{"id":1281,"date":"2006-06-07T13:40:01","date_gmt":"2006-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afrika-kusini-mkutano-wa-ukimwi-waonyesha-msuguano-kati-ya-seikali-na-ngos\/"},"modified":"2006-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-07T13:40:01","slug":"afrika-kusini-mkutano-wa-ukimwi-waonyesha-msuguano-kati-ya-seikali-na-ngos","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afrika-kusini-mkutano-wa-ukimwi-waonyesha-msuguano-kati-ya-seikali-na-ngos\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Mkutano wa Ukimwi Waonyesha Msuguano kati ya Se&#341;ikali na NGOs"},"content":{"rendered":"<p>DURBAN, Juni 5 (IPS) &ndash; Mkutano wa hivi ka&#341;ibuni wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ukimwi (UNGASS) umeweka maja&#341;ibuni mahusiano yaliyopo kati ya se&#341;ikali na vyama vya ki&#341;aia nchini Af&#341;ika Kusini.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mkutano wa UNGASS ulishuhudia zaidi ya wajumbe 180 wakikutana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New Yo&#341;k, kuaniza Mei 31 hadi Juni 2, kutoa taa&#341;ifa juu ya maendeleo ya nchi zao katika kupambana na gonjwa hilo tangu ulipofanyika mkutano wa kwanza mwaka 2001. Katika mkutano wa kwanza, mataifa yaliahidi kuima&#341;isha vita dhidi ya VVU\/Ukimwi na kupunguza maambukizo yaliyozidi kuenea. <\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini ilikosolewa kuhusu &#341;ipoti yake ya maendeleo iliyoitoa kwa ajili ya mkutano wa wiki iliyopita; wa&#341;aka huo unatumiwa na Umoja wa Mataifa kutathmini ufanisi wa p&#341;og&#341;amu za kupambana na Ukimwi katika kila nchi. <\/p>\n<p>Chama cha Pamoja cha Kufuatilia Vyama vya Ki&#341;aia nchini Af&#341;ika Kusini (JCSMF) kililaumu kuwa mamlaka hayajaingiza maoni ya vyama vya ki&#341;aia yalipokuwa yanaandaa &#341;ipoti hiyo, pamoja na kwamba Umoja wa Mataifa ulitoa maelekezo kwa se&#341;ikali kufanya hivyo. (Chama hicho, kilichoanzishwa mwaka 2004, kinaongozwa na mashi&#341;ika makubwa ya ki&#341;aia na ya binafsi.) <\/p>\n<p>Madai haya yangeonekana kutokana na ukweli kwamba &#341;ipoti ya maendeleo inazungumzia kidogo sana juu ya jitihada za mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali katika kupambana na gonjwa hilo. <\/p>\n<p>JCSMF pia ilidai kuwa viongozi wa se&#341;ikali hawajaingiza takwimu muhimu zinazohusiana na vifo vinavyotokana na VVU, kiwango cha maambukizo, uhusiano kati ya VVU na Kifua Kikuu, na malengo usambazaji wa madawa ya kupunguza kasi ya VVU\/Ukimwi (ARV) &ndash; miongoni mwa mambo mengine. <\/p>\n<p>Kwa mfano, wakati ambapo &#341;ipoti hiyo inasema kuwa ka&#341;ibu Waaf&#341;ika Kusini 62,000 walipatiwa ARV mwanzoni mwa mwaka 2005, haisemi ni watu wangapi waliopatiwa madawa hayo walisitisha kuyatumia au walifa&#341;iki dunia.<\/p>\n<p>Baadhi ya takwimu pia zilionekana hazikuwa sahihi. <\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti hiyo, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini inachukua mawazo chanya ya jitihada za se&#341;ikali katika kupambana na gonjwa hilo, na kujipatia maksi nane nje ya 10 katika kulinda haki za binadamu, dhami&#341;a ya kisiasa kuunga mkono p&#341;og&#341;amu za VVU\/Ukimwi &ndash; na kushi&#341;ikisha vyama vya ki&#341;aia katika mipango na bajeti ya mkakati wa taifa wa kupambana na VVU\/Ukimwi. <\/p>\n<p>Wakati huo huo ukosefu wa ushi&#341;iki wa vyama vya hia&#341;i katika utengenezaji wa se&#341;a za taifa ilikuwa ni moja ya mambo yaliyokosolewa na mashi&#341;ika wanachama wa JCSMF. <\/p>\n<p>Pamoja na madai hayo kuelekezwa kwa se&#341;ikali, pia imesifiwa kwa kuchukua hatua muhimu katika kupambana na gonjwa hilo tangu mwaka 2001. Katika miaka ya ka&#341;ibuni, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini imeongeza matumizi katika mapambano dhidi ya VVU\/Ukimwi, na tangu mwanzoni mwa mwaka 2004 Wiza&#341;a ya Afya imekuwa ikitoa ARV bu&#341;e. <\/p>\n<p>Lakini bado, madai ya shi&#341;ika lenye makao yake mjini Cape Town linalotetea utoaji wa tiba dhidi ya VVU\/Ukimwi la T&#341;eatment Action Campaign (TAC), zaidi ya Waaf&#341;ika Kusini 1,400 waliendelea kuambukizwa na vi&#341;usi vya Ukimwi kila mwaka tangu mwaka jana. Kama hali hii itaendelea, nchi itakuwa na watu wapya walioambukizwa VVU ifikapo mwaka 2010. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali nchi za ng&#8217;ambo pia yalishutumu UNGASS &ndash; hasa tamko lililotolewa baada ya mkutano huo. <\/p>\n<p>Tamko la UNGASS kuanzia mwaka 2001 lilishindwa kuweka malengo maalum kubo&#341;esha miundo dhaifu ya afya, na tamko la mwaka 2006 linawataka watia saini kuweka shabaha zao za kitaifa, vyovyote vile zitakavyokuwa. Malengo hayo yatapitiwa upya na UNGASS mwaka 2008. <\/p>\n<p>Lakini, anasema Joe Amon, mku&#341;ugenzi wa mipango wa VVU\/Ukimwi katika shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu mjini New Yo&#341;k la &#8220;Human Rights Watch&#8221;, &#8220;Bila ya kuwa na shabaha katika tamko hakutakuwa na njia ya kuzifanya se&#341;ikali kuwajibika.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Tutakuwa na wa&#341;aka tupu, na miaka mitano tangu sasa, watu wengine milioni 25 watakuwa wamefa&#341;iki dunia kutokana na Ukimwi.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa upande wake, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini ilisema hai&#341;idhishwi na uwekwaji wa malengo bayana, kwasababu umaskini na kukosekana kwa maendeleo kumefanya kuwa vigumu kwa nchi nyingi za Af&#341;ika kuyafikia. <\/p>\n<p>Ujumbe wa Af&#341;ika Kusini pia ulikataa kukubali uhalali wa Msimamo wa Pamoja wa Af&#341;ika, tamko la pamoja juu ya VVU\/Ukimwi lililotolewa na wakuu wa nchi wa Umoja wa Af&#341;ika (AU) katika mji mkuu wa Nige&#341;ia &ndash;&ndash; Abuja &ndash; mapema mwezi Mei. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka huo unaweka wazi shabaha na muda wa kupambana na Ukimwi. <\/p>\n<p>Kwa mfano, linalenga kuwapatia angalau asilimia 80 ya wanawake wajawazito wenye VVU ba&#341;ani humo kupata madawa ya kuzuia maambukizo kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ifikapo mwaka 2010. Nchini Af&#341;ika Kusini, chini ya asilimia kumi ya wanawake kwa sasa wanapatiwa madawa katika mipango hiyo, kulingana na TAC. <\/p>\n<p>Msimamo wa Pamoja wa Af&#341;ika pia unalenga kuhakikisha kuwa angalau asilimia 80 ya wale wanaohitaji matibabu ya ARV wanapatiwa, na kwamba asilimia kama hiyo ya watu wote watapata huduma za ushau&#341;i nasaha, kupima kwa hia&#341;i na matumizi ya kondomu. <\/p>\n<p>* K&#341;istin Palitza ni mha&#341;i&#341;i wa ja&#341;ida la Agenda, linalotolewa ma&#341;a nne kwa mwaka juu ya utetezi wa haki za wanawake na jinsia lenye makao yake makuu mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DURBAN, Juni 5 (IPS) &ndash; Mkutano wa hivi ka&#341;ibuni wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ukimwi (UNGASS) umeweka maja&#341;ibuni mahusiano yaliyopo kati ya se&#341;ikali na vyama vya ki&#341;aia nchini Af&#341;ika Kusini. Mkutano wa UNGASS ulishuhudia zaidi ya wajumbe 180 wakikutana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New Yo&#341;k, kuaniza Mei 31&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1281","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1281","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1281"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1281\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1281"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1281"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1281"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}