{"id":1273,"date":"2006-05-26T13:40:01","date_gmt":"2006-05-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/26\/china-mipango-ya-shinda-nishinde-katika-afika-yapotoka-kwenye-suala-la-haki-za-binadamu\/"},"modified":"2006-05-26T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-26T13:40:01","slug":"china-mipango-ya-shinda-nishinde-katika-afika-yapotoka-kwenye-suala-la-haki-za-binadamu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/26\/china-mipango-ya-shinda-nishinde-katika-afika-yapotoka-kwenye-suala-la-haki-za-binadamu\/","title":{"rendered":"CHINA: Mipango ya &#8216;Shinda&ndash;Nishinde&#8217; katika Af&#341;ika Yapotoka kwenye Suala la Haki za Binadamu"},"content":{"rendered":"<p>BEIJING, Mei 25 (IPS) &ndash; China inakuwa nguvu ya kukumbukwa katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Nchi yenye watu wengi zaidi ulimwenguni inafanya shughuli za ujenzi wa &#341;eli na ba&#341;aba&#341;a nchini Angola, Nige&#341;ia na Kenya, inaongeza kiwango cha biasha&#341;a na Af&#341;ika Kusini na Zambia na, zaidi ya yote, inajihusisha katika uchimbaji wa hifadhi ya mafuta na madini katika ba&#341;a hilo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pia katika suala linalozidi kuonekana, Beijing inashi&#341;ikiana na nchi taji&#341;i kwa &#341;asilimali, kama vile Sudan na Zimbabwe, ambazo zimetengwa na nchi za Magha&#341;ibi katika miaka ya ka&#341;ibuni, na kuanzisha ushi&#341;ikiano kwa kutumia nguvu yake ya se&#341;a ya kutofungamana na upande wowote. <\/p>\n<p>China imekataa kuhusisha misaada yake ya maendeleo ba&#341;ani Af&#341;ika na madai ya kubo&#341;eshwa kwa demok&#341;asia, kama inavyotangazwa na mataifa ya Magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Kupambana na mshikamano wa kisiasa na kijiog&#341;afia wa Ma&#341;ekani katika ba&#341;a la Af&#341;ika upo katika moyo wa jitihada za Beijing, labda taa&#341;ifa za hivi ka&#341;ibuni za kuanza kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Libya na Ma&#341;ekani kumeamshwa hisia za wachambuzi wengi wa China.. <\/p>\n<p>Nchi hizo mbili hazijawa na uhusiano kwa zaidi ya miaka 25, lakini uhusiano ulibo&#341;eka baada ya Libya kuamua mwezi Desemba mwaka 2003 kuachana na mpango wake wa kutengeneza silaha za nyuklia. Wiki iliyopita, uongozi wa &#341;ais Bush ulitangaza kuwa ungefungua ubalozi mjini T&#341;ipoli na kuiondoa Libya katika o&#341;odha ya mataifa yanayofadhili ugaidi.. <\/p>\n<p>Viongozi wa Ma&#341;ekani walikuwa wawazi katika kuelezea matumaini yao kuwa hatua hiyo itaifanya Libya kufungua zaidi sekta yake ya mafuta isiyoendelezwa, ambayo ni miongoni mwa kubwa zaidi ulimwenguni. Hifadhi ya &#341;asilimali ya mafuta ya Libya inasemekana kuwa miongoni mwa kumi za juu zaidi duniani. <\/p>\n<p>Uwoga wa hatua hii ya Ma&#341;ekani katika nchi taji&#341;i ya mafuta unaonekana katika baadhi ya vyombo vya haba&#341;i vya China. <\/p>\n<p>Moja ya magazeti ya kila siku ya Beijing, lijulikanalo kama &#8220;Xinjingbao&#8221;, lilichapisha maoni mwezi Mei 21 na kumuonyesha kiongozi wa Libya Muamma&#341; Qaddafi kama &#8220;mwanaume aliyekuwa na nguvu&#8221; ambaye siku za nyuma aliweza kusema &#8220;hapana&#8221; kwa mataifa ya Magha&#341;ibi, kabla ya kugundua kuwa &#8221;uzalendo wake wa pet&#341;oli wa miaka ya nyuma nafasi yake imechukuliwa na nadha&#341;ia&#8221;.<\/p>\n<p>&#8221;Kwa hakika, Qaddafi anataka kutumia utaji&#341;i wa mafuta nchini mwake kupata kutambuliwa kikamilifu katika nchi za Magha&#341;ibi na kukubaliwa kama sehemu ya nguvu ya mkakati wake wa kiusalama,&#8221; mwandishi Ai Cao alisema. <\/p>\n<p>Gazeti la se&#341;ikali la &#8220;China Daily&#8221; liliona uhusiano kati ya Ma&#341;ekani na Libya kama kiwazo halisi cha nguvu ya China ya kujitanua katika ba&#341;a la Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Yuan Peng, mtafiti katika Taasisi ya Mahusiano ya Kimataifa, alisema kuwa baada ya miaka ya kutelekezwa kwa &#8220;eneo hili muhimu la utupu &#8221;, Washington imekuja kugundua umuhimu wa kuanza upya katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Maslahi ya kiusalama na mafuta (katika ku&#341;ejesha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ma&#341;ekani na Libya) yapo katika kuhakikisha upatikanaji wa lengo muhimu &ndash; na kubadili mkakati wa Ma&#341;ekani na Af&#341;ika,&#8221; Yuan aliandika katika gazeti la &#8220;China Daily&#8221;. <\/p>\n<p>&#8221;Mlolongo wa hatua za mahusiano kati ya Af&#341;ika na Ma&#341;ekani yanasababishwa na Ma&#341;ekani kuongeza nyenzo za kimkakat&#341;i katika ba&#341;a  Hili ni suala la kutizamwa kwa uka&#341;ibu zaidi na kufuatiliwa,&#8221; alihitimisha. <\/p>\n<p>Uhusiano kati ya Ma&#341;ekani na Libya unakuja wakati ambapo uhusiano wa Beijing na Af&#341;ika unazidi kuongezeka. <\/p>\n<p>Lengo la kuzu&#341;u kwa Rais wa china Hu Jintao na wazi&#341;i wa mambo ya nje Li Zhaoxing ba&#341;ani Af&#341;ika ilikuwa kuendeleza mtizamo wa China unaotofautiana na magha&#341;ibi na kuwa yenyewe ni taifa lenye nguvu ambalo siyo la magha&#341;ibi na lisilokuwa la kikoloni, na kutaka kujitanua kwa kutoa msaada mkubwa, kujaza mikataba mingi ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi na kujitolea katika kutokufungamana na upande wowote kidiplomasia. <\/p>\n<p>Diplomasia imeungwa mkono na wimbi kubwa la uwekezaji wa ha&#341;aka katika ujenzi mpya na kupanua miundombinu katika ba&#341;a lenye umaskini mkubwa. <\/p>\n<p>Siku ya Jumatatu, China iliahidi kutoa mkopo wa dola za Ma&#341;ekani bilioni moja kwa nchi yenye utaji&#341;i wa mafuta ya Nige&#341;ia kuisadia kuka&#341;abati mfumo wake wa &#341;eli uliochakaa. Wiki iliyopita mfano mwingine wa miundombinu ulifikiwa kati ya China na Alge&#341;ia, pia mzalishaji mkuu wa mafuta ba&#341;ani Af&#341;ika. Mashi&#341;ika ya &#8220;China&#8217;s Citic G&#341;oup&#8221; na &#8220;China Railway Const&#341;uction G&#341;oup&#8221; yalipata zabuni kwa kuwashinda wenzao wa Ulaya na Ma&#341;ekani kujenga ka&#341;ibu nusu ya ba&#341;a ba&#341;a kuu ya Masha&#341;iki hadi Magha&#341;ibi mwa Alge&#341;ia yenye ukubwa wa kilomita 1,216. <\/p>\n<p>Mwaka jana China iliipatia Angola mkopo nafuu wa ujenzi wa miundombinu wenye thamani ya dola za Ma&#341;ekani bilioni mbili ili kushinda zabuni ya ujenzi wa kisima cha mafuta kandokando ya mwambao, ambayo ilikuwa pia ikishindaniwa na India. Mbali na misaada ya nchi na nchi, Beijing pia imeahidi kutoa dola milioni 100 za Ma&#341;ekani katika Mfuko wa Maendeleo ya Ba&#341;a la Asia na Mfuko wa Maendeleo ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Beijing imeita mkakati wake wenye pande mbili wa kupata ma&#341;afiki wa kisiasa na kupata &#341;asilimali za asili za muda m&#341;efu kutoka ba&#341;ani humo kama dhana mpya ya &#8216;shinda nishinde&#8217; ya kiu&#341;afiki na Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8221;China ina mipango ya kuanzisha na kubuni &#8216;aina mpya ya mkakati na Af&#341;ika wenye sifa ya usawa na kuaminiana katika nyanja ya kisiasa, ushi&#341;ikiano unaoendeshwa kwa misingi ya &#8216;shinda nishinde&#8217; kiuchumi na kusaidiwa na ubadilishanaji wa utamaduni,&#8221;ulisema wa&#341;aka uliotolewa katika mji mkuu wa Mali, Bamako mwezi Janua&#341;i, mwishoni mwa zia&#341;a ya Li Zhaoxing ba&#341;ani humo. <\/p>\n<p>Tangu mwaka 2000, biasha&#341;a ya China na Af&#341;ika ka&#341;ibu imeongezeka ma&#341;a mbili, na kufikia dola bilioni 39.7 za Kima&#341;ekani mwaka 2005. Zaidi ya makampuni ya Kichina 600 yameingia katika ba&#341;a hilo. Kwa kuongeza, Beijing imeshasaini zaidi ya mikataba 30 ya mafuta na nchi mbalimbali za Af&#341;ika zinazozalisha mafuta. <\/p>\n<p>Vilevile, China inaamini kuwa muda wa kuima&#341;isha uwepo wake katika ba&#341;a ni mdogo. Wataalam wa China wanatabi&#341;i itachukua miaka mitano hadi nane kufikia wakati muafaka kwa makampuni ya China kuwekeza ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8221;Af&#341;ika imekuwa inalengwa zaidi na wawekezaji wa kimataifa, na makampuni ya Kichina yatakuwa na fu&#341;sa kubwa ya kibiasha&#341;a kama yataingia katika soko mapema,&#8221; Chi Changsheng, mtaalamu wa Tume ya Utafiti na Maendeleo, chombo cha juu cha China cha mipango, kiliiambia kongamano la uwekezaji wa China ba&#341;ani Af&#341;ika, ambalo lilifunguliwa katika mji mkuu wiki hii.<\/p>\n<p>Lakini wito wa Beijing kupata nishati na kuungwa mkono kidiplomasia pia kimesababisha kuingia katika ushi&#341;ikiano na se&#341;ikali za Af&#341;ika. Sudan, ambayo se&#341;ikali yake imekuwa ikituhumiwa kutokana na kusababisha mauaji ya halaiki katika mkoa wa Da&#341;fu&#341;, kwa sasa ni ngome ya uzalishaji nje ya nchi kubwa kuliko zote za China. Zimbabwe, ambayo imekuwa katika msuguano na Magha&#341;ibi kutokana na &#341;ikodi yake ya haki za binadamu, ni mshi&#341;ika mwingine wa biasha&#341;a na kijeshi wa China. <\/p>\n<p>Akiwa katika zia&#341;a ya Mo&#341;occo, Nige&#341;ia na Kenya, mwezi uliopita, Rais wa China Hu Jintao alisisitiza kwa ku&#341;udia kuwa China ingezingatia se&#341;a yake ya muda m&#341;efu na isiyofungamana na upande wowote katika kushi&#341;ikiana na nchi nyingine. &#8221;Tunaheshimu aina ya siasa iliyochaguliwa na watu wa Af&#341;ika,&#8221; alinukuliwa akisema mjini Nai&#341;obi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BEIJING, Mei 25 (IPS) &ndash; China inakuwa nguvu ya kukumbukwa katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Nchi yenye watu wengi zaidi ulimwenguni inafanya shughuli za ujenzi wa &#341;eli na ba&#341;aba&#341;a nchini Angola, Nige&#341;ia na Kenya, inaongeza kiwango cha biasha&#341;a na Af&#341;ika Kusini na Zambia na, zaidi ya yote, inajihusisha katika uchimbaji wa hifadhi ya mafuta na madini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":191,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1273","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1273","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/191"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1273"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1273\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1273"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1273"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1273"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}