{"id":1278,"date":"2006-06-07T13:40:01","date_gmt":"2006-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/uchumi-algeria-nafasi-ya-mwanamke-je-kama-ilivyo-kwa-mahali-pengine\/"},"modified":"2006-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-07T13:40:01","slug":"uchumi-algeria-nafasi-ya-mwanamke-je-kama-ilivyo-kwa-mahali-pengine","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/uchumi-algeria-nafasi-ya-mwanamke-je-kama-ilivyo-kwa-mahali-pengine\/","title":{"rendered":"UCHUMI &ndash; ALGERIA: Nafasi ya Mwanamke Je  Kama ilivyo kwa Mahali Pengine."},"content":{"rendered":"<p>ALGIERS, Juni 1 (IPS) &ndash; Katika miaka ya nyuma, Waalge&#341;ia ambao walikuwa wakitumia neno &#8220;kazi za wanawake&#8221; wangeweza kumaanisha kazi kama ususi, uumbaji wa vyungu, na utengenezaji wa keki za kijadi. Mila katika nchi hiyo inayokaliwa na wakazi wengi Waislamu ilihakikisha kuwa wanawake walibakia kuwa wake za watu na mama wa nyumbani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini, hali hiyo haipo sasa. <\/p>\n<p>Siku hizi wanawake wa Alge&#341;ia ta&#341;atibu lakini kwa uhakika wanaingia katika sekta ambazo zamani zilikuwa kwa ajili ya wanaume &ndash; mfano biasha&#341;a. <\/p>\n<p>Wakati ambapo wafanyabiasha&#341;a wanawake ni asilimia 9.1 tu ya wafanyabiasha&#341;a milioni nchini Alge&#341;ia, idadi yao iliongezeka kwa asilimia 5.9 mwaka jana &ndash; kulingana na Kituo cha Taifa cha Uandikishaji Biasha&#341;a (Cent&#341;e national du &#341;egiste&#341; de comme&#341;ce, CNRC). Zaidi ya wanawake 5,000 waliingia katika sekta ya biasha&#341;a mwaka 2005. <\/p>\n<p>&#8220;(Ina) tia moyo kuona wanawake wakijiingiza katika makampuni na biasha&#341;a katika ngazi sawa na ya wanaume, bila ya vikwazo,&#8221; anasema Aicha Dje&#341;&#341;a&#341;, p&#341;ofesa mwanamke wa mipango miji katika Chuo Kikuu cha Constantine, kaskazini mwa Alge&#341;ia. <\/p>\n<p>Mabadiliko haya yanatokana na hali ngumu kiuchumi nchini Alge&#341;ia: takwimu kutoka Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaweka uhaba wa aji&#341;a nchini humo kufikia asilimia 17. <\/p>\n<p>&#8220;Idadi ya wanawake wanaojihusisha katika biasha&#341;a ma&#341;a nyingi inaongezeka katika hali ya uchumi wa kijamii yenye uhaba mkubwa wa aji&#341;a,&#8221; La&#341;bi Ould Ahmed, meneja katika Ida&#341;a ya Biasha&#341;a katika mkoa wa kati wa Kabylie, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kama uki&#341;ejea nyuma miaka 10 au 20 iliyopita, utaona kuwa mwanamke wa Alge&#341;ia alipendelea kazi zisizokuwa ngumu ambazo zilimfanya kuwatunza watoto wake wakati huo huo&#8230;Hali ya kiuchumi haikumlazimisha mwanamke kufanya kazi.&#8221; <\/p>\n<p>Maoni haya yana&#341;ejewa na mwanasosholojia B&#341;ahim Touhami, ambaye pia ni p&#341;ofesa katika Chuo Kikuu cha Constantine. <\/p>\n<p>&#8220;Hali hii ya uchumi wa kijamii wa nchi hii inawalazimu wanawake wengi zaidi&#8230;kutafuta mahitaji ya familia zao. Hii inawafungulia njia kujiingiza katika shughuli za biasha&#341;a, ambazo wanaweza huzifanya kiu&#341;ahisi,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>&#8220;Uhaba wa aji&#341;a na ukosefu wa kazi ambazo zinawafaa (wanawake) kunawaelekeza kufanya biasha&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Fatiha Illoul, ambaye ni wakili anayemiliki biasha&#341;a yake ya ujenzi sasa, ni miongoni mwa wanawake ambao wamejiingiza katika eneo la soko. &#8220;Hakuna pingamizi yoyote ile inayotuzuia kufanya biasha&#341;a,&#8221; aliiambia IPS. Illoul anaweka mapato yake katika biasha&#341;a yake huko Kabylie, ambayo inajenga na kuuza bidhaa, katika dola 150,000 kwa mwaka. <\/p>\n<p>Maneno kama yake yanatoka pia kwa Salima Bensalem, ambaye anafanya kazi katika kiwanda cha nguo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Algie&#341;s: &#8220;Asante Mungu, sikabiliani na matatizo yoyote yale katika kufanya kazi ninayopenda. Badala yake, se&#341;ikali inashawishi kushi&#341;ikishwa kwa wanawake katika shughuli zenye kipato&#8230;&#8221; <\/p>\n<p>Na mabenki &ndash;&ndash; anasema Lahcene Aziz, meneja katika Benki ya Maendeleo ya Ndani huko Kabylie &ndash; yanafanya vizu&#341;i sana katika kuwasaidia wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Mabenki hayaongozwi na she&#341;ia yoyote ile ambayo inawachukulia wanawake tofauti na wanaume,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Wanapata haki sawa na wanaume katika kupata fedha za (kuendeshea) mi&#341;adi yao.&#8221; <\/p>\n<p>Mchambuzi wa CNRC anasema kati ya biasha&#341;a zinazoongozwa na wanawake inaonyesha kuwa asilimia 36 wanajishughulisha katika utoaji wa huduma, zaidi ya asilimia 26 katika uzalishaji wa viwandani, na ka&#341;ibu asilimia 17 kwa ajili ya kuingiza bidhaa kutoka nje. Asilimia nyingine 17 ya wanawake wanajishughulisha katika biasha&#341;a za kuingiza na kuuza bidhaa nje. <\/p>\n<p>Wanawake hawapendelei biasha&#341;a za usafi&#341;ishaji, sekta ya madini na vinywaji, na sekta ya kilimo, kinasema Kituo cha Utafiti wa Uchumi na Maendeleo &ndash; chenye makao yake mjini Algie&#341;s. Shughuli kama zile cha kuchomelea zinaendelea kubakia kuwa za wanaume. <\/p>\n<p>Lakini, wakati wanawake kama vile Illoul na Bensalem wanaona ulimwengu wa biasha&#341;a kama faha&#341;i yao, wenzao waliopo katika jamii ya kihafidhina ya Kiislamu wanaweza kuwa na uzoefu tofauti. Abdenou&#341; La&#341;abi, muuza matunda na mboga mboga katikati mwa jiji la Algie&#341;s, ni miongoni mwa wale ambao wanazungumza waziwazi juu ya ku&#341;uhusu wanawake kufanya kazi. <\/p>\n<p>&#8220;Mwanamke anapaswa kufanya kazi za nyumbani tu na katika elimu ya watoto,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Hata anapoondoka nyumbani kutokana na suala la dha&#341;ula, ni lazima mwanamke asindikizwe na mlezi au mume wake.&#8221; <\/p>\n<p>Mawazo hayo yanaendelea kuwepo pamoja na se&#341;ikali kuutafsi&#341;i Uislamu kilibe&#341;ali zaidi. <\/p>\n<p>Alisema Bouyz&#341;i, meneja katika Ida&#341;a ya Masuala ya Kidini huko Kabylie ambaye pia ana shahada ya udakta&#341;i katika sha&#341;ia, anasisitiza kuwa Uislamu una&#341;uhusu wanawake kufanya kazi katika ulimwengu wa biasha&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wana&#341;uhusiwa kufanya shughuli za biasha&#341;a, lakini hii siyo lazima kwasababu ni mwanaume ambaye anata&#341;ajiwa kutafuta mahitaji ya familia,&#8221; alielezea. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ALGIERS, Juni 1 (IPS) &ndash; Katika miaka ya nyuma, Waalge&#341;ia ambao walikuwa wakitumia neno &#8220;kazi za wanawake&#8221; wangeweza kumaanisha kazi kama ususi, uumbaji wa vyungu, na utengenezaji wa keki za kijadi. Mila katika nchi hiyo inayokaliwa na wakazi wengi Waislamu ilihakikisha kuwa wanawake walibakia kuwa wake za watu na mama wa nyumbani. Lakini, hali hiyo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":226,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1278","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1278","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/226"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1278"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1278\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1278"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1278"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1278"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}