{"id":1282,"date":"2006-06-13T13:40:01","date_gmt":"2006-06-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/13\/michezo-kenya-kwa-watu-wetu-wa-afika-mashaiki-soka-ni-muhimu-sana-sana\/"},"modified":"2006-06-13T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-13T13:40:01","slug":"michezo-kenya-kwa-watu-wetu-wa-afika-mashaiki-soka-ni-muhimu-sana-sana","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/13\/michezo-kenya-kwa-watu-wetu-wa-afika-mashaiki-soka-ni-muhimu-sana-sana\/","title":{"rendered":"MICHEZO&ndash;KENYA: &#8220;Kwa Watu Wetu wa Af&#341;ika Masha&#341;iki, Soka ni Muhimu Sana Sana&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 6 (IPS) &ndash; Limepewa jina la onyesha kubwa kuliko yote duniani&#8221;, na kwa nchini Kenya hiyo ndiyo maana halisi ya Kombe la Soka la Dunia . Hivyo, kukiwa kumesalia siku tu kabla ya mashindano hayo kuanza nchini Uje&#341;umani, munka&#341;i miongoni mwa mashabiki wa michezo katika nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki unaanza kupanda.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nadhani hili litakuja kuwa Kombe la Dunia kubwa kuliko yote kuwahi kutokea! Kwa watu wetu wa Af&#341;ika Masha&#341;iki, soka ni muhimu sana sana,&#8221; anasema Lalji Kanbai, mmiliki wa hoteli mjini Kisumu, magha&#341;ibi mwa Kenya. <\/p>\n<p>Kuanza kwa nyakati za televisheni za satelaiti, zinazo&#341;usha mechi ni jambo muhimu katika mchezo huo. <\/p>\n<p>Madishi ya satelaiti yamekuwa kitu cha kawaida hata katika maeneo ya wakazi maskini zaidi, huku yakiwa yamepachikwa katika vijumba vya nyasi bila mpangilio. Katika makazi haya, &#8220;mchezo mzu&#341;i&#8221; unafanya kuondokana na umaskini. <\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a wanaoelekeza macho yao kwenye mpi&#341;a pia wamewekeza katika teknolojia, ili waweze ku&#341;usha mechi za kimataifa katika hoteli zao. Wanatoza kiasi kinachofikia sawa na dola senti 30 kwa mtu, kwa mchezo mmoja &ndash; hiki siyo kiasi kidogo katika nchi ambapo zaidi ya nusu ya watu wake wanaishi chini ya dola moja kwa siku, kulingana na takwimu za se&#341;ikali. Hata hivyo, kila mwisho wa wiki makundi yanajaza maeneo hayo yenye kuonyesha soka. <\/p>\n<p>Na, gha&#341;ama ya kutizama itakuja kuongezeka. <\/p>\n<p>&#8220;Nitakuja kutoza shilingi 30 (tak&#341;ibani dola senti 40) katika du&#341;u ya kwanza ya Kombe la Dunia, 40 (ka&#341;ibu dola senti 56) katika &#341;obo fainali, 50 (tak&#341;ibani dola senti 70) katika nusu fainali na hatimaye shilingi 80 hadi 100 (zaidi ya dola moja hadi dola 1.4) katika fainali,&#8221; anasema Fa&#341;ah Juma, meneja wa hoteli katika mji wa mwambao wa Mombasa. <\/p>\n<p>Vilevile, wauzaji wamepandisha bei ya televisheni &ndash; na gha&#341;ama ya munka&#341;i wa soka inaongezeka kila siku. Fulana ambayo imekuwa ikiuzwa mwezi uliopita kwa dola 15 sasa inauzwa kwa zaidi ya dola 45, kulingana na wauzaji. <\/p>\n<p>Hali ya taifa kupagawa na soka ilionekana katika tukio la hivi ka&#341;ibuni ambalo liliona mashabiki wawili pinzani walipokuwa wakipigana katika baa katika mji mkuu wa Nai&#341;obi, baada ya kubishana juu ya mechi. <\/p>\n<p>Roy Ki&#341;imi na Kenny Ma&#341;ango walikamatwa na hatimaye kupigwa faini ya tak&#341;ibani dola 70 kila mmoja kutokana na ugomvi. Watu walioshuhudia wanasema kuwa pamoja na kwamba Ki&#341;imi alipenda timu ya Chelsea kushinda mchezo huo, ni shabiki Ma&#341;ango wa timu ya Mancheste&#341; United ambaye aliibuka mshindi katika mchezo mkali. <\/p>\n<p>&#8220;Iambieni Mancheste&#341; na Chelsea kuwalipia faini,&#8221; alikejeli hakimu wakati watu hao walipolalamika kuwa wasingeweza kulipa faini. <\/p>\n<p>Lakini, wakati wa fujo kubwa, linakuwa siyo suala la kulicheka. Mazingi&#341;a ya katikati mwa jiji la Nai&#341;obi baada ya mechi kubwa ya Ligi Kuu ya Uinge&#341;eza kama ile ya Mancheste&#341; United dhidi ya A&#341;senal inaweza kuwa vita inayochochewa na pombe. Ma&#341;a nyingi polisi wanaitwa kutatua migogo&#341;o inayozuka katika mabaa ya pombe, na katika mitaa midogo midogo ya jiji. <\/p>\n<p>&#8220;Mashabiki wanapigana kama ahela!&#8221; alisema Robe&#341;t Oluoch, muuza baa katika mtaa wa Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine wanaweza hata kuvunja televisheni na madi&#341;isha. Ni suala la kufa au kuishi kwa baadhi yao,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Wakati Kampuni ya Bia ya Af&#341;ika Masha&#341;iki inauza zaidi katika maghala yake, pengine kutakuwa na ugomvi zaidi baadaye. Lakini hata kama hiyo itajenga mazingi&#341;a ya anasa zaidi, wanywaji wakubwa ma&#341;a nyingi wanapewa viti vizu&#341;i katika jengo, kutokana na kwamba ni watumiaji wakubwa. <\/p>\n<p>Wakati ambapo Ligi ya Uinge&#341;eza imekuwa tukio kubwa zaidi la michezo mingine nchini Kenya, haionekana kuja kuzidi tukio la Kombe la Dunia. <\/p>\n<p>Kwa kawaida, Ken Adego, Cha&#341;les Aduogo na Okwa&#341;a Ochudi wasingependa kubadili fulana zao za timu ya Mancheste&#341; United kwa kitu chochote kile. Wakati wa Kombe la Dunia, hata hivyo, wanajiandaa kuiunga mkono Uinge&#341;eza &ndash;&ndash; na Adego taya&#341;i ameshapata jezi inayofanana na ile ya Uinge&#341;eza. Kenya ilishindwa kufaulu katika mashindano hayo. <\/p>\n<p>Nchi ambayo inakisiwa na wengi kuwa itashinda kombe hilo ni B&#341;azili, ikifuatiwa kwa ka&#341;ibu na A&#341;gentina na Italia. <\/p>\n<p>Ni vigumu sana kukuta mtu ambaye anaamini kuwa taifa lolote lile la Af&#341;ika linaloshi&#341;iki katika Kombe la Dunia &ndash;&ndash; Togo, Ivo&#341;y Coast, Tunisia, Angola na Ghana &ndash; ina nafasi ya kuendelea zaidi ya mzunguko wa kwanza. Dalili inayoonyesha kukata tamaa zaidi ni ile ya kuona kwamba fulana za timu za Af&#341;ika haziuziki. <\/p>\n<p>Matokeo yoyote yale yatakayokuwa, Kombe la Dunia la mwaka huu litakuwa tofauti na matukio ya nyuma kutokana na sababu muhimu moja: idadi kubwa ya wanawake wanata&#341;ajiwa kujiunga na wanaume kushuhduia kombe hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Tuliona kuwa msimu uliopita wa Ligi ya Uinge&#341;eza, wanawake wengi walikuja kutazama mpi&#341;a. Wamechoka kuona wanaume zao wanafaidi wenyewe. Unajua wanasemaje: &#8216;kama huwezi kuwapiga, jiunge nao!'&#8221; Kanbai anacheka. <\/p>\n<p>Mke wa Adego, Susan, amefanya hivyo. <\/p>\n<p>&#8220;Mume wangu amekuwa hakai nami wakati wa mwisho wa wiki kwasababu ya mpi&#341;a, hivyo niliamua pia ningeenda naye kuanzia sasa na kuendelea, katika baa. Nilikuta wanawake wengine huko, na sasa tunakaa na kuzungumza wakati wanaume wanashangilia,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wanawake wengine wamekuwa wapenzi wakubwa wa mchezo huo &ndash; hata kama si kutokana na kupenda jinsi wachezaji wanavyocheza, mfano, kiki ya kapteni wa Uinge&#341;eza David Beckham ambayo inapitisha mpi&#341;a kuzunguka timu pinzani. <\/p>\n<p>&#8220;Robe&#341;to Ca&#341;los ndiye mchezaji ninaye mpenda. Ninapenda tu kumkumbatia ninapomuona!&#8221; anasema Jenny Njue, mwenye picha ya Mb&#341;azili huyo nyuma ya fulana yake katika hoteli huko Kawangwa&#341;e: kitongoji kimojawapo mjini Nai&#341;obi. Lakini hakuweza hata kuelezea Ca&#341;los anacheza namba ngapi. <\/p>\n<p>&#8220;Hapana! Didie&#341; D&#341;ogba! Ni mwanaume halisi!&#8221; anaongeza &#341;afiki yake, juu ya mfungaji wa Ivo&#341;y Coast. <\/p>\n<p>Wakati wa maandalizi ya Kombe hilo, Ken Adego ameweza hata kununua skafu ya Uinge&#341;eza &ndash; pamoja na kwamba siyo &#341;ahisi kwa mtu yoyote yule kuivaa katika joto la Af&#341;ika Masha&#341;iki. <\/p>\n<p>Lakini, Kombe la Dunia linakosa sana tabia njema. Kwa hakika, kupigwa kwa kipenga cha mwazo siku ya Ijumaa mjini Munich, kunawezekana kukazaa mwezi mzima wa vu&#341;umai, uto&#341;o kazini na uchovu mkubwa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 6 (IPS) &ndash; Limepewa jina la onyesha kubwa kuliko yote duniani&#8221;, na kwa nchini Kenya hiyo ndiyo maana halisi ya Kombe la Soka la Dunia . Hivyo, kukiwa kumesalia siku tu kabla ya mashindano hayo kuanza nchini Uje&#341;umani, munka&#341;i miongoni mwa mashabiki wa michezo katika nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki unaanza kupanda. &#8220;Nadhani&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":179,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1282","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1282","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/179"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1282"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1282\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1282"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1282"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1282"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}