{"id":1283,"date":"2006-06-19T13:40:01","date_gmt":"2006-06-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/marekani-hatimaye-bush-apata-habai-njema-kutoka-iaq\/"},"modified":"2006-06-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-19T13:40:01","slug":"marekani-hatimaye-bush-apata-habai-njema-kutoka-iaq","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/19\/marekani-hatimaye-bush-apata-habai-njema-kutoka-iaq\/","title":{"rendered":"MAREKANI: Hatimaye Bush Apata Haba&#341;i Njema kutoka I&#341;aq"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 8 (IPS) &ndash; Wakati ambapo kukubalika kwake kwa malengo yake ya muda m&#341;efu kunaweza kuima&#341;ika kwa muda, utawala wa Bush na washi&#341;ika wake mjini Baghdad bado unakabiliwa na mapigano makubwa katika ku&#341;ejesha imani kwa se&#341;a zake za I&#341;aq na kumaliza mapigano miongoni mwa madhehebu ya kidini ambayo yanatishia kuiingiza I&#341;aq katika vita vya wenywe kwa wenyewe.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kifo cha Za&#341;qawi kitasaidia katika kupunguza uhasama wa kidini, kwasababu yeye, zaidi ya mtu mwingine yoyote yule, alieneza imani za Washia na kufanya mashambulizi dhidi yao,&#8221; alisema Joost Hilte&#341;mann, mtaalam wa shi&#341;ika la &#8220;Inte&#341;national C&#341;isis G&#341;oup (ICG)&#8221; lenye makao yake mjini Amman.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini hali ya mchangamano wa dini mbalimbali umekuwa umetokomezwa na imani zake zinabakia kuwepo nchini I&#341;aq,&#8221; Hilte&#341;mann aliongeza katika mahojiano kwa njia ya simu. &#8220;Itakuwa vigumu sana kuingiza tena katika chupa.&#8221; <\/p>\n<p>Katika kikao kifupi katika Ikulu ya Ma&#341;ekani ya White House, kwenye Bustani ya Rose mapema Alhamisi, Bush mwenyewe alionyesha fu&#341;aha, akisisitiza kuwa Za&#341;qawi amefa&#341;iki, wakati ambapo &#8220;ni hasa&#341;a kubwa kwa al&ndash;Qaeda&#8221; na &#8220;ushindi mkubwa katika vita dhidi ya ugaidi&#8221;, siyo lazima kuathi&#341;i mchangamano uliopo. <\/p>\n<p>&#8220;Tunata&#341;ajia ugaidi na vita kuendelea hata bila ya yeye kuwepo,&#8221; alisema mwanzilishi wa &#8220;al Qaeda wa Mesopotamia&#8221;. &#8220;Tunata&#341;ajia vita dhidi ya madhehebu ya kidini kuendelea. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna siku ngumu mbele yetu nchini I&#341;aq ambazo zinahitaji kuwa na uvumilivu kwa wananchi wa Ma&#341;ekani,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Vile vile, mambo yaliyotokea Alhamisi nje ya Baghdad, ikiwa ni pamoja na bunge la I&#341;aq kupitisha mawazi&#341;i wa usalama, ulinzi na usalama wa taifa kuwa chini ya Wazi&#341;i Mkuu Nou&#341;i Maliki, na kuvunja taa&#341;ifa mbaya kuwa kumepunguza uvumilivu wa kuzidi kuacha aska&#341;i wa Ma&#341;ekani kuikalia I&#341;aq. <\/p>\n<p>Utendaji mpya wa se&#341;ikali utakuwa muhimu, wanasema waangalizi wa mambo, hasa katika kufikia wanajumuiya wa dhehebu la Wasuni, ikiwa ni pamoja na kuwashi&#341;ikisha katika mpango wa kisiasa, na kubadilisha katiba katika njia ambayo itashughulikia madai yao. <\/p>\n<p>Kupitishwa kwa mawazi&#341;i watatu wapya kutakuwa ni mwanzo mzu&#341;i, husasani kutokana na hatua za Maliki kutokana na kuachia hu&#341;u idadi kubwa ya wafungwa kwa Suni na kukabiliana na wanamgambo wa Shia mjini Bas&#341;a na mahali pengine. <\/p>\n<p>Wakati Luteni Jene&#341;ali Abdul Qadi&#341; Obeidi wa dhehebu la Suni, ataongoza wiza&#341;a ya ulinzi, Jawad Bulani na Shi&#341;wan Waili, wote wafuasi wa vyama vya Washia, watashikilia wiza&#341;a za mambo ya ndani na usalama wa taifa. Wasuni wameonyesha wasiwasi hususani juu ya Wiza&#341;a ya mambo ya Ndani kutokana na kudhibiti kwao polisi ambao wameingiliwa kati zaidi na wanamgambo wa Kishia na vikosi vya mauaji. <\/p>\n<p>Hata hivyo, katika wiki kadhaa zilizopita, haba&#341;i kuhusu I&#341;aq zimekuwa zimejawa na &#341;ipoti za mauaji ya kikatili miongoni mwa madhehebu ya kidini ambayo yamechangia kuongezeka kwa ha&#341;aka kwa idadi ya maiti &ndash; ambazo nyingi zinakuwa hazina vichwa. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, kushindwa kwa Maliki miezi sita baada ya uchaguzi wa wabunge mwezi Desemba ili kupatana na &#8220;se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa&#8221; (GNU) juu ya ni nani ataongoza wiza&#341;a tatu za usalama kumesababisha kuongezeka kuungwa mkono na Cong&#341;ess, kutoka vyama vya Republicans na Democ&#341;ats, kwamba I&#341;aq, ambayo se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani inatumia ka&#341;ibu dola bilioni mbili kwa wiki, na kuwa sababu ya hasa&#341;a. <\/p>\n<p>Mbali na hali kama hiyo, matangazo ya Alhamisi yalikuwa muhimu sana kwa utawala na wafuasi wake. <\/p>\n<p>Kuuawa kwa Za&#341;qawi, alibainisha Victo&#341; Davis Hanson, mwanahisto&#341;ia mwenye msimamo wa kihafidhina wa kisasa katika Taasisi ya Hoove&#341; na mtu anayeungwa mkono na Makamu wa Rais Dick Cheney, &#8220;anaongeza katika kasi hiyo (iliyojengwa na uteuzi wa watu watatu) &#8230;kwa kuongezea katika kuleta utulivu, kama utakuwepo kwa siku chache tu, vyombo vya haba&#341;i vinaleweshwa na Haditha.&#8221; <\/p>\n<p>Kati ya matukio hayo mawili, kifo cha Za&#341;qawi, ambacho kilitokana na kupigwa mabomu na ndege za kivita za Ma&#341;ekani katika nyumba yake iliyokuwa na ulinzi mkubwa ka&#341;ibu na Baquba Jumatano jioni, lilikuwa jambo lililovuta hisia za wengi hapa siku ya Alhamisi. <\/p>\n<p>Mwanamgambo mzaliwa wa Jo&#341;dan, ambaye amekuwa suala la kutisha linalovutia hisia za wengi katika vyombo vya haba&#341;i hapa tangu mkanda wake wa video ulipoonyesha akimkata kichwa mateka wa Ma&#341;ekani Nicholas Be&#341;g miaka miwili iliyopita, anaonekana kuwa na uhusiano wenye utata na Osama bin Laden wa al Qaeda na wapiganaji wa Suni nchini I&#341;aq. <\/p>\n<p>Wakati wa kuelekea katika vita vya I&#341;aq, utawala wa Bush ulisema kuwa Za&#341;qawi alipelekwa Baghdad na al Qaeda. Lakini wataalam wengi wa ugaidi wanaamini kuwa alikuwa anafanya kazi za kujitegemea, kama siyo adui wa bin Laden, hata baada ya &#8220;kukubali&#8221; kwa se&#341;ikali mwishoni mwa mwaka 2004 alipobatiza chama chake &#8220;Al Qaeda in Mesopotamia&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Ni mchanganyiko ambao ulikubaliana na kila mmoja, ikiwa ni pamoja na Ma&#341;ekani&#8230; ambaye wasemaji wake walikuwa na mata&#341;ajio makubwa juu ya umuhimu wake,&#8221; alibainisha Juan Cole, mkuu wa Chama cha Mafunzo ya Masha&#341;iki ya Kati (MESA), katika mtandao wake Alhamisi. <\/p>\n<p>Ukatili mkubwa mkubwa sana aliouonyesha dhidi ya &#8220;wapiganaji wa kigeni&#8221; ambao waliingia I&#341;aq baada ya uvamizi wa Ma&#341;ekani na mfadhili mkubwa wa ulipuaji wa kujitoa mhanga hapa, Za&#341;qawi waziwazi alikuwa na tofauti kubwa na al Qaeda, hasa juu ya kulenga kwake Washia kwa nia ya kuchochea vita vya kidini, na ukatili mkubwa katika mbinu anazozitumia. <\/p>\n<p>Kutokana na ukatili wake, alikuja kuwa isha&#341;a ya upinzani dhidi ya majeshi ya uvamizi ya Ma&#341;ekani ambayo, kutokana na wachambuzi wengi, inaonekana kuchochea makusudi wajibu wake kwa nia ya kufanya wapiganaji wasiaminiwe kiu&#341;ahisi. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kama ilivyobainishwa Alhamisi na Anthony Co&#341;desman, mtaalam wa Masha&#341;iki ya Kati katika Kituo cha Mafunzo Maalum na ya Kimataifa, &#8220;uasi unaoendelea ni mgumu kukabiliana nao na wa hali ya juu sana&#8221;. <\/p>\n<p>Katika wa&#341;aka aliousambazwa Alhamisi, Co&#341;desman alikiita kifo cha Za&#341;qawi &#8220;ushindi mkubwa wa kisiasa na kip&#341;opaganda&#8221;, kwasababu ya umaa&#341;ufu wake, lakini kwamba atha&#341;i zake zinawezekana kuwa &#8220;kidogo&#8221; katika maeneo mengine ya uasi, maeneo ambayo yamekuwa adui wa wazi kwa Za&#341;qawi. <\/p>\n<p>Hilte&#341;mann alikubali kuwa Za&#341;qawi hakuwa mtu muhimu kwa wapiganaji wa Suni nchini I&#341;aq kama ambavyo Washington imekuwa ikisema ma&#341;a kwa ma&#341;a. &#8220;Ma&#341;a nyingi alikuwa nje kidogo,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. &#8220;Alikuja na mifuko mi&#341;efu na baadhi ya mashambulizi ya kibunifu, lakini hakuwakilisha kile ambacho wapiganaji wa I&#341;aq hawakupenda.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati huo huo, Co&#341;desman alibainisha kuwa kwa kiasi kifo cha Za&#341;qawi kilidhoofisha waasi wa al Qaeda in Mesopotamia, na pengine kinaweza kuima&#341;isha uasi kwa kuondoa chanzo cha mgawanyiko. &#8220;Kuna baadhi ya hata&#341;i kwamba kifo chake kita&#341;uhusu uasi uliopo kupanua ngome yake,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Pia kutakuwa na kupungua kwa idadi yao kimkoa kutokana na kifo cha Za&#341;qawi, kulingana na Ni&#341; Rosen, mtaalam katika kikundi cha &#8220;A&#341;ab Islamist movements&#8221; katika Mfuko wa &#8220;New Ame&#341;ica Foundation&#8221; hapa, ambaye aliiambia IPS kwamba, &#8220;ndani ya I&#341;aq, haina shaka, kwasababu vita vya wenywe kwa wenyewe vitaendelea.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 8 (IPS) &ndash; Wakati ambapo kukubalika kwake kwa malengo yake ya muda m&#341;efu kunaweza kuima&#341;ika kwa muda, utawala wa Bush na washi&#341;ika wake mjini Baghdad bado unakabiliwa na mapigano makubwa katika ku&#341;ejesha imani kwa se&#341;a zake za I&#341;aq na kumaliza mapigano miongoni mwa madhehebu ya kidini ambayo yanatishia kuiingiza I&#341;aq katika vita vya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":68,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1283","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1283","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/68"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1283"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1283\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1283"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1283"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1283"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}