{"id":1275,"date":"2006-06-07T13:40:01","date_gmt":"2006-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afya-afrika-kusini-mzigo-utakaozidi-kuwa-mzito\/"},"modified":"2006-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2006-06-07T13:40:01","slug":"afya-afrika-kusini-mzigo-utakaozidi-kuwa-mzito","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/06\/07\/afya-afrika-kusini-mzigo-utakaozidi-kuwa-mzito\/","title":{"rendered":"AFYA &ndash; AFRIKA KUSINI: Mzigo Utakaozidi Kuwa Mzito"},"content":{"rendered":"<p>DURBAN, Mei 28 (IPS) &ndash; Watafiti wanasema wanapambana na kupanda kwa kasi kwa gha&#341;ama za huduma za afya za umma nchini Af&#341;ika Kusini katika miaka michache ijayo, kutokana na VVU\/Ukimwi. Na, wanaonya kuwa wiza&#341;a ya afya ya nchi hiyo inaweza kushindwa kukabiliana na jukumu lake linalozidi kuongezeka kama se&#341;ikali itashindwa kuongeza bajeti ya wiza&#341;a hiyo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Idadi kubwa ya Waaf&#341;ika Kusini wanaoishi na Vi&#341;usi vya Ukimwi (VVU) wanata&#341;ajiwa kuja kuugua magonjwa yanayohusiana na Ukimwi, kwani maambukizi makubwa nchini humo taya&#341;i yameshaanza kudhihi&#341;isha kuongezeka kwa magonjwa na vifo, kinatabi&#341;i Kitengo cha Utafiti wa Uchumi wa Afya na VVU\/Ukimwi (HEARD) cha Chuo Kikuu cha KwaZulu&ndash;Natal, katika mji wa mwambao wa Du&#341;ban. <\/p>\n<p>&#8220;Mgonjwa mwenye VVU anaweza kuwa na matumizi ya hospitali yanayofikia asilimia 60 hadi 70 katika madawa,&#8221; anasema mtafiti wa HEARD Nina Veenst&#341;a. <\/p>\n<p>Taya&#341;i, ka&#341;ibu nusu ya wagonjwa wote waliolazwa katika hospitali za Af&#341;ika Kusini wanataka kuuguzwa kutokana na magonjwa yanayohusiana na VVU, wakati ambapo idadi ya wagonjwa wenye vi&#341;usi katika wodi za watoto ni kubwa sana, aliongeza. Kulingana na takwimu zilizochapishwa kwenye tovuti na Shi&#341;ika la Pamoja la Kupambana na Ukimwi la Umoja wa Mataifa, kiwango cha maambukizi ya VVU nchini Af&#341;ika Kusini ni asilimia 21.5. <\/p>\n<p>Wakati idadi ya wagonjwa inapoongezeka, kutakuwa na mahitaji makubwa ya wafanyakazi wa afya wenye ujuzi, madawa na miundombinu ya afya. <\/p>\n<p>Kulingana na watafiti katika Ba&#341;aza la Sayansi ya Binadamu(HSRC), lenye makao yake makuu mjini Cape Town ambalo ni asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali inayofadhiliwa kwa sehemu na se&#341;ikali, kwa ujumla wagonjwa wa Ukimwi wanakaa hospitali kwa muda m&#341;efu zaidi ya wagonjwa wengine kwani inawachukua muda m&#341;efu kupona kutoka kwa magonjwa nyemelezi. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa wastani wagonjwa wa VVU wanakaa hospitali ma&#341;a nne zaidi kuliko wagonjwa wa kawaida,&#8221; anaelezea Rais wa HSRC Olive Shisana. <\/p>\n<p>Shinikizo zaidi juu ya kuwepo kwa hospitali za kutosha kutasababisha mzigo mkubwa kifedha kwa sekta ya huduma ya afya ya umma nchini humo &ndash; hata wafanyakazi wa afya watakabiliwa na kazi ngumu kutokana na kuongezeka kwa mzigo. Hii itasababisha kiwango kikubwa cha uto&#341;o, kupungua kwa moyo wa kujituma kwa wafanyakazi, na idadi kubwa ya wafanyakazi wa afya wataachana na kazi zao. <\/p>\n<p>Taya&#341;i Af&#341;ika Kusini inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wafanyakazi wa afya, zaidi kutokana na mazingi&#341;a ya kazi yasiyovutia. Nafasi nyingi za wafanyakazi wa afya zinabakia wazi, unaweka wazi utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti ya taifa, ijulikanayo kama &#8220;Health Systems T&#341;ust (HST)&#8221; yenye makao yake mjini Du&#341;ban. (Shi&#341;ika hilo linafadhiliwa na wafadhili mbalimbali wa kitaifa na kimataifa). <\/p>\n<p>Kulingana na HSRC, shinikizo hizo zitaathi&#341;i ubo&#341;a wa huduma zinazotolewa kwa watu wenye VVU\/Ukimwi. <\/p>\n<p>Taya&#341;i HST imegundua kuwa idadi kadhaa ya vituo ambapo madawa ya ku&#341;efusha muda wa kuishi kwa watu wenye VVU\/Ukimwi (ARVs) vimefikia katika hali ya kuzidiwa na wagonjwa kutokana na uhaba wa wafanyakazi. <\/p>\n<p>Watafiti wa HST wanakadi&#341;ia kuwa ni asilimia 12 hadi 13 tu ya wagonjwa wote wanaohitaji ARV wanapata huduma hiyo kwa sasa. &#8220;Uhaba wa wafanyakazi ni tatizo kubwa kuliko yote linaloathi&#341;i mpango wa kusambaza ARV na linapaswa kushughulikiwa mapema iwezekanavyo,&#8221; wanasema watafiti Rob Stewa&#341;t na Ma&#341;ian Loveday katika mkutano wa tathmini ya mwaka 2005 ya shi&#341;ika hilo. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, idadi ndogo ya wafanyakazi wa afya itapunguzwa zaidi na maambukizi ya VVU. Kulingana na utafiti wa HSRC, asilimia 13 ya wafanyakazi wa afya ambao walifa&#341;iki dunia kati ya mwaka 1997 na 2001 walikufa kutokana na magonjwa yanayoambatana na Ukimwi. <\/p>\n<p>Matokeo haya yanata&#341;ajiwa kutizamwa wiki ijayo, wakati wa Vikao Maalum vya Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGASS) juu ya VVU\/Ukimwi. <\/p>\n<p>Mwaka 2001, ba&#341;aza hilo lilifanya kikao chake cha kwanza juu ya VVU\/Ukimwi, kwa kutambua ukweli kwamba wakati kuna mafanikio katika kupatikana kwa mipango ya kuzuia na kutoa tiba ya VVU, mipango hiyo bado imeshindwa kuwafikia wale waliopo katika hata&#341;i kubwa zaidi ya VVU. <\/p>\n<p>Wakati wa mkutano wa kwanza wa UNGASS, washi&#341;iki walikubaliana kuweka malengo yaliyokubaliwa katika &#8216;Tamko la Kutoa Ahadi juu ya VVU\/Ukimwi&#8217; ambalo lilikubaliwa na viongozi kutoka nchi 189 duniani. Tamko hilo liliweka shabaha ya kupunguza maambukizi ya gongwa hilo ifikapo mwaka 2010 kutokana na hatua za pamoja za se&#341;ikali na asasi za ki&#341;aia. <\/p>\n<p>Pamoja na nchi nyingine, Af&#341;ika Kusini iliahidi kubo&#341;esha mazingi&#341;a ya wafanyakai wa afya, na kubo&#341;esha mfumo wa usambazaji na mipango ya kufadhili upatikanaji wa ARVs, vifaa vya kupimia na utoaji wa huduma ifikapo mwaka 2005. <\/p>\n<p>Ujumbe kutoka Af&#341;ika Kusini ulitakiwa kutoa &#341;ipoti juu ya mafanikio ya kufikiwa kwa malengo hayo wakati wa mkutano wa UNGASS+5, ambao utafanyika kuanzia Mei 31 hadi Juni 2 mjini New Yo&#341;k, miaka mitano baada ya Ba&#341;aza Kuu kufanya kikao chake cha kwanza juu ya VVU\/Ukimwi. <\/p>\n<p>Uchukuaji wa hatua ya kubo&#341;esha hatua za Af&#341;ika Kusini katika kukabiliana na gonjwa hilo, kwa sehemu, kutahitaji hospitali kuwa&#341;idhisha wafanyakazi wa afya kufanya kazi zao kwa kupitia mishaha&#341;a minono na mazingi&#341;a mazu&#341;i ya kazi, anasema Elsje Hall, mtafiti katika Kituo Hu&#341;u cha Utafiti chenye makao yake makuu mjini P&#341;eto&#341;ia. <\/p>\n<p>Takwimu za HST zinaonyesha kuwa ifikapo mwaka 2009, madakta&#341;i wa nyongeza 3,200, manesi 2,400 na wafanyakazi wa kijamii 765 watahitajika kuendesha mpango wa ARV nchini humo. Hii itatafsi&#341;iwa katika ongezeko kubwa la gha&#341;ama za wafanyakazi. <\/p>\n<p>Usambazaji wa ARVs na madawa ya kutibu magonjwa nyemelezi pia utahitaji kubo&#341;eshwa, Hall anaongeza.<\/p>\n<p>Gha&#341;ama ya utoaji tiba ya ARV kikamilifu inata&#341;ajiwa kuja na gha&#341;ama ya dola milioni 996 ifikapo mwaka 2008\/2009, kutoka dola milioni 179 mwaka 2005\/2006, kulingana na HST. <\/p>\n<p>* K&#341;istin Palitza ni mha&#341;i&#341;i wa Agenda: asasi inayopigania haki za wanawake na vyombo vya haba&#341;i yenye makao yake makuu mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DURBAN, Mei 28 (IPS) &ndash; Watafiti wanasema wanapambana na kupanda kwa kasi kwa gha&#341;ama za huduma za afya za umma nchini Af&#341;ika Kusini katika miaka michache ijayo, kutokana na VVU\/Ukimwi. Na, wanaonya kuwa wiza&#341;a ya afya ya nchi hiyo inaweza kushindwa kukabiliana na jukumu lake linalozidi kuongezeka kama se&#341;ikali itashindwa kuongeza bajeti ya wiza&#341;a hiyo&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1275","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1275","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1275"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1275\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1275"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1275"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1275"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}