{"id":1287,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/haki-cameroon-zawadi-kutoka-kwa-mungu-isiyokubalika\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"haki-cameroon-zawadi-kutoka-kwa-mungu-isiyokubalika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/haki-cameroon-zawadi-kutoka-kwa-mungu-isiyokubalika\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;CAMEROON: &quot;Zawadi Kutoka kwa Mungu&quot; Isiyokubalika"},"content":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Juni 13 (IPS) &ndash; Josiane Matia, akielekea njia ya kwenda shuleni kwake katika mji mkuu wa Came&#341;oon wa Yaound&eacute;, anaonekana kutokuwa hu&#341;u zaidi ikilinganishwa na wenzake wengine wenye um&#341;i wa miaka 11. Akiwa anatembea ta&#341;atibu, analalamika kuwa na maumivu yaliyosababishwa na sidi&#341;ia ambayo mama yake amemshinikiza kuvaa kwa miezi mitatu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kabla ya kuvaa sidi&#341;ia hiyo, mama yangu alikuwa akitumia mawe ya kusagia &ndash; yaliyochomwa katika moto &ndash; kuchua kifua changu,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kila usiku mama yangu anaangalia kifua changu na kunichua, ma&#341;a nyingine kwa kutumia mchi,&#8221; Matia anaongeza. Haya yote ni katika jitihada za kubadilisha ukuaji wa matiti ya mtoto wake, ili kumzuai kutokufuatwa fuatwa na wanaume. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba nalia sana kutokana na maumivu, ananiambia: &#8216;Vumilia binti yangu; ni mtoto mno na hakuna haja ya kuwa na matiti katika um&#341;i ulionao&#8217;.&#8221; <\/p>\n<p>Tendo hili, lijulikanalo kama &#8220;kupiga pasi matiti &#8220;, linafanyika zaidi katika mikoa 10 ya Came&#341;oon. Katika jitihada za kuondokana na matiti kwa watoto wa kike waliopo katika um&#341;i wa ba&#341;ehe, vitu kama mawe ya kusagia, michi, upawa na miko ya kupikia inachomwa moto, halafu inatumiwa kuchua vifua vya wasichana. Mbinu nyingine zinaweza kutumika pia. <\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano wa Kiufundi la Uje&#341;umani (Deutsche Gesellschaft f&uuml;&#341; Technische Zusammena&#341;beit, GTZ), shi&#341;ika la kimataifa linalomilikiwa na se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani, baadhi ya vijana milioni 3.8 wanatishiwa na vitendo hivyo. (Shi&#341;ika hilo la maendeleo lilifanya utafiti huo juu ya &#8220;upigaji pasi matiti&#8221; mwezi Janua&#341;i.) <\/p>\n<p>&#8220;Nchini Came&#341;oon, asilimia 24 ya wasichana, ka&#341;ibu msichana mmoja kwa kila wanne, wanapitia vitendo vya &#8216;kupiga pasi matiti,&#8221; Flavien Ndonko, dakta&#341;i anayefanya kazi na GTZ, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Ndonko anasema wazazi wanatetea utesaji wa watoto kwa kusema inahitajika kuzui wanaume kuwatongoza mabinti zao mapema, na kwa ajili ya kuzuia mimba za utotoni ambazo zinaweza kuiaibisha familia. Wazazi pia wanasema kuwa wanataka mabinti zao kukua na kuendelea na masomo yao. <\/p>\n<p>Lakini, siyo tu kwamba &#8220;kupiga pasi matiti &#8221; siyo njia inayoweza kuzuia mimba kwa vijana wadogo; inasababisha pia madha&#341;a makubwa kwa afya za wasichana. <\/p>\n<p>&#8220;Mbali na maumivu ya mwili na ya moyo yanayosababishwa na &#8216;upigaji pasi matiti &#8216;,&#8221; anasema Ma&#341;ie Clai&#341;e Eteki, dakta&#341;i katika wiza&#341;a ya afya, kitendo hicho &#8220;kingeweza kusababisha baadhi ya magonjwa, kama vile kensa ya matiti, uvimbe na huzuni.&#8221; <\/p>\n<p>B&#341;enda Mahop, mwanafunzi wa she&#341;ia wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Yaound&eacute; II&ndash;Soa, ni miongoni mwa wale waliowahi kushinikizwa kupitia katika kitendo hicho. <\/p>\n<p>&#8220;Shangazi na mama yangu walitwanga kifua changu kila siku nilipokuwa na miaka 10. Nilikuwa nikilia mfululizo,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kwa sasa Mahop ana matatizo ya moyo, na anahoji kama hali yake hiyo imetokana na matukio haya. <\/p>\n<p>Uzoefu wake umemfanya kujiunga na kamepni iliyozinduliwa na akina mama wasioolewa nchini Came&#341;oon kupinga &#8220;kupiga pasi matiti&#8221;. Mama hawa ni wafuasi wa vyama 61 nchini kote ambao wameungana chini ya Mtandao wa Kitaifa wa Mashangazi (R&eacute;seau national des associations de tantines, RENATA). Hofu na maumivu yanayosababishwa na kitendo hicho inafanya baadhi ya wasichana kukimbia makazi yao &ndash; na ma&#341;a nyingine kukumbwa na matatizo makubwa. Jeanine Efon, 23, aliiambia IPS kuwa aliondoka katika makazi ya wazazi wake kukaa kwa mjomba wake alipokuwa na um&#341;i wa miaka 13. Lakini mjomba na mke wake pia walija&#341;ibu kumfanyia kitendo hicho, na kusababisha akimbie tena. Hapo ndipo alipojikuta akiishi na ji&#341;ani yake ambaye alionekana kumhu&#341;umia kutokana na matatizo yake &ndash; lakini aligeuka na kumbaka usiku huo huo. <\/p>\n<p>A&#341;iane Elouna anaelezea hadithi inayofanana na hiyo. &#8220;Nilikuwa na&#341;ejea kutoka shule mchana mmoja &#8230;shangazi alinifuata katika chumba changu na kuniuliza &#8216;Una nini katika kifua chako &#8216;&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mama wa Elouna alichoma jiwe la kusagia na kumtaka kuvua nguo zake. &#8220;Alinishikilia kwa kutumia mikono yake, na kuanza kunichua kwa nguvu kwenye matiti,&#8221; aliongeza kijana huyo. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kushindwa kuvumilia maumivu, nilikimbilia kwa ji&#341;ani siku iliyofuata, na huko mtoto wake wa kiume alinibaka na kunipa mimba.&#8221; Elouna ana um&#341;i wa miaka 15 sasa, na ana mtoto wa um&#341;i wa miezi mitatu. <\/p>\n<p>Lakini pamoja na matatizo yaliyosababishwa na tendo hilo la &#8220;kupiga pasi matiti &#8220;, bado halijapigwa ma&#341;ufuku na se&#341;ikali. <\/p>\n<p>&#8220;Wiza&#341;a ya Kuendeleza Wanawake na Familia inatushawishi kuendelea na jitihada zetu za kuwahamasisha wazazi kuwa macho na hata&#341;i ya &#8216;kupiga pasi matiti&#8217;. Lakini, nadhani hii haitoshi, ikizingatiwa kuongezeka kwa kitendo hicho na madha&#341;a yake katika jamii zetu,&#8221; Bessem Ebanga, katibu mtendaji wa RENATA, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Tunataka kushawishi mamlaka kuanzisha she&#341;ia bungeni kupiga ma&#341;ufuku kitendo hiki cha kikatili. Matiti ni zawadi kutoka kwa Mungu,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>E&#341;ic Effemba, ambaye anafanya kazi katika Wiza&#341;a ya Maendeleo ya Wanawake na Familia, aliiambia IPS kuwa ida&#341;a yake ilikuwa ikisaidia jitihada za akina mama wasioolewa katika kupinga kitendo cha &#8220;upigaji pasi matiti&#8221; &ndash; na kwamba inafanya kazi na vyama vya ki&#341;aia ili kutunga she&#341;ia ambayo itafanya kitendo hicho kuwa histo&#341;ia.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Juni 13 (IPS) &ndash; Josiane Matia, akielekea njia ya kwenda shuleni kwake katika mji mkuu wa Came&#341;oon wa Yaound&eacute;, anaonekana kutokuwa hu&#341;u zaidi ikilinganishwa na wenzake wengine wenye um&#341;i wa miaka 11. Akiwa anatembea ta&#341;atibu, analalamika kuwa na maumivu yaliyosababishwa na sidi&#341;ia ambayo mama yake amemshinikiza kuvaa kwa miezi mitatu. &#8220;Kabla ya kuvaa sidi&#341;ia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":135,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1287","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1287","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/135"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1287"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1287\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1287"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1287"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1287"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}