{"id":1286,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/haki-ajia-kwa-watoto-mafanikio-kidogo-mwelekea-sahihi\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"haki-ajia-kwa-watoto-mafanikio-kidogo-mwelekea-sahihi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/haki-ajia-kwa-watoto-mafanikio-kidogo-mwelekea-sahihi\/","title":{"rendered":"HAKI: Aji&#341;a kwa Watoto &ndash; Mafanikio Kidogo, Mwelekea Sahihi"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 12 (IPS) &ndash; Takwimu zinazotia moyo zinazoonyesha kupungua kwa aji&#341;a kwa watoto haziendani na ukweli kwamba tatizo hilo linabakia kuwa changamoto kubwa katika maeneo mengi duniani, lilisema Shi&#341;ika la Kazi Ulimwenguni (ILO) katika Siku ya Kupambana na Aji&#341;a kwa Watoto Duniani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kati ya mwaka 2000 na 2004, idadi ya watoto walioaji&#341;iwa ilipungua kwa asilimia 11, hadi milioni 218. Na takwimu za ka&#341;ibuni zinaweka idadi ya watoto waliopo katika kazi za hata&#341;i kuwa milioni 126 mwaka 2004, na kuonyesha kushuka kwa asilimia 26 tangu mwaka 2000. <\/p>\n<p>Gei&#341; My&#341;stad, kiongozi wa m&#341;adi wa Mpango wa Kimataifa wa Kutokomeza Aji&#341;a kwa Watoto (IPEC), alisema takwimu zinaonyesha kuwa &#8220;tupo katika mwelekeo muafaka. Kwa hakika Aji&#341;a kwa Watoto inaweza kutomomezwa.&#8221;<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mkuu wa ILO Juan Somav&iacute;a alisema mwezi uliopita kuwa &#8220;Tunaweza kutokomeza aina mbaya ya aji&#341;a kwa watoto kwa kipindi cha miaka, bila ya kupoteza mwelekeo wa lengo la kukomesha aji&#341;a mbaya zote za watoto.&#8221; <\/p>\n<p>ILO inaelezea aina mbaya ya aji&#341;a kwa watoto kama &#8220;aina zote za utumwa au vitendo vinavyofanana na utumwa, kama vile uuzaji na usafi&#341;ishaji wa watoto, utumwa wa madeni na ujakazi ikiwa ni pamoja na kuaji&#341;i watoto kwa kuwalazimisha au kwa hiai&#341;i kwa ajili ya kuwatumia katika vita vya kutumia mtutu,&#8221; ikiwa ni pamoja na &#8220;matumizi ya, ununuzi au kumtoa mtoto kwa ajili ya kutumika kama kahaba, katika kutengeneza picha za ngono au kwa ajili ya kuonyesha maonesho ya ngono &#8221; au kwa ajili ya shughuli ha&#341;amu kama vile &#8220;uzalishaji na usafi&#341;ishaji wa madawa ya kulevya.&#8221; <\/p>\n<p>Kazi hizo pia ni pamoja na &#8220;kazi ambazo kwa asili yake au mazingi&#341;a ambamo zinafanyikia, zinaweza kuathi&#341;i afya, usalama au maadili ya watoto.&#8221; <\/p>\n<p>E&#341;ic Sottas, mku&#341;ugenzi mkuu wa shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Geneva la kupinga utesaji duniani yaani &#8220;Wo&#341;ld O&#341;ganisation Against To&#341;tu&#341;e (OMCT)&#8221;, alisema &#8220;Tunaka&#341;ibisha kupungua kwa aji&#341;a kwa watoto duniani kote na kupungua kwa aji&#341;a mbaya kwa watoto.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, aliiambia IPS kuwa &#8220;OMCT inabakia kuwa na mashaka juu ya idadi kubwa ya watoto ambao bado wanafanya kazi katika mazingi&#341;a ya hata&#341;i, ikiwa ni pamoja na kuwa wahanga wa vu&#341;ugu katika kazi na kunyonywa kimapenzi na kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>ILO &#8220;inatoa wito kwa se&#341;ikali kutengeneza se&#341;a zinazofaa juu ya aji&#341;a kwa watoto na kuwa na dhami&#341;a ya kisiasa kuhakikisha kuwa watoto wanaofanya kazi &ndash; ambao maana yake halisi ni watoto maskini zaidi nchini &ndash; wapatiwe sehemu inayofaa ya ukuaji wa uchumi na maendeleo,&#8221; My&#341;stad aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kwa puande wake, Sottas alisema &#8220;Ni suala muhimu kufahamu kuwa kukosekana kwa &#341;asilimali miongoni mwa familia ndiyo sababu kubwa ya aji&#341;a kwa watoto. Kupambana na umaskini ni muhimu kufanikisha utokomezaji wa aji&#341;a kwa watoto.&#8221;<\/p>\n<p>Mapendekezo mengine ya ILO yanahusu haja ya kuwepo kwa mpango thabiti katika kupambana na aji&#341;a kwa watoto, ikiwa ni pamoja na kushi&#341;iki katika kampeni siyo tu za wiza&#341;a za kazi, lakini pia zinazoendeshwa na wiza&#341;a za elimu, fedha na mipango, alisema My&#341;stad. <\/p>\n<p>Alitoa mfano wa mwongozo uliotolewa na se&#341;ikali ya Tanzania, katika Af&#341;ika Masha&#341;iki. <\/p>\n<p>Utokomezaji wa aji&#341;a kwa watoto umepewa kipaumbele &#8220;katika se&#341;a za se&#341;ikali,&#8221; alisema wazi&#341;i wa kazi wa Tanzania, Jumanne A. Maghembe, ambaye alishi&#341;iki katika Mkutano wa wa Kimataifa kuhusu Aji&#341;a, ambao unamalizika wiki ijayo mjini Geneva. <\/p>\n<p>Nchini Tanzania, &#8220;Tumeweka mkakati wa kitaasisi unaozingatia kile tunachoweza kusimamia na kuhakikisha kuwa aji&#341;a kwa watoto inatokomezwa au kuzuiwa katika ngazi zote,&#8221; alisema Maghembe. <\/p>\n<p>Mpango wa kitaifa unatekelezwa kupitia kamati inayoundwa na viongozi wa ngazi za juu se&#341;ikalini wanaowakilisha kila wiza&#341;a na taasisi nyingine za umma, alielezea. <\/p>\n<p>Kamati kama hizo zinafanya kazi katika ngazi ya kijiji, huku wakuu wa mikoa wakishi&#341;iki, wataalamu na wawakilishi wa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali, ikiwa ni pamoja na ngazi ya kijiji, kuweza kukabiliana na aji&#341;a kwa watoto, alisema. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Tanzania pia imeanzisha mpango wa shule ya msingi kwa wote, bu&#341;e, alibainisha. <\/p>\n<p>Kamati za vijiji zinahakikisha kuwa tukio lolote lile la aji&#341;a kwa watoto lina&#341;ipotiwa mapema, Maghembe alisema. <\/p>\n<p>Kanuni ya adhabu ya Tanzania imefanyiwa ma&#341;ekebisho ili kila mmoja anayeshi&#341;iki katika aina ya aji&#341;a kwa watoto kufungwa jela kwa kipindi cha mwaka mmoja. <\/p>\n<p>&#8220;Tunadhani kwamba katika kipindi cha miaka mitano hadi kumi tutaweza kutokomeza janga hili,&#8221; alisema wazi&#341;i huyo. <\/p>\n<p>B&#341;azili, nchi nyingine ambayo inatumiwa kama mfano na ILO katika kupambana na aji&#341;a kwa watoto, pia inasisitiza kuwa jitihada zinahitaji dhami&#341;a na kupwa ushi&#341;ikiano kutoka kila nyanja. <\/p>\n<p>&#8220;Suala la kupambana na aji&#341;a mbaya kwa watoto siyo opa&#341;esheni moja ya kimiujiza,&#8221; alisema mwakilishi wa B&#341;azili Ca&#341;los Antonio da Rocha Pa&#341;anhos. <\/p>\n<p>&#8220;Ili kupunguza aji&#341;a mbaya kwa watoto ni lazima kuwepo na jitihada za pamoja na endelevu ambapo unakuwa na mipango iliyobuniwa kwa ajili ya kutokomeza aji&#341;a kwa watoto ikiwa ni pamoja na u&#341;atibu mzu&#341;i wa se&#341;a za uchumi wa umma zilizotungwa kuongeza mishaha&#341;a katika sekta binafsi,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>ILO ili&#341;ipoti kuwa mwaka 2004, kulikuwa na watoto milioni 49.3 waliokuwa wakifanya kazi katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a &ndash; ambapo ni wastani wa asilimia 26 ya watoto wote katika ukanda huo. Hii ililinganishwa na watoto milioni 122 ba&#341;ani Asia (asilimia 18), na watoto milioni 5.7 katika Ame&#341;ika ya Kusini na Ca&#341;ibbean (asilimia 5.1). <\/p>\n<p>Katika maeneo mengine ya dunia, ilifikia watoto milioni 13, au asilimia 5.0 ya watoto wote.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 12 (IPS) &ndash; Takwimu zinazotia moyo zinazoonyesha kupungua kwa aji&#341;a kwa watoto haziendani na ukweli kwamba tatizo hilo linabakia kuwa changamoto kubwa katika maeneo mengi duniani, lilisema Shi&#341;ika la Kazi Ulimwenguni (ILO) katika Siku ya Kupambana na Aji&#341;a kwa Watoto Duniani. Kati ya mwaka 2000 na 2004, idadi ya watoto walioaji&#341;iwa ilipungua kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":90,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1286","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1286","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/90"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1286"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1286\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1286"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1286"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1286"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}