{"id":1277,"date":"2006-06-07T13:40:01","date_gmt":"2006-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/ushwa-kenya-mpango-mpya-dhidi-ya-ufisadi-katikati-mwa-kashfa-za-zamani-za-rushwa\/"},"modified":"2006-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-07T13:40:01","slug":"ushwa-kenya-mpango-mpya-dhidi-ya-ufisadi-katikati-mwa-kashfa-za-zamani-za-rushwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/ushwa-kenya-mpango-mpya-dhidi-ya-ufisadi-katikati-mwa-kashfa-za-zamani-za-rushwa\/","title":{"rendered":"USHWA &ndash; KENYA: Mpango Mpya dhidi ya Ufisadi Katikati mwa Kashfa za Zamani za Rushwa"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 31 (IPS) &ndash; Mpango mpya wa kupambana na &#341;ushwa umepitishwa katika nchi ya Af&#341;ika Masha&#341;iki &ndash; wakati ambapo se&#341;ikali inaendelea kukosolewa kutokana na kuenea kwa ufisadi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mpango wa Taifa wa Kupambana na Rushwa uliandaliwa na Tume ya Kuzuia Rushwa ya Kenya (KACC), chombo cha se&#341;ikali chenye mamlaka ya kuchunguza ufisadi. <\/p>\n<p>&#8220;Kuanzishwa kwa Mpango wa Taifa wa Kupambana na Rushwa umetokana na ukweli kwamba vita vya kupambana na &#341;ushwa nchini Kenya kwa kiasi kikubwa havikuwa vya mafanikio ya kutosha, kutokana na kwamba vilikosa di&#341;a na mshikamano,&#8221; alisema Mku&#341;ugenzi wa KACC Aa&#341;on Ringe&#341;a siku ya Jumanne, katika Mkutano wa Wadau wa Mpango wa Kupambana na Rushwa ambapo mpango huo ulijadiliwa na kupitishwa. <\/p>\n<p>&#8220;Mpango huo ni muhimu katika jitihada za se&#341;ikali kuingiza mapambano ya &#341;ushwa katika ajenda zake, na kukuza maadili na uadilifu kwa wananchi, mashi&#341;ika na muundo wa kijamii,&#8221; aliongeza. Se&#341;ikali sasa inata&#341;ajiwa kutekeleza mpango huo, ambao una miongozo ya kupambana na ufisadi. <\/p>\n<p>Mkutano wa siku nzima, uliofanyika katika mji mkuu wa Kenya Nai&#341;obi, ulihudhu&#341;iwa na wawakilishi waandamizi se&#341;ikalini, katika vyama vya wafanyakazi, sekta binafsi, vyombo vya haba&#341;i na vyama vya ki&#341;aia. <\/p>\n<p>Ulikuja wakati kukiwa na madai kuwa utawala wa Rais Mwai Kibaki umeshindwa kabisa kufikia ahadi zake za uchaguzi juu ya kutokomeza &#341;ushwa nchini humo, pamoja na kuanzisha hatua mpya za kupambana na hongo na ubaya mwingine unaohusiana nalo. <\/p>\n<p>Baadhi wanasema mageuzi haya kwa kiasi kikubwa ni kama vipodozi tu. <\/p>\n<p>Mswada wa She&#341;ia ya Maadili kwa Watumishi wa Umma ilisainiwa kuwa she&#341;ia kamili mwaka 2003, kwa mfano, kulazimisha wafanyakazi wa umma kutangaza mali zao. Lakini wanaha&#341;akati wanadai haifanyi kazi kwasababu taa&#341;ifa juu ya utaji&#341;i wa kifedha wa viongozi unabakia kuwa si&#341;i &ndash; na kuzuia kuchunguzwa na mashi&#341;ika yanayopambana na ufisadi. <\/p>\n<p>Vilevile, taasisi mpya kama vile Tume ya Muda ya Kampeni ya Kupambana na Rushwa zimezinduliwa kuima&#341;isha vita dhidi ya ufisadi; hata hivyo, wengine wanataja kuwa suluhisho la &#341;ushwa halipo katika idadi ya vyombo vya kupambana na &#341;ushwa &ndash; lakini katika mamlaka yanayotolewa kwa chombo hicho. <\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, tume zinaweza kuwa nyingi. Lakini ushahidi duniani kote unaonyesha kuwa tume zinazoweza kuwa na ufanisi ni zile ambazo zinapewa uwezo wa kuendesha mashitaka,&#8221; Maina Mutua&#341;uhiu, ofisa mwandamizi katika Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS katika mkutano huo.<\/p>\n<p>Hakuna chombo hata kimoja, ikiwa ni pamoja na KACC, kina mamlaka ya kufungulia mashitaka wale wanaotuhumiwa kwa &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Baada ya kufanya uchunguzi juu ya madai ya &#341;ushwa, KACC inaweza kupeleka kesi kwa mwanashe&#341;ia mkuu wa se&#341;ikali (AG) kwa ajili ya mashitaka. Hata hivyo, ofisi ya AG imekuwa ikituhumiwa kutokana na ufanisi mbovu, ikizingatiwa muda unaotumika katika kukamilisha kesi za &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Pamoja na madai hayo, pendekezo la kuipa KACC mada&#341;aka ya kufungua mashitaka lilikataliwa katika mkutano wa Jumanne na maofisa wa juu wa se&#341;ikali, ikiwa ni pamoja na Mku&#341;ugenzi wa Mashitaka ya Umma Ke&#341;iako Tobiko. Walitoa mwito wa ofisi ya AG kuima&#341;ishwa. <\/p>\n<p>Pamoja na kuwepo kwa uwezekanao wa kuwepo kwa mafanikio juu ya mambo haya, &#341;ushwa inaonekana kubakia kuwa gonjwa se&#341;ikalini na mahali pengine, miaka mitatu na nusu ya utawala wa Kibaki atakayekaa mada&#341;akani kwa kipindi cha miaka mitano &ndash; kitu ambacho kimeelezewa na &#341;ipoti ya kiwango cha &#341;ushwa nchini Kenya ya mwaka 2006 ijulikanayo kwa kimombo kama &#8216;Kenya B&#341;ibe&#341;y Index 2006&#8217; (iliyotolewa siku ya Jumatatu na tawi la Kenya la shi&#341;ika la kupambana na &#341;ushwa kimataifa la T&#341;anspa&#341;ency Inte&#341;national). <\/p>\n<p>Ripoti hiyo ya mwaka iliyofanya utafiti wake kwa kuzingatia uzoefu wa Wakenya wa kutoa hongo katika mwaka 2005; iligundua kuwa &#341;ushwa iliyowakumba &#341;aia wa nchi hiyo iliongezeka mwaka jana. Ka&#341;ibu watu 2,400 walihojiwa na &#341;ipoti hiyo juu utoaji wa hongo, na sababu ya hongo &ndash; na kiwango kilichotolewa. <\/p>\n<p>&#8220;Washi&#341;iki katika utafiti huo walitoa hongo ka&#341;ibu kwa nusu (47%) ya viongozi waliokutana nao, kutoka sekta za umma na binafsi, ikilinganishwa na asilimia 34% mwaka 2004. Kiasi cha hongo iliyotolewa kiliongezeka ma&#341;a mbili kutoka hongo 0.54 kwa kila mtu (hongo moja kwa kila watu wawili) mwaka 2004, hadi 1.2 kwa mtu,&#8221; ulitaja wa&#341;aka huo. <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, gha&#341;ama za hongo ziliendelea kushuka, kutoka shilingi za Kenya 2,660 hadi 2,006 [kutoka dola 37 hadi chini ya dola 28].&#8221; <\/p>\n<p>Matokeo ya utafiti wa &#8216;Kenya B&#341;ibe&#341;y Index 2006&#8217; ni dalili ya ka&#341;ibuni juu ya kiwango cha &#341;ushwa nchini humo. <\/p>\n<p>Mapema mwaka huu, &#341;ipoti ya uchunguzi wa kashfa ijulikanayo kama &#8220;Anglo Leasing&#8221; iliyotolewa na katibu mkuu wa zamani wa maadili na utawala, John Githongo, ilisambazwa kwa umma. <\/p>\n<p>Maofisa waandamizi se&#341;ikalini walihusishwa na ulaji wa &#341;ushwa kwa kutoa zabuni ya mamilioni ya dola kwa kampuni hewa ya &#8220;Anglo Leasing and Finance&#8221;, kwa ajili ya kutengeneza mitambo ya kuzalishia hati za kusafi&#341;ia ambazo zisingekuwa &#341;ahisi kughushiwa &ndash; na ujenzi wa maaba&#341;a ya kisasa ya jeshi la polisi. <\/p>\n<p>Kashfa hiyo, ambayo awali ilikuja kujulikana mwaka 2004, ni kubwa kuliko zote kuwahi kutokea katika uongozi wa Kibaki &ndash; ambaye hadi leo anatuhumiwa kujua kilichokuwa kikiendelea juu ya suala hilo, lakini alishindwa kulishughulikia. <\/p>\n<p>Ha&#341;akati za vyombo vya haba&#341;i siku ya Jumanne kumpata Wazi&#341;i wa She&#341;ia na Mambo ya Katiba Ma&#341;tha Ka&#341;ua au Ringe&#341;a wa KACC kutoa taa&#341;ifa zaidi juu ya uchunguzi wa kshfa hiyo ulipofikia zilishindikana &ndash;&ndash; Ka&#341;ua alikataa kujibu maswali ya waandishi. <\/p>\n<p>Ringe&#341;a alijibu kwa kifupi, &#8220;Hakuna maoni. Siyo leo.&#8221; <\/p>\n<p>Kufuatia kutolewa kwa &#341;ipoti ya Githongo, Wazi&#341;i wa zamani wa She&#341;ia na Mambo ya Katiba Ki&#341;aitu Mu&#341;ungi na mwenzake wa fedha, David Mwi&#341;a&#341;ia, walijiuzulu &ndash; na Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Se&#341;ikali ilitoa &#341;ipoti iliyopendekeza kufanyika kwa uchunguzi wa ha&#341;aka na kuwafungulia mashitaka wale wote waliohusishwa na kashfa. <\/p>\n<p>Lakini tena, kulikuwa na taa&#341;ifa kidogo kutoka kwa mkutano juu ya maendeleo yaliyofikiwa katika utekelezaji wa mapendekezo hayo. <\/p>\n<p>&#8220;Taya&#341;i &#341;ipoti hiyo imeshapitishwa na se&#341;ikali na inatekelezwa. Nilisema inatekelezwa,&#8221; Do&#341;othy Angote, katibu mkuu katika Wiza&#341;a ya She&#341;ia na Masuala ya Katiba, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, wale waliohusika katika kashfa ya zamani ya Goldenbe&#341;g, bado hawajafikishwa mbele ya she&#341;ia. Suala hili lilihusu mpango hewa wa uuzaji nje dhahabu na almasi kutoka Kenya mapema miaka ya 1990 chini ya &#341;aia Daniel a&#341;ap Moi &ndash; na kuigha&#341;imu nchi gha&#341;ama kubwa. <\/p>\n<p>Makamu wa &#341;ais na wazi&#341;i wa fedha wa wakati huo Geo&#341;ge Saitoti alihushishwa na kashfa hiyo. Alijiuzulu katika wadhifa wake kama wazi&#341;i wa elimu katika se&#341;ikali ya sasa mwaka huu, kutokana na shinikizo la wananchi juu ya suala la Goldenbe&#341;g. <\/p>\n<p>Hata hivyo kwa wanaha&#341;akati kama Mutua&#341;uhiu, ni sehemu tu ya kupunguza watu walioshikilia &#341;ushwa nchini Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Hadi tuone watu wenye nyadhfa za juu waliohusishwa na &#341;ushwa wanafunguliwa mashitaka, kama hatutaona watu hawa wanakamatwa na kile walichopo&#341;a kina&#341;ejeshwa, vita dhidi ya &#341;ushwa itapata mafanikio madogo sana &ndash; au hakuna kitakachofanyika,&#8221; alibainisha.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 31 (IPS) &ndash; Mpango mpya wa kupambana na &#341;ushwa umepitishwa katika nchi ya Af&#341;ika Masha&#341;iki &ndash; wakati ambapo se&#341;ikali inaendelea kukosolewa kutokana na kuenea kwa ufisadi. Mpango wa Taifa wa Kupambana na Rushwa uliandaliwa na Tume ya Kuzuia Rushwa ya Kenya (KACC), chombo cha se&#341;ikali chenye mamlaka ya kuchunguza ufisadi. &#8220;Kuanzishwa kwa Mpango&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1277","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1277","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1277"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1277\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1277"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1277"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1277"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}