{"id":1272,"date":"2006-05-26T13:40:01","date_gmt":"2006-05-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/26\/kenya-madaktai-kwa-walichonacho-simba-kwa-wasionacho\/"},"modified":"2006-05-26T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-26T13:40:01","slug":"kenya-madaktai-kwa-walichonacho-simba-kwa-wasionacho","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/26\/kenya-madaktai-kwa-walichonacho-simba-kwa-wasionacho\/","title":{"rendered":"KENYA: Madakta&#341;i kwa Walichonacho, Simba kwa Wasionacho"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 24 (IPS) &ndash; Kwa Nalangu Taki, bilauli moja ya maji inaweza kuwa ni ya bei kubwa sana kwake. Mkazi huyu wa Na&#341;ok kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa Kenya anasema wanawake katika wilaya hiyo inawabidi kutembea mwendo m&#341;efu kutafuta maji, na ma&#341;a nyingine kuwafanya washambuliwe na simba.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wanaamka saa kumi na mbili asubuhi kila siku na kutembea hadi zaidi ya kilomita 20 kuweza kufika katika maeneo yenye maji, wanakumbana na simba ambao pia wanasaka maji,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>Kugombea &#341;asilimali hiyo kunasababisha kupoteza maisha. Taki, ofisa katika Kikundi cha Wakulima Wanawake wa Encholla, anasema wanawake wawili &ndash; mmoja akiwa ndugu yake &ndash; waliuawa na wanyama mwaka jana. Miaka miwili iliyopita, watu wanne walikufa kutokana na kushambuliwa na simba walipokwenda kuteka maji: wanawake wengine wawili, mwanaume mmoja na kijana wa kiume pia waliuawa. <\/p>\n<p>Lakini, Taki hatoi wito wa simba hao kuuawa. Hali hii, anasema, inalazimu se&#341;ikali kujenga vituo vya maji ka&#341;ibu na makazi ya wananchi wa Na&#341;ok. <\/p>\n<p>Taki alikuwa akizungumza katika Mkutano wa Kitaifa wa Usawa na Maendeleo, uliofanyika katika mji mkuu wa Kenya &ndash;&ndash; Nai&#341;obi &ndash; kujadili jinsi ya kupunguza pengo kati ya maskini na mataji&#341;i katika nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki. Mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali kwa kushi&#341;ikiana na Wiza&#341;a ya Mipango na Maendeleo ya Taifa; ulimalizika Mei 23. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya mwaka 2004 iliyotolewa na ofisi ya Af&#341;ika Masha&#341;iki ya asasi ya &#8220;Society fo&#341; Inte&#341;national Development&#8221;, moja ya mashi&#341;ika yanayoandaa mkutano huo, asilimia 10 ya kaya zenye maisha ya juu nchini Kenya zinadhibiti asilimia 42 ya pato lote, ambapo asilimia 10 ya kaya zenye maisha duni kinamiliki chini ya asilimia moja ya pato. <\/p>\n<p>Ripoti iliyopewa jina la, &#8216;Pulling Apa&#341;t: St&#341;iking Facts and Figu&#341;es on Inequality in Kenya&#8217;, ilikuwa msingi wa mijadala katika mkutano huo. <\/p>\n<p>Uhaba wa maji katika wilaya ya Na&#341;ok siyo suala pekee linalomkabili Taki. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna shule katika vijiji vya mbali mkoani humu &ndash; watoto wetu wanajifunza chini ya miti. Hawawezi kushindana na wengine katika maeneo ya mijini ambao wana bahati ya kusomea katika madawati ndani ya mada&#341;asa,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Mbali na hapo, watoto wa vijijini wanakosa walimu wa kutosha. Unaweza kukuta walimu nane tu katika mada&#341;asa. Usawa upo wapi katika nchi hii wakati baadhi ya watu hawawezi hata kupata vifaa vya msingi &#8221; <\/p>\n<p>Joseph Ngichili, mkazi wa kaskazini&ndash;masha&#341;iki mwa mji wa Isiolo, alionyesha kuchukizwa na uhaba wa miundombinu ya afya katika baadhi ya maeneo ya Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wanafa&#341;iki njiani wanapokuwa wakitafuta huduma za afya &#8230;Hospitali ni chache sana na kuna uhaba wa madakta&#341;i. Huu ni ukubwa wa kukosekana kwa usawa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya &#8216;Pulling Apa&#341;t: St&#341;iking Facts and Figu&#341;es on Inequality in Kenya&#8217;, uwiano kati ya dakta&#341;i na idadi ya watu katika Mkoa wa Kati &ndash; kati ya mikoa nane taji&#341;i zaidi nchini Kenya &ndash; ni mmoja kwa 20,000. hata hivyo, katika Mkoa wa Masha&#341;iki, ni mmoja kwa 120,000. <\/p>\n<p>Ngichili pia anachukiwa na kukosekana kwa usawa katika umilikaji wa a&#341;dhi. <\/p>\n<p>&#8220;Wakenya wengi sana hawana a&#341;dhi, ambapo wachache sana wanamiliki a&#341;dhi ndogo ndogo. Kwa mfano, mashamba makubwa makubwa mengi yapo mikononi mwa walowezi wa kizungu,&#8221; alisema kwa hasi&#341;a, na kuongeza kuwa Wakenya wengine wanaishi maisha magumu sana. <\/p>\n<p>Viongozi wa juu katika se&#341;ikali ya sasa na ya zamani pia wanamiliki maelfu ya eka&#341;i za a&#341;dhi, baadhi kinyume cha she&#341;ia, kulingana na &#341;ipoti za tume ya uchunguzi katika umilikaji wa a&#341;dhi. <\/p>\n<p>Katika kushughulikia suala hilo, katiba iliyopendekezwa ilikuwa ikielezea wazi kuwa a&#341;dhi iliyochukuliwa kinyume cha she&#341;ia i&#341;ejeshwe &ndash; mafanikio makubwa katika umilikaji wa a&#341;dhi. Hata hivyo, katiba hiyo ilikataliwa wakati wa ku&#341;a ya maoni mwaka jana, kwa sehemu juu ya maoni kwamba ilitoa mada&#341;aka makubwa kwa &#341;ais. <\/p>\n<p>Giovanna P&#341;ennushi, mwanauchumi katika Kitengo cha Kupunguza Umaskini katika Benki ya Dunia, aliuambia mkutano kwamba maendeleo shi&#341;ikishi ni muhimu katika kubo&#341;esha hali nchini Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wengi kutoka makundi yaliyowekwa pembezoni ni lazima ya&#341;uhusiwe kushi&#341;iki katika mipango yenye lengo la kuleta maendeleo, ikiwa ni pamoja na pesa zaidi kuwekezwa katika sekta ambazo zinaathi&#341;i maskini moja kwa moja,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Mamlaka za Kenya zinasema mfumo huo utachukuliwa katika kuingiza fedha kutoka kwa Mfuko wa Maendeleo ya Majimbo (CDF), wenye lengo la kupunguza umaskini na kuongeza kasi ya maendeleo. <\/p>\n<p>&#8220;CDF itasambazwa kwa majimbo mbalimbali siyo tu kwa kuzingatia idadi ya watu, lakini pia juu ya umuhimu wa kufikia kila jimbo,&#8221; alibainisha Edwa&#341;d Sambili, katibu mkuu katika wiza&#341;a ya mipango. <\/p>\n<p>&#8220;Suala la msingi, ni kwa wakazi wa majimbo kuamua jinsi gani pesa hiyo itaweza kutumika, na ni maeneo yapi ya maendeleo wanayaona ni muhimu zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini Billow Ke&#341;&#341;ow, mwanachama wa upinzani na wazi&#341;i kivuli wa fedha, anasema CDF peke yake haitaweza kushughulikia suala la kukosekana kwa usawa. <\/p>\n<p>&#8220;Kama se&#341;ikali haitaweza kuunda se&#341;a ambazo zitaishinikiza kuingiza fedha zaidi za maendeleo katika maeneo maskini, hali inaweza isibadilike,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa mfano, se&#341;ikali ingelenga mi&#341;adi kama ya ujenzi wa shule zaidi, miundomibu ya afya na (kutoa) kuduma ya maji katika mikoa maskini.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika CDF, se&#341;ikali inasema Mkakati wa Kukuza Uchumi kwa ajili ya kuongeza Aji&#341;a na Kujenga Utaji&#341;i kama jambo la msingi zaidi katika jitihada zake za kupambana na umaskini. <\/p>\n<p>&#8220;Kufuatia utekelezaji wa mkakati huo, uchumi wa nchi ulikua kwa asilimia 4.3 mwaka 2004, na inata&#341;ajiwa kukua kwa zaidi ya asilimia tano mwaka 2005,&#8221; alisema Sambili. <\/p>\n<p>Ukiwa umezinduliwa mwaka 2003, mkakati huo utaendelea hadi mwaka 2007, ukiwa na lengo la kukuza uchumi na kubo&#341;esha maisha ya maskini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 24 (IPS) &ndash; Kwa Nalangu Taki, bilauli moja ya maji inaweza kuwa ni ya bei kubwa sana kwake. Mkazi huyu wa Na&#341;ok kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa Kenya anasema wanawake katika wilaya hiyo inawabidi kutembea mwendo m&#341;efu kutafuta maji, na ma&#341;a nyingine kuwafanya washambuliwe na simba. &#8220;Wanawake wanaamka saa kumi na mbili asubuhi kila siku na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1272","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1272","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1272"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1272\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1272"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1272"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1272"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}