{"id":1269,"date":"2006-05-23T13:40:01","date_gmt":"2006-05-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/23\/haki-cameroon-kanuni-mpya-ya-adhabu-itabadili-tabia\/"},"modified":"2006-05-23T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-23T13:40:01","slug":"haki-cameroon-kanuni-mpya-ya-adhabu-itabadili-tabia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/23\/haki-cameroon-kanuni-mpya-ya-adhabu-itabadili-tabia\/","title":{"rendered":"HAKI &ndash; CAMEROON: Kanuni Mpya ya Adhabu Itabadili Tabia"},"content":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Mei 20 (IPS) &ndash; Kuna kampeni inaendelea nchini Came&#341;oon juu ya kuwa na Kanuni Mpya ya Adhabu ambayo mamlaka yanasema itaima&#341;isha utawala wa she&#341;ia &ndash; na kuifanya nchi hiyo ya Af&#341;ika ya Kati kuwa na ubo&#341;a katika haki za binadamu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa sasa, Came&#341;oon inakosolewa ma&#341;a kwa ma&#341;a na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) kutokana na kushindwa kwake kuheshimu haki za binadamu. <\/p>\n<p>Mamlaka yanashutumiwa kutokana na kupuuza haki za watuhumiwa wa uhalifu: NGOs zinadai kuwa matukio ya kukamatwa kinyume cha she&#341;ia na kuwekwa kizuizini, na kudai kuwa utesaji ni jambo la kawaida watu wanapowekwa kizuizini katika vituo vya polisi &ndash; ikiwa ni pamoja na katika mage&#341;eza. <\/p>\n<p>&#8220;Came&#341;oon inajulikana kwa vitendo vyake vya ukandamizaji wa haki za binadamu,&#8221; Paul Yassi, wakili anayefanya shughuli zake katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Yaound&eacute;, aliiambia IPS. &#8220;Nchi yetu imepata mafanikio madogo tu juu ya kukuza na kulinda haki za binadamu katika miaka ya hivi ka&#341;ibuni.&#8221; <\/p>\n<p>Kanuni mpya, iliyopangwa kuanza kutumika Agosti 1, inatokana na kazi ya miaka 30 na wanashe&#341;ia wa kitaifa &ndash; wakisaidiwa na wataalamu kutoka Ufa&#341;ansa na Uinge&#341;eza. Ina lengo la kukomesha matumizi ya tamaduni na lugha ambazo zimekuwa zikitumika nchini Came&#341;oon tangu kipindi cha ukoloni. <\/p>\n<p>Chini ya utawala wa kikoloni, Came&#341;oon ilikuwa imegawanyika katika kanda tatu &ndash; mbili zilikuwa zikitawaliwa na Mwinge&#341;eza (Kusini na Kaskazini mwa Came&#341;oon), na nyingine na Mfa&#341;ansa. Came&#341;oon ya Kifa&#341;ansa ilipata uhu&#341;u mwaka 1960, na kuwa Jamhu&#341;i ya Came&#341;oon; mwaka mmoja baadaye. Kusini mwa Came&#341;oon kulikuwa na ku&#341;a ya maoni ya kuchagua shi&#341;ikisho la jamhu&#341;i, wakati ambapo kaskazini mwa Came&#341;oon kulikuwa eneo la Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>Mwaka 1972, shi&#341;ikisho liliachwa ili kuwa na taifa lililoungana &ndash; Jamhu&#341;i ya Muungano wa Came&#341;oon. Lakini, muungano wa kisiasa haukufuatiwa na muungano wa kishe&#341;ia kati ya maeneo yanayozungumza Kifa&#341;ansa na yale yanayoongea Kiinge&#341;eza &ndash; ambayo yaliendelea kutumia kanuni za kishe&#341;ia zinazotofautiana. <\/p>\n<p>&#8220;Mifumo miwili tofauti ya kishe&#341;ia ilifanya kazi katika nchi ambayo ilikuwa imeungana kisiasa na kiutawala,&#8221; Jacqueline Mbassi, hakimu mjini Yaound&eacute;, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Hivyo kulikuwa na umuhimu wa kuunganisha mifumo hiyo miwili, kwa lengo la kufanya mfumo wetu wa she&#341;ia kuwa&#8230;usiolalamikiwa sana, usiokuwa na matatizo mengi &ndash;&ndash; (na) wenye ufanisi zaidi na wa kisasa.&#8221; <\/p>\n<p>Kanuni Mpya ya Adhabu pia inaleta ubunifu mpya wa kishe&#341;ia, kama vile ku&#341;uhusu waliowekwa kizuizini kuachiliwa hu&#341;u kwa dhamana, na kupiga ma&#341;ufuku kufungwa jela kwa watu wenye um&#341;i wa chini ya miaka 18, wale wenye um&#341;i wa zaidi ya miaka 60 &ndash;na mama wajawazito. <\/p>\n<p>Hata hivyo, &#341;aia wa Came&#341;oon wana mashaka kuhusu kama kanuni hiyo itabo&#341;esha utawala wa she&#341;ia, wakihofia mamlaka husika kuweza kukosa utashi wa kuheshimu haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8220;Watafanya nini juu ya watoto waliopo katika mage&#341;eza ya Yaound&eacute;, Douala (mji mkuu wa kibiasha&#341;a) au mahali pengine &ndash; ambao (wamefungwa jela) bila ya kusimamishwa mbele ya hukumu kwa miaka mingi sasa &#8221; aliuliza Sa&#341;ah Djidonou, &#341;ais wa Muungano wa Kutetea Haki za Binadamu, NGO yenye shughuli zake mjini Yaound&eacute;. <\/p>\n<p>&#8220;Nadhani maofisa wa polisi na mahakimu wataendelea kuwaingiza jela watu wasiokuwa na hatia,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Nasubi&#341;i kuona nini kitatokea kwa kipindi cha miaka miwili ijayo kabla ya kushangilia (kanuni). Unajua nchi hii ilivyo.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;l&#038;eg&#341;ave;ne Gwet, ofisa katika wiza&#341;a ya elimu, pia ana wasiwasi. &#8220;Utawala wa she&#341;ia utakuzwa, wanasema. Lakini, sina uhakika kama kweli wananchi watawajibika &#8230;&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Wanashe&#341;ia, hususani, wataandaliwa kufungua mawazo yao kupokea mageuzi haya &#8221; <\/p>\n<p>Gwet anaongeza: &#8220;Binamu yangu, ambaye ni de&#341;eza wa teksi, aliwekwa kizuizini mwa polisi kwa wiki tatu ambapo alikuwa akipigwa kila siku. Bosi wake alimtuhumu kutokana na kutotimiza mahesabu kwa kupungukiwa na dola 13.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini Ma&#341;inette Hiol, naibu mwendesha mashitaka wa se&#341;ikali mjini Yaound&eacute;, anasisitiza kanuni hiyo italeta mabadiliko mazu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Mage&#341;eza yetu hayatakuwa tena na watoto wa chini ya um&#341;i wa mika 18,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Wale ambao wataendelea kubakia mage&#341;ezani ni wale ambao walifanya mauaji au walishi&#341;iki katika ujambazi wa kutumia nguvu. Kesi za aina hiyo zinahusu uhalifu unaoadhibiwa mbele ya she&#341;ia.&#8221; <\/p>\n<p>Mau&#341;ice Kamto, wazi&#341;i wa nchi katika wiza&#341;a ya she&#341;ia, anasema kanuni mpya hiyo inalenga kuwalinda &#341;aia wote.<\/p>\n<p>&#8220;Dhana ambayo inaibuka katika Kanuni Mpya ya Adhabu ni kwamba ni lazima ilinde &#341;aia wasiokuwa na hatia ambao ni waathi&#341;ika wa makosa mbalimbali, bila ya kuwaachia wale wanaokutwa na hatia,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Anabainisha Yassi, &#8220;Tunatumaini kuwa utekelezaji unaokuja wa Kanuni Mpya ya Adhabu utafungua njia ya kuwepo kwa utawala halisi wa she&#341;ia, ambao tunatamani sana kuwa nao.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>YAOUNDE, Mei 20 (IPS) &ndash; Kuna kampeni inaendelea nchini Came&#341;oon juu ya kuwa na Kanuni Mpya ya Adhabu ambayo mamlaka yanasema itaima&#341;isha utawala wa she&#341;ia &ndash; na kuifanya nchi hiyo ya Af&#341;ika ya Kati kuwa na ubo&#341;a katika haki za binadamu. Kwa sasa, Came&#341;oon inakosolewa ma&#341;a kwa ma&#341;a na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) kutokana&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":135,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1269","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1269","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/135"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1269"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1269\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1269"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1269"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1269"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}