni suala la kushangiliwa wakati Is&#341;ael ilipokuwa taifa la kwanza kukubali boti ya wakimbizi kutoka Vietnam. Histo&#341;ia inazidi kuchagua mji mkuu wa mateso kwa binadamu, na Da&#341;fu&#341; kwa sasa ni mji mkuu wa mateso ya binadamu. Is&#341;ael inatakiwa kukubali wakimbizi wa Da&#341;fu&#341;, hata katika idadi yao ya kialama.&#8221; <\/p>\n<p>Mwishoni mwa miaka ya 1970, aliyekuwa wazi&#341;i mkuu Menachem Begin aliwapatia hifadhi kundi la watu 250 kutoka Vietnam. Meli ya Is&#341;ael iliwachukua baada ya vyombo vyao kutoka Japan, No&#341;way, Panama na Masha&#341;iki mwa Uje&#341;umani kuwapuuza. Begin aliwapatia u&#341;aia, akikumbuka wakati ambapo Wayahudi walikimbia wafuasi wa Nazi huko Ulaya. <\/p>\n<p>Mwakilishi wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa nchini Is&#341;ael alisema kuwa shi&#341;ika lake linaja&#341;ibu kutafuta ufumbuzi na mamlaka za Is&#341;ael. &#8220;Kuweka makao katika nchi ya tatu ni ufumbuzi wa kwanza,&#8221; alisema Michael Bavly. &#8220;Naweza kusema jambo moja ambalo halitaweza kutokea &ndash; hawata&#341;ejea nchini Sudan.&#8221; <\/p>\n<p>Haim O&#341;on, mbunge wa bunge la m&#341;engo wa kushoto wa chama cha Me&#341;etz nchini Is&#341;ael ambaye amepeleka suala la ukimbizi bungeni, aliiambia IPS kuwa &#8220;hatakata tamaa&#8221; hadi Wasudan hao watakapokuwa wamepatiwa vibali vya kuingilia Is&#341;ael &#8220;hadi hali huko Da&#341;fu&#341; itakapo&#341;ejea kuwa ya kawaida. Katika msimamo wa kibinadamu inatubidi kuwa makini hususani na suala hili. Kwasababu hawa ni wakimbizi wanaokimbia mauaji ya halaiki.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JERUSALEM, Juni 15 (IPS) &ndash; Baadhi ya wakimbizi 200 kutoka Sudan ambao wamevuka mpaka kutoka Mis&#341;i kuingia Is&#341;ael wanakabiliwa na mwiba mkali wa utata wa kimaadili kwa nchi ambayo imezaliwa kutokana na jivu la mauaji makubwa. Hadi sasa, mamlaka za Is&#341;ael zinaonekana kuwa viziwi juu ya hatma ya wakimbizi hao kuwa&#341;uhusu kuwa na makazi, angalau&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":80,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1289","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1289","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/80"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1289"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1289\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1289"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1289"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1289"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}