{"id":1270,"date":"2006-05-24T13:40:01","date_gmt":"2006-05-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/24\/siasa-afika-yazungumzia-nguvu-yake-ya-pamoja-kwa-umoja-wa-mataifa\/"},"modified":"2006-05-24T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-24T13:40:01","slug":"siasa-afika-yazungumzia-nguvu-yake-ya-pamoja-kwa-umoja-wa-mataifa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/24\/siasa-afika-yazungumzia-nguvu-yake-ya-pamoja-kwa-umoja-wa-mataifa\/","title":{"rendered":"SIASA: Af&#341;ika Yazungumzia Nguvu yake ya Pamoja kwa Umoja wa Mataifa"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Mei 22 (IPS) &ndash; Kundi la nchi wanachama 53 wa Af&#341;ika katika Umoja wa Mataifa &ndash; kambi ya pili kwa ukubwaa baada la ile ya Ba&#341;a la Asia &ndash; inazungumzia nguvu yake ya pamoja katika chombo hicho cha kimataifa ambacho kinazidi kugawanyika juu ya masuala nyeti kisiasa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hadi sasa Waaf&#341;ika wamekataa kuacha kuendelea na madai yao ya nguvu za veto kwa ajili ya wanachama wapya wa kudumu katika Ba&#341;aza la Usalama, na pia kuonyesha kuunga kwao mkono mgombea kutoka Asia kuwa katibu mkuu ajaye baada ya katibu wa sasa wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan wa Ghana atakapomaliza muda wake Desemba mwaka huu. <\/p>\n<p>Isha&#341;a ya ka&#341;ibuni ya mshikamano wao ni katika uchaguzi uliomalizika hivi ka&#341;ibuni katika Ba&#341;aza jipya la Haki za Binadamu, ambapo mataifa ya Af&#341;ika yalipiga idadi kubwa ya ku&#341;a katika Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa lenye wanachama 191. <\/p>\n<p>Tofauti na makundi mengine ya kimkoa, Waaf&#341;ika walijaza wagombea 13 tu katika viti 13 walivyotengewa, na hivyo kuhakikisha kuwa wagombea wote 13 wangepigiwa ku&#341;a &ndash; na idadi kubwa ya ushindi kwa wagombea wengine wasiokuwa Waaf&#341;ika. <\/p>\n<p>Waasia, kwa upande wao, walikuwa na wagombea 18 wakigombea viti 13; Ulaya ya Masha&#341;iki kulikuwa na wagombea 13 katika viti sita; Ame&#341;ika ya Kusini na mataifa ya Ca&#341;ibbean walikuwa na wagombea 10 katika viti nane; na Kundi la Ulaya Magha&#341;ibi lilikuwa na wagombea 9 katika viti saba. Matokeo yake, kulikuwa na washindi na walioshindwa katika chaguzi hizo za Ba&#341;aza la Haki za Binadamu. Lakini kwa upande wa Af&#341;ika, hakukuwa na aliyeshindwa. <\/p>\n<p>Labda kwa kujibu ukosoaji mkubwa dhidi ya &#341;ekodi zao za haki za binadamu kutoka Magha&#341;ibi, mataifa kadhaa ya Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na Zimbabwe, na Sudan, yalitizama uchaguzi kidiplomasia yakiwa pembeni na kukataa kujiingiza katika kinyang&#8217;anyi&#341;o. <\/p>\n<p>&#8220;Ni wakati muafaka kwa mataifa ya Af&#341;ika kucheza mipi&#341;a migumu. Mataifa makubwa taji&#341;i yanapuuza Af&#341;ika, na hayachukulii maanani umoja wa Af&#341;ika,&#8221; anasema Bill Fletche&#341; J&#341;., mwanaha&#341;akati wa wafanyakazi na wa kimataifa wa muda m&#341;efu na &#341;ais wa zamani wa shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Washington la &#8220;T&#341;ansAf&#341;ica Fo&#341;um&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Kuonyesha umoja katika Umoja wa Mataifa hivi ka&#341;ibuni, ni kengele ya kuamsha hisia kuwa hatua kali katika umoja wa Af&#341;ika zinakuja,&#8221; Fletche&#341; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mshikamano wa Af&#341;ika wa kuacha wagombea 13 kwa ajili ya viti 13 pia ulisaidia kupata idadi kubwa ya ku&#341;a katika uchaguzi wa Ba&#341;aza la Haki za Binadamu. Wajumbe nane waliopata ku&#341;a nyingi zaidi walitoka Af&#341;ika: Ghana (ku&#341;a 183), Zambia (182), Senegal (181), Af&#341;ika Kusini 179, Mali, Mau&#341;itius na Mo&#341;occo zilipata kila moja ku&#341;a 178 na Gabon 175. <\/p>\n<p>Katika ku&#341;a za jumla, nchi ambayo imeweza kuwa na ushindi mbele ya Af&#341;ika ni India (kutoka Kundi la Asia) ambayo ilipata ku&#341;a 173. Lakini Waaf&#341;ika walichukua nafasi tano zilizofuata baada ya India: Djibouti (172), Came&#341;oon na Tunisia (171 kila moja), Nige&#341;ia (169) na Alge&#341;ia (168). <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha, washindi wa juu katika Kundi la Ulaya Masha&#341;iki, yaani Russia, ilipata ku&#341;a 137, B&#341;azili (iliongoza katika Kundi la Ame&#341;ika ya Kusini) na kupata ku&#341;a 165 na Uje&#341;umani (iliongoza katika Kundi la Ulaya Magha&#341;ibi) kwa kupata ku&#341;a 154 tu. <\/p>\n<p>&#8220;Mataifa ya Af&#341;ika kutumia suluhu na umoja katika mambo muhimu katika Umoja wa Mataifa ni suala la kuvutia na lenye thamani,&#8221; anasema Kwame Akono&#341;, mku&#341;ugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo ni lazima tuwe na mashaka kuwa hali ya sasa inaashi&#341;ia kuwepo kwa jukwaa la pamoja kwa ajili ya diplomasia ya pamoja ya Af&#341;ika. Lengo muhimu la ku&#341;a za pamoja kwa mataifa ya Af&#341;ika linatakiwa kuweka uwanja sawa katika mahusiano yake ya kimataifa na watendaji wengine na upatikanaji wa mada&#341;aka se&#341;ikalini,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Katika kupanuliwa kwa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kufikia wanachama 15, Kambi ya Af&#341;ika ilisimama kidete, kudai kwamba wajumbe wapya wa kudumu wawe na ku&#341;a ya tu&#341;ufu &ndash; kama ilivyo kwa wajumbe wa kudumu watano (P&ndash;5), ambao ni Ma&#341;ekanbi, Uinge&#341;eza, Ufa&#341;ansa, China na Russia. <\/p>\n<p>Lakini hali inaonyesha kuwa wajumbe wote wa kudumu watano, ambao wanataka kushikilia nafasi zao wakati wote, hawako taya&#341;i kukubali nguvu ya veto kwenda kwa wajumbe waliopendekezwa. Msimamo huu unapingana na msimamo wa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Wakati Kundi la nchi nne &ndash;&ndash; Japan, Uje&#341;umani, B&#341;azili na India &ndash; zimekubali kupunguza shinikizo kutoka kwa P&ndash;5 na zina nia ya kukubali viti vya kudumu bila ya kuwa na nguvu ya veto, Waaf&#341;ika wamekataa kukubaliana. Msimamo wao wa pamoja ni: &#8220;Kupata nguvu ya veto au hapana.&#8221; <\/p>\n<p>Hii ni moja ya sababu nyingi ni kwa nini mapendekezo ya kupanuka kwa Ba&#341;aza la Usalama yamegonga mwisho. Kama Kundi la Nne litaanzisha azimio lolote lile katika Ba&#341;aza Kuu linalokubali viti visivyokuwa na veto, mataifa 53 ya Af&#341;ika yanaweza kupigia ku&#341;a ya hapana. <\/p>\n<p>Mwezi Machi, Kundi la Af&#341;ika katika Umoja wa Mataifa pia lilizungumzia &#341;asmi kuunga kwake mkono kwa pamoja kwa mgombea wa ba&#341;a la Asia kama katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayefuata. Lakini makundi mengine matatu &ndash; Ulaya ya Masha&#341;iki, Ame&#341;ika ya Kusini na Ulaya Magha&#341;ibi &ndash; yamekataa kujionyesha waziwazi kumuunga mkono mgombea wa Asia. <\/p>\n<p>Kati ya Makundi ya Asia na Af&#341;ika, mgombea wa Asia amehakikishiwa angalau ku&#341;a 107, kutoka kwa wajumbe wa makundi hayo mawili, katika Ba&#341;aza Kuu &ndash; angalau katika ka&#341;atasi. <\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua yake kwa Kundi la Asia, Balozi Joe Robe&#341;t Pemagbi wa Sie&#341;&#341;a Leone, mwenyekiti wa Kundi la Af&#341;ika, alisema Kundi lake limeamua &#8220;kuunga mkono ombi kwamba Katibu Mkuu anayefuata wa Umoja wa Mataifa achaguliwe kutoka nchi ya Asia &#8220;. <\/p>\n<p>Uamuzi wa Kundi la Af&#341;ika &#8220;unaendana na kanuni ya muda m&#341;efu ya kupeana na kujuana ambayo inaendelea kati ya kambi hizo mbili &#8220;, ba&#341;ua ilisema. <\/p>\n<p>Fletche&#341; alisema kuwa pamoja na msimamo wake, &#8220;umoja wa kweli&#8221; wa mataifa ya Af&#341;ika utaonyesha jinsi gani Umoja wa Af&#341;ika (AU) &ndash; na wanachama wake &ndash; wanashughulikia migogo&#341;o ya ndani na nje. <\/p>\n<p>Mgogo&#341;o wa Da&#341;fu&#341;, kwa mfano, umekuwa mmoja ambao AU imeamua kuingia katika sahani, pamoja na kwamba inahitaji msaada wa nje, katika ngazi ya kijeshi ikiwa ni pamoja na msaada wa kidiplomasia. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini msimamo wa AU juu ya migogo&#341;o isiyokuwa ya Af&#341;ika unaweza kuwa muhimu,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Kuunga mkono kwa AU mamlaka ya Palestina mbele ya jitihada ya Ma&#341;ekani na Is&#341;ael kuwazo&#341;otesha Wapalestina itakuwa ni isha&#341;a muhimu na hatua ya kivitendo, Fletche&#341; alitoa maoni yake. <\/p>\n<p>Pia alisema kuwa AU kutoa mwito kwa Ma&#341;ekani kuondoka ha&#341;aka sana kutoka I&#341;aq ni muhimu katika kumomonyoa kuikalia nchi kimabavu. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa mantiki hii, wakati shughuli za Umoja wa Mataifa ni muhimu, kuna nyanja nyingine ambazo umoja wa Af&#341;ika unahitaji kuonekana ambazo zinaweza kupeleka mawimbi kimataifa,&#8221; Fletche&#341; alisema. <\/p>\n<p>Akono&#341; alisema kuwa njia moja ya kuongeza nguvu ya Af&#341;ika &ndash; ilingane na wengine katika mfumo wa kimataifa &ndash; ni kuundwa kwa taifa madhubuti la Af&#341;ika lenye uchumi wa pamoja, usalama na jukwaa la se&#341;a za kigeni.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa bahati mbaya, viongozi wa Af&#341;ika sasa, ukiondoa kiongozi wa Libya (Muamma&#341; el&ndash;) Gaddafi, wanakwepa dhami&#341;a halisi na kuchukulia uzito wa suala la kuwa na se&#341;ikali ya ba&#341;a la Af&#341;ika,&#8221; aliongeza.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Mei 22 (IPS) &ndash; Kundi la nchi wanachama 53 wa Af&#341;ika katika Umoja wa Mataifa &ndash; kambi ya pili kwa ukubwaa baada la ile ya Ba&#341;a la Asia &ndash; inazungumzia nguvu yake ya pamoja katika chombo hicho cha kimataifa ambacho kinazidi kugawanyika juu ya masuala nyeti kisiasa. Hadi sasa Waaf&#341;ika wamekataa kuacha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":58,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1270","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1270","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/58"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1270"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1270\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1270"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1270"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1270"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}