{"id":1285,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/maendeleo-ivory-coast-maji-yakatwa-katika-ukanda-unaodhibitiwa-na-waasi\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"maendeleo-ivory-coast-maji-yakatwa-katika-ukanda-unaodhibitiwa-na-waasi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/maendeleo-ivory-coast-maji-yakatwa-katika-ukanda-unaodhibitiwa-na-waasi\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;IVORY COAST: Maji Yakatwa katika Ukanda Unaodhibitiwa na Waasi"},"content":{"rendered":"<p>BOUAKE, Juni 10 (IPS) &ndash; Mabomba yamekauka nyumbani mwa Namizata Timite katika mjini mwake katikati mwa Ivo&#341;y Coast miezi miwili iliyopita. Hakuna usambazaji wa maji ya bomba kwa ajili ya kunywa wala kupikia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hivyo kila siku, huku ndoo zikiwa kichwani mwao, Timite na mtoto wake walitembea ka&#341;ibu kilomita moja kwenda kisimani ka&#341;ibu na mjini kwao, ambao ni makao makuu ya kikundi cha waasi cha &#8220;Fo&#341;ces Nouvelles&#8221;, ambacho kinadhibiti nusu ya kaskazini mwa nchi hiyo maa&#341;ufu kwa uzalishaji wa kakao. <\/p>\n<p>Ivo&#341;y Coast iligawanyika pande mbili ka&#341;ibu miaka minne iliyopita. Mgogo&#341;o ulizuka Septemba 19, 2002 baada ya ja&#341;ibio la mapinduzi kushindwa. Wapiganaji walikuwa wamebeba silaha kwa madai ya kubaguliwa kwa &#341;aia wa kaskazini. Tangu wakati huo, wamekuwa wakishikilia eneo la kaskazini. <\/p>\n<p>Timite, ambaye anamiliki mgahawa katika kitongoji cha wakazi wafanyakazi cha Bouake, kinachojulikana kama Da&#341;&ndash;es&ndash;Salaam, anatumia maji ya kisima kuandaa chakula kwa ajili ya wateja wake. <\/p>\n<p>&#8221;Ninapopata maji yangu kutoka kisimani, nayaacha kwa muda ili wadudu na (miti na mimea) kuweza kutuama. Halafu nayachuja, na kuyatumia. Ni njia pekee naweza kuitumia kuendeshea m&#341;adi wangu,&#8221; aliiambia IPS. &#8221;Mabomba na matenki ya maji yamekauka, hivyo sina jinsi&#8221;. <\/p>\n<p>Kwa kipindi cha miezi miwili sasa, usambazaji wa maji katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi umekatwa. Kulingana na maofisa wa kampuni ya maji, watu wa kaskazini wamekuwa hawalipi bili za maji tangu kuzuka kwa vita kama miaka minne iliyopita. <\/p>\n<p>&#8221;Mkusanyiko wa bili za maji katika ukanda uliokuwa ukikaliwa na waasi unafikia Fa&#341;anga za Ufa&#341;ansa bilioni saba (kama dola milioni 14). Bili hizi zilitumwa baada ya kujadiliana na viongozi wa waasi wa Fo&#341;ces Nouvelles na tunaziona kama mapato yasiyolipwa,&#8221; alisema Ma&#341;cel Zady Kessi, mkuu wa kampuni ya ugavi wa maji ya Ivo&#341;y Coast. <\/p>\n<p>&#8221;Tunahitaji pesa hizi kuendesha mitambo yetu katika miji mbalimbali kaskazini na magha&#341;ibi mwa nchi (kunakodhibitiwa na waasi wa Fo&#341;ces Nouvelles),&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Uhaba wa maji ya bomba taya&#341;i uatishia afya za wakazi. Ripoti ya kila wiki inayotolewa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayosimamia Masuala ya Binadamu (OCHA), iliyochapishwa mwezi Machi, ilibainisha: &#8221;Tangu Feb&#341;ua&#341;i 26, 2006, matukio ya kuha&#341;isha kulikofuatiwa na kutapika yame&#341;ipotiwa, hasa magha&#341;ibi mwa nchi, kutokana na maji ya kunywa yaliyochafuka.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa jumla, matukio kumi na mbili yame&#341;ikodiwa, ikiwa ni pamoja na wanawake watatu na watoto watano chini ya miaka mitano. Hakuna mtu ambaye amefa&#341;iki kutokana na magonjwa hayo. <\/p>\n<p>Mwaka 2004, kabla ya opa&#341;esheni za kijeshi, jeshi la Ivo&#341;y Coast lilija&#341;ibu ku&#341;ejesha upande wa kaskazini, mwanzoni mwa mwezi wa mfungo wa Kiislamu wa Ramadhan, miji chini ya udhibiti wa waasi ilikumbwa na kukatika kwa umeme na wiki mbili za kukatwa kwa maji. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa ha&#341;aka lilitoa mwito kwa mamlaka husika &#8221;kwa ha&#341;aka ku&#341;ejesha&#8221; maji na umeme upande wa kaskazini. &#8221;Bila ya wao, afya za watu zitakuwa kwenye hata&#341;i kubwa na zinaweza kudhoofika kwa kipindi kidogo, pengine kwa siku chache,&#8221; alisema Rima Salah, mku&#341;ugenzi wa kimkoa wa UNICEF wa magha&#341;ibi na Af&#341;ika ya Kati. <\/p>\n<p>&#8221;Kukosekana kwa maji ya bomba kunaongeza kwa kiasi kikubwa hata&#341;i ya kupatwa na magonjwa yanayotokana na maji kama vile kipindu pindu na magonjwa mengine, ambayo yanasababisha kuha&#341;isha,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Lakini wachambuzi wanaamini kuwa kukatika kwa maji kunaweza kuwa ni mbinu ya se&#341;ikali kushinikiza waasi wa Fo&#341;ces Nouvelles kuweka silaha chini mapema na kukomesha mgogo&#341;o wa kibinadamu upande wa kaskazini, kutokana na kwamba hawawezi kufikia muafaka. Waasi pia wanashinikizwa na wakazi wanaowatawala ambao hawana maji salama. <\/p>\n<p>&#8221;Ni lazima kuondoa fa&#341;aja zao zote, kwa kuanza na maji, na kuwafanya waasi kuweka silaha chini ha&#341;aka iwezekanavyo,&#8221; lilisema mapema mwezi huu gazeti la kila siku la Soi&#341;&ndash;Info nchini Ivo&#341;y Coast. <\/p>\n<p>Kampuni ya ugazi wa umeme na maji nchini Ivo&#341;y Coast ya CIE&ndash;SODECI, inamilikiwa na kampuni kubwa ya Ufa&#341;ansa ya Bouygues, ambayo ilita&#341;ajiwa kumaliza mkataba wake mwishoni mwa Desemba 2005. Lakini se&#341;ikali ya Rais Lau&#341;ent Gbagbo inabu&#341;uza miguu juu ya kusaini mkataba mpya, na kupendelea kutoa zabuni hiyo kwa kampuni ya Af&#341;ika Kusini, kulingana na wachambuzi wa mjini Abidjan, mji maa&#341;ufu wa biasha&#341;a nchini Ivo&#341;y Coast. <\/p>\n<p>Wachambuzi wanaamini kuwa Pa&#341;is inaja&#341;ibu kuchukua faida ya uasi kaskazini kushinikiza se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast kutoa zabuni mpya. <\/p>\n<p>Ge&#341;a&#341;d Dago Lezou, p&#341;ofesa wa falsafa katika Chuo Kikuu cha Cocody&ndash;Abidjan, anaamini ni vibaya kuingiza siasa katika mjadala huo. &#8221;Tunashughulika na kampuni binafsi ambayo ilifanya kazi ya kibinadamu kwa miaka minne, ikisambaza maji na umeme bu&#341;e. Sasa inataka malipo yake. Tunaweza kuipatia, au tunataka kuendelea kufanya kazi katika &#341;angi nyekundu &#8221; aliuliza. <\/p>\n<p>Ili kupunguza mgogo&#341;o wa maji, viongozi wa ndani ya nchi hiyo katika miji ya kaskazini wanaandaa kupatia vijiji vyao visima. &#8221;Tumeomba kufanyika kwa utafiti kutupatia maji safi,&#8221; N&#8217;Golo Coulibaly, mkuu wa halmashau&#341;i ya mji wa Ko&#341;hogo huko kaskazini aliiambia IPS.. <\/p>\n<p>&#8221;Mapema iwezekanavyo, visima 215 vitachimbwa kwa msaada wa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali na Benki ya Maendeleo ya Wasilamu,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Lakini wakazi wa mjini chini ya waasi wa Fo&#341;ces Nouvelles wanasema wapo &#8221;mwisho mwa kamba yao &#8221; na wanapendelea kuzungumza na makampuni ya maji. <\/p>\n<p>Sidiki Konate, msemaji wa waasi wa Fo&#341;ces Nouvelles, aliiambia &#341;edio ya nchini humo kuwa baadhi ya wakazi wame&#341;ejeshewa maji ya bomba mapema mwezi huu. Mtambo wa kusafishia maji umefungwa, kutokana na ombi la se&#341;ikali. Lakini bado kuna mambo zaidi ya kufanyika kuhakikisha kuwa watu wa kaskazini wanakuwa na maji ya kutosha. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BOUAKE, Juni 10 (IPS) &ndash; Mabomba yamekauka nyumbani mwa Namizata Timite katika mjini mwake katikati mwa Ivo&#341;y Coast miezi miwili iliyopita. Hakuna usambazaji wa maji ya bomba kwa ajili ya kunywa wala kupikia. Hivyo kila siku, huku ndoo zikiwa kichwani mwao, Timite na mtoto wake walitembea ka&#341;ibu kilomita moja kwenda kisimani ka&#341;ibu na mjini kwao,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":214,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1285","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1285","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/214"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1285"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1285\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1285"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1285"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1285"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}