{"id":1288,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/siasa-sudan-hakuna-mkeka-wa-kukaibishia-kofia-za-kibuluu\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"siasa-sudan-hakuna-mkeka-wa-kukaibishia-kofia-za-kibuluu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/siasa-sudan-hakuna-mkeka-wa-kukaibishia-kofia-za-kibuluu\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;SUDAN: Hakuna Mkeka wa Kuka&#341;ibishia &quot;Kofia za Kibuluu&quot;"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 14 (IPS) &ndash; Inaonekana se&#341;ikali ya Sudan inachukua msimamo mkali juu ya kupeleka ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kusaidia kulinda &#341;aia katika mkoa unaoandamwa na vita wa Da&#341;fu&#341;, magha&#341;ibi mwa Sudan.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Awali se&#341;ikali ilisema inge&#341;uhusu ujumbe wa uchunguzi kuingia katika eneo hilo kuandaa mazingi&#341;a ya kupelekwa kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa; hii ikiwa imekuja baada ya Kha&#341;toum kusaini mkataba wa amani na chama kikuu cha waasi huko Da&#341;fu&#341; cha &#8220;Sudan Libe&#341;ation A&#341;my&#8221;. Kikundi kingine cha waasi cha &#8220;Justice and Equality Movement&#8221;, kilikataa kutia saini makubaliano hayo. <\/p>\n<p>&#8220;Msimamo wetu unapinga kuingiliwa kati kwa wageni katika suala la Da&#341;fu&#341;. Aska&#341;i wa Umoja wa Mataifa watafanya mambo kuwa magumu zaidi kuliko kuleta ufumbuzi,&#8221; Elsamani Elwasila, wazi&#341;i wa nchi anayeshughulikia mambo ya kigeni wa Sudan, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i katika mji mkuu wa Kenya wa Nai&#341;obi, siku ya Jumatano. <\/p>\n<p>&#8220;Hatutaki baadhi ya watu kutupangia tunachotaka. Tunajua tunataka nini,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Badala yake, se&#341;ikali inapendelea kupanuliwa kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Af&#341;ika (AU) ambacho taya&#341;i kipo katika uwanja wa mapambano huko Da&#341;fu&#341;, kwa kusema kwamba ujumbe huo una uzoefu wa kutosha kusimamia hali ya mambo huko &ndash; lakini kwamba unakosa msaada wa kifedha na vifaa. <\/p>\n<p>Wakati huu, kuna baadhi ya aska&#341;i 7,200 wa AU huko Da&#341;fu&#341;. Kuna mipango inaendelea kuongeza idadi yao hadi kufikia 10,000 kuwezesha kusimamia mkoa huo wenye ukubwa sawa na taifa la Ufa&#341;ansa. <\/p>\n<p>Elwasila alisema pia kuwa kikosi cha Umoja wa Mataifa kingechukua miezi kadhaa kuweza kupelekwa huko &ndash; makadi&#341;io ni miezi nane hadi tisa &ndash; wakati ambapo &#341;aia wa Da&#341;fu&#341; walihitaji ulinzi ha&#341;aka sana. Umoja wa Mataifa unatakiwa kuelekeza nguvu zaidi katika kutatua suala la mahitaji ya lazima katika mkoa wenye umaskini mkubwa, alibainisha. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna &#341;asilimali za msingi. Watu wanakunywa maji kutoka katika vyanzo vya maji pamoja na wanyama; hakuna ba&#341;aba&#341;a, shule wala hospitali. Hii ndiyo sababu tunasema kuwa tungependa Umoja wa Mataifa katika uwezo wake wote: Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni, UNHCR (Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mayaifa), UNICEF (Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa) na mengine, kutatua matatizo ya Da&#341;fu&#341;.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, David Moze&#341;sky, mwakilishi wa Sudan wa shi&#341;ika la kushughulikia migogo&#341;o kimataifa yaani &#8220;Inte&#341;national C&#341;isis G&#341;oup&#8221; lenye makao yake makuu mjini B&#341;ussels &ndash; anaamini kuwa kuna sababu nyingine juu ya kusita kwa Kha&#341;toum ku&#341;uhusu kupelekwa kwa aska&#341;i wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inahofia kuwa kikosi chenye nguvu cha Umoja wa Mataifa huko Da&#341;fu&#341; kitasababisha kukamatwa kwa watu waliopo kwenye o&#341;odha ya mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa (ICC) kutokana na kushi&#341;iki katika uhalifu wa kivita katika eneo hilo,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mwaka jana ICC ilitangaza kuwa ingeanza kuchunguza matukio ya Da&#341;fu&#341;, ambapo se&#341;ikali inatuhumiwa kusaidia wanamgambo wa Kia&#341;abu wanaosemakana kushi&#341;iki katika kueneza ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya makabila ya eneo hilo. <\/p>\n<p>Baadaye se&#341;ikali ya Sudan ilianzisha Mahakama Maalum ya Wahalifu kuhusu Matukio ya Da&#341;fu&#341; (SCCED), na kusisitiza kuwa mahakama hiyo ingeshughulika na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu tu. Mwaka mmoja baadaye, hata hivyo, mashi&#341;ika ya haki za binadamu yanasema kuna machache sana yamefanyika kuingiza watuhumiwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu katika kitabu. <\/p>\n<p>&#8220;Taa&#341;ifa ambazo zimekusanywa na shi&#341;ika la &#8220;Human Rights Watch&#8221; juu ya mahakama hiyo katika mwaka wa kwanza wa kufanya kazi zinaonyesha hakuna dhami&#341;a halisi ya mamlaka za Sudan kuhakikisha kuwa washi&#341;iki katika mauaji huko Da&#341;fu&#341; wanapelekwa mbele ya SCCED kwa ajili ya kufunguliwa mashitaka,&#8221; inasema &#341;ipoti iliyotolewa wiki iliyopita na shi&#341;ika hilo la haki za binadamu lenye makao yake makuu mjini New Yo&#341;k. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti hiyo, ni kesi 13 tu zimepelekwa kwa SCCED hadi leo hii. Kwa kuongeza, hizi zinahusu &#8220;uhalifu wa kawaida tu, kama vile wizi, kumiliki mali zilizoibwa au kuuawa kwa mtu kusikohusiana na mashambulizi makubwa.&#8221; <\/p>\n<p>Mgogo&#341;o wa Da&#341;fu&#341;, ambao ulianza mapema mwaka 2003, umeshawaua makumi kwa maelfu ya watu na kuwakimbiza zaidi ya watu milioni mbili kutoka majumbani kwao, kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Vita vilianza baada ya waasi wa &#8220;Sudan Libe&#341;ation Movement&#8221; na &#8220;Justice and Equality Movement&#8221; kuchukua silaha kupinga madai dhidi ya se&#341;ikali kutelekeza eneo hilo. Se&#341;ikali ilijibu mashambulizi kwa kuwalenga &#341;aia kutoka katika makabila ya Fu&#341;, Masalit na Zaghawa, (yanayoonekana kuwaunga mkono waasi), kwa sehemu kupitia shughuli za wanamgambo wa Kia&#341;abu, wanaojulikana kama &#8220;janjaweed&#8221; &ndash;&ndash; au &#8220;wanaume migongoni mwa fa&#341;asi&#8221;. Waa&#341;abu wanaohamahama na makabila ya watu wenye makazi ya kudumu ya Da&#341;fu&#341; pia wamekuwa katika mafa&#341;akano juu ya umilikaji wa a&#341;dhi. <\/p>\n<p>Viongozi wa se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani wameyaita mashambulizi hayo mauaji ya halaiki. <\/p>\n<p>Ukiukwaji wa haki za binadamu huko Da&#341;fu&#341; unasemekana kuhusisha kuenea kwa ubakaji, na uha&#341;ibifu wa vijiji. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna kiongozi yoyote yule ameshafunguliwa mashitaka kwa kuhusishwa na uhalifu huu, hata kama uhalifu na wengi ya waliohusika katika uhalifu huo wameshatajwa na wanatambuliwa vizu&#341;i nchini Sudan na kwa jumuiya ya kimataifa,&#8221; linabainisha shi&#341;ika la &#8220;Human Rights Watch&#8221;. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Elwasila anasema hakuna kitu kinachojulikana kama janjaweed. <\/p>\n<p>&#8220;Ni msamiati ambao unatumiwa na baadhi ya watu &#8230;Tulifungua nchi watu kuja kuangalia kuona kama kuna kitu chochote kinachojulikana kama janjaweed na hakuna aliyeweza kufungua midomo yake kuzungumzia juu ya janjaweed, mbali na NGOs chache,&#8221; alibainisha mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 14 (IPS) &ndash; Inaonekana se&#341;ikali ya Sudan inachukua msimamo mkali juu ya kupeleka ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kusaidia kulinda &#341;aia katika mkoa unaoandamwa na vita wa Da&#341;fu&#341;, magha&#341;ibi mwa Sudan. Awali se&#341;ikali ilisema inge&#341;uhusu ujumbe wa uchunguzi kuingia katika eneo hilo kuandaa mazingi&#341;a ya kupelekwa kwa ujumbe wa kulinda&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1288","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1288","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1288"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1288\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1288"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1288"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1288"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}