{"id":1268,"date":"2006-05-23T13:40:01","date_gmt":"2006-05-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/23\/hukumu-ya-kifo-miaka-mitano-baada-ya-bosch-hakuna-mabadiliko-nchini-botswana\/"},"modified":"2006-05-23T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-23T13:40:01","slug":"hukumu-ya-kifo-miaka-mitano-baada-ya-bosch-hakuna-mabadiliko-nchini-botswana","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/23\/hukumu-ya-kifo-miaka-mitano-baada-ya-bosch-hakuna-mabadiliko-nchini-botswana\/","title":{"rendered":"HUKUMU YA KIFO: Miaka Mitano Baada ya Bosch, Hakuna Mabadiliko Nchini Botswana"},"content":{"rendered":"<p>GABORONE, Mei 17 (IPS) &ndash; Botswana ilikuwa katika ufuatiliaji wa kimataifa mwaka 2001 baada ya kuchukua hatua ya ha&#341;aka ya kutoa hukumu na kumnyonga kwa si&#341;i Ma&#341;&#341;iette Sonjaleen Bosch, mzungu mwanamke kutoka Af&#341;ika Kusini aliyekutwa na hatia ya mauaji.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Miaka mitano imepita, wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wanasema kuna mabadiliko madogo sana. Kutolewa kwa hukumu kwa ha&#341;aka, unyongaji na vitendo visivyokuwa vya kibinadamu dhidi ya familia za wafungwa &ndash; kila aina ya sifa zilizozunguka kesi ya Bosch &ndash; zinaendelea. Kwa hakika, se&#341;ikali haiombi msamaha kutokana na suala hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna mabadiliko yoyote, hakuna kabisa,&#8221; msemaji wa &#341;ais Jeff Ramsay aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Alisema hali kama hiyo itabakia kwa muda m&#341;efu. Kuputoa kwake msimamo huo wa se&#341;ikali hakushangazi. Rais Festus Mogae anathibitishwa kuwa &#8220;mwadhibuji.&#8221; <\/p>\n<p>Nchi hiyo ya Kusini mwa Af&#341;ika isiyokuwa na banda&#341;i imeshanyonga watu 39 tangu ilipopata uhu&#341;u mwaka 1966. Ni moja ya mataifa 35 ya Af&#341;ika ambayo inaendelea kutumia adhabu ya kifo. <\/p>\n<p>Mtu wa mwisho kunyongwa alikuwa Modisane Ping, ambaye alinyongwa Ap&#341;ili 1. Ping, ambaye alikutwa na hatia ya kumuua &#341;afiki wake wa kike na mtoto wake wa kiume mwenye um&#341;i wa miaka sita, alikuwa ni mahabusu peke aliyebakia katika o&#341;odha ya kuuawa. <\/p>\n<p>Kesi ya Bosch haikuwa tofauti, isipokuwa tu ilionyesha hali ya tofauti ya &#341;angi, Ramsay alisema. Bosch alivutia hisia za kimataifa kwasababu tu ya &#341;angi yake, alisisitiza. <\/p>\n<p>Tangu aliponyongwa, Botswana imeshanyonga wananchi watano,ikiwa ni pamoja na Mwaf&#341;ika Kusini mweusi, Lehlohonolo Kobedi, aliyekutwa na hatia ya kumuua sajini wa polisi. Hakuna ambaye amewahi kuvutia hisia za kimataifa zaidi ya kunyongwa kwa Bosch. <\/p>\n<p>Bosch alikutwa na hatia ya kupanga mauaji ya &#341;afiki yake Ma&#341;ia Woolma&#341;ans, ambaye mume wake, Tinnie, alikuja kumuoa baadaye. Alinyongwa Machi 31, 2001. <\/p>\n<p>Akijibu maswali kuhusu Bosch siku tatu tu baada ya kunyongwa, &#341;ais Mogae aliuambia mkutano wa waandishi wa haba&#341;i kuwa, &#8220;Kumbukeni, kwa upande wetu sisi ni kesi ya mauaji, kituo&#8230; Labda mtatushawishi (vinginevyo) siku zijazo.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini hadi sasa, &#8220;baada ya siku chache zijazo &#8221; kwamba kile Mogae alichozungumza hakipo mahali popote. Se&#341;ikali ya Botswana haijawahi kuyumbishwa na adhabu ya kifo. Na wanakampeni juu ya kukomeshwa kwa adhabu hiyo wanasema hakujawa na dalili yoyote ile kuwa kuna ambaye anasikiliza. <\/p>\n<p>&#8220;Dola kwa kiasi kikubwa imepuuza miito ya kukomeshwa kwa adhabu ya kifo nchini Botswana,&#8221; Alice Mogwe, mku&#341;ugenzi wa Ditshwanelo, Kituo cha Haki za Binadamu cha Botswana, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mogwe alikubali kuwa se&#341;ikali ilitumia &#341;angi ya Bosch kugeuza hisia kutoka katika suala la adhabu ya kifo. Hata hivyo, alisema, kunyongwa kwa Bosch baadaye, miezi miwili tu baada ya kupoteza &#341;ufaa yake, kulisaidia kuliweka suala hilo machoni mwa umma. <\/p>\n<p>Ditshwanelo inatetea kukomeshwa kwa adhabu ya kifo kwa kuzingatia mikataba ya haki za binadamu ya kimataifa ambayo inapinga aina zote za ukatili dhidi ya binadamu, kukosekana kwa ubinadamu na kutendewa vitendo vya kinyama na adhabu kali. <\/p>\n<p>Mtindo wa sinema ya Bosch ilianza saa 12 asubuhi siku ya Ijumaa, Machi 30, 2001, alipopewa ba&#341;ua ya kunyongwa. <\/p>\n<p>Mume wake Tinnie Woolma&#341;ans alipotaka mamlaka katika ge&#341;eza lenye ulinzi mkali mjini Gabo&#341;one kupanga ta&#341;ehe ya kumtembelea baadaye, hakuambiwa juu ya mpango wa kumnyonga. Badala yake, aliambiwa kulikuwa na ukaguzi uliokuwa ukiendelea katika ge&#341;eza na kwamba alitakiwa ku&#341;ejea tena siku ya Jumatatu. <\/p>\n<p>Hakufiki&#341;i kungetokea jambo lolote lile baya: hatma ya mke wake ilikuwa imeshaamuliwa; alikuwa amepangiwa kunyongwa asubuhi iliyofuata. <\/p>\n<p>Pamoja na kuwa maofisa wa ge&#341;eza hawaku&#341;uhusu familia yake na watoto kumtembelea, walimpa Bosch kutumia masaa yake ya mwisho kuandika ba&#341;ua ambazo zingepewa ndugu zake baada ya kunyongwa. Zilikuwa ni maneno yake ya mwisho. <\/p>\n<p>&#8220;Hawakutaka mnione,&#8221; aliandika katika moja ya ba&#341;ua hizo akiahidi upendo usiokoma kwa mume wake na kumtaka kutunza familia. <\/p>\n<p>Kamishina wa Mage&#341;eza na Mafunzo, katika ujumbe uliokuwa ukitangaza kunyongwa kwake Machi 31, aliandika ujumbe wa mkono: &#8220;Tangazo litolewa Jumatatu asubuhi, Ap&#341;ili 2, 2001 wakati wowote kuanzia saa 12 asubuhi.&#8221; <\/p>\n<p>Familia ilijua kuhusu kunyongwa kwake kama ilivyokuwa kwa watu wengine &ndash; katika taa&#341;ifa ya haba&#341;i ya mchana siku mbili baada ya kunyongwa. <\/p>\n<p>Suala la Bosch halina tofauti na mengine mengi ya watu walionyongwa kabla na baada ya kunyongwa kwake. Mwito wake kwa &#341;ais Mogae kuwa na &#8220;hu&#341;uma&#8221; kuokoa maisha yake haukujibiwa. Wala mwito wa Ping, ambaye alinyongwa mwezi uliopita. <\/p>\n<p>Wanakampeni wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na Ditshwanelo, wanaendelea kulaumu juu ya unyongaji wa si&#341;i na wa ha&#341;aka,na kukataa kuwapatia wafungwa wanaotuhumiwa muda wa maisha kabla ya kunyongwa na kufanyiwa vitendo vibaya dhidi ya familia zao. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali haijawahi kuwa na imani wala kuwasiliana kuwa &#341;ufaa imekataliwa hadi baada ya kunyongwa,&#8221; alisema Kgafela Kgafela, mwanashe&#341;ia wa haki za binadamu. <\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa Ditshwanelo Mogwe alisema ni ka&#341;aha kwamba dola inaendelea kunyonga watu katika usi&#341;i mkubwa. Kitendo hicho kinaadhibu familia ambazo hazihusiki na uhalifu, aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaamni kuwa kukosekana kwa uwazi wa zoezi hilo ni kitisho kikubwa kwa demok&#341;asia na utawala bo&#341;a,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Akizungumzia unyongaji wa mwisho kufanyika, Mogwe aliongeza, &#8220;Mamlaka za ge&#341;eza zinakuwa na tabia ya ukatili usiokuwa na maana dhidi ya familia zinapotoa adhabu za kifo.&#8221; <\/p>\n<p>Wanafamilia wanaotaka kibali cha kuwaona wapendwa wao, wanaambiwa &#8220;kuna ukaguzi&#8221; fumba na kufumbua Jumatatu inayofuata wanatambua kuwa mtu wao amekwisha nyongwa, alisema. <\/p>\n<p>Hili ndilo lilolotendeka wakati wa kunyongwa kwa Bosch, Kobedi na Ping siku za hivi ka&#341;ibuni,. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wengi hawakujua kuwa familia haikuweza hata kuhudhu&#341;ia mazishi ya mfungwa aliyenyongwa,&#8221; Mogwe aliiambia IPS. Wala hawaku&#341;uhusiwa kuzu&#341;u makabu&#341;i. <\/p>\n<p>Mogwe pia alitoa mwito kwamba pamoja na unyongaji mwingi, adhabu ya kifo haijapunguza mauaji nchini Botswana. &#8220;Inabidi kazi kubwa ielekezwe katika kujua sababu hasa ya uhalifu na kupata ufumbuzi wake,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa za polisi zinaonyesha kuwa watu 1,500 wameuawa hapa katika kipindi cha miaka mitano. Hadi mwishoni mwa Ap&#341;ili, mauaji 47 yame&#341;ipotiwa mwaka 2006. <\/p>\n<p>Seema Kandelia na Nicola B&#341;owne kutoka Kituo cha Mafunzo ya Hukumu ya Kifo walisema katika wa&#341;sha ya hukumu ya kifo Kusini mwa Af&#341;ika mjini Gabo&#341;one mwezi Novemba iliyopita kuwa wanatoa elimu ya umma juu ya adhabu ya kifo. <\/p>\n<p>Katika mada iliyowakilishwa katika wa&#341;sha, walisema kuwa ma&#341;a nyingi se&#341;ikali zinaongelea kuungwa mkono na umma kama sababu ya kuendeleza adhabu ya kifo. Kuungwa mkono huko kunaweza kupungua kwa kutolewa kwa elimu inayofaa, walisema. <\/p>\n<p>&#8220;Katika kazi zetu zote, tunasisitiza umuhimu wa kuanzishwa kwa adhabu zinazofaa, zinazolingana na kosa na zinazozingatia utu, kama sivyo kuna hata&#341;i ya nchi kubadilika na kuwa na adhabu za kikatili zaidi: maisha yote,&#8221; waliiambia wa&#341;sha. <\/p>\n<p>Walikubali, hata hivyo, kuwa suala la kuungwa mkono na mhanga ingekuwa moja ya jambo kubwa la kuondolewa kuliko maneno matupu ya kuondokana na adhabu. Ni suala linalolengwa na wanasiasa. <\/p>\n<p>&#8220;Pia kuna haja ya kuungwa mkono na mhanga lakini pia masuala ya haki ya asili inasahaulika, kama vile kufanana na kulingana,&#8221; walisema. <\/p>\n<p>Ramsay, msemaji wa &#341;ais, alisema anaunga mkono kwa kiwango cha juu adhabu ya kifo nchini Botswana. <\/p>\n<p>Lakini Bosch anaweza kuishi kupambana na se&#341;ikali ambayo ilikomesha maisha yake. Hakuweza kukubali kosa na bado kuna maoni kuwa muuaji wa &#341;afiki yake bado anaishi. <\/p>\n<p>Mwanashe&#341;ia wake, Fashole Luke, akizungumza katika mjadala wa hukumu ya kifo alisema: &#8220;Makosa yanapofanyika, hayawezi kusahihishwa.&#8221; <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GABORONE, Mei 17 (IPS) &ndash; Botswana ilikuwa katika ufuatiliaji wa kimataifa mwaka 2001 baada ya kuchukua hatua ya ha&#341;aka ya kutoa hukumu na kumnyonga kwa si&#341;i Ma&#341;&#341;iette Sonjaleen Bosch, mzungu mwanamke kutoka Af&#341;ika Kusini aliyekutwa na hatia ya mauaji. Miaka mitano imepita, wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wanasema kuna mabadiliko madogo sana. Kutolewa kwa hukumu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":160,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1268","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1268","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/160"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1268"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1268\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1268"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1268"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1268"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}