{"id":1276,"date":"2006-06-07T13:40:01","date_gmt":"2006-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afya-kenya-kubadili-mila-kwa-maneno\/"},"modified":"2006-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-07T13:40:01","slug":"afya-kenya-kubadili-mila-kwa-maneno","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afya-kenya-kubadili-mila-kwa-maneno\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;KENYA: Kubadili Mila kwa Maneno"},"content":{"rendered":"<p>KAJIADO, Kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa Kenya, Mei 29 (IPS) &ndash; Ni sehemu ya Kenya ambapo kiwango cha ukeketaji wanawake (FGM) ni cha juu zaidi, na wanajamii ni wapinzani wakubwa wa kubadili tamaduni zao. Hata hivyo, wilaya ya Kajiado pia ni eneo ambalo mazungumzo yanaleta matumaini ya kusaidia kutokomeza FGM.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mazungumzo haya yanafanyika chini ya usimamizi wa &#8220;inte&#341;gene&#341;ational dialogue&#8221; (IGD), mpango ambao unadhaminiwa kwa pamoja na Wiza&#341;a ya Afya na Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano wa Maendeleo la Uje&#341;umani (Deutsche Gesellschaft f&uuml;&#341; Technische Zusammena&#341;beit, GTZ): chombo cha kimataifa kinachofadhiliwa na se&#341;ikali ya Uje&#341;umani. <\/p>\n<p>Mazungumzo hayo yanawezesha watu wazima kwa vijana kuzungumzia suala la FGM, ambalo linaendelea hata kama ni kinyume cha she&#341;ia; mada hiyo inaendeshwa kama mjadala wa jumla juu ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs), VVU\/Ukimwi, na masuala mengine yanayohusiana nayo. <\/p>\n<p>&#8220;Mijadala ni njia inayokubalika kitamaduni kushughulikia suala, hivyo tumeamua kutumia mtindo wa mijadala,&#8221; Phoebe Mollel, m&#341;atibu wa wilaya wa mpango huo aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS huko Kajiado. <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, tumegundua kuwa kama tungewaita watu kwenye mikutano ya FGM, hakuna ambaye angekuja. Hivyo tulielekeza nguvu kwenye STIs na VVU\/Ukimwi kama suala la afya ya uzazi, na katika kufanya hivyo tunaingiza suala la FGM,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Halafu vikao juu ya madha&#341;a ya FGM kwa wanawake na wasichana vinafuata.&#8221; <\/p>\n<p>Baadhi ya mijadala imehusisha wazee wanawake wakielezea jinsi gani wanatokwa na damu nyingi wakati wanapochanjwa kuongeza njia zao za uzazi, kuwawezesha kujifungua. <\/p>\n<p>Wasichana na wanawake waliouliza ni kwa nini vitendo hivyo vilifanyika walielezwa kuwa hiyo ndiyo atha&#341;i halisi ya FGM &ndash; ambayo pia inatambulika kama toha&#341;a kwa wanawake. Toha&#341;a inasabisha wanawake kupata shida wakati wa kujifungua kwani sehemu zao za uzazi huwa ndogo sana kuwawezesha ku&#341;uhusu mtoto kupita. <\/p>\n<p>Takwimu za se&#341;ikali zinaweka kiwango cha FGM kitaifa kufikia asilimia 32; lakini takwimu hii inapanda hadi asilimia 90 huko Kajiado, makazi ya kabila la Wamasai, ambalo ni moja ya makabila yanayoendesha vitendo hivyo kwa kiwango cha juu zaidi nchini Kenya. <\/p>\n<p>Utafiti uliofanywa mwaka jana na wiza&#341;a ya afya kwa kushi&#341;ikiana na GTZ iliyojulikana kama, &#8216;Female Genital Mutilation in Kajiado Dist&#341;ict: Findings of a Baseline Su&#341;vey&#8217;, uligundua kuwa asilimia 93.9 ya wanawake na wasichana katika eneo hilo wamefanyiwa FGM. Katika baadhi ya maeneo ya wilaya hiyo, kiwango kinafikia asilimia 100. <\/p>\n<p>Utafiti huo ulipelekea kuanzishwa kwa mijadala ya watu wa &#341;ika mbalimbali miongoni mwa wanajamii za Wamasai huko Kajiado. <\/p>\n<p>Wiki hii iliyopita (Mei 27), maofisa wa afya na wawakilishi wa GTZ na shi&#341;ika la &#8220;Planned Pa&#341;enthood Fede&#341;ation of Ame&#341;ica&#8221; &ndash; asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali inayofanya kazi ya afya ya uzazi &ndash; walitembelea wilaya hiyo kuangalia maendeleo ya jitihada za kutokomeza FGM. <\/p>\n<p>Hii ilikuja kabla ya Mkutano wa Af&#341;ika Juu ya Afya na Haki ya Kujamiiana, unaota&#341;ajiwa kufanyika mjini Nai&#341;obi mwezi ujao. FGM itakuwa mojawapo ya mada zitakazojadiliwa katika tukio hilo; ambapo mkutano wa awali ulifanyika mjini Johannesbu&#341;g, mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a nchini Af&#341;ika Kusini, miaka miwili iliyopita. <\/p>\n<p>Ikiwa imeanza mwaka jana katika ta&#341;afa saba za wilaya ya Kajiado, mijadala ya watu wa &#341;ika mbalimbali inaonekana kuzaa matunda. (IGD pia imeanzishwa katika wilaya ya Tha&#341;aka mkoa wa Masha&#341;iki, ambayo pia ina kiwango cha juu cha FGM, na unata&#341;ajiwa kutekelezwa katika maeneo mengine ya nchi). <\/p>\n<p>&#8220;Angalau wale wanaofanya vitendo hivyo (FGM) kwa sasa wanavifanya kwa si&#341;i, tofauti na zamani ambapo watu wote walikuwa wakivishangilia,&#8221; Mollel alitanabaisha. <\/p>\n<p>&#8220;Mbali na hilo, baadhi ya manga&#341;iba&#8230;wameachana na vifaa vyao baada ya kusikia juu ya madha&#341;a ya FGM.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;y Kiluso, 75, ni mfano mzu&#341;i. Aliacha kufanya FGM mwaka jana, pamoja na kupata kama dola 14 kwa kila msichana au mwanamke aliyemtahi&#341;i. Katika nchi ambapo takwimu za se&#341;ikali zinaonyesha kuwa asilimia 56 ya watu wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini chini ya dola moja kwa siku, hizi hazikuwa pesa kidogo. <\/p>\n<p>&#8220;Hata kama kuwafanyia wasichana na wanawake toha&#341;a kutanipatia kipato, niliamua kuachana na biasha&#341;a hiyo kwasababu &ndash; baada ya kushi&#341;iki katika IGD &ndash; niligundua kuwa&#8230;FGM ina madha&#341;a mengi mabaya,&#8221; Kiluso, ambaye pia ni mkunga wa jadi aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya wanawake wangepatwa na ugumu wanapojifungua, wakati ambapo wengine wanapatwa na matatizo na hata kukaa kwa shida,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Kiluso, ambaye alianza kufanya kazi yake ya kuwafanyia wanawake toha&#341;a miaka ya 1970, pia alikubali kuwa alikuwa akiwashinikiza wasichana kuolewa na um&#341;i mdogo na kufanya ngono kabla ya muda wao kutokana na kufanyiwa FGM. <\/p>\n<p>Katika utamaduni wa Kimasai, toha&#341;a kwa wanawake inaonekana kama njia ya kufungua mlango kwa ajili ya kuolewa &ndash; kitu ambacho kinaweza kusababisha wasichana wenye um&#341;i wa miaka tisa kuolewa, na kupata mimba zisizota&#341;ajiwa. Hali hii, huwalazimu wasichana kuathi&#341;i hatma yao ya baadaye kutokana na kuacha shule. <\/p>\n<p>Wanaume na wavulana pia wanashi&#341;iki katika mijadala ya FGM, huku wakikutana katika mikutano tofauti na wasichana na wanawake, na kuna dalili ya kuelewa somo kwa wanaume katika mapambano dhidi ya FGM. Lakini, imani za kitamaduni zinabakia kuwa na nguvu. <\/p>\n<p>&#8220;Siungi mkono vitendo vya FGM, lakini nilishinikizwa na kaka yangu kuwafanyia toha&#341;a mabinti zangu watatu, ambaye alitishia kulaani nyumba yangu kama nisingefanya hivyo,&#8221; alisema Moses Mokomi. <\/p>\n<p>Vilevile, wakunga wa jadi hawawezi kuwasaidia wanawake wenye mimba ambao hawajafanyiwa toha&#341;a labda kama faini ya mbuzi au ng&#8217;ombe inalipwa na familia ya mwanamke huyo. Baadhi ya wanawake waja wazito wame&#341;ipotiwa kuhata&#341;isha maisha yao kwa kujifungua bila ya msaada, wanaposhindwa kulipa faini. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna haja ya kufanya kampeni nyingi za uhamasishaji, hasa kuwepo kwa she&#341;ia za kupinga FGM. Watu wengi hapa hawatambui kuwa FGM ni kinyume cha she&#341;ia,&#8221; alisema Mokomi. <\/p>\n<p>She&#341;ia anayoitaja ni sehemu ya She&#341;ia ya watoto ya mwaka 2001, ambayo inazuia toha&#341;a kwa watoto wenye um&#341;i chini ya miaka 18. Adhabu ya wanaokiuka she&#341;ia ni pamoja na kifungo jela. <\/p>\n<p>Hata hivyo, wanakampeni wa haki za wanawake wanataka kupigwa ma&#341;ufuku kabisa kwa FGM. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika kuleta madha&#341;a kwenye wakati wa uja uzito, toha&#341;a kwa wanawake inasababisha matatizo kadhaa ambayo ni pamoja na maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa, kupata maambukizo katika m&#341;ija wa mkoja na njia ya uzazi na hata kusababisha kifo. Kwa kuongeza, matumizi ya vifaa visivyochemshwa kuwafanyia toha&#341;a wasichana kadhaa kunaweza kusababisha maambukizi ya VVU: mbali na visu, nyembe, chupa zilizopasuka na hata mabati yanajulikana kutumika katika kufanya tendo la FGM. <\/p>\n<p>Kulingana na shi&#341;ika la uanaha&#341;akati wa haki za binadamu la Amnesty Inte&#341;national, toha&#341;a ya wanawake inafanyika katika zaidi ya nchi 28 ba&#341;ani Af&#341;ika, ambapo inaonekana kama jadi ya kuingia katika utu uzima &ndash; au suala la kiafya, na hata kubo&#341;esha su&#341;a ya maeneo ya si&#341;i ya mwanamke. <\/p>\n<p>Waumini wa baadhi ya dini wana&#341;ipotiwa kutumia vitendo vya FGM. <\/p>\n<p>Zaidi ya yote, baadhi wanaamini kuwa FGM inapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke, na kuwa kufanya toha&#341;a kunapunguza vitendo vya wanawake kuwa na wanaume wengi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAJIADO, Kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa Kenya, Mei 29 (IPS) &ndash; Ni sehemu ya Kenya ambapo kiwango cha ukeketaji wanawake (FGM) ni cha juu zaidi, na wanajamii ni wapinzani wakubwa wa kubadili tamaduni zao. Hata hivyo, wilaya ya Kajiado pia ni eneo ambalo mazungumzo yanaleta matumaini ya kusaidia kutokomeza FGM. Mazungumzo haya yanafanyika chini ya usimamizi wa &#8220;inte&#341;gene&#341;ational&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1276","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1276","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1276"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1276\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1276"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1276"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1276"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}